• What a feeling from kibu D #Nguvumoja
    What a feeling from kibu D #Nguvumoja
    0 Commentaires ·0 Parts ·322 Vue
  • Simba sc #nguvumoja
    Simba sc #nguvumoja
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·305 Vue
  • #WenyeNchi #NguvuMoja

    #paulswai #Socialpop
    🦁 #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai #Socialpop
    Like
    2
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·725 Vue
  • Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa…

    "Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe."

    "Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo."

    "Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.."

    "Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.."

    "Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.."

    "Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.."

    "Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.."

    "SimbaNguvuMoja
    "UbayaUbwela.

    #paulswai
    Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa… "Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe." "Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo." "Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.." "Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.." "Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.." "Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.." "Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.." "SimbaNguvuMoja "UbayaUbwela. #paulswai
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·947 Vue
  • Wanasimba leo saa 6 mchana tutakutana Tawi la Asili ya Simba lililopo Kawe, Dar es Salaam kushuhudia droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Lakini pia tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Wanasimba leo saa 6 mchana tutakutana Tawi la Asili ya Simba lililopo Kawe, Dar es Salaam kushuhudia droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Lakini pia tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·700 Vue
  • Tunaondoka na alama zote tatu. #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
    Tunaondoka na alama zote tatu. #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·947 Vue
  • Kikosi cha Mnyama. #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Kikosi cha Mnyama. #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·943 Vue
  • Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo mchana baada ya kuwasili visiwani Zanzibar.

    Katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu tumemkabidhi zawadi ya jezi Rais Dkt. Mwinyi pamoja na mke wake mama Mariam Mwinyi.

    Akizungumzia katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu, Rais Dkt. Mwinyi ametupongeza kwa namna tunavyoiwakilisha vyema nchi kimataifa kwani jambo hilo linasaidia kukuza utalii kupitia michezo.

    Pia Rais Dkt. Mwinyi amesema serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha na kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitakuwa na vigezo vya kutumika kwenye michuano ya AFCON 2027 na CHAN 2025 hivyo kutukaribisha muda wowote kuja kuchezea hapa michezo ya mashindano ya ndani na kimataifa.

    Kwa upande wa Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta maendeleo lakini pia ametumia nafasi hiyo kuwasilisha ombi la Simba kupata eneo ambalo tutajenga kituo cha kukuzia vipaji vya mpira wa miguu (academy). #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo mchana baada ya kuwasili visiwani Zanzibar. Katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu tumemkabidhi zawadi ya jezi Rais Dkt. Mwinyi pamoja na mke wake mama Mariam Mwinyi. Akizungumzia katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu, Rais Dkt. Mwinyi ametupongeza kwa namna tunavyoiwakilisha vyema nchi kimataifa kwani jambo hilo linasaidia kukuza utalii kupitia michezo. Pia Rais Dkt. Mwinyi amesema serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha na kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitakuwa na vigezo vya kutumika kwenye michuano ya AFCON 2027 na CHAN 2025 hivyo kutukaribisha muda wowote kuja kuchezea hapa michezo ya mashindano ya ndani na kimataifa. Kwa upande wa Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta maendeleo lakini pia ametumia nafasi hiyo kuwasilisha ombi la Simba kupata eneo ambalo tutajenga kituo cha kukuzia vipaji vya mpira wa miguu (academy). #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·972 Vue
  • Siku ya #Kuwakaanga imefika. #CAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Siku ya #Kuwakaanga imefika. #CAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    4
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·977 Vue
  • Lazima kitaeleweka. #CAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Lazima kitaeleweka. #CAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·871 Vue
  • Baada ya majukumu ya mataifa yao, wamerudi kwenye majukumu ya Msimbazi. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Baada ya majukumu ya mataifa yao, wamerudi kwenye majukumu ya Msimbazi. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    Yay
    5
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·762 Vue
  • Mwanasimba karibu kwenye jukwaa lako maalum la kuizungumzia klabu yako. Ijumaa hii jukwaa linazinduliwa rasmi kwenye SIMBA APP.

    Jisajili na Lipia Simba APP kupata habari za klabu yako na kufurahia jukwaa jipya la Wanasimba.
    #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Mwanasimba karibu kwenye jukwaa lako maalum la kuizungumzia klabu yako. Ijumaa hii jukwaa linazinduliwa rasmi kwenye SIMBA APP. Jisajili na Lipia Simba APP kupata habari za klabu yako na kufurahia jukwaa jipya la Wanasimba. #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Love
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·757 Vue
  • #WenyeNchi NguvuMoja

    #paulswai
    ✈️🇱🇾 #WenyeNchi NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·683 Vue ·58
  • Safari ya kwenda Libya inaanza tukipitia Istanbul, Uturuki. #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Safari ya kwenda Libya inaanza tukipitia Istanbul, Uturuki. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·652 Vue
  • Kikosi cha wachezaji 22 ambacho kitaondoka kesho alfajiri kwenda nchini Libya kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

    #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Kikosi cha wachezaji 22 ambacho kitaondoka kesho alfajiri kwenda nchini Libya kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Love
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·667 Vue
  • Mazoezi ya mwisho tukiwa nchini kabla ya safari kwenda nchini Libya.
    #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Mazoezi ya mwisho tukiwa nchini kabla ya safari kwenda nchini Libya. #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·647 Vue
  • Wiki ya kimataifa.

    #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Wiki ya kimataifa. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·638 Vue
  • Ratiba ya mwezi Septemba, 2024. #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Ratiba ya mwezi Septemba, 2024. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    3
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·703 Vue
  • Mbavu ya kushoto ina watu wa kazi kwelikweli #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Mbavu ya kushoto ina watu wa kazi kwelikweli 💪 #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    3
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·643 Vue
  • Tumemaliza kwa sare. #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Tumemaliza kwa sare. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    1
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·655 Vue
Plus de résultats