• Zaburi 34:8-9
    [8]Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema;
    Heri mtu yule anayemtumaini.
    .
    [9]Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake,
    Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
    .
    Bwana ni mwema kwetu kila wakati kwa hakika kila mtu amwaminiye na amtumainiye Mungu humtukuza.

    Bwana ni mwema kwetu na sisi ni watu wake tunapaswa Mungu atupe nafasi ya kupendwa naye kila wakati.

    Bwana ni mwema kwetu sisi na wote wamchao na wote wamtumainio bwana hawata ogopa kitu.

    Zaburi 23:6
    [6]Hakika wema na fadhili zitanifuata
    Siku zote za maisha yangu;
    Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

    Wema wa Bwana na fadhiri zake ni kwa watu wamchao na watu wamtafutao kwani wako watu wamepewa privilege na Bwana ya wao kumtumaini siku zote.

    Ukimpenda Bwana Bwana pia anakupenda na akikupenda lazima fadhiri zake zitakuwa na wewe.

    #Mit 3:5-6 SUV
    Na hili fadhiri zije kwetu ni lazima tumuamini Mungu kweli kweli.
    Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako

    Hivyo ndivyo tunaweza kuonja wema wa Bwana katika maisha yetu siku zote.

    Ni matumaini yangu hata kwako leo inawezekana ulikata tamaa lakini kwa jina la Yesu noamba nikwambie lipo tumaini katika mti ulio katwa ,ukachipuka tena.

    Natamani uchipuke tena uone wema wa Mungu katika maisha yako .

    Mungu anakupenda atafungua maisha yako na kukumbuka kwa sababu yeye awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii.

    Nikutakie jion njema na siku njem .

    Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka build new eden.

    Mawasiliano 0622625340.

    #build new eden
    #restore men position
    Zaburi 34:8-9 [8]Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini. . [9]Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake, Yaani, wamchao hawahitaji kitu. . Bwana ni mwema kwetu kila wakati kwa hakika kila mtu amwaminiye na amtumainiye Mungu humtukuza. Bwana ni mwema kwetu na sisi ni watu wake tunapaswa Mungu atupe nafasi ya kupendwa naye kila wakati. Bwana ni mwema kwetu sisi na wote wamchao na wote wamtumainio bwana hawata ogopa kitu. Zaburi 23:6 [6]Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele. Wema wa Bwana na fadhiri zake ni kwa watu wamchao na watu wamtafutao kwani wako watu wamepewa privilege na Bwana ya wao kumtumaini siku zote. Ukimpenda Bwana Bwana pia anakupenda na akikupenda lazima fadhiri zake zitakuwa na wewe. #Mit 3:5-6 SUV Na hili fadhiri zije kwetu ni lazima tumuamini Mungu kweli kweli. Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako Hivyo ndivyo tunaweza kuonja wema wa Bwana katika maisha yetu siku zote. Ni matumaini yangu hata kwako leo inawezekana ulikata tamaa lakini kwa jina la Yesu noamba nikwambie lipo tumaini katika mti ulio katwa ,ukachipuka tena. Natamani uchipuke tena uone wema wa Mungu katika maisha yako . Mungu anakupenda atafungua maisha yako na kukumbuka kwa sababu yeye awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii. Nikutakie jion njema na siku njem . Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka build new eden. Mawasiliano 0622625340. #build new eden #restore men position
    0 Commentaires ·0 Parts ·152 Vue
  • Mwili wa Marehemu Baba Wawili ukitolewa nyumbani, Tandika, na kuelekea makaburini ya Site, Dar es Salaam kwa shughuli za mazishi

    On YouTube NIOKOE TV
    Mwili wa Marehemu Baba Wawili ukitolewa nyumbani, Tandika, na kuelekea makaburini ya Site, Dar es Salaam kwa shughuli za mazishi On YouTube NIOKOE TV
    0 Commentaires ·0 Parts ·80 Vue ·0
  • Azam FC wamepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Kigali kwa bao 1-0 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya

    #SportsElite
    🚨🚨Azam FC wamepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Kigali kwa bao 1-0 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya✍️ #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·119 Vue
  • NEO MAEMA NI WA SIMBA SC
    Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns

    Si mmemuona ona juzi!?

    @kanzu_estate
    🚨 NEO MAEMA NI WA SIMBA SC Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns✍️ Si mmemuona ona juzi!? @kanzu_estate
    0 Commentaires ·0 Parts ·97 Vue
  • Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    🚨 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 🟡 🇩🇪 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·154 Vue
  • Liverpool wanapendelea kumbakisha klabuni Harvey Elliott licha ya kutambua nia yake ya kuwa anataka kuwa mchezaji wa kuanza Kikosi cha kwanza

    RB Leipzig imefanya mazungumzo na Liverpool jana Asubuhi lakini hakuna kilichokubaliwa kufikia sasa.

    Liverpool inamthamini Harvey Elliott Ila inategemea na Uamuzi wake lakini nia yao ni kumbakisha klabuni

    Source Ben Jacobs


    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨 Liverpool wanapendelea kumbakisha klabuni Harvey Elliott licha ya kutambua nia yake ya kuwa anataka kuwa mchezaji wa kuanza Kikosi cha kwanza RB Leipzig imefanya mazungumzo na Liverpool jana Asubuhi lakini hakuna kilichokubaliwa kufikia sasa.🔴 Liverpool inamthamini Harvey Elliott Ila inategemea na Uamuzi wake lakini nia yao ni kumbakisha klabuni Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·164 Vue
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Leeds imethibitisha kukamilisha usajili wa Noah Okafor kutoka Milan, kwa kandarasi ya miaka 4

    Ada ya uhamisho £18m.⚪️

    #SportsElite

    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Leeds imethibitisha kukamilisha usajili wa Noah Okafor kutoka Milan, kwa kandarasi ya miaka 4 Ada ya uhamisho £18m.⚪️ #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·132 Vue
  • OFFICIAL:
    Claudio Echeverri amejiunga na Bayer Leverkusen akitokea Man City kwa mkopo
    🚨🚨OFFICIAL: Claudio Echeverri amejiunga na Bayer Leverkusen akitokea Man City kwa mkopo 🔴⚫✨
    0 Commentaires ·0 Parts ·89 Vue
  • Kumechangamkaa Lucas libeiro kawakataa mamelod kawakataa watoto wa caf

    Lucas Ribeiro Costa avunja mkataba wake na Mamelodi Sundowns!

    Mchezaji huyo wa Kibrazili ametuma barua rasmi ya kusitisha mkataba wake akisema:

    "Ninaamini nina sababu ya msingi ya kusitisha mkataba wangu na Mamelodi Sundowns FC, jambo ambalo nitalieleza mbele ya Mahakama ya Soka ya FIFA."

    Ribeiro anawakilishwa na kampuni ya sheria ya Dupont-Hissel, ambao kwa sasa wanashughulikia kesi kubwa ya ‘Diarra Ruling’.

    #SportsElite
    🚨🚨Kumechangamkaa Lucas libeiro kawakataa mamelod kawakataa watoto wa caf 💣 Lucas Ribeiro Costa avunja mkataba wake na Mamelodi Sundowns! Mchezaji huyo wa Kibrazili ametuma barua rasmi ya kusitisha mkataba wake akisema: "Ninaamini nina sababu ya msingi ya kusitisha mkataba wangu na Mamelodi Sundowns FC, jambo ambalo nitalieleza mbele ya Mahakama ya Soka ya FIFA." Ribeiro anawakilishwa na kampuni ya sheria ya Dupont-Hissel, ambao kwa sasa wanashughulikia kesi kubwa ya ‘Diarra Ruling’. #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·160 Vue
  • Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam....

    Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda....

    Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF...

    #SportsElite
    🚨🚨Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam.... Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda.... Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao🤣 kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF... #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·117 Vue
  • Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League

    🎙"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu"

    Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani.

    Hii inaonyesha tu kujitolea kwake."

    Humble N'golo


    #SportsElite
    😄📱🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League 🎙"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu" Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani. Hii inaonyesha tu kujitolea kwake." Humble N'golo #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·118 Vue
  • Mshambuliaji Rasmus Højlund ameziweka wazi klabu zote zinazomtaka Kuwa yuko tayari Kuondoka kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa mazima.

    Rasmus Højlund alikuwa alitaka kubakia Man United lakini ikibidi yuko tayari kuondoka na hakikisho la Kununuliwa moja kwa moja kwa klabu zinazomtaka.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 Mshambuliaji Rasmus Højlund ameziweka wazi klabu zote zinazomtaka Kuwa yuko tayari Kuondoka kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa mazima. Rasmus Højlund alikuwa alitaka kubakia Man United lakini ikibidi yuko tayari kuondoka na hakikisho la Kununuliwa moja kwa moja kwa klabu zinazomtaka. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·85 Vue
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea

    Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.

    Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.

    Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea 🚨Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·136 Vue
  • Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030.

    Source Sacha Tavolieri

    #SportsElite
    🚨Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030. Source Sacha Tavolieri #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·138 Vue
  • OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne.

    Source Sky Sports

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne. Source Sky Sports #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·98 Vue
  • Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.

    Source Cahe Mota.

    #SportsElite
    🚨 Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.💰 Source Cahe Mota. #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·83 Vue
  • Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·115 Vue
  • BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..

    Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨 BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·134 Vue
  • OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.🇲🇦🔴 #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·75 Vue
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe.

    Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena

    Source Mike Keagan

    #SportsElite
    🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe. Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena Source Mike Keagan #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·93 Vue
Plus de résultats