• Kushoto ni save ya Diarra kwenye mechi ya CAF Champions League Young Africans Sports Club dhidi ya CBE ikimfanya kipa huyo kuondoka na clean sheet

    Kulia ni save kutoka kwa Moussa Camara kipa la wekundu wa msimbazi simba dhidi ya Al Ahli Tripoli ikipigwa naMabululu dakika za jioni na kupelekea wekundu wa msimbazi kwenda makundi CAF Confederation Cup

    IPI KWAKO NI SAVE BORA WEEKEND ILIYOPITA KWA TIMU HIZI ZA KARIAKOO
    Kushoto ni save ya Diarra kwenye mechi ya CAF Champions League Young Africans Sports Club dhidi ya CBE ikimfanya kipa huyo kuondoka na clean sheet Kulia ni save kutoka kwa Moussa Camara kipa la wekundu wa msimbazi simba dhidi ya Al Ahli Tripoli ikipigwa naMabululu dakika za jioni na kupelekea wekundu wa msimbazi kwenda makundi CAF Confederation Cup 👉IPI KWAKO NI SAVE BORA WEEKEND ILIYOPITA KWA TIMU HIZI ZA KARIAKOO
    Like
    3
    1 Commenti 0 condivisioni 228 Views
  • *1. Siku Moja Utastaafu.*
    Hautakua ukienda kazini, hautakua na madaraka tena, hautakua na nguvu ya ushawishi, mzunguko wako wa pesa utapungua kabisa!
    Chunguza/fuatilia tarehe yako ya kustaafu kwenye risiti yako ya malipo ya mshahara.

    *2. Tumia Vizuri Siku Zako za Likizo ya Mwaka.*
    Chochote utakachokifanya Likizo ndio utakachokifanya ukistaafu.Kama unatumia likizo kulala au kuagalia Luninga ndicho utakachokifanya ukistaafu.Tumia wakati wako wa ziada kujifunza kitu, kitakuja kuwa na manufaa ukistaafu.

    *3. Wekeza Kwa Ajili ya Kustaafu Kwako.*
    Watoto wako sio uwekezaji kwa ajili ya kustaafu kwako. Usiwategemee watoto, ndugu, au marafiki kama benki yako. Utapoteza heshima na utu wako.

    *4. Tafuta Shughuli Unayoipenda/Unayoifurahia* wakati bado upo kazini ikuongozee katika kustaafu kwako mfano kufuga kuku au miliki duka pata ujuzi unaojiuza (sio vyeti visivyo na matumizi)

    *5. Utastaafia Wapi?.*
    Jijengee nyumba. Usistaafu ukiwa bado unapanga nyumba.
    Usigome kutoka kwenye nyumba ya serikali.

    @PM SPORTS
    #PM96
    *1. Siku Moja Utastaafu.* Hautakua ukienda kazini, hautakua na madaraka tena, hautakua na nguvu ya ushawishi, mzunguko wako wa pesa utapungua kabisa! Chunguza/fuatilia tarehe yako ya kustaafu kwenye risiti yako ya malipo ya mshahara. *2. Tumia Vizuri Siku Zako za Likizo ya Mwaka.* Chochote utakachokifanya Likizo ndio utakachokifanya ukistaafu.Kama unatumia likizo kulala au kuagalia Luninga ndicho utakachokifanya ukistaafu.Tumia wakati wako wa ziada kujifunza kitu, kitakuja kuwa na manufaa ukistaafu. *3. Wekeza Kwa Ajili ya Kustaafu Kwako.* Watoto wako sio uwekezaji kwa ajili ya kustaafu kwako. Usiwategemee watoto, ndugu, au marafiki kama benki yako. Utapoteza heshima na utu wako. *4. Tafuta Shughuli Unayoipenda/Unayoifurahia* wakati bado upo kazini ikuongozee katika kustaafu kwako mfano kufuga kuku au miliki duka pata ujuzi unaojiuza (sio vyeti visivyo na matumizi) *5. Utastaafia Wapi?.* Jijengee nyumba. Usistaafu ukiwa bado unapanga nyumba. Usigome kutoka kwenye nyumba ya serikali. @PM SPORTS #PM96
    0 Commenti 0 condivisioni 219 Views
  • Tunauza simu iliyo tumika aina ya Tecno spark10 C Kwa Bei nafuu kabisa Tsh 220,000/,
    Pia Tunauza Hard disk 1TB Kwa Bei nafuu kabisa Tsh200,000/.
    Piga simu 0625007469.
    #soccersportstz
    #canadafixiedodds
    #sokachampions
    Tunauza simu iliyo tumika aina ya Tecno spark10 C Kwa Bei nafuu kabisa Tsh 220,000/, Pia Tunauza Hard disk 1TB Kwa Bei nafuu kabisa Tsh200,000/. Piga simu 0625007469. #soccersportstz #canadafixiedodds #sokachampions
    Like
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 241 Views
  • Simba SC imemtanguliza mratibu wake Abbas Ally wiki moja kabla ya mechi nchini Libya kwa ajili ya kuweka taratibu zote sawa kabla ya timu kuwasili Tripoli, Libya.

    Simba Sports Club itacheza na Al Ahli Tripoli jumapili ya Sept 15, kwenye CAFCC.
    #paulswai
    Simba SC imemtanguliza mratibu wake Abbas Ally wiki moja kabla ya mechi nchini Libya 🇱🇾 kwa ajili ya kuweka taratibu zote sawa kabla ya timu kuwasili Tripoli, Libya. Simba Sports Club itacheza na Al Ahli Tripoli jumapili ya Sept 15, kwenye CAFCC. #paulswai
    Like
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 177 Views

  • ... 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗

    Wachezaji wa Yanga SC, Clatous Chama na Kennedy Musonda wameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia, 'Chipolopolo'

    Wachezaji wa klabu za Simba na Yanga walioitwa kwenye timu zao za Taifa :

    Young Africans Sports Club (14)

    ➜ Djigui Diarra
    ➜ Aboutwalib Mshery
    ➜ Stephane Aziz Ki
    ➜ Dickson Job
    ➜ Duke Deuces Abuya
    ➜ Ibrahim Bacca
    ➜ Khalid Aucho
    ➜ Bakari Mwamnyeto
    ➜ Prince Dube
    ➜ Nickson Kibabage
    ➜ Clatous Chama
    ➜ Mudathir Yahya
    ➜ Kennedy Musonda
    ➜ Clement Mzize

    Wazawa saba na wakigeni saba.

    Simba sports Club (5) :

    ➜ Moussa Canara
    ➜ Ally Salim
    ➜ Steven Mukwala
    ➜ Zimbwe Jr
    ➜ Edwin Balua

    Wazawa watatu na wakigeni wawili.
    ... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗 Wachezaji wa Yanga SC, Clatous Chama na Kennedy Musonda wameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia, 'Chipolopolo' 🇿🇲 Wachezaji wa klabu za Simba na Yanga walioitwa kwenye timu zao za Taifa : Young Africans Sports Club (14) ➜ Djigui Diarra 🇲🇱 ➜ Aboutwalib Mshery 🇹🇿 ➜ Stephane Aziz Ki 🇧🇫 ➜ Dickson Job 🇹🇿 ➜ Duke Deuces Abuya 🇰🇪 ➜ Ibrahim Bacca 🇹🇿 ➜ Khalid Aucho 🇺🇬 ➜ Bakari Mwamnyeto 🇹🇿 ➜ Prince Dube 🇿🇼 ➜ Nickson Kibabage 🇹🇿 ➜ Clatous Chama 🇿🇲 ➜ Mudathir Yahya 🇹🇿 ➜ Kennedy Musonda 🇿🇲 ➜ Clement Mzize 🇹🇿 ℹ️ Wazawa saba na wakigeni saba. Simba sports Club (5) : ➜ Moussa Canara 🇬🇳 ➜ Ally Salim 🇹🇿 ➜ Steven Mukwala 🇺🇬 ➜ Zimbwe Jr 🇹🇿 ➜ Edwin Balua 🇹🇿 ℹ️ Wazawa watatu na wakigeni wawili.
    Like
    Love
    7
    1 Commenti 0 condivisioni 463 Views
  • Mlinda mlango wa Simba Sports Club, Moussa Pinpin Camara ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Guinea kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2025.

    Guinea itacheza michezo miwili dhidi ya Tanzania na DR. Congo .
    #paulswai
    Mlinda mlango wa Simba Sports Club, Moussa Pinpin Camara ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Guinea 🇬🇳 kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2025. Guinea itacheza michezo miwili dhidi ya Tanzania 🇹🇿 na DR. Congo 🇨🇩. #paulswai
    Like
    Love
    2
    2 Commenti 0 condivisioni 189 Views
  • Usikose kutazama kipindi cha Sports Online kila siku kuanzia 11:00 jioni mpaka saa 20:00 usiku pale darleo24TV kuipata darleo fuata link na Usubscribe htts://www.youtube.com/@darleo255
    Usikose kutazama kipindi cha Sports Online kila siku kuanzia 11:00 jioni mpaka saa 20:00 usiku pale darleo24TV kuipata darleo fuata link na Usubscribe htts://www.youtube.com/@darleo255
    Like
    Love
    4
    0 Commenti 0 condivisioni 186 Views
  • CHUKUA HII.

    Simba Sports Club wamefunga angalau bao moja katika kila mechi kati ya mechi zao 53 zilizopita za ligi kuu Tanzania bara .

    Mara ya mwisho kwa Simba SC kushindwa kukwamisha mpira wavuni katika mchezo wa ligi, ilikuwa ni mwezi October mwaka 2022 katika mechi waliyopoteza 1-0 dhidi ya Azam .

    Hajaruhusu mpinzani yoyote kupata clean sheets dhidi yao kwenye ligi tangu kipindi hicho..
    🚨 CHUKUA HII. Simba Sports Club wamefunga angalau bao moja katika kila mechi kati ya mechi zao 53 zilizopita za ligi kuu Tanzania bara . Mara ya mwisho kwa Simba SC kushindwa kukwamisha mpira wavuni katika mchezo wa ligi, ilikuwa ni mwezi October mwaka 2022 katika mechi waliyopoteza 1-0 dhidi ya Azam . ℹ️ Hajaruhusu mpinzani yoyote kupata clean sheets dhidi yao kwenye ligi tangu kipindi hicho..
    Like
    Love
    6
    5 Commenti 0 condivisioni 211 Views
  • Yanga imecheza mchezo wakirafiki leo 13/08/124 dhidi ya Green Warriors, yanga kaibuka na ushindi wa goli 4 Kwa 0. Vital'O' kazi wanayo.
    #sokachampions
    #yangasc
    #soccerSports
    Pia angalia marudio ya mechi zote NBC PREMIER LEAGUE
    https://youtu.be/3Rn1iT4bftE?si=UHVMU856_9CmAwIl
    Yanga imecheza mchezo wakirafiki leo 13/08/124 dhidi ya Green Warriors, yanga kaibuka na ushindi wa goli 4 Kwa 0. Vital'O' kazi wanayo🏆🏆🏆. #sokachampions #yangasc #soccerSports Pia angalia marudio ya mechi zote NBC PREMIER LEAGUE 👇 https://youtu.be/3Rn1iT4bftE?si=UHVMU856_9CmAwIl
    Like
    Love
    3
    1 Commenti 0 condivisioni 277 Views
  • "Huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna faida kubwa sana kujua kuhusu wapinzani zaidi ni kuweka umakini kwenye mambo ya msingi ya mechi"

    “Tupo imara kiakili na kimwili, tumejiandaa vya kutosha hakuna tunachohofia, sijapata wasaa mzuri wa kuwatazama wapinzani kwani mechi zao nyingi hazikuoneshwa, lakini hiyo sio changamoto kubwa kwani naanda timu yangu kwa asilimia 75, asilimia 25 ndio natumia kumchunguza mpinzani”

    “Hakuna siri kwenye mpira kila kitu lazima kiwe hadharani, kesho ni siku muhimu sana kwani ni mechi ya mtoano, hatupaswi kufanya makosa tunapaswa kuwa makini kwenye kila idara ili kupata matokeo mazuri, naamini mashabiki wetu watajitokeza kwa wingi kwa lengo la kutupa hamasa”

    “Naheshimu sana wapinzani wote ninaokutana nao, kesho ni mchezo wa derby hakuna underdog kwenye mchezo huo kwani ni mchezo maalumu sana, najua mpinzani wetu ana timu mpya, wachezaji wapya, wote kwa pamoja watachukua fursa hii kuonesha ubora wao.

    Kimsingi mchezo huu mizani ipo sawa kwa pande zote 50/50, ni muhimu sana kuendea mchezo huu kwa umakini mkubwa”

    "Yaliyopita yamepita, sipendelei kufuatilia sana yaliyopita, huu ni msimu mpya hata wapinzani wetu pia wamebadilika kila kitu kimebadilika, wacha tuone kesho kitatokea nini" - Miguel Gamondi,
    Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC Sports kuelekea mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii dhidi ya klabu ya Simba SC.
    "Huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna faida kubwa sana kujua kuhusu wapinzani zaidi ni kuweka umakini kwenye mambo ya msingi ya mechi" “Tupo imara kiakili na kimwili, tumejiandaa vya kutosha hakuna tunachohofia, sijapata wasaa mzuri wa kuwatazama wapinzani kwani mechi zao nyingi hazikuoneshwa, lakini hiyo sio changamoto kubwa kwani naanda timu yangu kwa asilimia 75, asilimia 25 ndio natumia kumchunguza mpinzani” “Hakuna siri kwenye mpira kila kitu lazima kiwe hadharani, kesho ni siku muhimu sana kwani ni mechi ya mtoano, hatupaswi kufanya makosa tunapaswa kuwa makini kwenye kila idara ili kupata matokeo mazuri, naamini mashabiki wetu watajitokeza kwa wingi kwa lengo la kutupa hamasa” “Naheshimu sana wapinzani wote ninaokutana nao, kesho ni mchezo wa derby hakuna underdog kwenye mchezo huo kwani ni mchezo maalumu sana, najua mpinzani wetu ana timu mpya, wachezaji wapya, wote kwa pamoja watachukua fursa hii kuonesha ubora wao. Kimsingi mchezo huu mizani ipo sawa kwa pande zote 50/50, ni muhimu sana kuendea mchezo huu kwa umakini mkubwa” "Yaliyopita yamepita, sipendelei kufuatilia sana yaliyopita, huu ni msimu mpya hata wapinzani wetu pia wamebadilika kila kitu kimebadilika, wacha tuone kesho kitatokea nini" - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC Sports kuelekea mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii dhidi ya klabu ya Simba SC.
    Like
    Love
    2
    1 Commenti 0 condivisioni 277 Views
Pagine in Evidenza