Upgrade to Pro

  • HABARI NJEMA KUTOKA TFF
    HABARI NJEMA KUTOKA TFF
    Like
    Love
    5
    1 Comments ·104 Views
  • Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........
    Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii......

    Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........ Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii...... Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Like
    1
    ·81 Views
  • Ameandika Peter Msechu (Msanii wa muziki Tanzania)

    "Nimeshangazwa sana katika kipindi hiki kigumu watu wanauchungu na kupotelewa na ndugu zao kituo kikubwa cha redio mnaona ni wakati wa kuandika taarifa kama hii iliyojaaa kejeli na kebehi namna hii hivi mnafikiri huwa nanufaika kuimba nyimbo za misiba au mnafikiri kwangu huwa ni sifa au kitu cha kujisifu??? NIMESIKITIKA SANA SANA SIKUTEGEMEA KABISA KAMA KITUO HIKI CHA REDIO KITACHAPISHA HABARI HII NA KUICHA HUKU NIKIAAMINI KITUO HIKI KINA VIONGOZI WAADILIFU WANAOWEZA KUCHAMBUA HABARI IPI IPANDISHWE IPI ISIPANDISHWE.

    Mmewakosea heshima wafiwa. @bongotzfm mmekosa habari ya kuandika mkaona hii ndio habari????

    KUANZIA LEO (jana) 17.11.2024 MIMI PETER MSECHU NAOMBA KITUO CHA REDIO CHA BONGO FM @bongotzfm MUACHE MARA MOJA KUANDIKA HABARI YA AINA YEYOTE ILE ITAKAYOHUSISHA JINA LANGU AMA SHUGHULI ZANGU WALA NYIMBO ZANGU NAOMBA ZISICHEZWE KATIKA KITUO CHENU KWA MAZINGIRA YEYOTE YALE.

    MMENIDHALILISHA SANA LEO.

    AHSANTENI

    Mwisho."
    Ameandika Peter Msechu (Msanii wa muziki Tanzania) "Nimeshangazwa sana katika kipindi hiki kigumu watu wanauchungu na kupotelewa na ndugu zao kituo kikubwa cha redio mnaona ni wakati wa kuandika taarifa kama hii iliyojaaa kejeli na kebehi namna hii😌😌😌😌 hivi mnafikiri huwa nanufaika kuimba nyimbo za misiba au mnafikiri kwangu huwa ni sifa au kitu cha kujisifu??? NIMESIKITIKA SANA SANA SIKUTEGEMEA KABISA KAMA KITUO HIKI CHA REDIO KITACHAPISHA HABARI HII NA KUICHA HUKU NIKIAAMINI KITUO HIKI KINA VIONGOZI WAADILIFU WANAOWEZA KUCHAMBUA HABARI IPI IPANDISHWE IPI ISIPANDISHWE. Mmewakosea heshima wafiwa. @bongotzfm mmekosa habari ya kuandika mkaona hii ndio habari???? KUANZIA LEO (jana) 17.11.2024 MIMI PETER MSECHU NAOMBA KITUO CHA REDIO CHA BONGO FM @bongotzfm MUACHE MARA MOJA KUANDIKA HABARI YA AINA YEYOTE ILE ITAKAYOHUSISHA JINA LANGU AMA SHUGHULI ZANGU WALA NYIMBO ZANGU NAOMBA ZISICHEZWE KATIKA KITUO CHENU KWA MAZINGIRA YEYOTE YALE. MMENIDHALILISHA SANA LEO. AHSANTENI🙏 Mwisho."
    ·35 Views
  • "Leo tutakuwa na habari mbili kubwa, tunakwenda kufanya maboresho mengine kwenye benchi letu la ufundi hivyo taarifa hizi zitatolewa kupitia Yanga SC APP. Tumeshakubaliana Wananchi, Kama taarifa haipo Yanga SC APP ipotezee.

    Kocha wetu baada ya kutangazwa hapo jana aliita kikao na wasaidizi wake, Mjerumani huyu hana kupoa kafika tu kataka kujua kila kinachoendelea na leo hii atakuwa na kikao kingine kwaajili ya kuhakikisha tunakwenda sawa kwenye maandalizi ya timu yetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al Hilal tarehe 26.11.2024" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    "Leo tutakuwa na habari mbili kubwa, tunakwenda kufanya maboresho mengine kwenye benchi letu la ufundi hivyo taarifa hizi zitatolewa kupitia Yanga SC APP. Tumeshakubaliana Wananchi, Kama taarifa haipo Yanga SC APP ipotezee. Kocha wetu baada ya kutangazwa hapo jana aliita kikao na wasaidizi wake, Mjerumani huyu hana kupoa kafika tu kataka kujua kila kinachoendelea na leo hii atakuwa na kikao kingine kwaajili ya kuhakikisha tunakwenda sawa kwenye maandalizi ya timu yetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al Hilal tarehe 26.11.2024" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·91 Views
  • WIZI MPYA

    Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
    'IMERUKA'.

    Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.

    Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.

    Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.

    Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.

    Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).

    Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.

    Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.

    Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.

    Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.

    Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.

    Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.

    Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.

    KAA MACHO
    WIZI MPYA Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA'. Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake. Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka. Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo. Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako. Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo). Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako. Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako. Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia. Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi. Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo. Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia. Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho. KAA MACHO ‼️
    Like
    Wow
    2
    ·180 Views
  • habari wapendwa nawapenda sana
    habari wapendwa nawapenda sana ♥️♥️♥️♥️💙💙💙💙
    Like
    3
    ·23 Views
  • Habari yangu ni nzuri sana kiafya
    Habari yangu ni nzuri sana kiafya
    ·91 Views
  • _|| 𝗪𝗔𝗥𝗡𝗜𝗡𝗚 "𝗪𝗜𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔"

    Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
    'IMERUKA'

    Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.

    Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.

    Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.

    Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.

    Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).

    Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.

    Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.

    Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.

    Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.

    Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.

    Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.

    Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.

    KAA MACHO
    ⚠️_|| 𝗪𝗔𝗥𝗡𝗜𝗡𝗚 "𝗪𝗜𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔" ➡️ Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA' ➡️ Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake. ➡️ Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka. ➡️ Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo. ➡️ Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako. ➡️ Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo). ➡️ Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako. ➡️ Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako. ➡️ Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia. ➡️ Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi. ➡️ Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo. ➡️ Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia. ➡️ Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho. ℹ️ KAA MACHO ‼️
    ·72 Views
  • “Ndio tunasikia wanaongea mengi kuhusu Uwanja wetu lakini sisi Azam FC, sio kila kitu lazima tujibu, Azam Complex sio tu Uwanja wa Azam FC bali umezifaa Timu nyingi za ndani na nje ya nchi hivyo hao wanaoongelea vibaya hawatusumbui.”

    “Bora waende hata Uwanja upate nafasi ya kupumzika maana umetumika sana, Wengine mechi wanacheza Januari Pesa wanalipa Oktoba mpaka tusumbuane.”. - Hasheem Ibwe, Afisa Habari wa klabu ya Azam FC.
    “Ndio tunasikia wanaongea mengi kuhusu Uwanja wetu lakini sisi Azam FC, sio kila kitu lazima tujibu, Azam Complex sio tu Uwanja wa Azam FC bali umezifaa Timu nyingi za ndani na nje ya nchi hivyo hao wanaoongelea vibaya hawatusumbui.” “Bora waende hata Uwanja upate nafasi ya kupumzika maana umetumika sana, Wengine mechi wanacheza Januari Pesa wanalipa Oktoba mpaka tusumbuane.”. - Hasheem Ibwe, Afisa Habari wa klabu ya Azam FC.
    ·36 Views
  • “Saa sita mchana tunaanza mazoezi pale Gymkhana, si mlikuwa mnamtaka Gamondi nyie basi leo saa sita mchana mje pale mtamuona akiongoza mazoezi.”-

    Ali Kamwe, Afisa Habari Yanga
    “Saa sita mchana tunaanza mazoezi pale Gymkhana, si mlikuwa mnamtaka Gamondi nyie basi leo saa sita mchana mje pale mtamuona akiongoza mazoezi.”- Ali Kamwe, Afisa Habari Yanga
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·88 Views
  • “Watu wengi wanajiuliza kwanini tumehama Chamazi kuja hapa, niwaambie tu kinachotusumbua sisi ni Upweke, ilikuwa ngumu sana sisi kucheza kule na My wetu yupo hapa, hivyo tumekuja kumfuata yeye na hapa kwasasa tunajisikia raha sana, ni upweke ulikuwa unatusumbua”

    Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga.
    “Watu wengi wanajiuliza kwanini tumehama Chamazi kuja hapa, niwaambie tu kinachotusumbua sisi ni Upweke, ilikuwa ngumu sana sisi kucheza kule na My wetu yupo hapa, hivyo tumekuja kumfuata yeye na hapa kwasasa tunajisikia raha sana, ni upweke ulikuwa unatusumbua” Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga.
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·94 Views
  • Habari kwa watumiaji wa #Socialpop wanaohitaji Free Bluetick Unahitajika Uwe na Followers Kuanzia 1000 Kisha Uwe na Kitambulisho chako cha Taifa, Mpiga Kura, Lesseni au Pass ya Kusafiria, Kisha Nitumie Ujumbe Inbox Nikupe Verfication Link
    Habari kwa watumiaji wa #Socialpop wanaohitaji Free Bluetick Unahitajika Uwe na Followers Kuanzia 1000 Kisha Uwe na Kitambulisho chako cha Taifa, Mpiga Kura, Lesseni au Pass ya Kusafiria, Kisha Nitumie Ujumbe Inbox Nikupe Verfication Link
    Like
    Love
    Haha
    9
    7 Comments ·483 Views
  • "Dube kila ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja walikuwa wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi"
    .
    —ALLY KAMWE,Meneja Habari Yanga
    "Dube kila ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja walikuwa wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa 💣 ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi"😂 . —ALLY KAMWE,Meneja Habari Yanga
    Love
    1
    1 Comments ·62 Views
  • HABARI
    HABARI
    ·27 Views
  • Habari friends, tufahamishane zaidi kuhusu huu mtandao.
    Habari friends, tufahamishane zaidi kuhusu huu mtandao.
    Love
    2
    ·82 Views
  • WANAOFANYA VITU KWA FAIDA HAWAPOTEZI MUDA NA BANDO ZAO KWENYE MITANDAO ISIYOWALIPA.HABARI YA MJINI SOCIALPOP #fanya kwa faida Socialpop inalipa
    WANAOFANYA VITU KWA FAIDA HAWAPOTEZI MUDA NA BANDO ZAO KWENYE MITANDAO ISIYOWALIPA.HABARI YA MJINI SOCIALPOP #fanya kwa faida Socialpop inalipa
    Love
    Sad
    2
    1 Comments ·256 Views
  • - Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally anatupa jiwe gizani, baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC leo,..

    - Anasema washambuliaji wao wote wameshafunga magoli lakini kuna timu wana mshambuliaji ambaye hana goli hata moja mpaka sasa “Mshambuliaji kama mtunza vifaa, hana goli hata moja”

    #paulswai
    - Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally anatupa jiwe gizani,😅 baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC leo,.. - Anasema washambuliaji wao wote wameshafunga magoli lakini kuna timu wana mshambuliaji ambaye hana goli hata moja mpaka sasa “Mshambuliaji kama mtunza vifaa, hana goli hata moja”😆 #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    Yay
    14
    7 Comments ·417 Views ·393 Views ·1 Shares
  • Kocha wa Simba Fadlu Davis akisalimiana na kocha wa klabu ya KMC Abdihamid Moalin walipokutana leo katika mkutano na wanahabari kuelekea mechi yao ya kesho

    Kesho ni vita ya mwenye nyumba na mpangaji pale KMC Complex Mwenge

    #paulswai
    Kocha wa Simba Fadlu Davis akisalimiana na kocha wa klabu ya KMC Abdihamid Moalin walipokutana leo katika mkutano na wanahabari kuelekea mechi yao ya kesho Kesho ni vita ya mwenye nyumba na mpangaji pale KMC Complex Mwenge #paulswai
    Like
    2
    ·765 Views
  • .BIN KAZUMARI: VIONGOZI WA SIMBA WAJIFUNZE KWA YANGA.
    .
    "Tofauti ya Yanga SC na Simba SC inaanzia hapa, RED CARD ya Bacca jana ungesikia maneno na shutuma kibao zingeandikwa hadi mitandaoni kwamba tutafika mpaka Zenji na tutajua kilakitu, Yanga SC wamepigwa wamekubali na maisha yanaendelea, kama wana jambo linaongelewa ndani linaisha"
    .
    "Yanga SC kwa hili nawapongeza kuwnzia viongozi, wapambe (CHAWA), wanachama na mashabiki, wamechapwa wamekung’uta makalio wamesepa zao mjini kuko kimyaaa!!! Hakuna aliyeuza wala kununua, ndiyo soka.


    NB: Siku 7 za wale Wazee hazijafika bado? . Hii nchi ina shida nyingi sana.
    .
    AMEANDIKA MCHAMBUZI, JEMEDARI SAID.

    Follow #jeyytv kwa habari zote
    #michezo #jeyytvupdates
    .BIN KAZUMARI: VIONGOZI WA SIMBA WAJIFUNZE KWA YANGA. . "Tofauti ya Yanga SC na Simba SC inaanzia hapa, RED CARD ya Bacca jana ungesikia maneno na shutuma kibao zingeandikwa hadi mitandaoni kwamba tutafika mpaka Zenji na tutajua kilakitu, Yanga SC wamepigwa wamekubali na maisha yanaendelea, kama wana jambo linaongelewa ndani linaisha" . "Yanga SC kwa hili nawapongeza kuwnzia viongozi, wapambe (CHAWA), wanachama na mashabiki, wamechapwa wamekung’uta makalio wamesepa zao mjini kuko kimyaaa!!! Hakuna aliyeuza wala kununua, ndiyo soka. NB: Siku 7 za wale Wazee hazijafika bado? 😂😂😂. Hii nchi ina shida nyingi sana. . AMEANDIKA MCHAMBUZI, JEMEDARI SAID. Follow #jeyytv kwa habari zote #michezo #jeyytvupdates
    Like
    1
    1 Comments ·328 Views
  • Kwani kuna habari gani!

    #paulswai
    Kwani kuna habari gani! #paulswai
    Like
    2
    ·184 Views ·91 Views
More Results