Upgrade to Pro

  • TUJIKUMBUSHE MATUMIZI YA KALAMU KWA KUFUATA RANGI

    Nakuja tu na maswali chokonozi

    1. Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi?

    2. Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu?
    Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani?
    3. Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi?

    nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi

    MAJADILIANO COMPILED

    RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!!

    Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake ..................

    1. Kalamu ya rangi ya Samawi/samawati (Bluu) ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic)
    We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................The modern tradition is THAT only blue ink for all in Government.

    2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.......Black ink is used ( where bold remarks are needed ) for business deals, display credit in a bank statement, headings etc.

    3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa Sheria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho ingawa utafiti uliofanywa Marekani umewezesha kupelekea kupigwa marufuku kwa kalamu nyekundu kwa wanafunzi kutokana na wengi kutaarifu kwamba zinawatisha (psychological trauma)
    http://www.dailymail.co.uk/news/article-2263874/Teachers-shouldnt-use-red-coloured-pens-mark-homework-like-shouting-upsets-pupils.html

    4. Kalamu ya Chanikiwiti (KIJANI) inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi na hasa wa HESABU, aghalabu Peni ya kijani hutumiwa pia na Mawaziri...Majaji....ma RCs na Kamishna wa kiapo...aghalabu wataalamu wa dawa/wafamasia pia hutumia kalamu ya kijani .....Green ink is used by very senior bureaucrats as well as Ministers to sign files indicating their approval....also green color pen are used by Managers, gazetted officers, Judges and big people. Green testifies the high position and no one can question the authenticity when signed by the green color.

    5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria
    https://keetonsonline.wordpress.com/2013/02/18/how-to-choose-the-right-pen/

    6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."-

    7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.)
    "bic, speedo, cello, etc" ndio ballpoint pens.Na jell pens ni kama zile kalamu za zamani za kuchovya wino "tulikuwa tunaziita fountain - ambazo siku hizi zimeboreshwa zinawekewa wino.

    8. Kuna Baadhi ya nchi;
    i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk).

    ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu......kalamu ya bluu ndiyo inayotambulika duniani kote (official pen)

    iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.Mathalani ukiwa Ureno na unatumia kalamu nyekundu unahesabika ni mkaidi ama mleta mikosi ( It's considered rude to write in red ink in Portugal.)

    iv: Jeshi la Marekani utatumia rangi kulingana na wadhifa (rank) wako Jeshini
    In US Navy there is a long tradition of prescribed ink colors for officers - blue color for officers, black color for departmental heads, green color for Executive officers and red color for commanding officers.

    v. Huko Ujerumani, rangi ya Hudhurungi (Brown) hutumika kuweka saini HUKUMU YA KIFO ILIHALI huko Pakistan wao hutumia kalamu nyekundu kwa lengo hilohilo-Brown color ink is used to sign death warrants in Germany and red color ink was used for same purpose in Pakistan.

    mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki hapa kwetu mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria .....NMB official ink ni blue,kwa documents zao....tofauti na hapo....hupokelewi.
    Exim.....nyeusi na blue, CRDB.....Blue ama nyeusi; nyekundu, kwa wenye uoni hafifu na maafisa wa benki hasa kuthibitisha nyaraka
    TUJIKUMBUSHE MATUMIZI YA KALAMU KWA KUFUATA RANGI Nakuja tu na maswali chokonozi 1. Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi? 2. Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu? Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani? 3. Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi? nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi MAJADILIANO COMPILED RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!! Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake .................. 1. Kalamu ya rangi ya Samawi/samawati (Bluu) ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic) We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................The modern tradition is THAT only blue ink for all in Government. 2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.......Black ink is used ( where bold remarks are needed ) for business deals, display credit in a bank statement, headings etc. 3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa Sheria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho ingawa utafiti uliofanywa Marekani umewezesha kupelekea kupigwa marufuku kwa kalamu nyekundu kwa wanafunzi kutokana na wengi kutaarifu kwamba zinawatisha (psychological trauma) http://www.dailymail.co.uk/news/article-2263874/Teachers-shouldnt-use-red-coloured-pens-mark-homework-like-shouting-upsets-pupils.html 4. Kalamu ya Chanikiwiti (KIJANI) inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi na hasa wa HESABU, aghalabu Peni ya kijani hutumiwa pia na Mawaziri...Majaji....ma RCs na Kamishna wa kiapo...aghalabu wataalamu wa dawa/wafamasia pia hutumia kalamu ya kijani .....Green ink is used by very senior bureaucrats as well as Ministers to sign files indicating their approval....also green color pen are used by Managers, gazetted officers, Judges and big people. Green testifies the high position and no one can question the authenticity when signed by the green color. 5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria https://keetonsonline.wordpress.com/2013/02/18/how-to-choose-the-right-pen/ 6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."- 7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.) "bic, speedo, cello, etc" ndio ballpoint pens.Na jell pens ni kama zile kalamu za zamani za kuchovya wino "tulikuwa tunaziita fountain - ambazo siku hizi zimeboreshwa zinawekewa wino. 8. Kuna Baadhi ya nchi; i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk). ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu......kalamu ya bluu ndiyo inayotambulika duniani kote (official pen) iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.Mathalani ukiwa Ureno na unatumia kalamu nyekundu unahesabika ni mkaidi ama mleta mikosi ( It's considered rude to write in red ink in Portugal.) iv: Jeshi la Marekani utatumia rangi kulingana na wadhifa (rank) wako Jeshini In US Navy there is a long tradition of prescribed ink colors for officers - blue color for officers, black color for departmental heads, green color for Executive officers and red color for commanding officers. v. Huko Ujerumani, rangi ya Hudhurungi (Brown) hutumika kuweka saini HUKUMU YA KIFO ILIHALI huko Pakistan wao hutumia kalamu nyekundu kwa lengo hilohilo-Brown color ink is used to sign death warrants in Germany and red color ink was used for same purpose in Pakistan. mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki hapa kwetu mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria .....NMB official ink ni blue,kwa documents zao....tofauti na hapo....hupokelewi. Exim.....nyeusi na blue, CRDB.....Blue ama nyeusi; nyekundu, kwa wenye uoni hafifu na maafisa wa benki hasa kuthibitisha nyaraka
    Like
    2
    ·223 Views
  • Msanii Mkongwe Wakazi ameshutumu Baba Levo wizi.

    "BABA LEVO NI MWIZI

    Wanasema unaweza mtoa mtu uswahilini, ila huwezi utoa uswahili ulio ndani yake!! Ndio haya

    Baba Levo kaenda Marekani, watu wamemkaribisha na kumuonyesha hospitality, wamemzungusha na kuhakikisha anapata a great experience, wakampa vitu vyao awaletee ndugu na jamaa zao Tanzania, jamaa akaviiba akidai vimeibiwa. Shameful

    iPhones na iPad za Mussa wa New York… Baba Levo rudisha!! Alafu alivyo mjinga anasema vimeibiwa Uturuki. Kweli Shule Muhimu… IMEI Number za vitu zinasoma ziko Bongo alafu yeye anadai vimeibiwa Uturuki. Smh

    Ina maana Wasafi hawakulipi vizuri hadi unaamua kuwa na tamaa na wizi wa kijinga hivyo, tena kwa watu waliokusaidia?! Ujue ulivyomdhihaki @officialshilole na mambo ya kupika, Shishi alinipigia simu na ku-mind sana, ila nikasita maana sikutaka kuingilia sana issue zako ila sasa umefanya jambo la aibu sana lazima tuseme! Sio tu huna fadhila (kwa kina Shishi) bali ni mshenzi wa tabia na mwizi.

    @silent_ocean_ltd (Simba Wa Bahari) na makampuni mengine mnayo wapa ubalozi hawa watu, muwe mnaangalia na integrity zao pia sio umaarufu tu; kuna baadhi ya wateja mtawafukuza for having people with suspect image in certain communities. Au wabaki mabalozi huko africa sio huku… (Wako kina Roma, Mr Beneficial, Young Dee, Mabeste na Izzo Bidness… they can do the job)

    Eri “nimeacha begi airport, wameiba simu”. Ulaya uache begi unattended alafu mtu aje kulipekua na kuimba vitu vya watu tu? Airport gani, hii hi Ataturk ya Istanbul au kuna mpya? Uongo wa Kitoto… bora hata ungesema uli check in!! smh Jizi jizi jizi !!! Na vitakutokea hiyo pua yako kama ngumu ya Twaha Kiduku. #IHateThieves #RudishaVituVyaWatu " ameandika Wakazi.
    Msanii Mkongwe Wakazi ameshutumu Baba Levo wizi. "BABA LEVO NI MWIZI Wanasema unaweza mtoa mtu uswahilini, ila huwezi utoa uswahili ulio ndani yake!! Ndio haya Baba Levo kaenda Marekani, watu wamemkaribisha na kumuonyesha hospitality, wamemzungusha na kuhakikisha anapata a great experience, wakampa vitu vyao awaletee ndugu na jamaa zao Tanzania, jamaa akaviiba akidai vimeibiwa. Shameful iPhones na iPad za Mussa wa New York… Baba Levo rudisha!! Alafu alivyo mjinga anasema vimeibiwa Uturuki. Kweli Shule Muhimu… IMEI Number za vitu zinasoma ziko Bongo alafu yeye anadai vimeibiwa Uturuki. Smh Ina maana Wasafi hawakulipi vizuri hadi unaamua kuwa na tamaa na wizi wa kijinga hivyo, tena kwa watu waliokusaidia?! Ujue ulivyomdhihaki @officialshilole na mambo ya kupika, Shishi alinipigia simu na ku-mind sana, ila nikasita maana sikutaka kuingilia sana issue zako ila sasa umefanya jambo la aibu sana lazima tuseme! Sio tu huna fadhila (kwa kina Shishi) bali ni mshenzi wa tabia na mwizi. @silent_ocean_ltd (Simba Wa Bahari) na makampuni mengine mnayo wapa ubalozi hawa watu, muwe mnaangalia na integrity zao pia sio umaarufu tu; kuna baadhi ya wateja mtawafukuza for having people with suspect image in certain communities. Au wabaki mabalozi huko africa sio huku… (Wako kina Roma, Mr Beneficial, Young Dee, Mabeste na Izzo Bidness… they can do the job) Eri “nimeacha begi airport, wameiba simu”. Ulaya uache begi unattended alafu mtu aje kulipekua na kuimba vitu vya watu tu? Airport gani, hii hi Ataturk ya Istanbul au kuna mpya? Uongo wa Kitoto… bora hata ungesema uli check in!! smh Jizi jizi jizi !!! Na vitakutokea hiyo pua yako kama ngumu ya Twaha Kiduku. #IHateThieves #RudishaVituVyaWatu " ameandika Wakazi.
    Haha
    1
    ·364 Views
  • Privaldinho amjibu Wilson Orumo, Mchambuzi.

    Hizi nazo ni porojo. Kusema mpira bila takwimu ni stori zenu za vijiwe vya kahawa huko. Wewe ni mmoja kati ya watu mashuhuri kwa takwimu zako. Leo hutaki takwimu kwa sababu utawaudhi maboss zako.

    Unataka tuchambue mpira kwa kutumia nini? Hisia?

    Mnapoteza credibility kwa sababu kuna kundi mnataka kuliridhisha huku mnadidimiza lingine.

    Hivi jana nani hakuona performance ya @jobdick05 ? Nani hakuona fighting spirit ya @auchokhalidofficial ? Jana Djigui Diarra kacheza na maumivu, Chama kacheza na maumivu ulitaka nini kwa hawa vijana?

    Mwalimu alifanya top analysis yake, kaleta vijana watatu kwenye mchezo, Aziz, Dube, Mzize na Chama and yes build up ya goli ilitokea kwake.

    Defence yetu ilikuwa proper and well organized jana, what a performance kutoka kwa Bacca na Yao. Kipindi cha pili no shot on target kutoka kwa Mazembe. Second half tulimanage mchezo kwa 61%.

    Dickson Job jana, tackles 4/4 (100%), aerial won 3/3 (100%), shot off target 2, hajapokonywa mpira, the most touches, ulitaka hawa vijana wafanye nini mechi ya away against semi finalist? Bro tumecheza na timu aliyofika nusu fainal msimu uliopita na sio mabinam zao Libolo

    Takwimu pekee tunazokataa ni takwimu za aina moja. But everything kwa upande wetu we did better katika eneo la ulinzi, tempo ya mchezo na kwenye attacking attributes.

    Second half tulipiga pasi 159 wao 88, tulipiga mashuti 14. Imagine ulitaka nini?

    Individual art Pacome was superb, Yao aliimgia mwenye boksi mara kibao, Duke Abuya what match kwake.

    Mnawatengenezea mashabiki wetu tension ya kijinga ilimradi muwape presha ili wavimba macho wawe kwenye comfortable zone.

    Mpira ni takwimu, art ni sehemu ndogo sana ya mpira wa kisasa.
    Privaldinho amjibu Wilson Orumo, Mchambuzi. Hizi nazo ni porojo. Kusema mpira bila takwimu ni stori zenu za vijiwe vya kahawa huko. Wewe ni mmoja kati ya watu mashuhuri kwa takwimu zako. Leo hutaki takwimu kwa sababu utawaudhi maboss zako. Unataka tuchambue mpira kwa kutumia nini? Hisia? Mnapoteza credibility kwa sababu kuna kundi mnataka kuliridhisha huku mnadidimiza lingine. Hivi jana nani hakuona performance ya @jobdick05 ? Nani hakuona fighting spirit ya @auchokhalidofficial ? Jana Djigui Diarra kacheza na maumivu, Chama kacheza na maumivu ulitaka nini kwa hawa vijana? Mwalimu alifanya top analysis yake, kaleta vijana watatu kwenye mchezo, Aziz, Dube, Mzize na Chama and yes build up ya goli ilitokea kwake. Defence yetu ilikuwa proper and well organized jana, what a performance kutoka kwa Bacca na Yao. Kipindi cha pili no shot on target kutoka kwa Mazembe. Second half tulimanage mchezo kwa 61%. Dickson Job jana, tackles 4/4 (100%), aerial won 3/3 (100%), shot off target 2, hajapokonywa mpira, the most touches, ulitaka hawa vijana wafanye nini mechi ya away against semi finalist? Bro tumecheza na timu aliyofika nusu fainal msimu uliopita na sio mabinam zao Libolo Takwimu pekee tunazokataa ni takwimu za aina moja. But everything kwa upande wetu we did better katika eneo la ulinzi, tempo ya mchezo na kwenye attacking attributes. Second half tulipiga pasi 159 wao 88, tulipiga mashuti 14. Imagine ulitaka nini? Individual art Pacome was superb, Yao aliimgia mwenye boksi mara kibao, Duke Abuya what match kwake. Mnawatengenezea mashabiki wetu tension ya kijinga ilimradi muwape presha ili wavimba macho wawe kwenye comfortable zone. Mpira ni takwimu, art ni sehemu ndogo sana ya mpira wa kisasa.
    Like
    1
    ·184 Views
  • JIFUNZE KUHUSU GAME GUARDIAN (GAME HACKING APP)

    $Game guadian ni app ambayo inatupa sisi uwezo wa ku weka uanvyotaka(modify)
    mifumo inayofanya kazi kwenye games za android ili kupata faida na improvement
    kinyume na inavyo takiwa .kufanya kwake kazi kuna jikita sana kwenye code injetion
    wakati game linachezwa kwa ku modfy parameters za game

    $Pale tu gamaguardian imekuwa installed unaweza ukuliacha file likawa linafanya
    kazi kwa nyuma(background)na inabaki transparent icon kwenye screen ambayo unaweza
    ukaiona wakati unacheza game wakati wote. wakati ume launch game unaweza ukafungua
    game guardian na kuchangua process ipi ya game unataka ku modify. kwa mfano kama
    una kiasi fulani cha gold,coins au bullets unaweza ukatumia game guardian hexadecimal
    editor kutafuta hiyo namba na kuibadilisha na kuweka unayoitaka wewe

    🛎$Kitu kingine kuhusu gameguardian ina uwezo wa ku modify tarehe ya game na ya simu pia
    ili wewe uweze kupata kitu fulani ambacho ulitakiwa ukisubiri kwa muda mrefu mfano ⚰⚰Gangster
    Vegas ukienda kuuza zile super cars mfululizo wanakupa kama lisaa kusubiri na hauna pa kuliweka
    gari basi hili file linaweza kuurusha muda mbele na ukamaliza mission zako .ili kusimamisha
    au kupeleka muda haraka jaribu ku bonyeza ile floating icon na uchague mwenyewe mda uende slow
    au speed

    $Hili file limetengenezwa kaajili ya cheating lakini kuna games ambazo ukijulikana unatumia
    hili file kucheat basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuipoteza account yako ya kwenye game hilo
    hasa hasa online games
    ===============================================================================================

    JINSI YA KUTUMIA GAME GUARDIAN

    $Kama file hauna basi download kwenye official website ya game guardian na wala sio pengine ili
    kujikinga na hatari ya kudownload virus

    $Baada ya kuinstall file lako lifungue alafu bonyeza home button ili kuliacha liendelee kufanya kazi
    kwa nyuma (background)

    $Anzisha game ambalo unataka ku hack , hakikisha kwamba umeandika kiasi ambacho unataka kubadilisha mfano
    kiasi cha gold au scores

    $Baada ya hapo click ile transparent icon ya game guardian kwenye screen alafu click >>search<< baada
    ya hapo ingiza kiasi unachotaka kubadilisha

    $Itaonesha results nyingi sasa cheza game na tumia gold zaidi na zaidi

    $Baada ya hapo rudia tena kuandika namba zile mpaka upate tokeo moja

    $Baada ya kupata tokeo moja badi hold hiyo results alf ingiza namba ambayo ungependa zaidi iwe

    basi mambo yatabadilika baada ya wewe kubonyeza OK na hii ndio njia nzima ya ku hack game kwa kutumia game guardian
    ili kupata free rewards pia kuna files nyingi kama vile lucky patcher,aimbots,wallhacks,speed hacks, na hizi sana sana
    zinatumika kwenye games kama vile PUBG

    ======================================================================================================================
    🏁🎭 JIFUNZE KUHUSU GAME GUARDIAN (GAME HACKING APP)🎭🎭 ⏰⏰$Game guadian ni app ambayo inatupa sisi uwezo wa ku weka uanvyotaka(modify) mifumo inayofanya kazi kwenye games za android ili kupata faida na improvement kinyume na inavyo takiwa .kufanya kwake kazi kuna jikita sana kwenye code injetion wakati game linachezwa kwa ku modfy parameters za game 🕑🕑🕑$Pale tu gamaguardian imekuwa installed unaweza ukuliacha file likawa linafanya kazi kwa nyuma(background)na inabaki transparent icon kwenye screen ambayo unaweza ukaiona wakati unacheza game wakati wote. wakati ume launch game unaweza ukafungua game guardian na kuchangua process ipi ya game unataka ku modify. kwa mfano kama una kiasi fulani cha gold,coins au bullets unaweza ukatumia game guardian hexadecimal editor kutafuta hiyo namba na kuibadilisha na kuweka unayoitaka wewe 🛎🛀$Kitu kingine kuhusu gameguardian ina uwezo wa ku modify tarehe ya game na ya simu pia ili wewe uweze kupata kitu fulani ambacho ulitakiwa ukisubiri kwa muda mrefu mfano ⚰⚰⌚⏳Gangster Vegas ukienda kuuza zile super cars mfululizo wanakupa kama lisaa kusubiri na hauna pa kuliweka gari basi hili file linaweza kuurusha muda mbele na ukamaliza mission zako .ili kusimamisha au kupeleka muda haraka jaribu ku bonyeza ile floating icon na uchague mwenyewe mda uende slow au speed 🚜 🚜🚜$Hili file limetengenezwa kaajili ya cheating lakini kuna games ambazo ukijulikana unatumia hili file kucheat basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuipoteza account yako ya kwenye game hilo hasa hasa online games =============================================================================================== ⚓⚓ JINSI YA KUTUMIA GAME GUARDIAN⛽⛽ 🚧 🚧🚧 $Kama file hauna basi download kwenye official website ya game guardian na wala sio pengine ili kujikinga na hatari ya kudownload virus 🚔🚔$Baada ya kuinstall file lako lifungue alafu bonyeza home button ili kuliacha liendelee kufanya kazi kwa nyuma (background) 🙄🙄$Anzisha game ambalo unataka ku hack , hakikisha kwamba umeandika kiasi ambacho unataka kubadilisha mfano kiasi cha gold au scores 🤗🤗$Baada ya hapo click ile transparent icon ya game guardian kwenye screen alafu click >>search<< baada ya hapo ingiza kiasi unachotaka kubadilisha 😎😎 $Itaonesha results nyingi sasa cheza game na tumia gold zaidi na zaidi 🤔🤔$Baada ya hapo rudia tena kuandika namba zile mpaka upate tokeo moja 😐😐 $Baada ya kupata tokeo moja badi hold hiyo results alf ingiza namba ambayo ungependa zaidi iwe basi mambo yatabadilika baada ya wewe kubonyeza 😣OK na hii ndio njia nzima ya ku hack game kwa kutumia game guardian ili kupata free rewards pia kuna files nyingi kama vile lucky patcher,aimbots,wallhacks,speed hacks, na hizi sana sana zinatumika kwenye games kama vile PUBG ======================================================================================================================
    Like
    1
    ·432 Views
  • Jinsi ya kunondokana Permanent Ban
    Kwanza tumia Whatsapp official toka soko la play
    store alafu ukimaliza Sasa inabidi ufanye mambo
    yafuatayo ili kuwa salama

    Kama umepigwa Whatsapp Permanent Ban fanya hivi
    chukua hii email ya [email protected]
    Kisha fungua email yako usitumie email hii
    [email protected] haifanyi kazi
    utakesha.

    Fungua email yako kisha andika kuwa unajua
    umekosa kuwa uliweza kufanya jambo ambalo
    ukutegemea kama utafungiwa akaunti yako kisha
    tumia hii email kuwatumia changamoto yako
    [email protected]

    Baada ya saa 4 mpaka 24hrs pia unaweza kupelekwa
    ata siku mbili tatu kuweza kufunguliwa akaunti yako
    hakikisha unaweka na namba ya simu ambayo
    imefungiwa kutumia Whatsapp.

    Jitahidi kutumia official Whatsapp ni salama kwako
    kuliko Gb Whatsapp

    Jinsi ya kunondokana Permanent Ban Kwanza tumia Whatsapp official toka soko la play store alafu ukimaliza Sasa inabidi ufanye mambo yafuatayo ili kuwa salama👇 Kama umepigwa Whatsapp Permanent Ban fanya hivi chukua hii email ya [email protected] Kisha fungua email yako usitumie email hii👇 [email protected] haifanyi kazi utakesha. Fungua email yako kisha andika kuwa unajua umekosa kuwa uliweza kufanya jambo ambalo ukutegemea kama utafungiwa akaunti yako kisha tumia hii email kuwatumia changamoto yako [email protected] Baada ya saa 4 mpaka 24hrs pia unaweza kupelekwa ata siku mbili tatu kuweza kufunguliwa akaunti yako hakikisha unaweka na namba ya simu ambayo imefungiwa kutumia Whatsapp. Jitahidi kutumia official Whatsapp ni salama kwako kuliko Gb Whatsapp
    Love
    1
    ·210 Views
  • Yamesemwa na Raya, Mke wa Barnaba Classic

    "Nimechoka nimechoka Mwanaume kila siku jipya ukiuliza kisa umeolewa na msanii? Hapana kwa kwel ifike muda nifanye maamuzi yangu binafsi mm sio wa kukuta dm za wasanii wakubwa wa kike ambao niliokua nacheka nao na kuheshimiana nao kumbe walikua wakinichora na kuninafikia hapana kwa kwel nimechoka nimechoka napitia mambo mengi sana napambana nayo ??

    Nimekuvumilia toka si lolole tulivumiliana kwa shida na raha na hata nilipokua nazo ulitumia sasa hivi umepata hela unaniona mm sio kitu ! Yani nimejifunza sitakuja kuanza tena na mwanaume chini tena Navumilia mambo mengi sana mpaka naitwa mgumba na bado nimekuvumilia umekua nani ww ?

    Unachelewa kurud kwasababu ya hao wanawake ifike pahala niseme imetosha nimechoka nimechoka kwa akili zangu timamu nasema hivi kwanzia leo mm na ww basi nimefika mwisho ukurasa nimeufunga nakuacha na maisha yako ya kua huru ufanye uhuni wako kwa amani Naona Heshima ya kuoa bado hujaijua ww ulikurupuka ww ni hayo tu Barnaba imetosha

    am official singleeeeeeeeeeeeeeeeeee Talaka yangu unajua pa kuipeleka Mama Kimbo mama angu ulikua ukiniambia kila siku lakini leo nimejionea imetosha sasa ! I’m single ready to mingleeeeeeeeeeeeeeeeeee"
    Yamesemwa na Raya, Mke wa Barnaba Classic "Nimechoka nimechoka Mwanaume kila siku jipya ukiuliza kisa umeolewa na msanii? Hapana kwa kwel ifike muda nifanye maamuzi yangu binafsi mm sio wa kukuta dm za wasanii wakubwa wa kike ambao niliokua nacheka nao na kuheshimiana nao kumbe walikua wakinichora na kuninafikia hapana kwa kwel nimechoka nimechoka napitia mambo mengi sana napambana nayo ?? Nimekuvumilia toka si lolole tulivumiliana kwa shida na raha na hata nilipokua nazo ulitumia sasa hivi umepata hela unaniona mm sio kitu ! Yani nimejifunza sitakuja kuanza tena na mwanaume chini tena Navumilia mambo mengi sana mpaka naitwa mgumba na bado nimekuvumilia umekua nani ww ? Unachelewa kurud kwasababu ya hao wanawake ifike pahala niseme imetosha nimechoka nimechoka kwa akili zangu timamu nasema hivi kwanzia leo mm na ww basi nimefika mwisho ukurasa nimeufunga nakuacha na maisha yako ya kua huru ufanye uhuni wako kwa amani Naona Heshima ya kuoa bado hujaijua ww ulikurupuka ww ni hayo tu Barnaba imetosha am official singleeeeeeeeeeeeeeeeeee Talaka yangu unajua pa kuipeleka Mama Kimbo mama angu ulikua ukiniambia kila siku lakini leo nimejionea imetosha sasa ! I’m single ready to mingleeeeeeeeeeeeeeeeeee"
    Like
    1
    ·235 Views
  • Time Will tell @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 #followers
    Time Will tell [officiall_ronny] #followers
    Love
    1
    10 Reacties ·230 Views
  • MY OFFICIAL YOUTUBE CHANNEL CLICK https://www.youtube.com/@cruzzieperfectfilm/videos
    MY OFFICIAL YOUTUBE CHANNEL CLICK https://www.youtube.com/@cruzzieperfectfilm/videos
    WWW.YOUTUBE.COM
    CRUZZIE PERFECT FILM
    COMPANY (TANZANIA) We shoot and edit music video, movie, short film, confirmation, weddings, events, forming various tv programs, we create advertising for a common system and video system DIRECTOR/EDITOR/VFX /D.O.P/PHOTOGRAPHER/CINEMATOGRAPHER BY CRUZZIE PERFECT MC/PRESENTER/PHOTOGRAPHER/GRAPHICS DESIGNER BY RICK_EMPIRE FOR MORE INFO CONTACT US - +255656927418 +255758744315 SOCIAL MEDIA INSTAGRAM-https://www.instagram.com/cruzzie_perfect_director/ FACEBOOK-https://www.facebook.com/emmanuel.dizzoe channelN169952
    Like
    1
    ·348 Views
  • Pachamondtz Official Ambassodor wa socialPop
    Pachamondtz Official Ambassodor wa socialPop
    Like
    Love
    Haha
    Wow
    Angry
    Yay
    239
    161 Reacties ·4K Views ·13361 Views ·20 aandelen
  • Officials kisinza
    Mwanza
    Tz
    Officials kisinza Mwanza Tz
    ·329 Views
  • Officials kisinza @
    Officials kisinza @
    ·241 Views
  • OFFICIAL: KIKOSI CHA MNYAMA LEO
    Moussa Camara (26)
    Shomari Kapombe (12)
    Mohamed Hussein (15)
    Che Malone (20)
    Karaboue Chamou (2)
    Mzamiru Yassin (20)
    Edwin Balua (37)
    Debora Fernandes (17)
    Steven Mukwala (11)
    Jean Ahoua (10)
    Joshua Mutale (17)
    🚨 OFFICIAL: KIKOSI CHA MNYAMA LEO Moussa Camara (26) Shomari Kapombe (12) Mohamed Hussein (15) Che Malone (20) Karaboue Chamou (2) Mzamiru Yassin (20) Edwin Balua (37) Debora Fernandes (17) Steven Mukwala (11) Jean Ahoua (10) Joshua Mutale (17)
    Like
    3
    ·191 Views

  • OFFICIAL: Mlinda mlango mahiri, Moussa Camara amejiunga na kikosi cha Simba kwa mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Horoya Athletic Club. #paulswai
    🚨 OFFICIAL: Mlinda mlango mahiri, Moussa Camara amejiunga na kikosi cha Simba kwa mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Horoya Athletic Club. #paulswai
    Like
    2
    ·214 Views
  • Officialdeeflavour

    Tunajifunza kupitia vitu vinavyotuzunguka..
    Officialdeeflavour 😎 Tunajifunza kupitia vitu vinavyotuzunguka..😇
    Like
    1
    ·231 Views
  • OFFICIAL: Kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25 SIMBA QUEENS imethibitisha kuachana na wachezaji 10

    Zubeda Mgunda
    Zainabu Mohamed
    Koku Kipanga
    Wema Richard
    Silvia Thomas
    Diana Mnally
    Danai Bhobho
    Joanitah Ainembabazi
    Diakiese Kaluzodi
    Olaiya Barakat
    🚨 OFFICIAL: Kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25 SIMBA QUEENS imethibitisha kuachana na wachezaji 10 Zubeda Mgunda Zainabu Mohamed Koku Kipanga Wema Richard Silvia Thomas Diana Mnally Danai Bhobho Joanitah Ainembabazi Diakiese Kaluzodi Olaiya Barakat
    Like
    2
    ·172 Views
  • Kim_new song_WIVU_Official Audio.mp3
    Kim_new song_WIVU_Official Audio.mp3
    Like
    3
    ·230 Views ·10 Afspelen
  • .FACTS ABOUT THE WORKPLACE.

    1. Your boss is not your friend. Regardless of how close you both are, learn to set PROFESSIONAL boundaries.

    2. Walls have ears. Be careful who you confide in at work. A listening ear could also be a flippant mouth.

    3. Your employer is now concerned about RESULTS. How you get the JOB done is up to you. No excuses.

    4. There is always that one person/ group of persons feeding the boss with happenings in the office. Some employees brief go beyond the official ( except in work cultures where such act is expressly frowned upon). Be guided.

    5. When you get withdrawn from PROJECTS or someone is asked to understudy you or you get demoted without cogent reason(s), that may be a cue you'd soon be shown the exit door.

    6. As much as you can, keep your private life away from COLLEAGUES. You might be under INVESTIGATION for achieving some personal great feat without you even knowing.

    7. Somebody your colleagues may not even like you, it could be the way you LOOK, DRESS, SPEAK, your capabilities, accomplishments at work, your aura or for some weird reasons and that is fine. Everybody cannot like you, so accept that.

    8. Pay attention to body language, tone, pitch and pace of voice from your team members, colleagues or your boss. They may provide important cues to what isn't expressly said. Studies have shown that emotions,likes and dislikes are communicated via 38% para- verbal and 55% non verbal. Only 7% are communicated via verbal communication.

    9. There will always be that " exceptional colleague" who gets the job done, gets the recognition and praises. Don't let that feeling of DISDAIN or inadequacy set in. See what that person is doing differently, how they do it and learn. You'll become a better person. Be open to LEARNING.

    10. While the workplace should foster POSITIVE VALUABLE RELATIONSHIPS, your primary aim is to get the job done and go home. Don't forget that.

    Follow Emeka Chukwu for more valuable content in the future

    #fyp #followforfollowback #storytelling #motivation
    .FACTS ABOUT THE WORKPLACE. 1. Your boss is not your friend. Regardless of how close you both are, learn to set PROFESSIONAL boundaries. 2. Walls have ears. Be careful who you confide in at work. A listening ear could also be a flippant mouth. 3. Your employer is now concerned about RESULTS. How you get the JOB done is up to you. No excuses. 4. There is always that one person/ group of persons feeding the boss with happenings in the office. Some employees brief go beyond the official ( except in work cultures where such act is expressly frowned upon). Be guided. 5. When you get withdrawn from PROJECTS or someone is asked to understudy you or you get demoted without cogent reason(s), that may be a cue you'd soon be shown the exit door. 6. As much as you can, keep your private life away from COLLEAGUES. You might be under INVESTIGATION for achieving some personal great feat without you even knowing. 7. Somebody your colleagues may not even like you, it could be the way you LOOK, DRESS, SPEAK, your capabilities, accomplishments at work, your aura or for some weird reasons and that is fine. Everybody cannot like you, so accept that. 8. Pay attention to body language, tone, pitch and pace of voice from your team members, colleagues or your boss. They may provide important cues to what isn't expressly said. Studies have shown that emotions,likes and dislikes are communicated via 38% para- verbal and 55% non verbal. Only 7% are communicated via verbal communication. 9. There will always be that " exceptional colleague" who gets the job done, gets the recognition and praises. Don't let that feeling of DISDAIN or inadequacy set in. See what that person is doing differently, how they do it and learn. You'll become a better person. Be open to LEARNING. 10. While the workplace should foster POSITIVE VALUABLE RELATIONSHIPS, your primary aim is to get the job done and go home. Don't forget that. Follow Emeka Chukwu for more valuable content in the future #fyp #followforfollowback #storytelling #motivation
    Like
    1
    ·1K Views
  • OFFICIAL; Kiungo Sadio Kanouté amejiunga na Klabu ya JS Kabylie kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea Simba SC .
    🚨OFFICIAL; Kiungo Sadio Kanouté 🇲🇱 amejiunga na Klabu ya JS Kabylie 🇩🇿 kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea Simba SC 🇹🇿.
    Like
    1
    1 Reacties ·123 Views
  • OFFICIAL:: Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso amejiunga na timu namba 5 kwa Ubora Afrika, SIMBA SC akitokea klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu.
    .
    Valentin ana umri wa miaka 24 ana uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja.
    🚨 OFFICIAL:: Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso 🇧🇫 amejiunga na timu namba 5 kwa Ubora Afrika, SIMBA SC akitokea klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu. . Valentin ana umri wa miaka 24 ana uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja.
    ·169 Views ·1 aandelen
  • OFFICIAL : Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti Uwanjani.
    .
    Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
    🚨 OFFICIAL : Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti Uwanjani. . Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
    Like
    3
    ·265 Views ·1 aandelen
Zoekresultaten