·1 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
.CAF wametoa takwimu za timu ambazo zinacheza soka safi kwa kumiliki mpira zaidi msimu huu huku Yanga ikishika nagasi ya pili nyuma ya Mamelod Sundowns ambao ndio Vinara kwenye ligi ya Mabingwa Afrika.
Kwa upande wa kombe la Shirikisho Simba wanakamata nafasi ya nne huku nafasi ya kwanza ikienda kwa USM ALGER wenye umiliki wa asilimia 61.5%
YANGA BALL POSSESSION 58.3%
SIMBA BALL POSSESSION 54.8%.CAF wametoa takwimu za timu ambazo zinacheza soka safi kwa kumiliki mpira zaidi msimu huu huku Yanga ikishika nagasi ya pili nyuma ya Mamelod Sundowns ambao ndio Vinara kwenye ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa kombe la Shirikisho Simba wanakamata nafasi ya nne huku nafasi ya kwanza ikienda kwa USM ALGER wenye umiliki wa asilimia 61.5% YANGA BALL POSSESSION 58.3% SIMBA BALL POSSESSION 54.8%·5 Views -
Chombo cha Habari cha Al Jazeera kimepigwa marufuku nchini DRC baada ya kufanya mahojiano na Bertrand Bisimwa, kiongozi wa kundi la waasi la M23 ambalo limechukua udhibiti katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
Vyombo vya Habari vimeripoti kuwa, Waziri wa sheria wa Congo ametoa tishio la adhabu ya kifo kwa waandishi wa habari na wengine wanaoripoti kuhusu waasi wa M23, ingawa hakuna sheria rasmi inayopiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuhusu makundi ya waasi.
Chombo cha Habari cha Al Jazeera kimepigwa marufuku nchini DRC baada ya kufanya mahojiano na Bertrand Bisimwa, kiongozi wa kundi la waasi la M23 ambalo limechukua udhibiti katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo. Vyombo vya Habari vimeripoti kuwa, Waziri wa sheria wa Congo ametoa tishio la adhabu ya kifo kwa waandishi wa habari na wengine wanaoripoti kuhusu waasi wa M23, ingawa hakuna sheria rasmi inayopiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuhusu makundi ya waasi.·2 Views -
MCHEZAJI MKUBWA KAONGEA KIKUBWA SANA HAPA
NAPENDA SIMBA WANAVYOCHEZA NAWAOMBEA PIA WASHINDE!
AUCHO AISIFIA SIMBA NA KUIOMBEA MAZURI KIMATAIFA!
#paulswaiMCHEZAJI MKUBWA KAONGEA KIKUBWA SANA HAPA NAPENDA SIMBA WANAVYOCHEZA NAWAOMBEA PIA WASHINDE! AUCHO AISIFIA SIMBA NA KUIOMBEA MAZURI KIMATAIFA! #paulswai·2 Views