RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
#sokachampions
#soccersportstz
#uefachampionsleague2024
#tanzania
#sports
#milardayo
#AzamTVBurudaniKwaWote
#YoungAfricans
#cafchampionsleague2024
#sokachampions
#soccersportstz
#uefachampionsleague2024
#tanzania
#sports
#milardayo
#AzamTVBurudaniKwaWote
#YoungAfricans
#cafchampionsleague2024
RADA YETU🌏; Jana katika mchezo wa Yanga 🆚 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)🫂, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 🖐️Kono lanyani Back again 🙏.
#sokachampions
#soccersportstz
#uefachampionsleague2024
#tanzania
#sports
#milardayo
#AzamTVBurudaniKwaWote
#YoungAfricans
#cafchampionsleague2024
3 Comentários
·224 Visualizações