• BREAKING

    Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

    Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

    Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท4 Views
  • Kuachana pombe sio shida kabisa issue, tunamuachia nani??
    Kuachana pombe sio shida kabisa issue, tunamuachia nani?? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
    0 Comments ยท0 Shares ยท34 Views
  • Arsenal wameweka wazi kuwa hawako tayari kulipa mshahara wa juu unaodaiwa na kambi ya Rodrygo.

    #SportsElite
    Arsenal wameweka wazi kuwa hawako tayari kulipa mshahara wa juu unaodaiwa na kambi ya Rodrygo. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท65 Views
  • Cyril Ngonge amejiunga na klabu ya Torino kwa mkopo kutoka Napoli hadi mwisho wa msimu.

    Mkataba unahusisha ada ya mkopo ya €1M na kipengele cha kumnunua cha €17M mwishoni mwa msimu.

    #SportsElite
    ๐Ÿ†• Cyril Ngonge amejiunga na klabu ya Torino kwa mkopo kutoka Napoli hadi mwisho wa msimu. ๐Ÿค๐Ÿ”ดโšซ Mkataba unahusisha ada ya mkopo ya €1M na kipengele cha kumnunua cha €17M mwishoni mwa msimu. โœ๏ธ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท58 Views
  • DONE DEAL - Man United imekamilisha usajili wa Bryan Mbeumo kutoka Brentford kwa ada ya €82m na mkataba wa miaka sita hadi June 2031.

    ๐ŸŽ™"Nilipojua tu kuwa kuna nafasi ya kujiunga na Manchester United, ilibidi nichukue nafasi hiyo ili kusaini Klabu ya ndoto Yangu" ๐Ÿ—ฃ Bryan Mbeumo.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ DONE DEAL - Man United imekamilisha usajili wa Bryan Mbeumo kutoka Brentford kwa ada ya €82m na mkataba wa miaka sita hadi June 2031. โค๏ธ๐ŸŽ™"Nilipojua tu kuwa kuna nafasi ya kujiunga na Manchester United, ilibidi nichukue nafasi hiyo ili kusaini Klabu ya ndoto Yangu" ๐Ÿ—ฃ Bryan Mbeumo. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท109 Views
  • Chelsea kwa sasa wanania ya dhati kumsajili Xavi Simons kutoka RB Leipzig. Mazungumzo yameanza kati ya Klabu na mchezaji ili kufikia makubaliano ya Kibinafsi hakuna mazungumzo ya Vilabu kwa Vilabu.

    Arsenal bado wanavutiwa nae ila Chelsea ndio pekee wamefanya jitihada za kumtafuta. Bayern Munich wamejitoa kwenye kinyang'anyiro ila Xavi Simons tayari amewafahamisha Leipzig anataka kuondoka.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Chelsea kwa sasa wanania ya dhati kumsajili Xavi Simons kutoka RB Leipzig. Mazungumzo yameanza kati ya Klabu na mchezaji ili kufikia makubaliano ya Kibinafsi hakuna mazungumzo ya Vilabu kwa Vilabu. Arsenal bado wanavutiwa nae ila Chelsea ndio pekee wamefanya jitihada za kumtafuta. Bayern Munich wamejitoa kwenye kinyang'anyiro ila Xavi Simons tayari amewafahamisha Leipzig anataka kuondoka. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท137 Views
  • Grielish yupo gereji akijiandaa na msimu unaokuja......
    Grielish yupo gereji akijiandaa na msimu unaokuja......
    0 Comments ยท0 Shares ยท53 Views
  • Kipa wa Burnley James Trafford amekubali kurejea tena kwenye Club yake ya zamani Manchester City kwaajili ya msimu unaokuja

    #SportsElite
    Kipa wa Burnley James Trafford amekubali kurejea tena kwenye Club yake ya zamani Manchester City kwaajili ya msimu unaokuja #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท59 Views
  • Jordi Cruyff: “Xavi alitaka Lamine Yamal aanze kucheza mapema zaidi. Tulilazimika kuzungumza na Mateu kuhusu hilo. Tukamwambia: ‘Xavi, huyu mtoto ana miaka 15 tu na hana mkataba wowote wa kumlinda. Akicheza mechi kumi na kuonyesha kile sisi tayari tunaona ndani yake... tutakuwa tumemweka sokoni bila ulinzi wowote.’”

    #SportsElite
    Jordi Cruyff: “Xavi alitaka Lamine Yamal aanze kucheza mapema zaidi. Tulilazimika kuzungumza na Mateu kuhusu hilo. Tukamwambia: ‘Xavi, huyu mtoto ana miaka 15 tu na hana mkataba wowote wa kumlinda. Akicheza mechi kumi na kuonyesha kile sisi tayari tunaona ndani yake... tutakuwa tumemweka sokoni bila ulinzi wowote.’” #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท83 Views
  • Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden...

    Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ?

    Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ?

    Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao..

    Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream...

    Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja...

    Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari...

    Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza...

    #SportsElite
    Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden... Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ? Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ? Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao.. Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream... Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja... Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari... Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza... #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท138 Views
  • Lionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti.

    Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti):
    1๏ธโƒฃ Lionel Messi – mabao 764
    2๏ธโƒฃ Cristiano Ronaldo – mabao 763

    Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja.

    #SportsElite
    Lionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti. ๐Ÿ Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti): 1๏ธโƒฃ Lionel Messi – mabao 764 ๐Ÿ” 2๏ธโƒฃ Cristiano Ronaldo – mabao 763 Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท108 Views
  • HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo.

    Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.

    #SportsElite
    ๐ŸšจHERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo. ๐Ÿ’ฐ Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.โœจ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท219 Views
  • HERE WE GO! โšก๏ธ Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Aldrine Kibet, amejiunga na klabu ya Celta Vigo ya Uhispania kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2029.

    Kibet anatarajiwa kuanza kwa kuwakilisha Celta Fortuna, timu ya pili ya Celta Vigo, huku akipanda ngazi taratibu kuelekea kikosi cha kwanza.

    #SportsElite
    ๐ŸšจHERE WE GO! โšก๏ธ Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Aldrine Kibet, amejiunga na klabu ya Celta Vigo ya Uhispania kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2029. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kibet anatarajiwa kuanza kwa kuwakilisha Celta Fortuna, timu ya pili ya Celta Vigo, huku akipanda ngazi taratibu kuelekea kikosi cha kwanza. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท253 Views
  • ๐—ก๐—˜๐—ฌ๐— ๐—”๐—ฅ ๐—๐—ฅ kuhusu mtoto wa Robhinho : "Juninho ana uwezo mkubwa. Anafanana sana na baba yake, bila kujali baba yake aliyopitia. Kijana ana kichwa kizuri sana, ana nguvu sana, si rahisi kuwa kwenye viatu vyake.

    "Si rahisi kucheza kwa mara ya kwanza hivi, kwa shinikizo linalokuja na jina lake. Yeye yuko hapa, nami niko hapa kuisaidia Santos; ni mvulana mwenye moyo mzuri. Nampigia debe sana. Nilimwona alipokuwa mdogo, na sasa anacheza pamoja nami. Wakati unapita, na ana ujuzi." (EsportesCNN)

    #SportsElite
    ๐—ก๐—˜๐—ฌ๐— ๐—”๐—ฅ ๐—๐—ฅ kuhusu mtoto wa Robhinho : ๐ŸŽ™๏ธ"Juninho ana uwezo mkubwa. Anafanana sana na baba yake, bila kujali baba yake aliyopitia. Kijana ana kichwa kizuri sana, ana nguvu sana, si rahisi kuwa kwenye viatu vyake. "Si rahisi kucheza kwa mara ya kwanza hivi, kwa shinikizo linalokuja na jina lake. Yeye yuko hapa, nami niko hapa kuisaidia Santos; ni mvulana mwenye moyo mzuri. Nampigia debe sana. Nilimwona alipokuwa mdogo, na sasa anacheza pamoja nami. Wakati unapita, na ana ujuzi." (EsportesCNN) #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท192 Views
  • Bodi ya Utalii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ipo kwenye mazungumzo na Fc Barcelona kwaajili ya kutangaza utalii kupitia klabu hiyo.

    Mundo Derpotivo imeripoti kuwa makubaliano kati ya Barcelona na DRC yapo katika hatua za mwisho.

    Barcelona itavuna kiasi cha €44m (Tshs Bilioni 133) kutokana na udhamini huo ambao Barcelona watatumia jezi za mazoezi zenye neno la Visit DRC Mgongoni kwa kipindi cha miaka minne.

    #SportsElite
    ๐ŸšจBodi ya Utalii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ipo kwenye mazungumzo na Fc Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ kwaajili ya kutangaza utalii kupitia klabu hiyo. Mundo Derpotivo imeripoti kuwa makubaliano kati ya Barcelona na DRC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ yapo katika hatua za mwisho. Barcelona itavuna kiasi cha €44m (Tshs Bilioni 133) kutokana na udhamini huo ambao Barcelona watatumia jezi za mazoezi zenye neno la Visit DRC Mgongoni kwa kipindi cha miaka minne. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท184 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz

    Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa.

    Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo.

    Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa.

    (Fabrizio Romano)
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz ๐Ÿšซ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa. Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo. Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa. (Fabrizio Romano)
    0 Comments ยท0 Shares ยท203 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon

    Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético


    Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada โœจ โค๏ธ๐Ÿค๐Ÿ” #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท101 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Real Madrid imethibitisha usajili wa Aฬlvaro Carreras kwa kandarasi hadi ๐‰๐ฎ๐ง๐ž ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ‘๐Ÿ!

    Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m ..

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Real Madrid imethibitisha usajili wa Aฬlvaro Carreras kwa kandarasi hadi ๐‰๐ฎ๐ง๐ž ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ‘๐Ÿ! ๐Ÿค Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m .. ๐Ÿ”™๐Ÿก #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท176 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi .

    Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi . ๐Ÿ”ดโš ๏ธ Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo. ๐Ÿ‘€ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท244 Views
  • Niliandika kwa ufupi lakini bado uyu mtoto amepata 10,000 tu
    So far!!!

    Huyu mtoto anaitwa jenifa miaka yake ni 9 aliokotwa ametumwa akiwa na mwaka mmoja
    Bibi alimwokota na kumlea lakini kila alivyo kuwa alionyesha ni mlemavu na aongei kabisa

    Mwaka jana nilipigwa simu kupewa taalifa zake lakini alikuwa akiomba Wheelchair NIKAOMBA waje Dar es Salaam!! Walifika na nikaona si mbaya aende CCBRT KWA UCHUNGUZI

    ALICHUNGUZWA NA MAJIBU YALIONYESHA ANAWEZA TEMBEA AKIFANYIWA MATIBABU BASI KWAKUWA MUDA WA KUKAA NA SIKUWA NA PROGRAM YA KUMWOMBEA ATIBIWE WARIRUDI IRINGA!!!

    NDUGU ZANGU WEEK MBILI ZILIZO PITA NIKATAFUTWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KUSHINIKIZA ASAIDIWE ANAAKILI SANA ILA. BIBI AONI KWAHIYO HATA SHULE SASA AMESIMAMA
    HII ILINIUMA AS MOMY OR SISTER
    " DISABILITY NOT INABILITY"

    NA GHARAMA WA MATIBABU NI 400K
    USAFIRI 50K
    TUNAHITAJI LAKI 500K
    ELFY 50K NI EMERGENCY

    NAOMBA GUSWA SI LAZIMA KIKUBWA HATA KIDOGO UNAWEZA TOA

    SADAKA NI IBADA

    0777787549
    TIGOPESA
    SHAKILA NANTAMBALELE
    Niliandika kwa ufupi lakini bado uyu mtoto amepata 10,000 tu ๐Ÿฅต ๐Ÿ˜ญ So far!!! Huyu mtoto anaitwa jenifa miaka yake ni 9 aliokotwa ametumwa akiwa na mwaka mmoja Bibi alimwokota na kumlea lakini kila alivyo kuwa alionyesha ni mlemavu na aongei kabisa Mwaka jana nilipigwa simu kupewa taalifa zake lakini alikuwa akiomba Wheelchair NIKAOMBA waje Dar es Salaam!! Walifika na nikaona si mbaya aende CCBRT KWA UCHUNGUZI ALICHUNGUZWA NA MAJIBU YALIONYESHA ANAWEZA TEMBEA AKIFANYIWA MATIBABU BASI KWAKUWA MUDA WA KUKAA NA SIKUWA NA PROGRAM YA KUMWOMBEA ATIBIWE WARIRUDI IRINGA!!! NDUGU ZANGU WEEK MBILI ZILIZO PITA NIKATAFUTWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KUSHINIKIZA ASAIDIWE ANAAKILI SANA ILA. BIBI AONI KWAHIYO HATA SHULE SASA AMESIMAMA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ HII ILINIUMA AS MOMY OR SISTER " DISABILITY NOT INABILITY" NA GHARAMA WA MATIBABU NI 400K USAFIRI 50K TUNAHITAJI LAKI 500K ELFY 50K NI EMERGENCY NAOMBA GUSWA SI LAZIMA KIKUBWA HATA KIDOGO UNAWEZA TOA SADAKA NI IBADA 0777787549 TIGOPESA SHAKILA NANTAMBALELE
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท297 Views
More Results