• 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain

    Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao
    Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain 💛💙🇹🇷 Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo🇪🇸🏁 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·18 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·35 Ansichten
  • Today's Match 🏟

    PSG vs REAL MADRID
    ⌚️ 22:00 EAT

    Stream live here
    https://duduumendez.xyz/FootballLiveMatch


    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    Today's Match 🏟 PSG vs REAL MADRID ⌚️ 22:00 EAT Stream live here 👇👇 https://duduumendez.xyz/FootballLiveMatch > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    0 Kommentare ·0 Anteile ·51 Ansichten
  • Xabi Alonso anaamini Real Madrid isipo ziba pengo LA Luka Modrić au Toni Kroos huwenda wakapitia nyakati ngumu kwenye ushindani na mbadala huo amependekeza jina la kiungo wa PSG Vitinha...

    (Source: Defensa Central)

    #SportsElite
    🚨 Xabi Alonso anaamini Real Madrid isipo ziba pengo LA Luka Modrić au Toni Kroos huwenda wakapitia nyakati ngumu kwenye ushindani na mbadala huo amependekeza jina la kiungo wa PSG Vitinha... (Source: Defensa Central) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·35 Ansichten
  • Napoli inavutiwa kumsajiri Lee Kang-In.

    PSG imeomba kiasi cha €30M kwa Mkorea huyo.

    (Source: @RomainCG75)

    #SportsElite
    🚨 Napoli inavutiwa kumsajiri Lee Kang-In. 💙🇰🇷 PSG imeomba kiasi cha €30M kwa Mkorea huyo. (Source: @RomainCG75) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·44 Ansichten
  • Uongozi wa klabu ya Paris Saint-Germain umeamua kutoa kiasi cha €50m kwa ajili ya kusaidia harakati za kuinusuru klabu ya Olympique Lyonnaise isishushwe daraja kutoka Ligue 1 mpaka Ligue 2.

    Siku chache zilizopita DNCG ilitangaza rasmi kuishusha daraja klabu ya Olympique Lyonnaise mara baada ya kushindwa kulipa madeni wanayodaiwa.

    PSG imejipanga kulipa madeni Yao na wadau wengine wapo tayari kujitolea kulipa madeni yote Ili Klabu hiyo iendelee kusalia Ligue 1.

    Sababu kuu ya PSG kuisaidia klabu ya Lyonnaise ni kutokana na klabu hiyo kuwauzia Bradley Barcola ambae mpaka Sasa ni mchezaji tegemezi katika kikosi Cha kwanza Cha PSG.

    #sportselite
    Uongozi wa klabu ya Paris Saint-Germain umeamua kutoa kiasi cha €50m kwa ajili ya kusaidia harakati za kuinusuru klabu ya Olympique Lyonnaise isishushwe daraja kutoka Ligue 1 mpaka Ligue 2. Siku chache zilizopita DNCG ilitangaza rasmi kuishusha daraja klabu ya Olympique Lyonnaise mara baada ya kushindwa kulipa madeni wanayodaiwa. PSG imejipanga kulipa madeni Yao na wadau wengine wapo tayari kujitolea kulipa madeni yote Ili Klabu hiyo iendelee kusalia Ligue 1. Sababu kuu ya PSG kuisaidia klabu ya Lyonnaise ni kutokana na klabu hiyo kuwauzia Bradley Barcola ambae mpaka Sasa ni mchezaji tegemezi katika kikosi Cha kwanza Cha PSG. #sportselite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·183 Ansichten
  • Miongoni mwa mabeki wanao windwa na vilabu ulaya ni beki za Bournemouth,huwenda tukazikosa msimu ujao ndani ya Bournemouth

    Dean Huijsen Madrid (hatua za mwishoni)
    Milos Kerkez Liverpool (dili limekamilika)
    Illia Zabarnyi PSG (dili liko mbioni kukamilika)

    Bournemouth mwendo wa kupiga mpunga tu!
    🍒🌟 Miongoni mwa mabeki wanao windwa na vilabu ulaya ni beki za Bournemouth,huwenda tukazikosa msimu ujao ndani ya Bournemouth 🇪🇸 Dean Huijsen ➡️ Madrid (hatua za mwishoni) 🇭🇺 Milos Kerkez ➡️ Liverpool (dili limekamilika) 🇺🇦 Illia Zabarnyi ➡️ PSG (dili liko mbioni kukamilika) Bournemouth mwendo wa kupiga mpunga tu!💰
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·105 Ansichten
  • * Today's Matches | Live *

    * FIFA Club World Cup*

    * Round 1*

    * AthletiCo Madrid PSG*
    * 9:00 PM *
    * 11:00 PM *
    * 12:30 AM *
    *️ 10:00 PM *

    *Live Link*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    https://duduumendez.xyz/

    * Bayern Aukland*
    * 9:30 PM *
    *⌚ 8:00 PM *
    *⌚️ 6:00 PM *
    *⌚️ 7:00 PM *

    * Live Link*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    * Palmeiras Porto*
    *⌚️ 3:30 AM *
    * Live Links*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    More Matches
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    *🚨 Today's Matches | Live ‼️* *🏆 FIFA Club World Cup* *🔰 Round 1* *⛳ AthletiCo Madrid 🆚 PSG* *⌚ 9:00 PM 🇿🇼* *⌚ 11:00 PM 🇦🇪* *⌚ 12:30 AM 🇮🇳* *⌚️ 10:00 PM 🇹🇿* *📱Live Link* 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 👉https://duduumendez.xyz/ *⛳ Bayern 🆚 Aukland* *⌚ 9:30 PM 🇮🇳* *⌚ 8:00 PM 🇦🇪* *⌚️ 6:00 PM 🇿🇼* *⌚️ 7:00 PM 🇹🇿* *📱 Live Link* 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match *⛳ Palmeiras 🆚 Porto* *⌚️ 3:30 AM 🇮🇳* *📱 Live Links* 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 📱More Matches👇 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    0 Kommentare ·0 Anteile ·333 Ansichten
  • UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL MATCH

    Psg Vs Inter milan 22:00 EAT
    🏟 Allianz Arena

    Live at
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL MATCH Psg Vs Inter milan 22:00 EAT 🏟 Allianz Arena Live at 👇👇 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·425 Ansichten
  • Nchi ya Rwanda imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo.

    Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".

    Nchi ya Rwanda 🇷🇼 imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo. Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·784 Ansichten
  • Klabu ya Juventus imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa PSG Randal Kolo Muani kwa mkopo hadi Mwisho wa Msimu.
    Klabu ya Juventus imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa PSG Randal Kolo Muani kwa mkopo hadi Mwisho wa Msimu.
    Like
    1
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·520 Ansichten
  • Matokeo ya michezo ya Jana.

    Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca

    EFL CUP

    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace
    - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford
    - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool

    LA LIGA

    - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence
    - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano

    COPPA ITALIA

    - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena
    - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria

    LIGUE 1

    - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG

    KNVB BEKER

    - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente
    - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht
    - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen
    - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣)
    - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣)
    - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue

    TACA DE PORTUGAL

    - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣)

    PSL

    - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns

    UEFA Champions League (Wanawake)

    - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City
    - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby
    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich
    - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga

    SEGUNDA DIVISION

    - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria
    - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense
    - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon

    Matokeo ya michezo ya Jana. Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 EFL CUP - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool 🇪🇸 LA LIGA - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano 🇮🇹 COPPA ITALIA - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria 🇫🇷 LIGUE 1 - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG 🇳🇱 KNVB BEKER - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣) - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣) - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue 🇵🇹 TACA DE PORTUGAL - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣) 🇿🇦 PSL - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns 🌍 UEFA Champions League (Wanawake) - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga 🇪🇸 SEGUNDA DIVISION - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon
    0 Kommentare ·0 Anteile ·1KB Ansichten
  • Klabu 32 ambazo zinatarajiwa kucheza michuano ya klabu bingwa Duniani Nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025.

    PSG

    Chelsea
    Man. City

    Real Madrid
    Atletico Madrid

    Bayern Munich
    B. Dortmund

    Inter Milan
    Juventus

    Porto
    Benfica

    Salzbourg

    Palmeiras
    Flamengo
    Fluminense
    Botafogo

    River Plate
    Boca Juniors

    Monterrey
    León
    Pachuca

    Seattle Sounders
    Inter Miami

    Al-Hilal

    Urawa Reds

    Ulsan Hyundai

    Al Ain

    Barani Afrika
    Al-Ahly
    Wydad Casablanca
    Esperance Tunis
    Mamelodi Sundowns

    Auckland City
    Klabu 32 ambazo zinatarajiwa kucheza michuano ya klabu bingwa Duniani Nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025. 🇫🇷 PSG 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea Man. City 🇪🇸 Real Madrid Atletico Madrid 🇩🇪 Bayern Munich B. Dortmund 🇮🇹 Inter Milan Juventus 🇵🇹 Porto Benfica 🇦🇹 Salzbourg 🇧🇷 Palmeiras Flamengo Fluminense Botafogo 🇦🇷 River Plate Boca Juniors 🇲🇽 Monterrey León Pachuca 🇺🇸 Seattle Sounders Inter Miami 🇸🇦 Al-Hilal 🇯🇵 Urawa Reds 🇰🇷 Ulsan Hyundai 🇦🇪 Al Ain Barani Afrika 🇪🇬 Al-Ahly 🇲🇦 Wydad Casablanca 🇹🇳 Esperance Tunis 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 🇦🇺 Auckland City
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·842 Ansichten
  • .Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Barani Afrika(ACA) Eng. Hersi Said kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Barani Ulaya(ECA) ambaye pia ni Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain(PSG) Nasser Al-Khelaifi kwenye mkutano mkubwa wa vilabu unaofanyika kwenye mji wa Athens, Ugiriki.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Barani Afrika(ACA) Eng. Hersi Said kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Barani Ulaya(ECA) ambaye pia ni Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain(PSG) Nasser Al-Khelaifi kwenye mkutano mkubwa wa vilabu unaofanyika kwenye mji wa Athens, Ugiriki. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·660 Ansichten
  • HXM MUSIC added a music .. a minute ago
    "Mapenzi Shule " | https://youtu.be/GkbpdqU6pSg?si=vaJ3M7NWy92fv5el
    #hxmusic #hxm #music
    HXM MUSIC added a music .. a minute ago "Mapenzi Shule " | https://youtu.be/GkbpdqU6pSg?si=vaJ3M7NWy92fv5el #hxmusic #hxm #music
    0 Kommentare ·0 Anteile ·1KB Ansichten
  • "Kiapo" | https://youtu.be/GkbpdqU6pSg?si=vaJ3M7NWy92fv5el
    #hxmusic #hxm #music
    "Kiapo" | https://youtu.be/GkbpdqU6pSg?si=vaJ3M7NWy92fv5el #hxmusic #hxm #music
    0 Kommentare ·0 Anteile ·1KB Ansichten
  • Nini kimemkuta kijana wa watu hakuwa ivi alivyo PSG...huku Madrid kuna nini kwake
    Nini kimemkuta kijana wa watu hakuwa ivi alivyo PSG...huku Madrid kuna nini kwake
    Like
    1
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·507 Ansichten
  • WILLIAN PACHO; Paris saint Germain ( PSG ) Imekamilisha usajili wa beki wa kati Willian Pacho raia wa Ecuador, akitokea Eintracht Frankfurt ya Ujerumani.
    #sokachampions
    #psg
    #NgaoYaJamii
    #simbasc
    #yangasc
    WILLIAN PACHO; Paris saint Germain ( PSG ) Imekamilisha usajili wa beki wa kati Willian Pacho raia wa Ecuador, akitokea Eintracht Frankfurt ya Ujerumani. #sokachampions #psg #NgaoYaJamii #simbasc #yangasc
    Like
    Love
    5
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·1KB Ansichten