Atualizar para Plus

  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    "Tunayo mechi muhimu sana mbele yetu, na tunajua tunahitaji alama tatu ili bado tuwe na nafasi ya kufuzu kwa raundi inayofuata. Tunaelewa hilo.

    Nilipofika wiki nne zilizopita, niliona kwamba timu haikuwa fiti kabisa, na hiyo ndiyo ukweli. Sasa katika hizi wiki nne lazima niwape sifa nyingi wachezaji wangu jinsi walivyofanya kazi, jinsi walivyovumilia kila siku kufikia kiwango ambacho ningependa kuwaona.

    Na tuna furaha kubwa kucheza mechi ya kesho tukiwa kwenye hali nzuri dhidi ya TP Mazembe" Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 "Tunayo mechi muhimu sana mbele yetu, na tunajua tunahitaji alama tatu ili bado tuwe na nafasi ya kufuzu kwa raundi inayofuata. Tunaelewa hilo. Nilipofika wiki nne zilizopita, niliona kwamba timu haikuwa fiti kabisa, na hiyo ndiyo ukweli. Sasa katika hizi wiki nne lazima niwape sifa nyingi wachezaji wangu jinsi walivyofanya kazi, jinsi walivyovumilia kila siku kufikia kiwango ambacho ningependa kuwaona. Na tuna furaha kubwa kucheza mechi ya kesho tukiwa kwenye hali nzuri dhidi ya TP Mazembe" Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    ·89 Visualizações
  • "Pengine watacheza kwa mtindo ule ule waliocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi yetu. Kwa mipira ya juu, kushinda mipira ya pili, na kurusha krosi nyingi kwenye eneo letu. Tutakutana na mechi ngumu lakini tumejiandaa vizuri kwa sababu tuna wachezaji binafsi wenye uwezo mkubwa na tumeanza kuwa timu. Hili linanifanya nijivunie sana kama Kocha" Sead Ramovic

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    "Pengine watacheza kwa mtindo ule ule waliocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi yetu. Kwa mipira ya juu, kushinda mipira ya pili, na kurusha krosi nyingi kwenye eneo letu. Tutakutana na mechi ngumu lakini tumejiandaa vizuri kwa sababu tuna wachezaji binafsi wenye uwezo mkubwa na tumeanza kuwa timu. Hili linanifanya nijivunie sana kama Kocha" Sead Ramovic #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    ·82 Visualizações
  • "Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema.

    Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic akijibu swali la mwandishi wa habari.

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    "Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema. Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic akijibu swali la mwandishi wa habari. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    ·89 Visualizações
  • Haha
    1
    ·38 Visualizações
  • ·13 Visualizações
  • ·13 Visualizações
  • ·13 Visualizações
  • "Comenti" nzuri kwa Rose Ndauka kutoka kwa Wema Sepetu, Lucy Komba na Wakazi.
    "Comenti" nzuri kwa Rose Ndauka kutoka kwa Wema Sepetu, Lucy Komba na Wakazi.
    ·17 Visualizações
  • Kylian Mbappé anasema hakutakiwa kukosa kushinda Ballon d'Or 2018.

    Mshambuliaji huyu wa Ufaransa anadai kuwa alikosa kushinda Tuzo ya Ballon d'Or 2023 kwa sababu ya mkwaju ya penati aliyoshindwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Argentina kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2022. Anahakikisha kwamba anaweza kushinda Ballon d'Or 2025 ikiwa atang'ara akiwa akiwa na Uzi wa klabu ya Real Madrid.

    Kylian Mbappé anasema hakutakiwa kukosa kushinda Ballon d'Or 2018. Mshambuliaji huyu wa Ufaransa anadai kuwa alikosa kushinda Tuzo ya Ballon d'Or 2023 kwa sababu ya mkwaju ya penati aliyoshindwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Argentina kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2022. Anahakikisha kwamba anaweza kushinda Ballon d'Or 2025 ikiwa atang'ara akiwa akiwa na Uzi wa klabu ya Real Madrid.
    ·44 Visualizações
  • "Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema.

    Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC akijibu swali la Mwandishi wa habari.

    "Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema. Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC akijibu swali la Mwandishi wa habari.
    ·29 Visualizações