Upgrade to Pro

  • LAZIMISHA SIMU YAKO ITUMIE 2G AU 3G AU 4G PEKEE

    NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA

    BONYEZA >>> *#*#4636#*#* kama inakataa download application ya Phone testing
    Yatatokea machaguo kadhaa

    chagua #Phone information
    Shuka chini kabisa mpaka mpaka sehemu iliyoandikwa Set preferred network type gusa chini yake utaona machaguo ya mtandao yenye kumanisha aina ya mtandao wa internet.

    Chagua:

    GSM only kwa 2G peke yake
    WCDMA only kwa 3G peke yake
    LTE only kwa 4G peke yake


    ZINGATIA HAYA:

    Njia hii inafanya kazi kwenye simu nyingi za android lakini baadhi ya smartphones kama Samsung inakataa.

    Hivyo kama una simu ya jinsi hii na unatumia Android fanya rahisi ifuatavyo:

    Nenda kwenye Settings za simu
    Angalia kipengele cha Network
    Chagua Mobile network
    Bofya Network mode
    Yatatokea machaguo ya mitandao ya internet kulingana na uwezo wa simu yako yaani 2G, 3G, na 4G.


    @

    LAZIMISHA SIMU YAKO ITUMIE 2G AU 3G AU 4G PEKEE NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA BONYEZA >>> *#*#4636#*#* kama inakataa download application ya Phone testing Yatatokea machaguo kadhaa chagua #Phone information Shuka chini kabisa mpaka mpaka sehemu iliyoandikwa Set preferred network type gusa chini yake utaona machaguo ya mtandao yenye kumanisha aina ya mtandao wa internet. Chagua: GSM only kwa 2G peke yake WCDMA only kwa 3G peke yake LTE only kwa 4G peke yake ZINGATIA HAYA: Njia hii inafanya kazi kwenye simu nyingi za android lakini baadhi ya smartphones kama Samsung inakataa. Hivyo kama una simu ya jinsi hii na unatumia Android fanya rahisi ifuatavyo: Nenda kwenye Settings za simu Angalia kipengele cha Network Chagua Mobile network Bofya Network mode Yatatokea machaguo ya mitandao ya internet kulingana na uwezo wa simu yako yaani 2G, 3G, na 4G. @
    ·160 Views
  • NAMNA YA KUSHARE BANDO LA VPN NA RAFIKI PASIPO PROXY.

    🎞 Leo Tuangalie namna tunaweza share mb za vpn na rafiki bila kutumia proxy.  Maana kuna baadh ya watu application hizo kama padnet na Everyproxy zimewia vigumu kwao kuelewa namna zinatumika pia namna ya kuset vyema .

    Sasa tuangalie ni jinsi gani tunaweza share bando la vpn na rafiki  hata kama ni Airtel 300MB bila kutumia proxy...

    kwa kawaida huw ukiwasha hotspot kwako na wifi ya rafiki huwa hawezi kupata access Yoyote..   sasa Trick ni ndg tu tujifunze kwa ambao atufaham Tujue pia.

    Steps;

    Install vpn husika na configuration file kwa simu zote mbili. Yaan yako na kwa rafiki.

    - unaweza tumia vpn Yoyote tu kama ni http custom, ha tunnel, napsternetv, stark vpn n.k

    Weka line husika kwa Simu yako kisha washa data

    Fungua hotspot kwako - kwa kawaida ukifungua hotspot itakua default iko WPA2 na kuna password inakuepo so wew configure kwa kuweka none au kuweka password nyepesi kwako kuifaham.

    Fungua wifi kwa rafiki yako kisha scan available networks .

    - utaona Jina la wifi ambalo mara nyingi huwa ina relate kutokana na jina la simu yako mfano kama unatumia SAMSUNG S4 basi hata wifi name itaendana na jina hilo..

    Connect
    - unaweza kuombwa password kama uliacha WPA2 na kuchange password kuweka yako. Hivyo password uliyoweka kule .


    -unaweza usiombwe password kama uliweka none( umetoa ulinzi maana yake yeyote anaweza kuwa connected na simu yako)

    Baada ya kuwa hotspot yako imeconnect na rafiki haitasoma mb kama kwako unavyotumia...

    Basi ingia katika Simu ya rafiki yako connect na vpn ambayo ulimuekea mule ,make sure asiwashe data bali azime na atumie ile wifi yako tu .

    🛠Vpn itasoma connected kupitia wifi yako na line yako...

    Hii process wifi yako itatumika kama wire ambayo unasupply mb kwa Simu. Hivyo unaweza connect na watu zaid ya wawili na ukawawekea vpn na settings zake kisha wakatumia wifi yako ambayo pia itasoma kama line...

    Kwa ambao wanakua wana host/vpn za mtandao flani either Vodacom,Tigo,Airtel,Halotel, Zantel, TTCL na uwezekano wa kupata line hizo mahali ulipo au hauna NIDA but flani anayo...  pia mnaweza tumia hii njia ya WIFI kutumia .




    NAMNA YA KUSHARE BANDO LA VPN NA RAFIKI PASIPO PROXY. 🎞 Leo Tuangalie namna tunaweza share mb za vpn na rafiki bila kutumia proxy.  Maana kuna baadh ya watu application hizo kama padnet na Everyproxy zimewia vigumu kwao kuelewa namna zinatumika pia namna ya kuset vyema . 📡Sasa tuangalie ni jinsi gani tunaweza share bando la vpn na rafiki  hata kama ni Airtel 300MB bila kutumia proxy... 🎥kwa kawaida huw ukiwasha hotspot kwako na wifi ya rafiki huwa hawezi kupata access Yoyote..   sasa Trick ni ndg tu tujifunze kwa ambao atufaham Tujue pia. Steps; ✅ Install vpn husika na configuration file kwa simu zote mbili. Yaan yako na kwa rafiki. - unaweza tumia vpn Yoyote tu kama ni http custom, ha tunnel, napsternetv, stark vpn n.k ✅ Weka line husika kwa Simu yako kisha washa data ✅ Fungua hotspot kwako - kwa kawaida ukifungua hotspot itakua default iko WPA2 na kuna password inakuepo so wew configure kwa kuweka none au kuweka password nyepesi kwako kuifaham. ✅ Fungua wifi kwa rafiki yako kisha scan available networks . - utaona Jina la wifi ambalo mara nyingi huwa ina relate kutokana na jina la simu yako mfano kama unatumia SAMSUNG S4 basi hata wifi name itaendana na jina hilo.. ✅ Connect - unaweza kuombwa password kama uliacha WPA2 na kuchange password kuweka yako. Hivyo password uliyoweka kule . -unaweza usiombwe password kama uliweka none( umetoa ulinzi maana yake yeyote anaweza kuwa connected na simu yako) ✅ Baada ya kuwa hotspot yako imeconnect na rafiki haitasoma mb kama kwako unavyotumia... Basi ingia katika Simu ya rafiki yako connect na vpn ambayo ulimuekea mule ,make sure asiwashe data bali azime na atumie ile wifi yako tu . 🛠Vpn itasoma connected✅ kupitia wifi yako na line yako... Hii process wifi yako itatumika kama wire ambayo unasupply mb kwa Simu. Hivyo unaweza connect na watu zaid ya wawili na ukawawekea vpn na settings zake kisha wakatumia wifi yako ambayo pia itasoma kama line... 🔦Kwa ambao wanakua wana host/vpn za mtandao flani either Vodacom,Tigo,Airtel,Halotel, Zantel, TTCL na uwezekano wa kupata line hizo mahali ulipo au hauna NIDA but flani anayo...  pia mnaweza tumia hii njia ya WIFI kutumia . 📲📲📲📲📲📲📲📲📲
    ·137 Views
  • Samsung Yazindua Pete ya Kipekee ya Galaxy Ring!

    Samsung imezindua Galaxy Ring, pete ya kisasa inayofuatilia usingizi, kiwango cha msongo, ubora wa chakula, kalori unazoweza kula kwa siku, na mahitaji ya maji ya mwili. Pete hii inakuja na AI inayohesabu kalori zilizotumika na index ya uzito wa mwili (BMI).

    🖱 Pete inapatikana kwa rangi tatu: silva, nyeusi, na dhahabu. Inaweza kufanya kazi bila kuchajiwa kwa siku 7 na inachajiwa kwa kutumia kituo maalum cha kuchajia kilichojumuishwa kwenye kifurushi.

    #Hora_Tech
    #Samsung #GalaxyRing #Pete
    💍 Samsung Yazindua Pete ya Kipekee ya Galaxy Ring! 🌟 💣 Samsung imezindua Galaxy Ring, pete ya kisasa inayofuatilia usingizi, kiwango cha msongo, ubora wa chakula, kalori unazoweza kula kwa siku, na mahitaji ya maji ya mwili. Pete hii inakuja na AI inayohesabu kalori zilizotumika na index ya uzito wa mwili (BMI). 🖱 Pete inapatikana kwa rangi tatu: silva, nyeusi, na dhahabu. Inaweza kufanya kazi bila kuchajiwa kwa siku 7 na inachajiwa kwa kutumia kituo maalum cha kuchajia kilichojumuishwa kwenye kifurushi. ➤ #Hora_Tech #Samsung #GalaxyRing #Pete
    Like
    2
    ·566 Views
  • Hatari za Kiusalama:
    Wadukuzi na Teknolojia za Kisasa

    Maisha yetu yanabadilika na kuwa ya kiteknolojia kila siku. Wadukuzi sasa wanaweza kusikiliza mazungumzo yako kupitia AirPods za Apple kwa kutumia vipaza sauti. Pia, wanaweza kupata ufikiaji wa mbali kwenye vifaa vya kuchaji simu na kuzidisha nguvu za umeme, na kusababisha simu kulipuka wakati wa kuchaji.

    Udukuzi huu unajulikana kama BadPower, na unaweza kushambulia simu yoyote yenye teknolojia ya kuchaji haraka kama iPhones, Samsung Galaxy, na simu nyingi za kisasa. Hii inamaanisha kwamba watu wenye nia mbaya wanaweza kuingilia teknolojia zetu na kuzitumia vibaya, hata kutoka umbali mrefu.

    🛡Jihadharini na vifaa vyako vya kiteknolojia na kuwa makini na usalama wao!

    #Hora_Tech
    #Hatari #Wadukuzi #BadPower #teknolojia
    🔐 Hatari za Kiusalama: Wadukuzi na Teknolojia za Kisasa 🌐 😎 Maisha yetu yanabadilika na kuwa ya kiteknolojia kila siku. Wadukuzi sasa wanaweza kusikiliza mazungumzo yako kupitia AirPods za Apple kwa kutumia vipaza sauti. Pia, wanaweza kupata ufikiaji wa mbali kwenye vifaa vya kuchaji simu na kuzidisha nguvu za umeme, na kusababisha simu kulipuka wakati wa kuchaji. 🚨 🦠 Udukuzi huu unajulikana kama BadPower, na unaweza kushambulia simu yoyote yenye teknolojia ya kuchaji haraka kama iPhones, Samsung Galaxy, na simu nyingi za kisasa. Hii inamaanisha kwamba watu wenye nia mbaya wanaweza kuingilia teknolojia zetu na kuzitumia vibaya, hata kutoka umbali mrefu. 🛡Jihadharini na vifaa vyako vya kiteknolojia na kuwa makini na usalama wao! ➤ #Hora_Tech #Hatari #Wadukuzi #BadPower #teknolojia
    Like
    1
    ·1K Views
  • Daraja La Kifo | Majini ni washamba wa kamera kamera ya Samsung Galaxy S4 inapiga picha hadi mizimu

    Bidada anaitwa "Lina" ni Mwanafunzi wa chuo kikuu, amekuwa akivutiwa sana na hadithi ya daraja lililolaaniwa. akiwa na wanafunzi wezake wanafunga safari na kuelekea huko ili kuthibitisha kama ni kweri au ni polojo tu, Wanapowasili kijijini, wanaanza kupeleleza, sasa balaa ni kwamba majini yana onesha umwamba.. yana jidhibitisha kuwa yapo yenyewe.. wanakuja kugundua kuwa hadithi zinazoendelea ni kweli tena ni mbaya zaidi kuliko walivyosimuliwa,🫣 na wanajikuta wao ndio wamekuwa kwenye orodha ya chakura cha usiku huu wakiwindwa na vijukuu vya shetani mwenyewe "Rusifa" Utamu na hofu kamili ya hii movie twende V.I.P Tukatizame

    Telegram 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1416
    Daraja La Kifo 👹| Majini ni washamba wa kamera 👻📸kamera ya Samsung Galaxy S4 inapiga picha hadi mizimu Bidada anaitwa "Lina" ni Mwanafunzi wa chuo kikuu, amekuwa akivutiwa sana na hadithi ya daraja lililolaaniwa.😳 akiwa na wanafunzi wezake wanafunga safari na kuelekea huko ili kuthibitisha kama ni kweri au ni polojo tu, Wanapowasili kijijini, wanaanza kupeleleza, sasa 😬balaa ni kwamba majini yana onesha umwamba.. yana jidhibitisha kuwa yapo🤡 yenyewe.. wanakuja kugundua kuwa hadithi zinazoendelea ni kweli tena ni mbaya zaidi kuliko walivyosimuliwa,🫣 na wanajikuta wao ndio wamekuwa kwenye orodha ya chakura cha usiku huu wakiwindwa na vijukuu vya shetani mwenyewe "😈Rusifa😈" Utamu na hofu kamili ya hii movie twende V.I.P Tukatizame Telegram 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1416
    Like
    Love
    4
    ·752 Views