Upgrade to Pro

  • Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ...............

    USIWAZE HELA KWANZA

    1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya )

    Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho

    A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita )

    Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo

    1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi

    1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni

    1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim

    1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona..

    1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu

    1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi

    NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo

    Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi

    1: KineMaster
    2: Inshort
    3: Yo Cut
    3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha

    Baada ya hayo Jifunze yafuatayo

    1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script

    2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti

    3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako

    4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O

    5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi)
    Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako

    Then Fanya pia yafuatayo

    Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao.

    Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu

    kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi

    3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa

    4: Tengeneza Logo Safi

    5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba

    6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo

    NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata

    7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo

    8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi
    9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo

    10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena

    11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana

    12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day




    📌 Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ............... USIWAZE HELA KWANZA 😁😁 1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya ) Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita ) Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo 1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi 1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni 1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim 1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona.. 1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu 1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi 1: KineMaster 2: Inshort 3: Yo Cut 3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha 😁😁😁 Baada ya hayo Jifunze yafuatayo 1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script 2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti 3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako 4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O 😳😳 5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi) Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako Then Fanya pia yafuatayo Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao. Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi 3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa 4: Tengeneza Logo Safi 5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba 6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata 7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo 8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi 9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo 10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena 11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana 12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day 🙏🙏🙏🙏🙏
    Like
    Love
    2
    ·14 Views
  • "Safari ya Tumaini"

    Kulikuwa na kijana anayeitwa Brian, mwenye miaka 24, msomi wa juu wa masuala ya uhandisi wa kompyuta. Brian alikuwa amezaliwa katika kijiji kidogo cha Milimani, eneo ambalo umaskini ulikuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Pamoja na changamoto za mazingira, Brian alisimama kwa bidii yake, akifaulu shuleni kwa juhudi zisizopimika.

    Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Brian alipata kazi jijini Nairobi katika kampuni maarufu ya teknolojia. Lakini alihisi pengo moyoni mwake. Hakuridhika kuona kijiji chake kikizidi kuzama katika matatizo ya maji safi, umeme wa kutegemewa, na ukosefu wa ajira. Akaamua kurudi kijijini kwa lengo la kubadilisha maisha ya watu wake.

    Brian alirudi na wazo la kuunda mfumo wa nishati ya jua unaoweza kutumika kwa bei nafuu. Usiku mmoja, akiwa karakana ya baba yake ya zamani, aligundua nishati ya kuhifadhiwa kwa betri za kienyeji kupitia paneli ndogo za jua. Mradi wake ulianza kwa kusambaza taa moja kwa familia masikini. Habari za uvumbuzi wake zilisambaa, na kijiji kilianza kupata matumaini mapya.

    Siku moja, mtu asiyejulikana kutoka kampuni kubwa ya nishati alisikia habari za Brian. Wakamtembelea na kumwomba kuuza uvumbuzi wake kwa malipo makubwa. Lakini Brian alikataa. Hakuwa na nia ya kunufaika peke yake; alitaka kusaidia jamii yake.

    Kampuni hiyo haikufurahia. Walimtishia Brian na hata kujaribu kuiba mipango yake. Brian, akijua kuwa hatari ilikuwa karibu, aliamua kufundisha vijana wa kijiji mbinu alizotumia. Kwa pamoja, walilinda uvumbuzi wao na kuendeleza mradi huo.

    Miezi kadhaa baadaye, mradi wa Brian ulikuwa umewasha umeme katika vijiji saba, na vijana wengi walikuwa wameajiriwa. Hatimaye, kijiji cha Milimani kilibadilika kuwa mfano wa maendeleo vijijini.

    Brian hakujulikana tu kama mhandisi, bali pia kama shujaa wa kweli wa jamii yake. Aliwaonyesha watu kuwa maarifa si kwa ajili ya mafanikio ya mtu binafsi pekee, bali kwa kubadilisha maisha ya wengi. Safari yake ikawa somo la matumaini, mshikamano, na nguvu ya mabadiliko.
    "Safari ya Tumaini" Kulikuwa na kijana anayeitwa Brian, mwenye miaka 24, msomi wa juu wa masuala ya uhandisi wa kompyuta. Brian alikuwa amezaliwa katika kijiji kidogo cha Milimani, eneo ambalo umaskini ulikuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Pamoja na changamoto za mazingira, Brian alisimama kwa bidii yake, akifaulu shuleni kwa juhudi zisizopimika. Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Brian alipata kazi jijini Nairobi katika kampuni maarufu ya teknolojia. Lakini alihisi pengo moyoni mwake. Hakuridhika kuona kijiji chake kikizidi kuzama katika matatizo ya maji safi, umeme wa kutegemewa, na ukosefu wa ajira. Akaamua kurudi kijijini kwa lengo la kubadilisha maisha ya watu wake. Brian alirudi na wazo la kuunda mfumo wa nishati ya jua unaoweza kutumika kwa bei nafuu. Usiku mmoja, akiwa karakana ya baba yake ya zamani, aligundua nishati ya kuhifadhiwa kwa betri za kienyeji kupitia paneli ndogo za jua. Mradi wake ulianza kwa kusambaza taa moja kwa familia masikini. Habari za uvumbuzi wake zilisambaa, na kijiji kilianza kupata matumaini mapya. Siku moja, mtu asiyejulikana kutoka kampuni kubwa ya nishati alisikia habari za Brian. Wakamtembelea na kumwomba kuuza uvumbuzi wake kwa malipo makubwa. Lakini Brian alikataa. Hakuwa na nia ya kunufaika peke yake; alitaka kusaidia jamii yake. Kampuni hiyo haikufurahia. Walimtishia Brian na hata kujaribu kuiba mipango yake. Brian, akijua kuwa hatari ilikuwa karibu, aliamua kufundisha vijana wa kijiji mbinu alizotumia. Kwa pamoja, walilinda uvumbuzi wao na kuendeleza mradi huo. Miezi kadhaa baadaye, mradi wa Brian ulikuwa umewasha umeme katika vijiji saba, na vijana wengi walikuwa wameajiriwa. Hatimaye, kijiji cha Milimani kilibadilika kuwa mfano wa maendeleo vijijini. Brian hakujulikana tu kama mhandisi, bali pia kama shujaa wa kweli wa jamii yake. Aliwaonyesha watu kuwa maarifa si kwa ajili ya mafanikio ya mtu binafsi pekee, bali kwa kubadilisha maisha ya wengi. Safari yake ikawa somo la matumaini, mshikamano, na nguvu ya mabadiliko.
    ·40 Views
  • Yamesemwa na Shafii Dauda, Mchambuzi

    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na

    Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya

    “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba”

    “Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”

    Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini

    Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)

    1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake

    2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)

    Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizi hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi

    SHAFII DAUDA

    Kutoka chanzo cha kuaminika.
    Yamesemwa na Shafii Dauda, Mchambuzi Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba” “Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code” Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5) 1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake 2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000) Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizi hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi ✍️✍️✍️✍️ SHAFII DAUDA Kutoka chanzo cha kuaminika.
    Like
    1
    ·23 Views
  • Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya

    “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba”

    “Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”

    Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini

    Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)

    1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake

    2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)

    Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizo hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi
    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10 Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba” “Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code” Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5) 1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake 2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000) Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizo hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi
    Like
    Love
    4
    ·74 Views
  • _|| WARNING "UWIZI MPYA"

    Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
    'IMERUKA'

    Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.

    Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.

    Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.

    Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.

    Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).

    Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.

    Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.

    Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.

    Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.

    Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.

    Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.

    Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.

    KAA MACHO

    #nifollow
    #highlightseveryonefollowers2024
    #Peterjoram
    ⚠️_|| WARNING "UWIZI MPYA" ➡️ Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA' ➡️ Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake. ➡️ Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka. ➡️ Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo. ➡️ Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako. ➡️ Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo). ➡️ Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako. ➡️ Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako. ➡️ Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia. ➡️ Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi. ➡️ Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo. ➡️ Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia. ➡️ Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho. ℹ️ KAA MACHO ‼️ #nifollow #highlightseveryonefollowers2024 #Peterjoram
    Like
    2
    ·114 Views
  • #HABARI Wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka katika eneo la Kariakoo na kusababisha vifo vya watu 29, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.

    Washtakiwa hao watatu wamepandishwa kizimbani mahakamani hapo hii leo Novemba 29 na kusomewa mashtaka ya kesi hiyo na hayo na mawakili watatu waandamizi wa serikali Adolf Lema, Grace Mwanga na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini.

    Waliofikishwa mahakamani hapo ni Leondela Mdete (49), mkazi wa Mbezi Beach, Zenabu Islam (61), mkazi wa Kariakoo na Ashour Awadh Ashour (38), mkazi wa Ilala.

    Kwenye mashtaka hayo, washtakiwa hao wanadaiwa Novemba 16, 2024 katika mtaa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, isivyo halali, kwa pamoja walishindwa kutimiza majukumu na kusabashisha vifo vya watu 29.

    #HABARI Wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka katika eneo la Kariakoo na kusababisha vifo vya watu 29, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia. Washtakiwa hao watatu wamepandishwa kizimbani mahakamani hapo hii leo Novemba 29 na kusomewa mashtaka ya kesi hiyo na hayo na mawakili watatu waandamizi wa serikali Adolf Lema, Grace Mwanga na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini. Waliofikishwa mahakamani hapo ni Leondela Mdete (49), mkazi wa Mbezi Beach, Zenabu Islam (61), mkazi wa Kariakoo na Ashour Awadh Ashour (38), mkazi wa Ilala. Kwenye mashtaka hayo, washtakiwa hao wanadaiwa Novemba 16, 2024 katika mtaa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, isivyo halali, kwa pamoja walishindwa kutimiza majukumu na kusabashisha vifo vya watu 29.
    Like
    3
    ·60 Views
  • Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One 'SANDA' ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.

    Wanadai Kamwe alitoa maneno kuwa Viongozi wa Simba wamemsema sana Sandaland kuwa wanatukanwa kisa yeye na wakamsusia uzinduzi wa jezi ndio maana akaenda kufanyia dukani kwake.

    Kwenye Demand Notice hiyo wanataka KAMWE afanye mambo yafuatayo:

    1- Kulipa fidia ya 3,000,000,000

    2- Kumwomba msamaha hadharani Sandaland kwa kumkashfu kuwa anazalisha jezi mbaya hazina ubora.

    3- Anapaswa kuomba msamaha kwa Umma kupitia vyombo vya habari vile vile alivyotumia kuongea alichoongea.

    4- Ana siku saba (7) za kufanya yote hayo nje na hapo hatua kali zaidi watazichukua.
    #LemutuzUpdates
    Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One 'SANDA' ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake. Wanadai Kamwe alitoa maneno kuwa Viongozi wa Simba wamemsema sana Sandaland kuwa wanatukanwa kisa yeye na wakamsusia uzinduzi wa jezi ndio maana akaenda kufanyia dukani kwake. Kwenye Demand Notice hiyo wanataka KAMWE afanye mambo yafuatayo: 1- Kulipa fidia ya 3,000,000,000 2- Kumwomba msamaha hadharani Sandaland kwa kumkashfu kuwa anazalisha jezi mbaya hazina ubora. 3- Anapaswa kuomba msamaha kwa Umma kupitia vyombo vya habari vile vile alivyotumia kuongea alichoongea. 4- Ana siku saba (7) za kufanya yote hayo nje na hapo hatua kali zaidi watazichukua. #LemutuzUpdates
    Like
    2
    ·97 Views
  • TUTAREJEA KATIKA UIMARA WETU, NIAMINI - PACOME
    Mchezaji wa Yanga @pacom_zouzoua kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

    "Habari za jioni, hivi karibuni klabu yetu imekuwa katika nyakati ngumu kwa kufungwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu ili tuweze kurejea Imara , si rahisi kwa shabiki kuuona timu yake aipendayo inafungwa kwa mara kwa mara hili tunalifahamu kwa sababu hatujawazoesha wapendwa Wananchi,

    lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli, tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini... sisi tutarejea katika muda uliopangwa ujao, niamini.
    Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja.

    Asanteni wapendwa Wananchi

    Profesa"

    Kwa lugha ya Kingereza

    Good evening everyone, lately, the club has been going through difficult times with successive defeats, but I assure you that the season is very long and we must learn from our defeats to bounce back, it is not easy for a supporter to see his favorite team chain defeats after defeats, we are aware of this because we have not accustomed you to this dear Citizens, but I promise you that we will really fight, fight like last season to restore the reputation of the best club in the country ... we will bounce back in the upcoming deadlines, believe me.
    We lose together and we win together.

    Thank you dear Wananchi

    The professor
    TUTAREJEA KATIKA UIMARA WETU, NIAMINI - PACOME Mchezaji wa Yanga @pacom_zouzoua kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Habari za jioni, hivi karibuni klabu yetu imekuwa katika nyakati ngumu kwa kufungwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu ili tuweze kurejea Imara , si rahisi kwa shabiki kuuona timu yake aipendayo inafungwa kwa mara kwa mara hili tunalifahamu kwa sababu hatujawazoesha wapendwa Wananchi, lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli, tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini... sisi tutarejea katika muda uliopangwa ujao, niamini. Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja. Asanteni wapendwa Wananchi 💚💛 Profesa✅" Kwa lugha ya Kingereza Good evening everyone, lately, the club has been going through difficult times with successive defeats, but I assure you that the season is very long and we must learn from our defeats to bounce back, it is not easy for a supporter to see his favorite team chain defeats after defeats, we are aware of this because we have not accustomed you to this dear Citizens, but I promise you that we will really fight, fight like last season to restore the reputation of the best club in the country ... we will bounce back in the upcoming deadlines, believe me. We lose together and we win together. Thank you dear Wananchi 💚💛 The professor✅
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·191 Views
  • _|| 𝗪𝗔𝗥𝗡𝗜𝗡𝗚 "𝗪𝗜𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔"

    Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
    'IMERUKA'

    Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.

    Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.

    Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.

    Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.

    Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).

    Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.

    Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.

    Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.

    Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.

    Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.

    Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.

    Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.

    KAA MACHO

    #nifollow
    #highlightseveryonefollowers2024
    @highlight
    Pete@highlightPeter Joram
    ⚠️_|| 𝗪𝗔𝗥𝗡𝗜𝗡𝗚 "𝗪𝗜𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔" ➡️ Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA' ➡️ Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake. ➡️ Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka. ➡️ Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo. ➡️ Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako. ➡️ Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo). ➡️ Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako. ➡️ Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako. ➡️ Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia. ➡️ Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi. ➡️ Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo. ➡️ Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia. ➡️ Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho. ℹ️ KAA MACHO ‼️ #nifollow #highlightseveryonefollowers2024 @highlight Pete@highlightPeter Joram
    Like
    Love
    3
    2 Comments ·204 Views
  • _|| 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗕𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗧𝗔𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜.

    Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki watakaojitokeza uwanja wa Benjamin Mkapa leo katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal kutofanya vurugu ili kuepuka adhabu ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF)

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mashabiki hawapaswi kuwasha fataki, moto au kufanya vurugu za aina yoyote

    “Niwaombe mashabiki wote mtakaokuja uwanjani, tuendeleze utamaduni wetu wa amani na utulivu, tushangilie timu yetu kistaarabu bila ya vurugu wala kuwasha moto na kupiga fataki’’

    “Baadhi ya timu zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya aina hiyo. Hivyo tunapaswa kuepuka vurugu za aina yoyote ili tuhakikishe mechi zetu zote tutakazocheza nyumbani mashabiki wanaruhusiwa," alisema Kamwe

    MC Alger ya Algeria ni miongoni mwa klabu ambazo zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya vurugu

    Baada ya mchezo dhidi ya Al Hilal, mchezo utakaofuata Yanga itachuana na MC Alger huko Algeria Disemba 07 na kutokana na kifungo hicho cha MC Alger, hakutakuwa na mashabiki.

    #Mknewsswahili
    🚨_|| 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗕𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗧𝗔𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜. Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki watakaojitokeza uwanja wa Benjamin Mkapa leo katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal kutofanya vurugu ili kuepuka adhabu ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mashabiki hawapaswi kuwasha fataki, moto au kufanya vurugu za aina yoyote “Niwaombe mashabiki wote mtakaokuja uwanjani, tuendeleze utamaduni wetu wa amani na utulivu, tushangilie timu yetu kistaarabu bila ya vurugu wala kuwasha moto na kupiga fataki’’ “Baadhi ya timu zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya aina hiyo. Hivyo tunapaswa kuepuka vurugu za aina yoyote ili tuhakikishe mechi zetu zote tutakazocheza nyumbani mashabiki wanaruhusiwa," alisema Kamwe MC Alger ya Algeria ni miongoni mwa klabu ambazo zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya vurugu Baada ya mchezo dhidi ya Al Hilal, mchezo utakaofuata Yanga itachuana na MC Alger huko Algeria Disemba 07 na kutokana na kifungo hicho cha MC Alger, hakutakuwa na mashabiki. #Mknewsswahili
    Like
    1
    ·117 Views
  • Yamesemwa na Afisa habari wa klabu ya Azam FC, Zaka Zakazi.

    "NADHANI ZINATOSHA

    Feisal Salum alipojiunga na Azam, kila tukipoteza mchezo, Ali Kamwe na genge lake walikuwa wanamshambulia yeye.

    Kuna siku hadi Mheshimiwa @julius_mtatiro akamposti Fei katika muendelezo wa kejeli…ilikuwa haikuwa poa kabisa.

    Anyway, ndiyo mpira.

    NB
    Anayekuwa kwenye siku yake hatakiwi kufunga. Akifunga, swaumu yake haiswihi!"
    Yamesemwa na Afisa habari wa klabu ya Azam FC, Zaka Zakazi. "NADHANI ZINATOSHA Feisal Salum alipojiunga na Azam, kila tukipoteza mchezo, Ali Kamwe na genge lake walikuwa wanamshambulia yeye. Kuna siku hadi Mheshimiwa @julius_mtatiro akamposti Fei katika muendelezo wa kejeli…ilikuwa haikuwa poa kabisa. Anyway, ndiyo mpira. NB Anayekuwa kwenye siku yake hatakiwi kufunga. Akifunga, swaumu yake haiswihi!"
    ·30 Views
  • Habari, nipo hapa kukupa Habari njema, hivi unafahamu Kuwa unaweza kutengeneza pesa nyingi popote ulip NA muda wowote unaotaka Kwa kutumia hiyo smartphone yako, Kuwa mjanja nicheki WhatsUp no 0762343308, nikuelekeze, wenzako tupo huku Saiv, Andika NIELEKEZE chap
    Habari, nipo hapa kukupa Habari njema, hivi unafahamu Kuwa unaweza kutengeneza pesa nyingi popote ulip NA muda wowote unaotaka Kwa kutumia hiyo smartphone yako, Kuwa mjanja nicheki WhatsUp no 0762343308, nikuelekeze, wenzako tupo huku Saiv, Andika NIELEKEZE chap
    Like
    1
    ·81 Views
  • Hizi kauli wanazotoa Maafisa habari:- ipo siku zitawaponnza waache haraka kutoa ahadi kwenye mpira.

    👉🏿Afisa habari wa Tabora United - Singida Black Stars wakitufunga utanioa

    👉🏿Afisa habari wa Singida Black Stars - Tabora United wakitufunga ntavaa wigi lako

    👉🏿Afisa habari wa Dodoma Jiji - Kmc wangetufunga nilipanga nivue nguo niingie Uwanjani Uchi

    Umegundua nini ?

    #paulswai
    Hizi kauli wanazotoa Maafisa habari:- ipo siku zitawaponnza waache haraka kutoa ahadi kwenye mpira. 👉🏿Afisa habari wa Tabora United - Singida Black Stars wakitufunga utanioa 👉🏿Afisa habari wa Singida Black Stars - Tabora United wakitufunga ntavaa wigi lako 👉🏿Afisa habari wa Dodoma Jiji - Kmc wangetufunga nilipanga nivue nguo niingie Uwanjani Uchi Umegundua nini ? #paulswai
    Like
    Love
    5
    1 Comments ·156 Views
  • CHADO MASTA KITENGO; Huyu mwamba kanishangaza katoa movie nyingi tu na hatuna habari nae, ila kafyatua Goma la *MISSION IMPOSSIBLE* kama kaanza leo kilakona anaimbwa na vitoto vya miaka mi3 mpaka mi4 yaani kama una mtoto wa umri huu na hakusumbui weka CHADO MASTA nyosha kidole juuu.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #chadomasta
    CHADO MASTA KITENGO; Huyu mwamba kanishangaza katoa movie nyingi tu na hatuna habari nae, ila kafyatua Goma la *MISSION IMPOSSIBLE* kama kaanza leo kilakona anaimbwa na vitoto vya miaka mi3 mpaka mi4 yaani kama una mtoto wa umri huu na hakusumbui weka CHADO MASTA nyosha kidole juuu👆. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #chadomasta
    Love
    Like
    4
    ·258 Views
  • Habarini humu
    Habarini humu
    1 Comments ·76 Views
  • Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amefunguka kuhusu herufi K iliyopo kwenye Uzi mpya wa klabu hiyo eneo la kifuani na kusema kuwa Uzi huo mpya wa Yanga SC ni maalum kwa ajili ya kukithamini kikosi cha mwaka 1969 ambacho kiliipeleka kwa mara ya kwanza klabu hiyo kwenye mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika.

    Aidha, Ally Kamwe amesema neno "Gwiji" na herufi "K" kwenye Uzi huo yanamaanisha Mchezaji Kitwana Manara, ambaye alikuwa kinara kwenye klabu mwaka 1969.
    Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amefunguka kuhusu herufi K iliyopo kwenye Uzi mpya wa klabu hiyo eneo la kifuani na kusema kuwa Uzi huo mpya wa Yanga SC ni maalum kwa ajili ya kukithamini kikosi cha mwaka 1969 ambacho kiliipeleka kwa mara ya kwanza klabu hiyo kwenye mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika. Aidha, Ally Kamwe amesema neno "Gwiji" na herufi "K" kwenye Uzi huo yanamaanisha Mchezaji Kitwana Manara, ambaye alikuwa kinara kwenye klabu mwaka 1969.
    ·84 Views
  • Jamani habari zenu, Tunaomba support yenu Kwa ku follow ukurasa wetu wa @soccersport ili kila leo tuweze kupata nguvu zakukuletea kilicho bora zaidi ya jana.
    #soccersports
    #sokachampions
    Jamani habari zenu🖐️, Tunaomba support yenu Kwa ku follow ukurasa wetu wa @soccersport ili kila leo tuweze kupata nguvu zakukuletea kilicho bora zaidi ya jana.🙏 #soccersports #sokachampions
    Like
    Love
    9
    ·298 Views
  • HABARI NJEMA KUTOKA TFF
    HABARI NJEMA KUTOKA TFF
    Like
    Love
    8
    1 Comments ·273 Views
  • Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........
    Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii......

    Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........ Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii...... Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Like
    1
    ·192 Views
  • Ameandika Peter Msechu (Msanii wa muziki Tanzania)

    "Nimeshangazwa sana katika kipindi hiki kigumu watu wanauchungu na kupotelewa na ndugu zao kituo kikubwa cha redio mnaona ni wakati wa kuandika taarifa kama hii iliyojaaa kejeli na kebehi namna hii hivi mnafikiri huwa nanufaika kuimba nyimbo za misiba au mnafikiri kwangu huwa ni sifa au kitu cha kujisifu??? NIMESIKITIKA SANA SANA SIKUTEGEMEA KABISA KAMA KITUO HIKI CHA REDIO KITACHAPISHA HABARI HII NA KUICHA HUKU NIKIAAMINI KITUO HIKI KINA VIONGOZI WAADILIFU WANAOWEZA KUCHAMBUA HABARI IPI IPANDISHWE IPI ISIPANDISHWE.

    Mmewakosea heshima wafiwa. @bongotzfm mmekosa habari ya kuandika mkaona hii ndio habari????

    KUANZIA LEO (jana) 17.11.2024 MIMI PETER MSECHU NAOMBA KITUO CHA REDIO CHA BONGO FM @bongotzfm MUACHE MARA MOJA KUANDIKA HABARI YA AINA YEYOTE ILE ITAKAYOHUSISHA JINA LANGU AMA SHUGHULI ZANGU WALA NYIMBO ZANGU NAOMBA ZISICHEZWE KATIKA KITUO CHENU KWA MAZINGIRA YEYOTE YALE.

    MMENIDHALILISHA SANA LEO.

    AHSANTENI

    Mwisho."
    Ameandika Peter Msechu (Msanii wa muziki Tanzania) "Nimeshangazwa sana katika kipindi hiki kigumu watu wanauchungu na kupotelewa na ndugu zao kituo kikubwa cha redio mnaona ni wakati wa kuandika taarifa kama hii iliyojaaa kejeli na kebehi namna hii😌😌😌😌 hivi mnafikiri huwa nanufaika kuimba nyimbo za misiba au mnafikiri kwangu huwa ni sifa au kitu cha kujisifu??? NIMESIKITIKA SANA SANA SIKUTEGEMEA KABISA KAMA KITUO HIKI CHA REDIO KITACHAPISHA HABARI HII NA KUICHA HUKU NIKIAAMINI KITUO HIKI KINA VIONGOZI WAADILIFU WANAOWEZA KUCHAMBUA HABARI IPI IPANDISHWE IPI ISIPANDISHWE. Mmewakosea heshima wafiwa. @bongotzfm mmekosa habari ya kuandika mkaona hii ndio habari???? KUANZIA LEO (jana) 17.11.2024 MIMI PETER MSECHU NAOMBA KITUO CHA REDIO CHA BONGO FM @bongotzfm MUACHE MARA MOJA KUANDIKA HABARI YA AINA YEYOTE ILE ITAKAYOHUSISHA JINA LANGU AMA SHUGHULI ZANGU WALA NYIMBO ZANGU NAOMBA ZISICHEZWE KATIKA KITUO CHENU KWA MAZINGIRA YEYOTE YALE. MMENIDHALILISHA SANA LEO. AHSANTENI🙏 Mwisho."
    ·151 Views
More Results