


@Miss_nantambalele2
32 Publicações
18 fotos
11 Vídeos
Female
30/10/1995
-
Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita.
Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana.
Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyoPolisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita. Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana. Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·241 Visualizações -
KUmeanza kuchangamkaKUmeanza kuchangamka
-
Mwanaume Mmoja aliefahamika kwa jina la YayuMusa (27) amekiri kumuua mama mkwe wake, AtayiAbdul (50), kwa kumpiga mapanga hadi kufa huko Olla, Kogi State, Nigeria.
.
Tukio lilitokea Julai 25, alipomvizia marehemu akiwa njiani kuelekea shambani. Musa alidai alifanya hivyo kwa sababu mama mkwe wake alitaka kumzuia asiendelee na ndoa na binti yake, licha ya juhudi zake kubwa kuiweka ndoa hiyo hai.
.
Baada ya tukio hilo, alikimbia lakini alikamatwa na kikundi cha ulinzi wa jadi. Polisi wanaendelea na uchunguzi.
.
Katika video ya mahojiano, #Musa alieleza sababu ya kufanya mauaji hayo..
“Nilimuua kwa sababu alitaka kunizuia nisimuoe binti yake, Umi Idris. Alinipa binti yake kama mke, na nimetumia fedha zangu zote kuhakikisha ndoa yetu inafanya kazi.”
“Alikuwa anaendelea kusema mimi si mwanaume kamili na kwamba atamtoa mke wangu kwa mwanaume mwingine kwa sababu hawezi kushika mimba,” alisema.
.
Musa alisisitiza kuwa alifanya hivyo kutokana na msongo wa mawazo na mapenzi kwa mkewe, akisema..
“Sikutaka kumuona akiolewa na mwanaume mwingine wakati mimi bado hai."Mwanaume Mmoja aliefahamika kwa jina la YayuMusa (27) amekiri kumuua mama mkwe wake, AtayiAbdul (50), kwa kumpiga mapanga hadi kufa huko Olla, Kogi State, Nigeria. . Tukio lilitokea Julai 25, alipomvizia marehemu akiwa njiani kuelekea shambani. Musa alidai alifanya hivyo kwa sababu mama mkwe wake alitaka kumzuia asiendelee na ndoa na binti yake, licha ya juhudi zake kubwa kuiweka ndoa hiyo hai. . Baada ya tukio hilo, alikimbia lakini alikamatwa na kikundi cha ulinzi wa jadi. Polisi wanaendelea na uchunguzi. . Katika video ya mahojiano, #Musa alieleza sababu ya kufanya mauaji hayo.. “Nilimuua kwa sababu alitaka kunizuia nisimuoe binti yake, Umi Idris. Alinipa binti yake kama mke, na nimetumia fedha zangu zote kuhakikisha ndoa yetu inafanya kazi.” “Alikuwa anaendelea kusema mimi si mwanaume kamili na kwamba atamtoa mke wangu kwa mwanaume mwingine kwa sababu hawezi kushika mimba,” alisema. . Musa alisisitiza kuwa alifanya hivyo kutokana na msongo wa mawazo na mapenzi kwa mkewe, akisema.. “Sikutaka kumuona akiolewa na mwanaume mwingine wakati mimi bado hai."0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·273 Visualizações -
Niliandika kwa ufupi lakini bado uyu mtoto amepata 10,000 tu
So far!!!
Huyu mtoto anaitwa jenifa miaka yake ni 9 aliokotwa ametumwa akiwa na mwaka mmoja
Bibi alimwokota na kumlea lakini kila alivyo kuwa alionyesha ni mlemavu na aongei kabisa
Mwaka jana nilipigwa simu kupewa taalifa zake lakini alikuwa akiomba Wheelchair NIKAOMBA waje Dar es Salaam!! Walifika na nikaona si mbaya aende CCBRT KWA UCHUNGUZI
ALICHUNGUZWA NA MAJIBU YALIONYESHA ANAWEZA TEMBEA AKIFANYIWA MATIBABU BASI KWAKUWA MUDA WA KUKAA NA SIKUWA NA PROGRAM YA KUMWOMBEA ATIBIWE WARIRUDI IRINGA!!!
NDUGU ZANGU WEEK MBILI ZILIZO PITA NIKATAFUTWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KUSHINIKIZA ASAIDIWE ANAAKILI SANA ILA. BIBI AONI KWAHIYO HATA SHULE SASA AMESIMAMA
HII ILINIUMA AS MOMY OR SISTER
" DISABILITY NOT INABILITY"
NA GHARAMA WA MATIBABU NI 400K
USAFIRI 50K
TUNAHITAJI LAKI 500K
ELFY 50K NI EMERGENCY
NAOMBA GUSWA SI LAZIMA KIKUBWA HATA KIDOGO UNAWEZA TOA
SADAKA NI IBADA
0777787549
TIGOPESA
SHAKILA NANTAMBALELENiliandika kwa ufupi lakini bado uyu mtoto amepata 10,000 tu 🥵 😭 So far!!! Huyu mtoto anaitwa jenifa miaka yake ni 9 aliokotwa ametumwa akiwa na mwaka mmoja Bibi alimwokota na kumlea lakini kila alivyo kuwa alionyesha ni mlemavu na aongei kabisa Mwaka jana nilipigwa simu kupewa taalifa zake lakini alikuwa akiomba Wheelchair NIKAOMBA waje Dar es Salaam!! Walifika na nikaona si mbaya aende CCBRT KWA UCHUNGUZI ALICHUNGUZWA NA MAJIBU YALIONYESHA ANAWEZA TEMBEA AKIFANYIWA MATIBABU BASI KWAKUWA MUDA WA KUKAA NA SIKUWA NA PROGRAM YA KUMWOMBEA ATIBIWE WARIRUDI IRINGA!!! NDUGU ZANGU WEEK MBILI ZILIZO PITA NIKATAFUTWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KUSHINIKIZA ASAIDIWE ANAAKILI SANA ILA. BIBI AONI KWAHIYO HATA SHULE SASA AMESIMAMA 😭😭😭 HII ILINIUMA AS MOMY OR SISTER " DISABILITY NOT INABILITY" NA GHARAMA WA MATIBABU NI 400K USAFIRI 50K TUNAHITAJI LAKI 500K ELFY 50K NI EMERGENCY NAOMBA GUSWA SI LAZIMA KIKUBWA HATA KIDOGO UNAWEZA TOA SADAKA NI IBADA 0777787549 TIGOPESA SHAKILA NANTAMBALELE -
MASKINI GIGYMONEY HALI SI SHWARIMASKINI GIGYMONEY HALI SI SHWARI
-
-
IDD AL ADHA
CHARITY TOUR
Awamu hii tutatembelea watoto wetu yatima siku ya tarehe 7/6/2025
Activity
1) KUPIKA
2) Kula na kusherehekea idd nao
2) Kupeleka zawadi (vifaa shule) na mavazi
MAHITAJI
MCHELE
NYAMA
MAFUTA
SUKARI
UNGA
MAHARAGE
NGANO
:_ MADAFTARI
UNFORM
KALAM NA PENI
BAGS NA RANGI
ENEO (MBEZI MALAMBA MAWILI)
KITUO : MACHO KWA JAMII
NAMBA YA KUCHANGIA NA WHATSAPP
0655987549
MIXBYYAS
MOZA MOHAMED
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRIIDD AL ADHA CHARITY TOUR‼️ Awamu hii tutatembelea watoto wetu yatima siku ya tarehe 7/6/2025 Activity 1) KUPIKA 2) Kula na kusherehekea idd nao 2) Kupeleka zawadi (vifaa shule) na mavazi MAHITAJI MCHELE NYAMA MAFUTA SUKARI UNGA MAHARAGE NGANO :_ MADAFTARI UNFORM KALAM NA PENI BAGS NA RANGI ENEO (MBEZI MALAMBA MAWILI) KITUO : MACHO KWA JAMII NAMBA YA KUCHANGIA NA WHATSAPP 0655987549 MIXBYYAS MOZA MOHAMED KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI 📌 -
IDD AL ADHA
CHARITY TOUR
Awamu hii tutatembelea watoto wetu yatima siku ya tarehe 7/6/2025
Activity
1) KUPIKA
2) Kula na kusherehekea idd
2) Kupeleka zawadi za shule na mavazi
MAHITAJI
MCHELE
NYAMA
MAFUTA
SUKARI
UNGA
MAHARAGE
NGANO
:_ MADAFTARI
UNFORM
KALAM NA PENI
BAGS NA RANGI
ENEO (MBEZI MALAMBA MAWILI)
KITUO : MACHO KWA JAMII
NAMBA YA KUCHANGIA NA WHATSAPP
0655987549
MIXBYYAS
MOZA MOHAMED
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRIIDD AL ADHA CHARITY TOUR‼️ Awamu hii tutatembelea watoto wetu yatima siku ya tarehe 7/6/2025 Activity 1) KUPIKA 2) Kula na kusherehekea idd 2) Kupeleka zawadi za shule na mavazi MAHITAJI MCHELE NYAMA MAFUTA SUKARI UNGA MAHARAGE NGANO :_ MADAFTARI UNFORM KALAM NA PENI BAGS NA RANGI ENEO (MBEZI MALAMBA MAWILI) KITUO : MACHO KWA JAMII NAMBA YA KUCHANGIA NA WHATSAPP 0655987549 MIXBYYAS MOZA MOHAMED KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI 📌 -
-
Mamia ya Raia wa Burkina Faso wanaoishi Ufaransa wameandamana nchini Ufaransa kushinikiza Rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore aondoke madarakani kwani wanadai kiongozi huyo ni Dikteta.
Baada ya sakata hili baadhi ya Watu wanadai huenda Waandamanaji hao wamepangwa na Serikali ya Ufaransa baada ya hivi karibuni Ibrahim Traore kukata urafiki na mazoea na nchi hiyo ambayo kwa muda mrefu inadaiwa ilikuwa ikiinyonya Burkina Faso hasa kwenye eneo la madini.
Traore tangu aingie madarakani amekuwa akipingwa sana na baadhi ya mataifa yenye nguvu Duniani, na hivi sasa Marekani inamtuhumu kuwa anatumia Madini ya Burkina Faso kwa manufaa yake binafsi siyo ya Wananchi wote.Mamia ya Raia wa Burkina Faso wanaoishi Ufaransa wameandamana nchini Ufaransa kushinikiza Rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore aondoke madarakani kwani wanadai kiongozi huyo ni Dikteta. Baada ya sakata hili baadhi ya Watu wanadai huenda Waandamanaji hao wamepangwa na Serikali ya Ufaransa baada ya hivi karibuni Ibrahim Traore kukata urafiki na mazoea na nchi hiyo ambayo kwa muda mrefu inadaiwa ilikuwa ikiinyonya Burkina Faso hasa kwenye eneo la madini. Traore tangu aingie madarakani amekuwa akipingwa sana na baadhi ya mataifa yenye nguvu Duniani, na hivi sasa Marekani inamtuhumu kuwa anatumia Madini ya Burkina Faso kwa manufaa yake binafsi siyo ya Wananchi wote. -
-
Keshi ya Nicole yaahirishwa uchaguzi ukoKeshi ya Nicole yaahirishwa uchaguzi uko 🔥🔥🔥🔥0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·285 Visualizações ·2
-
As usually!!!
PASAKA TULE NAO WATOTO WETU
KIPINDI HICHI TUNAHITAJI VHAKULA NA VINJWAJI
TATHIMINI NI 300,000 ITATOSHA
MAHITAJI
MCHELE KG 30
NYANA KG 10
VINYWAJI NA MATUNDA
UNAWEZA NUNUA UKALETA MBEZI AU TUNAWEZA KUFUATA ULIPO
MUNGU AWABARIKI NDUGU ZANGU
0655987549
TIGOPESA/CALL \EHATSAAP
MOZA MOHAMEDAs usually!!! PASAKA TULE NAO WATOTO WETU KIPINDI HICHI TUNAHITAJI VHAKULA NA VINJWAJI TATHIMINI NI 300,000 ITATOSHA MAHITAJI MCHELE KG 30 NYANA KG 10 VINYWAJI NA MATUNDA UNAWEZA NUNUA UKALETA MBEZI AU TUNAWEZA KUFUATA ULIPO MUNGU AWABARIKI NDUGU ZANGU 0655987549 TIGOPESA/CALL \EHATSAAP MOZA MOHAMED -
-
-
Alhamdulillah MASHALLAH
napokea iftari kwa AJILI ya ndugu ndugu zetu mayatima wajane mafakir
Tunaomba swadaka ya kufturisha ndugu waislam wenzetu katika funga hii
Swadaka ni tiba swadaka ni ibada kubwa zaidi
ibada
SUKARI KG 100
TAMBI
MCHELE KG 200
NGANO KG 100
CHANGIA SADAKA KIDOGO KWA PALE ULIPO BARIKIWA ALLAH ATAKULIPA
0655987549
TIGOPESA
MOZA MOHAMED
SWADAKA NDIO IBADA KUBWA ZAIDIAlhamdulillah MASHALLAH 🤲 napokea iftari kwa AJILI ya ndugu ndugu zetu mayatima wajane mafakir Tunaomba swadaka ya kufturisha ndugu waislam wenzetu katika funga hii Swadaka ni tiba swadaka ni ibada kubwa zaidi ibada SUKARI KG 100 TAMBI MCHELE KG 200 NGANO KG 100 CHANGIA SADAKA KIDOGO KWA PALE ULIPO BARIKIWA ALLAH ATAKULIPA 0655987549 TIGOPESA MOZA MOHAMED SWADAKA NDIO IBADA KUBWA ZAIDI -
Alhamdulillah mashallah tumeiona Tena
Leo ime siku ya KUTOA sadaka tulishe watoto wetu kwa kidogo tulicho barikiwa kwenye maisha yetU
Watoto wanauhitaji WA UNGA NA MCHELE
MCHELE KG 100 =200,000/TZSH
UNGA KG 50 = 55000/tzsh
0655987549
Mixx but Yas/call
Moza MohamedIjumaa nyongine Leo nzuri
Alhamdulillah mashallah tumeiona Tena
Leo ime siku ya KUTOA sadaka tulishe watoto wetu kwa kidogo tulicho barikiwa kwenye maisha yetU
Watoto wanauhitaji WA UNGA NA MCHELE
MCHELE KG 100 =200,000/TZSH
UNGA KG 50 = 55000/tzsh
0655987549
Mixx but Yas/call
Moza MohamedAlhamdulillah mashallah tumeiona Tena Leo ime siku ya KUTOA sadaka tulishe watoto wetu kwa kidogo tulicho barikiwa kwenye maisha yetU Watoto wanauhitaji WA UNGA NA MCHELE MCHELE KG 100 =200,000/TZSH UNGA KG 50 = 55000/tzsh 0655987549 Mixx but Yas/call Moza MohamedIjumaa nyongine Leo nzuri Alhamdulillah mashallah tumeiona Tena Leo ime siku ya KUTOA sadaka tulishe watoto wetu kwa kidogo tulicho barikiwa kwenye maisha yetU Watoto wanauhitaji WA UNGA NA MCHELE MCHELE KG 100 =200,000/TZSH UNGA KG 50 = 55000/tzsh 0655987549 Mixx but Yas/call Moza Mohamed -
ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB
HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL
ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS
NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU
MGUUNI !!!
TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE)
WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN!
HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE
NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE
0745787549
Mpesa
JABILI ALLY ISSA
"KUTOA NI MOYO SI UTAJURI "ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU MGUUNI !!! TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE) WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN! HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA 😪😪😪 KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE 😣😣😥😥😥 0745787549 Mpesa JABILI ALLY ISSA "KUTOA NI MOYO SI UTAJURI " 🙏 -
-
-
-
-
-
-
Mais Stories