• Baji App (BajiPK) offers an online platform for sports betting and casino gaming where legally permitted in Pakistan, India, and Bangladesh. Accessible via the VPBet App or website, it provides a range of options including sports markets, live casino games, and promotional offers.

    User-Friendly Experience: Simple registration and an intuitive interface.
    Secure Transactions: Fast and reliable deposit and withdrawal methods.
    Bonuses & Promotions: Welcome offers and ongoing promotions for registered users.
    Download the VPBet App or visit the BajiPK website to explore the platform.

    Web: https://bajipk.com
    Baji App (BajiPK) offers an online platform for sports betting and casino gaming where legally permitted in Pakistan, India, and Bangladesh. Accessible via the VPBet App or website, it provides a range of options including sports markets, live casino games, and promotional offers. User-Friendly Experience: Simple registration and an intuitive interface. Secure Transactions: Fast and reliable deposit and withdrawal methods. Bonuses & Promotions: Welcome offers and ongoing promotions for registered users. Download the VPBet App or visit the BajiPK website to explore the platform. Web: https://bajipk.com
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·53 Views
  • Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia.

    Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana 🙌🏽

    Source: TNTSsportsBR
    🚨🚨⚠️‼️ Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia. 😬 Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana 🙌🏽 Source: ℹ️TNTSsportsBR
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·125 Views
  • Klabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini.

    WAFUNGAJI :
    Feitoto
    Kitambala

    #SportsElite
    Klabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini. WAFUNGAJI : ⚽ Feitoto ⚽ Kitambala #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·141 Views
  • Kazi imekwisha sasa muda wa kupumzika Mungu akitujaalia tutaonana kesho msichoke Kunisapoti tuzidi kupasua Anga.

    #SportsElite
    ✍️ Kazi imekwisha sasa muda wa kupumzika Mungu akitujaalia tutaonana kesho msichoke Kunisapoti tuzidi kupasua Anga. 🙏 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·92 Views
  • 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CAF Champions League

    GABORONE UNITED 0️⃣➖️1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB
    ⚽️ 16" Mpanzu
    🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CAF Champions League GABORONE UNITED 🇧🇼 0️⃣➖️1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB 🇹🇿 ⚽️ 16" Mpanzu
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·92 Views
  • 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CAF Confederation Cup

    RAYON SPORTS 0️⃣➖️1️⃣ SINGIDA BLACK STARS
    ⚽️ 22" Tchakei
    🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CAF Confederation Cup RAYON SPORTS 🇷🇼 0️⃣➖️1️⃣ SINGIDA BLACK STARS 🇹🇿 ⚽️ 22" Tchakei
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·122 Views
  • Alexander Anord huwenda akawa nje ya uwanja zaidi ya wiki 6-8 baada ya kuwa majeruhii.

    #SportsElite
    🚨Alexander Anord huwenda akawa nje ya uwanja zaidi ya wiki 6-8 baada ya kuwa majeruhii. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·176 Views
  • Manchester United Yavunja Rekodi ya Mapato ya £666.5m, Licha ya Kukosa Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Manchester United imetangaza mapato ya rekodi ya £666.5 milioni kwa mwaka wa fedha 2025, licha ya kutoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UCL). Hata hivyo, klabu hiyo imerekodi hasara ya uendeshaji ya £18.4 milioni, ikilinganishwa na hasara kubwa zaidi ya £69.3 milioni mwaka 2024.

    Kiasi cha £36.6 milioni kilitumiwa kama gharama maalum, ikiwemo kuondoka kwa aliyekuwa meneja Erik ten Hag pamoja na benchi lake la ufundi.

    United pia imeweka historia kwa kupata mapato ya juu zaidi ya siku za mechi, yaliyoongezeka kwa 17%, kutokana na mauzo makubwa ya tiketi na uanachama. Aidha, klabu ilipata mapato ya juu zaidi ya kibiashara, yaliyoongezeka kwa 10%, kutokana na ushirikiano mpya wa jezi kuu na kampuni ya teknolojia Snapdragon.

    Kwa mwaka wa fedha 2026, klabu hiyo imeweka makadirio ya mapato kati ya £640 milioni na £660 milioni, huku EBITDA iliyorekebishwa ikitarajiwa kuwa kati ya £180 milioni na £200 milioni.

    Afisa Mtendaji Mkuu, Omar Berrada, alisema kuwa klabu inaendelea na mikakati ya muda mrefu ndani na nje ya uwanja:

    > "Tunafurahishwa na wachezaji wapya tulioongeza kwenye vikosi vyetu vya wanaume na wanawake. Nje ya uwanja, tunapitia mabadiliko ya kiuongozi na kimuundo, na sasa tuna taasisi iliyo tayari kufanikisha malengo yetu. Kupunguza gharama kutatupa nafasi kubwa ya kuboresha matokeo ya kifedha, jambo litakalosaidia kipaumbele chetu kikuu — mafaanikio uwanjani."

    Manchester United sasa ina matumaini kwamba mafanikio ya kifedha yatasaidia kurejesha ubingwa na heshima uwanjani.

    #SportsElite
    ⚽ Manchester United Yavunja Rekodi ya Mapato ya £666.5m, Licha ya Kukosa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester United imetangaza mapato ya rekodi ya £666.5 milioni kwa mwaka wa fedha 2025, licha ya kutoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UCL). Hata hivyo, klabu hiyo imerekodi hasara ya uendeshaji ya £18.4 milioni, ikilinganishwa na hasara kubwa zaidi ya £69.3 milioni mwaka 2024. Kiasi cha £36.6 milioni kilitumiwa kama gharama maalum, ikiwemo kuondoka kwa aliyekuwa meneja Erik ten Hag pamoja na benchi lake la ufundi. United pia imeweka historia kwa kupata mapato ya juu zaidi ya siku za mechi, yaliyoongezeka kwa 17%, kutokana na mauzo makubwa ya tiketi na uanachama. Aidha, klabu ilipata mapato ya juu zaidi ya kibiashara, yaliyoongezeka kwa 10%, kutokana na ushirikiano mpya wa jezi kuu na kampuni ya teknolojia Snapdragon. Kwa mwaka wa fedha 2026, klabu hiyo imeweka makadirio ya mapato kati ya £640 milioni na £660 milioni, huku EBITDA iliyorekebishwa ikitarajiwa kuwa kati ya £180 milioni na £200 milioni. Afisa Mtendaji Mkuu, Omar Berrada, alisema kuwa klabu inaendelea na mikakati ya muda mrefu ndani na nje ya uwanja: > "Tunafurahishwa na wachezaji wapya tulioongeza kwenye vikosi vyetu vya wanaume na wanawake. Nje ya uwanja, tunapitia mabadiliko ya kiuongozi na kimuundo, na sasa tuna taasisi iliyo tayari kufanikisha malengo yetu. Kupunguza gharama kutatupa nafasi kubwa ya kuboresha matokeo ya kifedha, jambo litakalosaidia kipaumbele chetu kikuu — mafaanikio uwanjani." 📌 Manchester United sasa ina matumaini kwamba mafanikio ya kifedha yatasaidia kurejesha ubingwa na heshima uwanjani. #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·390 Views
  • OFFICIAL Coady Gakpo ameongeza mkataba wa miaka miwili na nusu kubakia Liverpool hadi 2029.

    Source Fabrizio

    #SportsElite
    🇳🇱✍️OFFICIAL Coady Gakpo ameongeza mkataba wa miaka miwili na nusu kubakia Liverpool hadi 2029.🔐 Source Fabrizio #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·442 Views
  • Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    💰🚨 Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.🇪🇸🔵 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·463 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐑𝐚𝐬𝐦𝐮𝐬 𝐇𝐨𝐣𝐥𝐮𝐧𝐝 𝐭𝐨 𝐒𝐒𝐂 𝐍𝐚𝐩𝐨𝐥𝐢

    BREAKING SSC Napoli imefikia makubaliano kamili na Man United kumsajili Rasmus Højlund kwa mkopo wa €6m na chaguo la kumsajili kwa ada ya €44m.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐑𝐚𝐬𝐦𝐮𝐬 𝐇𝐨𝐣𝐥𝐮𝐧𝐝 𝐭𝐨 𝐒𝐒𝐂 𝐍𝐚𝐩𝐨𝐥𝐢 🚨BREAKING SSC Napoli imefikia makubaliano kamili na Man United kumsajili Rasmus Højlund kwa mkopo wa €6m na chaguo la kumsajili kwa ada ya €44m. 🇩🇰 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·550 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐍𝐢𝐜𝐨𝐥𝐚𝐬 𝐉𝐚𝐜𝐤𝐬𝐨𝐧 𝐭𝐨 𝐁𝐚𝐲𝐞𝐫𝐧 𝐌𝐮𝐧𝐢𝐜𝐡

    BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐍𝐢𝐜𝐨𝐥𝐚𝐬 𝐉𝐚𝐜𝐤𝐬𝐨𝐧 𝐭𝐨 𝐁𝐚𝐲𝐞𝐫𝐧 𝐌𝐮𝐧𝐢𝐜𝐡 🚨BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m🇸🇳 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·652 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Liverpool sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji kutoka Newcastle United Alexander Isak kwa ada ya £130m.

    Source Football Tweets

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Liverpool sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji kutoka Newcastle United Alexander Isak kwa ada ya £130m. Source Football Tweets #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·567 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 : Liverpool imepanga kuwasilisha ofa yao Leo kwa Newcastle United yenye thamani zaidi ya £125m kumsajili mshambuliaji Alexander Isak.

    Source The Touchline

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 : Liverpool imepanga kuwasilisha ofa yao Leo kwa Newcastle United yenye thamani zaidi ya £125m kumsajili mshambuliaji Alexander Isak. 💰 🇸🇪 Source The Touchline #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·431 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Leverkusen imekamilisha usajili wa Eliesse Ben (20).

    Bayer Leverkusen ilifikia makubaliano dhidi ya Monaco kumpata winga huyo mwenye thamani ya €30M hadi 2030.


    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Leverkusen imekamilisha usajili wa Eliesse Ben (20). Bayer Leverkusen ilifikia makubaliano dhidi ya Monaco kumpata winga huyo mwenye thamani ya €30M hadi 2030. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·392 Views
  • Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+

    Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana au mlishindwa kumvumilia Captain America

    Au Seria A ni ligi nyepesi sana ?

    #SportsElite
    🚨🚨Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+ 🙌 Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana 😀 au mlishindwa kumvumilia Captain America 😎 Au Seria A ni ligi nyepesi sana ? #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·472 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐅𝐚𝐜𝐮𝐝𝐨 𝐁𝐮𝐨𝐧𝐚𝐧𝐨𝐭𝐭𝐞 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚

    BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..!

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    🇦🇷🚨𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐅𝐚𝐜𝐮𝐝𝐨 𝐁𝐮𝐨𝐧𝐚𝐧𝐨𝐭𝐭𝐞 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 🚨 BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..! Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·550 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona.

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    🔐🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona. Source The Touchline T #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·375 Views
  • Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain

    Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. .

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨 Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. 🥴🇧🇷. Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·483 Views
  • Piero Hincape anajiunga na Arsenal kwa mkopo wa €6m na Chaguo la kumsajili kwa ada ya €46m na mkataba wa miaka mitano hadi June mwaka 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🇨🇴🚨Piero Hincape anajiunga na Arsenal kwa mkopo wa €6m na Chaguo la kumsajili kwa ada ya €46m na mkataba wa miaka mitano hadi June mwaka 2030.🔐 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·483 Views
Sponsorizeaza Paginile