Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ?
Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka .
Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) .
Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi .
Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga .
Kibwana Shomari amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome
FT : Yanga 3-2 Mashujaa

Kibwana Shomari 👏 amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome 👍
FT : Yanga 3-2 Mashujaa
0 Comments
·0 Shares
·196 Views