• TUJIKUMBUSHE KIDOGO

    Sebastian Coates

    Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo.

    Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi.

    Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers.

    Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12.

    Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata.

    Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.
    👀TUJIKUMBUSHE KIDOGO 👀Sebastian Coates 👉Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo. 👉Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi. 👉Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers. 👉Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12. 👉Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata. 👉Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.
    0 Commentarii 0 Distribuiri 824 Views
  • LIGI KUU YA WANAWAKE

    FT: MLANDIZI QUEENS 0 - 11 SIMBA QUEENS
    Ruth Ingosi ⚽️
    Precious Christopher ⚽️
    Aisha Juma ⚽️⚽️
    Asha Djafari ⚽️⚽️⚽️
    Jentrix Shikangwa ⚽️⚽️⚽️⚽️

    #paulswai
    LIGI KUU YA WANAWAKE FT: MLANDIZI QUEENS 0 - 11 SIMBA QUEENS Ruth Ingosi ⚽️ Precious Christopher ⚽️ Aisha Juma ⚽️⚽️ Asha Djafari ⚽️⚽️⚽️ Jentrix Shikangwa ⚽️⚽️⚽️⚽️ #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    13
    7 Commentarii 0 Distribuiri 698 Views
  • Wanaitwa ‘MANTIS SHRIMP’ mwenye pigo sawa na nguvu ya bunduki

    ❇Hawa ni moja kati ya viumbe hatari sana wanaopatikana baharini hasa bahari ya Hindi hapa Tanzania Kitalaam anaitwa “Stamatopoda”
    .
    ❇wana urefu wa cm 20 sawa na inchi 8 na uzitowao ni Gram 90 – 100 lakini mambo yao ni konki
    .Kwa umbo wanamagamba mazuri yenye kuvutia lakini ni moja ya viumbe hatari sana baharini
    .
    ❇wanauwezo wa kupiga sehemu na kuvunja na nguvu yake ni sawa na risasi wanauwezo wa kupasua vile vioo vya mabwawa ya kuhifadhia samaki (aquarims) kwa Single Hit)
    .
    ❇Mantis huwa hawachangani, ni wakali sana hasa kwenye mipaka yao yaani ukiingia bahati mbaya kwenye anga zao umeyatimba
    .
    ❇Huwa wanatoa sauti za chini sana ambazo huwasiliana kama ikitokea wakakutana na nadra sana kuona wanapigana
    .
    ❇Macho yao yako kwa juu kama antena na yana uwezo mkubwa wa kuona na kujua direction ya predators au prey
    .pia yana uwezo wa kwenda direction tofauti tofauti yaani moja kaskazini na moja kusini, Vile vile wanakucha ambazo hutumia kumkamata prey anapokua karibu
    .
    ❇Chakula chao kikuu ni ngadu, Samaki na baadhi ya viumbe vingine na wanakula samaki ambao huwa wakubwa kuliko hata umbo lao
    .
    ❇Huwa wanatumia mechanism tofauti sana pale wanapotaka kutafuta chakula wanauwezo wa kupiga maji yakatengeneza mawimbi makubwa tu kukelekea direction ya prey na kabla ya prey hajafanya maamuzi anapigwa round kick kali sana..
    .
    ❇Wanauwezo wa kugundua Mgonjwa wa cancer kwa macho yao na hii ni kwasabu macho yanauwezo mkubwa sana wakuona na kugundua movement nampangilio wa neurons (Hii ni kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha Queensland)
    .
    ❇Kwa kawaida huwa na life partner yaani bebi mmoja tu kwenye maisha yao na muda wa kutaga jike na dume hulalia pamoja mayai mpaka muda wa kupata watoto
    .
    ❇Adui yao mkubwa ni binadamu maana nchi kama Japan na China huwa wanawala sana na wakati mwingine huwa wanaaminishwa na imani fulani kama moja ya viumbe vyenye kuongeza sana nguvu ya mwili kwa kuimarisha seli hai nyeupe (white blood cells).
    Wanaitwa ‘MANTIS SHRIMP’ mwenye pigo sawa na nguvu ya bunduki ❇Hawa ni moja kati ya viumbe hatari sana wanaopatikana baharini hasa bahari ya Hindi hapa Tanzania Kitalaam anaitwa “Stamatopoda” . ❇wana urefu wa cm 20 sawa na inchi 8 na uzitowao ni Gram 90 – 100 lakini mambo yao ni konki .Kwa umbo wanamagamba mazuri yenye kuvutia lakini ni moja ya viumbe hatari sana baharini . ❇wanauwezo wa kupiga sehemu na kuvunja na nguvu yake ni sawa na risasi wanauwezo wa kupasua vile vioo vya mabwawa ya kuhifadhia samaki (aquarims) kwa Single Hit) . ❇Mantis huwa hawachangani, ni wakali sana hasa kwenye mipaka yao yaani ukiingia bahati mbaya kwenye anga zao umeyatimba . ❇Huwa wanatoa sauti za chini sana ambazo huwasiliana kama ikitokea wakakutana na nadra sana kuona wanapigana . ❇Macho yao yako kwa juu kama antena na yana uwezo mkubwa wa kuona na kujua direction ya predators au prey .pia yana uwezo wa kwenda direction tofauti tofauti yaani moja kaskazini na moja kusini, Vile vile wanakucha ambazo hutumia kumkamata prey anapokua karibu . ❇Chakula chao kikuu ni ngadu, Samaki na baadhi ya viumbe vingine na wanakula samaki ambao huwa wakubwa kuliko hata umbo lao . ❇Huwa wanatumia mechanism tofauti sana pale wanapotaka kutafuta chakula wanauwezo wa kupiga maji yakatengeneza mawimbi makubwa tu kukelekea direction ya prey na kabla ya prey hajafanya maamuzi anapigwa round kick kali sana.. 😀 . ❇Wanauwezo wa kugundua Mgonjwa wa cancer kwa macho yao na hii ni kwasabu macho yanauwezo mkubwa sana wakuona na kugundua movement nampangilio wa neurons (Hii ni kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha Queensland) . ❇Kwa kawaida huwa na life partner yaani bebi mmoja tu kwenye maisha yao na muda wa kutaga jike na dume hulalia pamoja mayai mpaka muda wa kupata watoto . ❇Adui yao mkubwa ni binadamu maana nchi kama Japan na China huwa wanawala sana na wakati mwingine huwa wanaaminishwa na imani fulani kama moja ya viumbe vyenye kuongeza sana nguvu ya mwili kwa kuimarisha seli hai nyeupe (white blood cells).
    0 Commentarii 0 Distribuiri 967 Views
  • YANGA PRINCESS 0-[1] SIMBA QUEENS

    #paulswai
    YANGA PRINCESS 0-[1] SIMBA QUEENS #paulswai
    Like
    Love
    2
    2 Commentarii 0 Distribuiri 179 Views 10
  • 𝗝𝗨𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗛𝗜𝗜 NI 𝗦𝗜𝗦𝗜 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗢

    Ule muda wetu umekaribia Derby ya Kariakoo, Wanawake Derby, hii inaitwa ni sisi na wao ama wao na sisi.

    Simba Queens wanaingia na kumbukumbu ya kuizabua Yanga Princess katika Ligi Kuu ya Wanawake msimu uliopita wakati, Yanga Princess wao wakiingia na kumbukumbu ya kuizabua Simba Queens katika mchezo wa Ngao ya Jamii.

    Ni jumatano hii saa 10 jioni, dimba ni KMC Complex.

    𝗝𝗨𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗛𝗜𝗜 NI 𝗦𝗜𝗦𝗜 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗢 Ule muda wetu umekaribia Derby ya Kariakoo, Wanawake Derby, hii inaitwa ni sisi na wao ama wao na sisi. Simba Queens wanaingia na kumbukumbu ya kuizabua Yanga Princess katika Ligi Kuu ya Wanawake msimu uliopita wakati, Yanga Princess wao wakiingia na kumbukumbu ya kuizabua Simba Queens katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Ni jumatano hii saa 10 jioni, dimba ni KMC Complex.
    Love
    2
    1 Commentarii 0 Distribuiri 196 Views
  • Wayaaa Chuma ya tatu kutoka kwa @simbaqueensctz | Alama 6️⃣

    FT : Simba Queens 3️⃣ vs 1️⃣ Fountain Gate

    Elizabeth Wambui
    ⚽️Precious Christopher
    ⚽️ Shikangwa

    #paulswai
    Wayaaa Chuma ya tatu kutoka kwa @simbaqueensctz | Alama 6️⃣ 🔗 FT : Simba Queens 3️⃣ vs 1️⃣ Fountain Gate ⚽ Elizabeth Wambui ⚽️Precious Christopher ⚽️ Shikangwa #paulswai
    Like
    1
    0 Commentarii 0 Distribuiri 77 Views 18
  • Chuma ya pili ya Simba Quenns | Tanzania Women’s Premier League

    HT’Simba Queens 2️⃣-0️⃣ Fountain Gate Princess

    Elizabeth Wambui
    ⚽️Precious Christopher

    #paulswai
    Chuma ya pili ya Simba Quenns | Tanzania Women’s Premier League ⛳ HT’Simba Queens 2️⃣-0️⃣ Fountain Gate Princess ⚽ Elizabeth Wambui ⚽️Precious Christopher #paulswai
    Like
    1
    0 Commentarii 0 Distribuiri 67 Views 18
  • Gooooooal Precious anatupia kamba ya pili

    Simba Queens 2 - 0 Fountain Gate Princess.

    #paulswai
    Gooooooal Precious anatupia kamba ya pili 🔥 Simba Queens 2 - 0 Fountain Gate Princess. #paulswai
    Like
    Love
    2
    0 Commentarii 0 Distribuiri 67 Views
  • Goaal la kwanza la @simbaqueensctz

    Elizabeth
    #paulswai
    Goaal la kwanza la @simbaqueensctz Elizabeth ⚽ #paulswai
    Like
    1
    0 Commentarii 0 Distribuiri 69 Views 13
  • Simba Queens 3-0 Mlandizi
    Bunda Queens 1-1 Yanga Princess
    Simba Queens 3-0 Mlandizi Bunda Queens 1-1 Yanga Princess
    Wow
    1
    0 Commentarii 0 Distribuiri 219 Views
  • Yanga Princes vs Bunda Queens
    Yanga Princes vs Bunda Queens
    Like
    Love
    2
    1 Commentarii 0 Distribuiri 122 Views
  • FT

    Simba queens 1-1 Yanga Princes

    Mikwaju ya Penati 4-5
    FT Simba queens 1-1 Yanga Princes Mikwaju ya Penati 4-5
    Like
    Love
    4
    1 Commentarii 0 Distribuiri 306 Views
  • HT

    Simba queens 0-1 Yanga Princes
    HT Simba queens 0-1 Yanga Princes
    Love
    Like
    3
    1 Commentarii 0 Distribuiri 271 Views
  • SIMBA QUEENS WAPATA MWALIMU MWINGINE AKICHUKUA NAFASI YA KOCHA JUMA MGUNDA....!!
    #paulswai
    SIMBA QUEENS WAPATA MWALIMU MWINGINE AKICHUKUA NAFASI YA KOCHA JUMA MGUNDA....!! #paulswai
    Like
    3
    0 Commentarii 0 Distribuiri 176 Views
  • Ila Magolikipa wa Simba Queens unaweza kucheka | Chuma Cha pili.
    #paulswai
    Ila Magolikipa wa Simba Queens unaweza kucheka | Chuma Cha pili. #paulswai
    Like
    1
    2 Commentarii 0 Distribuiri 288 Views 63
  • Goaal la kwanza Simba Queens walilofungwaaaa.

    Leo siioni ile morali ya Queens..!!
    #paulswai
    Goaal la kwanza Simba Queens walilofungwaaaa. Leo siioni ile morali ya Queens..!! #paulswai
    Like
    1
    0 Commentarii 0 Distribuiri 133 Views 56
  • MECHI YA LEO. SIMBA QUEENS HAIJABAHATIKA KUSONGA MBELE
    MECHI YA LEO. SIMBA QUEENS HAIJABAHATIKA KUSONGA MBELE
    Haha
    1
    1 Commentarii 0 Distribuiri 213 Views

  • SIMBA QUEENS OUT
    .
    FT: SIMBA 2-3 KPB
    🚨 SIMBA QUEENS OUT . FT: SIMBA 🇹🇿 2-3 KPB 🇰🇪
    Like
    Love
    2
    3 Commentarii 0 Distribuiri 642 Views
  • Simbaqueens 2-[3] KPB*
    #paulswai
    Simbaqueens 2-[3] KPB* #paulswai
    Like
    Love
    3
    3 Commentarii 0 Distribuiri 652 Views 89
  • QUEENS WAMECHOMOA

    ⚽️ Vivian Corazone
    HT: SIMBA 1-1 KPB
    #paulswai
    QUEENS WAMECHOMOA 🔥 ⚽️ Vivian Corazone HT: SIMBA 1-1 KPB 🇰🇪 #paulswai
    Love
    2
    1 Commentarii 0 Distribuiri 449 Views 50
Sponsorizeaza Paginile