• #PART5

    Baada ya M23 kukamata Goma walidai hawana mpango wa kuchukua miji mingine. Jeshi la Congo (FARDC) likarelax. Kumbe ilikua mbinu ya kivita. Ghafla M23 wakavamia na kuuteka mji wa Rutshuru wenye utajiri wa dhahabu, tin na Tungsten na mji wa Masisi wenye utajiri mkubwa wa dhahabu na cassiterite.

    Mpango wa M23 ni kufika Kinshasa na kuuangusha utawala wa Rais Felix Tshisekedi. Madai ya M23 ni yaleyale ya siku zote, ambayo ni kulinda maslahi ya Watutsi waishio mashariki mwa nchi hiyo, kupambana na wanamgambo wa Kihutu wa FDLR (Interahamwe), na kutaka Banyamulenge watambuliwe kama raia halali wa Congo.

    Mzozo wa mashariki mwa Congo umegharimu maisha ya mamilioni ya watu toka ulipoanza. Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umepeleka askari wa kulinda amani. Ikumbukwe askari hao hawapigani upande wa serikali wala wa waasi. Kuna watu wanadhani askari wetu wa JWTZ walioko Congo wanapigana upande wa jeshi la serikali (FARDC). Hapana. Hawapigani upande wowote. Wanalinda amani. Lakini ikitokea kuna upande unahatarisha amani utapewa haki yake ya kikatiba.

    Kwa mfano, mwaka 2012 Umoja wa mataifa uliunda jeshi la kulinda amani Congo (MONUSCO). Ndani yake kulikua na brigedi maalumu ya kunyang'anya silaha makundi ya wapiganaji - Force Intervention Bregade (FIB). Brigedi hiyo iliundwa na askari kutoka Tanzania, Malawi, Afrika Kusini na Uruguay.

    April 2012, M23 wakashambulia kambi ya FIB iliyokua mji wa Rutshuru na kuua askari watatu. Baada ya shambulio hilo, aliyekua Mkuu FIB, Jenerali James Mwakibolwa alipanga vikosi vyake kujibu mapigo. M23 walichakazwa vibaya ambapo zaidi ya askari 600 wa M23 waliuawa na wengi kujeruhiwa. Walipigwa bila huruma na kuachia miji yote waliyokua wameishikilia ikiwemo Rubaya, Kitchanga na Rutshuru. Askari 16 wa FIB nao walipoteza maisha.

    March 2013, M23 walisalimu amri na Kiongozi wao Bosco Ntaganda akakimbilia Rwanda kujisalimisha kwenye ubalozi wa Marekani. Alipelekwa ICC akahukumiwa miaka 30 na sasa anatumikia adhabu yake gereza la Leuze-en-Hainaut lililopo Ubelgiji. Moja ya makosa ambayo Ntaganda anayajutia hadi leo ni kuingia kwenye 18 za FIB iliyokua inaongozwa na Jenerali James Aloizi Mwakibolwa.

    Kumekua na jitihada mbalimbali za kumaliza mgogoro wa DRC kwa njia za kidiplomasia ikiwemo mkutano wa viongozi wakuu wa SADC na EAC uliofanyika leo jijini Dar.

    #MyaTake:
    1. Congo imeponzwa na ukarimu wake. Wakati wa vita vya Rwanda, Congo ilipokea Watutsi wengi na kuwapa hifadhi, akiwemo Kagame. Baada ya utawala wa Habyarimana kuangushwa Wahutu nao wakakimbilia Congo na kupewa hifadhi. Sasa hicho kimekua kigezo cha Rwanda kuingiza majeshi Congo kila mara kwa madai ya kuwatafuta Wahutu wa FDLR. Kwa lugha rahisi vita ya ndugu wawili (Wahutu na Watutsi) iliyopaswa kupiganwa Rwanda sasa inapiganwa Congo.

    2. Congo inateswa na mipaka ya kikoloni. Laiti wakati wa kuchora mipaka jamii yote ya Watutsi ingewekwa Rwanda, leo kusingekuwa na Banyamulenge Congo, kwahiyo Watutsi wasingepata sababu ya kuishi Congo na kujifanya raia. Ni sawa na kukuta Wamasai 1,000 pale Longido, halafu uambiwe kati yao wapo wa Kenya. Utawajuaje? Utawatofautishaje?

    3. Congo inateswa na rasilimali zake. Kama eneo la Kivu lisingekuwa na utajiri, mgogoro usingekuwa mkubwa kama ulivyo. Rejea #Part1 kujua utajiri uliopo Kivu. Kumbuka bila Kivu dunia haina laptop wala smartphones kwa sababu 80% ya coltan yote duniani inatoka Kivu.

    4. Rwanda na Uganda ni Keyplayers kwenye mgogoro wa Congo. Kwa miaka mingi majeshi yao yameigeuza Congo shamba la bibi. Waondoe majeshi yao Congo.

    5. Viongozi wengi wa M23 ni Wanyarwanda. Huu ni udhibitisho kuwa Rwanda ni kinara kwenye mgogoro huu.

    6. Congo ni kubwa sana na hivyo inakosa jeshi imara la kutosha kulinda mipaka yake yote. Congo ni kubwa mara 90 ya Rwanda. Wapo wanaoshauri igawanywe kama njia ya kutatua mgogoro. Kama ambavyo Yugoslavia iligawanywa na kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.

    7. Kiongozi wa sasa wa M23 Corneille Nangaa alikua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi 2019 na ndiye aliyemtangaza Tshisekedi kuwa Rais kwa ushindi wa 38%. Lakini alilaumiwa kupunguza kura za Martin Fayulu aliyepata 34%. Huenda kuna ahadi alipewa haikutimizwa ndio maana akaungana na Waasi.

    Sababu hizo hapo juu zikifanyiwa kazi, mgogoro wa Congo unaweza kupungua kwa kiasi kikubwa. Mnaopenda kujifunza zaidi, naandika Kitabu. Get ready to have your copy. MWISHO.!

    (Malisa GJ )

    #PART5 Baada ya M23 kukamata Goma walidai hawana mpango wa kuchukua miji mingine. Jeshi la Congo (FARDC) likarelax. Kumbe ilikua mbinu ya kivita. Ghafla M23 wakavamia na kuuteka mji wa Rutshuru wenye utajiri wa dhahabu, tin na Tungsten na mji wa Masisi wenye utajiri mkubwa wa dhahabu na cassiterite. Mpango wa M23 ni kufika Kinshasa na kuuangusha utawala wa Rais Felix Tshisekedi. Madai ya M23 ni yaleyale ya siku zote, ambayo ni kulinda maslahi ya Watutsi waishio mashariki mwa nchi hiyo, kupambana na wanamgambo wa Kihutu wa FDLR (Interahamwe), na kutaka Banyamulenge watambuliwe kama raia halali wa Congo. Mzozo wa mashariki mwa Congo umegharimu maisha ya mamilioni ya watu toka ulipoanza. Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umepeleka askari wa kulinda amani. Ikumbukwe askari hao hawapigani upande wa serikali wala wa waasi. Kuna watu wanadhani askari wetu wa JWTZ walioko Congo wanapigana upande wa jeshi la serikali (FARDC). Hapana. Hawapigani upande wowote. Wanalinda amani. Lakini ikitokea kuna upande unahatarisha amani utapewa haki yake ya kikatiba. Kwa mfano, mwaka 2012 Umoja wa mataifa uliunda jeshi la kulinda amani Congo (MONUSCO). Ndani yake kulikua na brigedi maalumu ya kunyang'anya silaha makundi ya wapiganaji - Force Intervention Bregade (FIB). Brigedi hiyo iliundwa na askari kutoka Tanzania, Malawi, Afrika Kusini na Uruguay. April 2012, M23 wakashambulia kambi ya FIB iliyokua mji wa Rutshuru na kuua askari watatu. Baada ya shambulio hilo, aliyekua Mkuu FIB, Jenerali James Mwakibolwa alipanga vikosi vyake kujibu mapigo. M23 walichakazwa vibaya ambapo zaidi ya askari 600 wa M23 waliuawa na wengi kujeruhiwa. Walipigwa bila huruma na kuachia miji yote waliyokua wameishikilia ikiwemo Rubaya, Kitchanga na Rutshuru. Askari 16 wa FIB nao walipoteza maisha. March 2013, M23 walisalimu amri na Kiongozi wao Bosco Ntaganda akakimbilia Rwanda kujisalimisha kwenye ubalozi wa Marekani. Alipelekwa ICC akahukumiwa miaka 30 na sasa anatumikia adhabu yake gereza la Leuze-en-Hainaut lililopo Ubelgiji. Moja ya makosa ambayo Ntaganda anayajutia hadi leo ni kuingia kwenye 18 za FIB iliyokua inaongozwa na Jenerali James Aloizi Mwakibolwa. Kumekua na jitihada mbalimbali za kumaliza mgogoro wa DRC kwa njia za kidiplomasia ikiwemo mkutano wa viongozi wakuu wa SADC na EAC uliofanyika leo jijini Dar. #MyaTake: 1. Congo imeponzwa na ukarimu wake. Wakati wa vita vya Rwanda, Congo ilipokea Watutsi wengi na kuwapa hifadhi, akiwemo Kagame. Baada ya utawala wa Habyarimana kuangushwa Wahutu nao wakakimbilia Congo na kupewa hifadhi. Sasa hicho kimekua kigezo cha Rwanda kuingiza majeshi Congo kila mara kwa madai ya kuwatafuta Wahutu wa FDLR. Kwa lugha rahisi vita ya ndugu wawili (Wahutu na Watutsi) iliyopaswa kupiganwa Rwanda sasa inapiganwa Congo. 2. Congo inateswa na mipaka ya kikoloni. Laiti wakati wa kuchora mipaka jamii yote ya Watutsi ingewekwa Rwanda, leo kusingekuwa na Banyamulenge Congo, kwahiyo Watutsi wasingepata sababu ya kuishi Congo na kujifanya raia. Ni sawa na kukuta Wamasai 1,000 pale Longido, halafu uambiwe kati yao wapo wa Kenya. Utawajuaje? Utawatofautishaje? 3. Congo inateswa na rasilimali zake. Kama eneo la Kivu lisingekuwa na utajiri, mgogoro usingekuwa mkubwa kama ulivyo. Rejea #Part1 kujua utajiri uliopo Kivu. Kumbuka bila Kivu dunia haina laptop wala smartphones kwa sababu 80% ya coltan yote duniani inatoka Kivu. 4. Rwanda na Uganda ni Keyplayers kwenye mgogoro wa Congo. Kwa miaka mingi majeshi yao yameigeuza Congo shamba la bibi. Waondoe majeshi yao Congo. 5. Viongozi wengi wa M23 ni Wanyarwanda. Huu ni udhibitisho kuwa Rwanda ni kinara kwenye mgogoro huu. 6. Congo ni kubwa sana na hivyo inakosa jeshi imara la kutosha kulinda mipaka yake yote. Congo ni kubwa mara 90 ya Rwanda. Wapo wanaoshauri igawanywe kama njia ya kutatua mgogoro. Kama ambavyo Yugoslavia iligawanywa na kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe. 7. Kiongozi wa sasa wa M23 Corneille Nangaa alikua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi 2019 na ndiye aliyemtangaza Tshisekedi kuwa Rais kwa ushindi wa 38%. Lakini alilaumiwa kupunguza kura za Martin Fayulu aliyepata 34%. Huenda kuna ahadi alipewa haikutimizwa ndio maana akaungana na Waasi. Sababu hizo hapo juu zikifanyiwa kazi, mgogoro wa Congo unaweza kupungua kwa kiasi kikubwa. Mnaopenda kujifunza zaidi, naandika Kitabu. Get ready to have your copy. MWISHO.! (Malisa GJ ✍️)
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·738 Views
  • #PART5
    Eneo la Kivu ni eneo la kimkakati sana na mabepari wote duniani wanalitolea macho kutokana na utajiri wake. Kivu ina madini ya Coltan ambayo yanatumika kutengeneza simu na laptop. 80% ya coltan yote duniani inatoka Congo (unaweza kugoogle kama huamini). Yani kwa kifupi bila Congo hakuna smartphones wala laptop duniani.

    Kivu pia kuna madini ya tin yanayotumika kutengenezea solder za kuchomelea vifaa vya kielektroniki kama radio, TV, simu, nk. Kuna madini ya Tungsten yanayotumika kutengenezea silaha. Na pia kuna Cobalt inayotumika kutengeneza betri mbalimbali zikiwemo za magari. Kama haitoshi Kivu kuna dhahabu nyingi mno. Eneo la Kivu ni eneo lenye dhahabu nyingi zaidi duniani ambayo bado haijachimbwa (The most unexplored gold site globally).

    Kagame aliona fursa. Wakati huo Rwanda ilikuwa imetoka kwenye vita na machafuko ya muda mrefu. Akataka rasilimali za jirani. Lakini atazipataje wakati yeye na Mobutu hawaelewani? Akakaamua kumuunga mkono mzee Laurent Kabila. Lakini akaweka masharti. Nikikusaidia kumng'oa Mobutu, eneo la Kivu Kusini, lenye Watutsi wengi (Banyamulenge), litajitenga na Congo na kuwa nchi inayojitegemea.

    Alishapiga hesabu za mbali za kuifanya Kivu kuwa sehemu ya Rwanda baada ya kujitenga DRC. Kabila akasema poa tu. Ashapigana miaka 30 msituni bila mafanikio? Sasa kapata "kamserereko" ka kwenda Ikulu akatae? Kagame nyuma yake walikuwepo Ufaransa na Uingereza akasema twende kwa maandishi. Mkataba ukasainiwa mji mdogo wa Lemera, Kivu Kusini. AFDL ikapewa support ya silaha na pesa, ikaamsha dude kupigana na majeshi ya serikali (FARDC).

    Wakati Mobutu anajaribu kupambana na AFDL, vikaibuka vikundi vingine vya waasi zaidi ya 40 kupigana na majeshi ya serikali. Vita ikiwa imepamba moto, Rwanda ikajitosa rasmi kupigana na serikali ya Mobutu kwa kisingizio cha kuwatafuta wanamgambo wa Intarahamwe waliokimbilia Congo. Uganda nayo ikaingiza jeshi kuwatafuta waasi wa LRA. Mobutu kaona "nini cha kufia" akadaka chopa akatokomea zake Moroco. Kesho yake tar.17 Mei 1997, Laurent Kabila akatangazwa Rais mpya wa Congo. Vita hii ikabatizwa jina vita vya kwanza vya Congo (1996-1997).
    (Malisa GJ)

    #PART5 Eneo la Kivu ni eneo la kimkakati sana na mabepari wote duniani wanalitolea macho kutokana na utajiri wake. Kivu ina madini ya Coltan ambayo yanatumika kutengeneza simu na laptop. 80% ya coltan yote duniani inatoka Congo (unaweza kugoogle kama huamini). Yani kwa kifupi bila Congo hakuna smartphones wala laptop duniani. Kivu pia kuna madini ya tin yanayotumika kutengenezea solder za kuchomelea vifaa vya kielektroniki kama radio, TV, simu, nk. Kuna madini ya Tungsten yanayotumika kutengenezea silaha. Na pia kuna Cobalt inayotumika kutengeneza betri mbalimbali zikiwemo za magari. Kama haitoshi Kivu kuna dhahabu nyingi mno. Eneo la Kivu ni eneo lenye dhahabu nyingi zaidi duniani ambayo bado haijachimbwa (The most unexplored gold site globally). Kagame aliona fursa. Wakati huo Rwanda ilikuwa imetoka kwenye vita na machafuko ya muda mrefu. Akataka rasilimali za jirani. Lakini atazipataje wakati yeye na Mobutu hawaelewani? Akakaamua kumuunga mkono mzee Laurent Kabila. Lakini akaweka masharti. Nikikusaidia kumng'oa Mobutu, eneo la Kivu Kusini, lenye Watutsi wengi (Banyamulenge), litajitenga na Congo na kuwa nchi inayojitegemea. Alishapiga hesabu za mbali za kuifanya Kivu kuwa sehemu ya Rwanda baada ya kujitenga DRC. Kabila akasema poa tu. Ashapigana miaka 30 msituni bila mafanikio? Sasa kapata "kamserereko" ka kwenda Ikulu akatae? Kagame nyuma yake walikuwepo Ufaransa na Uingereza akasema twende kwa maandishi. Mkataba ukasainiwa mji mdogo wa Lemera, Kivu Kusini. AFDL ikapewa support ya silaha na pesa, ikaamsha dude kupigana na majeshi ya serikali (FARDC). Wakati Mobutu anajaribu kupambana na AFDL, vikaibuka vikundi vingine vya waasi zaidi ya 40 kupigana na majeshi ya serikali. Vita ikiwa imepamba moto, Rwanda ikajitosa rasmi kupigana na serikali ya Mobutu kwa kisingizio cha kuwatafuta wanamgambo wa Intarahamwe waliokimbilia Congo. Uganda nayo ikaingiza jeshi kuwatafuta waasi wa LRA. Mobutu kaona "nini cha kufia" akadaka chopa akatokomea zake Moroco. Kesho yake tar.17 Mei 1997, Laurent Kabila akatangazwa Rais mpya wa Congo. Vita hii ikabatizwa jina vita vya kwanza vya Congo (1996-1997). (Malisa GJ)
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·635 Views
  • Wake up
    Pray
    eat
    carry your laptop
    and start your Cyber security carrier
    Don't wait untill next year. start now
    Wake up Pray eat carry your laptop and start your Cyber security carrier Don't wait untill next year. start now
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·296 Views
  • ​​Kuna njia mbili za kuweka Root kwenye simu yako ya Android, kwa kutumia Kingroot au kwa kutumia Laptop yako. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo:

    Kutumia Kingroot:

    1. Pakua Kingroot kwenye simu yako ya Android kutoka kwenye tovuti yao rasmi.

    2. Baada ya kupakua na kusakinisha Kingroot, fungua programu hiyo na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root.

    3. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi.

    4. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka root.

    5. Subiri hadi mchakato wa kuweka mizizi utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache.

    6. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root.

    Kutumia Laptop:

    1. Pakua na sakinisha programu ya Kingroot kwenye Laptop yako kutoka kwenye tovuti yao rasmi.

    2. Baada ya kusakinisha Kingroot kwenye Laptop yako, unahitaji kuunganisha simu yako ya Android kwa Laptop kwa kutumia kebo ya USB.

    3. Baada ya simu yako kuunganishwa, fungua Kingroot kwenye Laptop yako na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root.

    4. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi.

    5. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka mizizi.

    6. Subiri hadi mchakato wa kuweka root utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache.

    7. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root

    Kumbuka kwamba kufungua root kunaweza kuhatarisha usalama wa simu yako na inaweza kusababisha matatizo ikiwa hautafuata maelekezo vizuri.
    ​​Kuna njia mbili za kuweka Root kwenye simu yako ya Android, kwa kutumia Kingroot au kwa kutumia Laptop yako. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo: Kutumia Kingroot: 1. Pakua Kingroot kwenye simu yako ya Android kutoka kwenye tovuti yao rasmi. 2. Baada ya kupakua na kusakinisha Kingroot, fungua programu hiyo na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root. 3. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi. 4. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka root. 5. Subiri hadi mchakato wa kuweka mizizi utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache. 6. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root. Kutumia Laptop: 1. Pakua na sakinisha programu ya Kingroot kwenye Laptop yako kutoka kwenye tovuti yao rasmi. 2. Baada ya kusakinisha Kingroot kwenye Laptop yako, unahitaji kuunganisha simu yako ya Android kwa Laptop kwa kutumia kebo ya USB. 3. Baada ya simu yako kuunganishwa, fungua Kingroot kwenye Laptop yako na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root. 4. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi. 5. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka mizizi. 6. Subiri hadi mchakato wa kuweka root utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache. 7. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root Kumbuka kwamba kufungua root kunaweza kuhatarisha usalama wa simu yako na inaweza kusababisha matatizo ikiwa hautafuata maelekezo vizuri.
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·291 Views
  • Jinsi Ya Kushare Free Internet Through Vpn Kwenda Kwenye PC Yako Ama Computer

    Nimeona Kunauhitaji Wa Kujifunza Jinsi Ya Kushare Internet Kwenda Kwenye Computer Ama Laptop Yako Ukiwa Unatumia Free Internet Vpn Tutaenda Kutumia Application Inayoitwa EVERY PROXY

    Hatua Ya Kwanza Ya Kufanya Ni Kudownload Hii Application Link Naiweka Hapa 👇🏽

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.gorillasoftware.everyproxy

    Baada Ya Kudownload Utaifungua Ndani Yake Utakuta Option Mbili Yan Http Na Socks4 Kwa Hapa Sisi Tutaitumia Option One Yani Http Utabonyeza Botton Ya Kuwasha Http Option Then Utakutana Na Vitu Kama Host Na Port
    Baada Ya Hapo Utaifungua Laptop Ama Computer Yako Kwa Wanaotumia Window 10 Watafuata Hatua Zifuatazo:

    Utabonyeza Menu Option ( Start Button)Then Search Proxy Settings Utaifungua Kisha Utascrow Chini Kabisa Utakutana Na Sehemu Wameandika Use a Proxy Server Utaiwasha Kisha Utakutana Na Sehemu Mbili Za Kujaza Yan Address Na Port Hapa Kwenye Address Utaandika Host Ambayo Utapewa Kule Kwenye Application Yako Ya Every Proxy Na Port Pia Umegewa Utaiandika Kisha Utasave
    Hakikisha Umeconnect Hotspot Yan Kutoka Kwenye Simu Yako Kwenda Kwenye Computer Baada Ya Hapo Itakuwa Umemaliza Unaweza Kushare Free Internet

    Nafikili Kila Kitu Kinajieleza Hapo Sitaraji Kama Kuna Mtu Atakuja Inbox Kuuliza Tena👍🏾

    Jinsi Ya Kushare Free Internet Through Vpn Kwenda Kwenye PC Yako Ama Computer ➖➖➖➖➖➖➖ Nimeona Kunauhitaji Wa Kujifunza Jinsi Ya Kushare Internet Kwenda Kwenye Computer Ama Laptop Yako Ukiwa Unatumia Free Internet Vpn Tutaenda Kutumia Application Inayoitwa EVERY PROXY Hatua Ya Kwanza Ya Kufanya Ni Kudownload Hii Application Link Naiweka Hapa 👇🏽 https://play.google.com/store/apps/details?id=com.gorillasoftware.everyproxy Baada Ya Kudownload Utaifungua Ndani Yake Utakuta Option Mbili Yan Http Na Socks4 Kwa Hapa Sisi Tutaitumia Option One Yani Http Utabonyeza Botton Ya Kuwasha Http Option Then Utakutana Na Vitu Kama Host Na Port Baada Ya Hapo Utaifungua Laptop Ama Computer Yako Kwa Wanaotumia Window 10 Watafuata Hatua Zifuatazo: Utabonyeza Menu Option ( Start Button)Then Search Proxy Settings Utaifungua Kisha Utascrow Chini Kabisa Utakutana Na Sehemu Wameandika Use a Proxy Server Utaiwasha Kisha Utakutana Na Sehemu Mbili Za Kujaza Yan Address Na Port Hapa Kwenye Address Utaandika Host Ambayo Utapewa Kule Kwenye Application Yako Ya Every Proxy Na Port Pia Umegewa Utaiandika Kisha Utasave Hakikisha Umeconnect Hotspot Yan Kutoka Kwenye Simu Yako Kwenda Kwenye Computer Baada Ya Hapo Itakuwa Umemaliza Unaweza Kushare Free Internet Nafikili Kila Kitu Kinajieleza Hapo Sitaraji Kama Kuna Mtu Atakuja Inbox Kuuliza Tena👍🏾 ➖➖➖➖➖➖➖➖ 😇😇😇😇😇😇 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
    Every Proxy - Apps on Google Play
    play.google.com
    Http, Https, Socks4 Proxy, Socks5 Proxy and PAC Server
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·412 Views

  • *EVERLAST AGENCY NEW VERSION TANZANIA SUMMARY

    *Hii ni biashara ya kujiajiri kupitia simu yako kwa mtaji mdogo wa 15000Tsh /=*

    * ( ```ambapo kama hutopendezwa na huduma utaweza uwithdrawal (kuutoa)mtaji wako```) •
    * *biashara hii itakupa uhakika wa kuingiza kuanzia 30,000 Tsh hadi 100,000 Tsh kwa siku*

    *IMESAJILIWA KISHERIA* *NO* : *559921*

    *Ambapo utajiingizia kipato kwa njia zaidi ya 30*

    *Karibu Bonus* : Pata 12000 TZS papo hapo baada ya kufungua akaunti yako

    *Utalipwa kwa*

    *Kutazama videos za YouTube*
    *Kutazama videos za Tiktok*
    *Kutazama Videos za Instagram*
    *Kutazama videos za Facebook*

    *NOTE* : Utalipwa hadi 2500 Tzs kwa kila video *( Tazama videos unazotaka)*

    *Kujibu Maswali* : utalipwa kila swali hadi 2000 TZS

    *Kuzungusha Gurudumu* : shinda hadi 50000 TZS

    *Ku like matangazo* : kila tangazo utalipwa hadi 1500

    *Utalipwa kwa status viewers* : 1view= 100 TZS
    *Utalipwa kwa kupost Memez* : Memez zako zikiwa na likes nying (likes 100+) utalipwa hadi *10000 TZS* kwa siku
    *Utalipwa kwa kuuza bidhaa* kama vile simu , laptop, Mikoba , Tv Nk

    *Utalipwa kwa kucheza online games :* kila game utalipwa 5000 endapo utashinda

    *Utalipwa kwa kucheza VICOBA (E-COBA )* : kila siku mtu anatoka na faida ya *100,000 TZS*

    *Utalipwa Mshahara* : Mbali na mapato ya kila siku kampuni itakulipa 500,000 TZS kila mwezi kama mwanachama

    *Soccer Bet* : beti kupitia app ya Everlast Agency na ushinde hadi *Milioni 5* *E-BET*

    *Betting Predictions* : Pata bure utabiri na uhakika wa mechi kushinda/ kushindwa

    *Tangaza biashara yako bure kabisa* : Utatangaza biashara yako na Everlast Agency bure kabisa matangazo haya yatawafikia wateja ndani na nje ya nchi

    *E- COMMERCE:* Nunuza bidhaa kwa bei nafuu online kupitia akaunti ya Everlast Agency

    *Pata mkopo kwa riba nafuu* : kopa hadi Million 5

    *Lipwa kualika marafiki* : utalipwa kwa ngazi tano
    LEVEL 1⃣ *9000 TZS*
    LEVEL2⃣ *5000 TZS*
    LEVEL3⃣ *3000 TZS*
    LEVEL4⃣ *2000 TZS*
    LEVEL5⃣ *1000 TZS*

    *Team Points* : badili points za Team yako kua pesa kila point ni pesa. Badili points 200 kuwa *10,000 TZS*

    *E- FUNDS* : Pata msaada kutoka kwenye mfuko wa Everlast ( *utakapopata changamoto kampuni itakuwezesha kama mwanachama wake*

    *LEADERBOARD* : washindi watatu kila wiki waliofankiwa kuwafkishia fursa vijana wengi watalipwa : *( NAFASI 1,2,3 : 10000 TZS, 7000 TZS , 5000 TZS )*

    *JIFUNZE KUTRADE NA FOREX BURE KABISA*

    *CHEZA BONANZA* : hapa utalipwa hadi 50000 Tzs kwa mchezo mmoja

    *PATA VIFURUSHI VYA BEI NAFUU* : utapata 1.4GB Kwa 800 TZS mitandao yote

    *Pata Viewers wa YouTube na Subscribers* : Uta upload videos zako na zitatazamwa na wanachama
    *Uza wazo lako la biashara* : Tunanunua mawazo mbalimbali ya biashara : lipwa *50,000 TZS* kwa kila wazo

    *CEO REWARD* : pata zawadi kutoka kwa CEO ukifikisha laki 5

    *FREE MENTORSHIP CLASSES* : Jifunze biashara za mitandaoni bure na ujasiliamali bure

    *Boost Mitandao yako ya kijamii* : Tunaboost followers wa mitandao yoteya kijamii

    *Tick Verification* : Kuza biashara yako uwekewe alama ya Tick kwenye akaunti yako

    *AI- CHAT GPT:* Artificial Intelligence kwa ajili ya kufanya Assignment za wanachuo , Kupata data , kujisomea , Nk

    *BEST MENTOR REWARDS* : Shinda 20000 kila baada ya wiki nne

    *Daily Challenges* : shinda challenges za kila siku ulipwe 20,000 TZS

    *Makadirio ya mapato ya chini kwa mwanachama*

    Kwa siku 30000 TZS

    Kwa wiki 200,000 TZS

    Kwa mwezi 800,000 TZS

    *Hapo ni mbali na mshahara wa kila mwezi ambao ni 500,000 TZS *

    *Kiwango cha chini cha kutoa pesa ni 3,000/= TZS*

    *Huduma nyinginezo*

    Pay for Client
    Aviator ChatBot
    Automatic Activations
    Automatic Withdrawals
    Bell Notifications
    Profile Updates
    *Instalment Payment* : unaweza lipa kidogo kidogo ndani ya siku 3

    *Huduma zetu ni Masaa 24/7*

    Tuna App yetu playstore: *(EVERLAST AGENCY )*

    *Je upo tayari kujiunga *

    *Kama upo tayari Niandikie nipo tayar*
    🆕🆕 *EVERLAST AGENCY NEW VERSION TANZANIA SUMMARY 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💫💫💫 *Hii ni biashara ya kujiajiri kupitia simu yako kwa mtaji mdogo wa 15000Tsh /=*🎊🎊 * ( ```ambapo kama hutopendezwa na huduma utaweza uwithdrawal (kuutoa)mtaji wako```🛐) • * *biashara hii itakupa uhakika wa kuingiza kuanzia 30,000 Tsh hadi 100,000 Tsh kwa siku* 👇👇 ✅ *IMESAJILIWA KISHERIA* *NO* : *559921* *👉Ambapo utajiingizia kipato kwa njia zaidi ya 30✅👇👇* 💫💫💫💫💫💫 ✅ *Karibu Bonus* : Pata 12000 TZS papo hapo baada ya kufungua akaunti yako *🚨Utalipwa kwa🚨👇* ✅ *Kutazama videos za YouTube* ✅ *Kutazama videos za Tiktok* ✅ *Kutazama Videos za Instagram* ✅ *Kutazama videos za Facebook* 💫💫💫💫 *NOTE* : Utalipwa hadi 2500 Tzs kwa kila video 💁‍♀️ *( Tazama videos unazotaka)* 💫💫💫 ✅ *Kujibu Maswali* : utalipwa kila swali hadi 2000 TZS ✅ *Kuzungusha Gurudumu* : shinda hadi 50000 TZS ✅ *Ku like matangazo* : kila tangazo utalipwa hadi 1500 ✅ *Utalipwa kwa status viewers* : 1view= 100 TZS ✅ *Utalipwa kwa kupost Memez* : Memez zako zikiwa na likes nying (likes 100+) utalipwa hadi *10000 TZS* kwa siku ✅ *Utalipwa kwa kuuza bidhaa* kama vile simu , laptop, Mikoba , Tv Nk💁‍♀️ ✅ *Utalipwa kwa kucheza online games :* kila game utalipwa 5000 endapo utashinda ✅ *Utalipwa kwa kucheza VICOBA (E-COBA )* : kila siku mtu anatoka na faida ya *100,000 TZS* ✅ *Utalipwa Mshahara* : Mbali na mapato ya kila siku kampuni itakulipa 500,000 TZS kila mwezi kama mwanachama ✅ *Soccer Bet* : beti kupitia app ya Everlast Agency na ushinde hadi *Milioni 5* *E-BET* ✅ *Betting Predictions* : Pata bure utabiri na uhakika wa mechi kushinda/ kushindwa ✅ *Tangaza biashara yako bure kabisa* : Utatangaza biashara yako na Everlast Agency bure kabisa matangazo haya yatawafikia wateja ndani na nje ya nchi ✅ *E- COMMERCE:* Nunuza bidhaa kwa bei nafuu online kupitia akaunti ya Everlast Agency ✅ *Pata mkopo kwa riba nafuu* : kopa hadi Million 5 ✅ *Lipwa kualika marafiki* : utalipwa kwa ngazi tano LEVEL 1⃣ *9000 TZS* LEVEL2⃣ *5000 TZS* LEVEL3⃣ *3000 TZS* LEVEL4⃣ *2000 TZS* LEVEL5⃣ *1000 TZS* ✅ *Team Points* : badili points za Team yako kua pesa kila point ni pesa. Badili points 200 kuwa *10,000 TZS* ✅ *E- FUNDS* : Pata msaada kutoka kwenye mfuko wa Everlast ( *utakapopata changamoto kampuni itakuwezesha kama mwanachama wake* ✅ *LEADERBOARD* : washindi watatu kila wiki waliofankiwa kuwafkishia fursa vijana wengi watalipwa : *( NAFASI 1,2,3 : 10000 TZS, 7000 TZS , 5000 TZS )* ✅ *JIFUNZE KUTRADE NA FOREX BURE KABISA💹* ✅ *CHEZA BONANZA* : hapa utalipwa hadi 50000 Tzs kwa mchezo mmoja ✅ *PATA VIFURUSHI VYA BEI NAFUU* : utapata 1.4GB Kwa 800 TZS mitandao yote ✅ *Pata Viewers wa YouTube na Subscribers* : Uta upload videos zako na zitatazamwa na wanachama ✅ *Uza wazo lako la biashara* : Tunanunua mawazo mbalimbali ya biashara : lipwa *50,000 TZS* kwa kila wazo ✅ *CEO REWARD* : pata zawadi kutoka kwa CEO ukifikisha laki 5 ✅ *FREE MENTORSHIP CLASSES* : Jifunze biashara za mitandaoni bure na ujasiliamali bure ✅ *Boost Mitandao yako ya kijamii* : Tunaboost followers wa mitandao yoteya kijamii ✅ *Tick Verification* 🎊: Kuza biashara yako uwekewe alama ya Tick kwenye akaunti yako ✅ *AI- CHAT GPT:* Artificial Intelligence kwa ajili ya kufanya Assignment za wanachuo , Kupata data , kujisomea , Nk ✅ *BEST MENTOR REWARDS* : Shinda 20000 kila baada ya wiki nne💸💁‍♀️ ✅ *Daily Challenges* 🥳: shinda challenges za kila siku ulipwe 20,000 TZS *👩‍💻Makadirio ya mapato ya chini kwa mwanachama🚨👇* Kwa siku 30000 TZS Kwa wiki 200,000 TZS Kwa mwezi 800,000 TZS *Hapo ni mbali na mshahara wa kila mwezi ambao ni 500,000 TZS ✅* 💸 💁‍♀️💸 *Kiwango cha chini cha kutoa pesa ni 3,000/= TZS💸* 🚨🚨 *Huduma nyinginezo* 🚨Pay for Client 🚨Aviator ChatBot 🚨Automatic Activations 🚨Automatic Withdrawals 🚨Bell Notifications 🚨Profile Updates 🚨 *Instalment Payment* : unaweza lipa kidogo kidogo ndani ya siku 3📌 *💥🌎Huduma zetu ni Masaa 24/7* Tuna App yetu playstore✍️: *(EVERLAST AGENCY )* *📌Je upo tayari kujiunga ❔❔* *Kama upo tayari Niandikie 💸👉nipo tayar*
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • Everylast agency

    Tsh15000
    *EVERLAST AGENCY NEW VERSION TANZANIA SUMMARY

    In stock ·New
    https://upgrade.everlast.agency/register?ref=Dady09
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • Nahitaji Laptop Chromebook na Tv inch 32 njooni na picha pamoja na offaa
    Nahitaji Laptop Chromebook na Tv inch 32 njooni na picha pamoja na offaa
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·461 Views
  • #MANSAMUSSA20 Who do you think you are with a free Wi-fi and a laptop
    #MANSAMUSSA20🤖 Who do you think you are with a free Wi-fi and a laptop
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·514 Views
  • Kwa Tsh. 500,000/= tu #laptop #robbycomputers
    Kwa Tsh. 500,000/= tu #laptop #robbycomputers
    Like
    Love
    6
    · 0 Comments ·0 Shares ·885 Views
  • Karibu ujipatie Laptops kuanzia Tsh.300,000/= nakuendelea.
    Hp,Dell,Macbook, Lenovo na Acer.
    Karibu ujipatie Laptops kuanzia Tsh.300,000/= nakuendelea. Hp,Dell,Macbook, Lenovo na Acer.
    Like
    Love
    5
    · 4 Comments ·0 Shares ·532 Views