Mise à niveau vers Pro

  • RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #sports
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #YoungAfricans
    #cafchampionsleague2024
    RADA YETU🌏; Jana katika mchezo wa Yanga 🆚 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)🫂, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 🖐️Kono lanyani Back again 🙏. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #sports #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #YoungAfricans #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    6
    3 Commentaires ·793 Vue
  • DJIGUI DIARA SCREEN PROTECTOR; Taarifa ya muhimu hii, Enyi uongozi wa yanga, tunawaomba mfanye kitu Kwa huyu fundi Djigui Diara apumzishwe baadhi ya match sio kila match lazima yeye tu kuna mwingine acheze mshery/Komeni pale yanga Kuna 3 Goal Keeper na kilammoja anajua wajibu wake lakini hii ya kumtegemea DIARA pekee nawakati anatumika saaana pegeni hesabu huu mwaka wangapi Anasimama golini muda mwingi Katika ligi na Nje kwenye majukumu ya Taifa lake hivyo unakuta katumika saana na anachoka.. kweli. NOTE: Wapeane zamu
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #tanzania
    #sports
    #uefachampionsleague2024
    DJIGUI DIARA SCREEN PROTECTOR; Taarifa ya muhimu hii, Enyi uongozi wa yanga, tunawaomba mfanye kitu Kwa huyu fundi Djigui Diara apumzishwe baadhi ya match sio kila match lazima yeye tu kuna mwingine acheze mshery/Komeni pale yanga Kuna 3 Goal Keeper na kilammoja anajua wajibu wake lakini hii ya kumtegemea DIARA pekee nawakati anatumika saaana pegeni hesabu huu mwaka wangapi Anasimama golini muda mwingi Katika ligi na Nje kwenye majukumu ya Taifa lake hivyo unakuta katumika saana na anachoka.. kweli. NOTE: Wapeane zamu👍 #sokachampions #soccersportstz #tanzania #sports #uefachampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    7
    1 Commentaires ·556 Vue
  • CHADO MASTA KITENGO; Huyu mwamba kanishangaza katoa movie nyingi tu na hatuna habari nae, ila kafyatua Goma la *MISSION IMPOSSIBLE* kama kaanza leo kilakona anaimbwa na vitoto vya miaka mi3 mpaka mi4 yaani kama una mtoto wa umri huu na hakusumbui weka CHADO MASTA nyosha kidole juuu.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #chadomasta
    CHADO MASTA KITENGO; Huyu mwamba kanishangaza katoa movie nyingi tu na hatuna habari nae, ila kafyatua Goma la *MISSION IMPOSSIBLE* kama kaanza leo kilakona anaimbwa na vitoto vya miaka mi3 mpaka mi4 yaani kama una mtoto wa umri huu na hakusumbui weka CHADO MASTA nyosha kidole juuu👆. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #chadomasta
    Love
    Like
    4
    ·722 Vue
  • KWANI KATIKA SHERIA ZOTE ZA KATIBA YA YANGA KUNA SHERIA INASEMA YANGA AVAE NJANO, NA KIJANI MPAKA KIAMA!!!? JEZI AMBAYO YANGA HATOIVAA MILELE NI RED KIT ( JEZI NYEKUNDU ) TU.... Dadeq Acheni fyokofyoko
    #sokachampions
    #socialmedia
    #sports
    #uefachampionsleague2024
    #soccersportstz
    KWANI KATIKA SHERIA ZOTE ZA KATIBA YA YANGA KUNA SHERIA INASEMA YANGA AVAE NJANO, NA KIJANI MPAKA KIAMA!!!? JEZI AMBAYO YANGA HATOIVAA MILELE NI RED KIT ( JEZI NYEKUNDU ) TU.... Dadeq Acheni fyokofyoko🤣🤣🤣🤣 #sokachampions #socialmedia #sports #uefachampionsleague2024 #soccersportstz
    Love
    Like
    4
    1 Commentaires ·780 Vue
  • HII UEFA CHAMPIONS MWAKA HUU ANACHUKUA DORTMUND.. NYIE MNAHISI NANI ANABEBA..??
    #UEFACHAMPIONSLEAGUE
    HII UEFA CHAMPIONS MWAKA HUU ANACHUKUA DORTMUND..😁 NYIE MNAHISI NANI ANABEBA..?? #UEFACHAMPIONSLEAGUE
    Love
    2
    ·322 Vue