• ROBO FINAL 8%; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???.
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #milardayo
    #Sports
    ROBO FINAL 8%馃寯; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???鉁嶏笍馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳馃檹. #sokachampions #cafchampionsleague2024 #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #milardayo #Sports
    Like
    Love
    5
    1 Comments 0 Shares 1K Views
  • SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA BUT TOMORROW 3:1.
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA馃 BUT TOMORROW 3:1. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    3
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo馃槶馃槶馃槶 #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    2
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • MC ALGER YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku keshoYANGA BINGWA
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #sports
    MC ALGER 馃啔 YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku馃挭馃挌馃挍馃挌馃挍 kesho馃憦YANGA BINGWA鉁嶏笍 #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #sports
    Like
    4
    1 Comments 1 Shares 1K Views
  • RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #sports
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #YoungAfricans
    #cafchampionsleague2024
    RADA YETU馃審; Jana katika mchezo wa Yanga 馃啔 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)馃珎, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 馃枑锔廗ono lanyani Back again 馃檹. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #sports #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #YoungAfricans #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    6
    3 Comments 0 Shares 1K Views