0 Commentarii
·0 Distribuiri
·118 Views
-
-
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·170 Views
-
Kylian Mbappé anasema hakutakiwa kukosa kushinda Ballon d'Or 2018.
Mshambuliaji huyu wa Ufaransa anadai kuwa alikosa kushinda Tuzo ya Ballon d'Or 2023 kwa sababu ya mkwaju ya penati aliyoshindwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Argentina kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2022. Anahakikisha kwamba anaweza kushinda Ballon d'Or 2025 ikiwa atang'ara akiwa akiwa na Uzi wa klabu ya Real Madrid.
Kylian Mbappé anasema hakutakiwa kukosa kushinda Ballon d'Or 2018. Mshambuliaji huyu wa Ufaransa anadai kuwa alikosa kushinda Tuzo ya Ballon d'Or 2023 kwa sababu ya mkwaju ya penati aliyoshindwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Argentina kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2022. Anahakikisha kwamba anaweza kushinda Ballon d'Or 2025 ikiwa atang'ara akiwa akiwa na Uzi wa klabu ya Real Madrid.0 Commentarii ·0 Distribuiri ·225 Views -
"Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema.
Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC akijibu swali la Mwandishi wa habari.
"Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema. Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC akijibu swali la Mwandishi wa habari.0 Commentarii ·0 Distribuiri ·465 Views -
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·140 Views
-
MWAKA 2025 UNAZIDI KUTOLEWA UTABARI
Ngono kati ya Mwanamke na roboti itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume Mwaka Huu 2025. Ni kwa mujibu wa Utafiti Uliochapishwa Na Jarida la The Sun Mwaka 2016
Utafiti huo ulifanywa na Dr lan Pearson ambaye ni mtaalam wa masuala ya utabiri na mambo ya baadaye (futurologist) na alieleza kwamba kutokana na ongezeko la wanawake kutumia midoli kujistarehesha, basi mwaka huu 2025 kustarehe na roboti itakuwa sio jambo la kustaajabisha na kufikia mwaka 2050 binadamu watakuwa wakistarehe zaidi na mashine kuliko binadamu wenzao kutokana na kukua kwa teknolojia ya akili mnemba (Artificial Intelligence) na mashine.
Wanawake watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, Kwa Mujibu Wa Ripoti.MWAKA 2025 UNAZIDI KUTOLEWA UTABARI Ngono kati ya Mwanamke na roboti itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume Mwaka Huu 2025. Ni kwa mujibu wa Utafiti Uliochapishwa Na Jarida la The Sun Mwaka 2016 Utafiti huo ulifanywa na Dr lan Pearson ambaye ni mtaalam wa masuala ya utabiri na mambo ya baadaye (futurologist) na alieleza kwamba kutokana na ongezeko la wanawake kutumia midoli kujistarehesha, basi mwaka huu 2025 kustarehe na roboti itakuwa sio jambo la kustaajabisha na kufikia mwaka 2050 binadamu watakuwa wakistarehe zaidi na mashine kuliko binadamu wenzao kutokana na kukua kwa teknolojia ya akili mnemba (Artificial Intelligence) na mashine. Wanawake watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, Kwa Mujibu Wa Ripoti. -
-
-