Upgrade to Pro

  • ·39 Views
  • .CAF wametoa takwimu za timu ambazo zinacheza soka safi kwa kumiliki mpira zaidi msimu huu huku Yanga ikishika nagasi ya pili nyuma ya Mamelod Sundowns ambao ndio Vinara kwenye ligi ya Mabingwa Afrika.

    Kwa upande wa kombe la Shirikisho Simba wanakamata nafasi ya nne huku nafasi ya kwanza ikienda kwa USM ALGER wenye umiliki wa asilimia 61.5%

    YANGA BALL POSSESSION 58.3%
    SIMBA BALL POSSESSION 54.8%
    .CAF wametoa takwimu za timu ambazo zinacheza soka safi kwa kumiliki mpira zaidi msimu huu huku Yanga ikishika nagasi ya pili nyuma ya Mamelod Sundowns ambao ndio Vinara kwenye ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa kombe la Shirikisho Simba wanakamata nafasi ya nne huku nafasi ya kwanza ikienda kwa USM ALGER wenye umiliki wa asilimia 61.5% YANGA BALL POSSESSION 58.3% SIMBA BALL POSSESSION 54.8%
    Like
    Love
    2
    ·26 Views
  • Zanzibar kama Ulaya. Bei ya kulala katika Hoteli hii ambayo imezinduliwa juzi ni Tshs. 6,500,000/= kwa siku. Full boarding
    Zanzibar kama Ulaya. Bei ya kulala katika Hoteli hii ambayo imezinduliwa juzi ni Tshs. 6,500,000/= kwa siku. Full boarding
    Love
    1
    1 Reacties ·23 Views ·14 Views
  • Chombo cha Habari cha Al Jazeera kimepigwa marufuku nchini DRC baada ya kufanya mahojiano na Bertrand Bisimwa, kiongozi wa kundi la waasi la M23 ambalo limechukua udhibiti katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

    Vyombo vya Habari vimeripoti kuwa, Waziri wa sheria wa Congo ametoa tishio la adhabu ya kifo kwa waandishi wa habari na wengine wanaoripoti kuhusu waasi wa M23, ingawa hakuna sheria rasmi inayopiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuhusu makundi ya waasi.
    Chombo cha Habari cha Al Jazeera kimepigwa marufuku nchini DRC baada ya kufanya mahojiano na Bertrand Bisimwa, kiongozi wa kundi la waasi la M23 ambalo limechukua udhibiti katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo. Vyombo vya Habari vimeripoti kuwa, Waziri wa sheria wa Congo ametoa tishio la adhabu ya kifo kwa waandishi wa habari na wengine wanaoripoti kuhusu waasi wa M23, ingawa hakuna sheria rasmi inayopiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuhusu makundi ya waasi.
    ·14 Views

  • MCHEZAJI MKUBWA KAONGEA KIKUBWA SANA HAPA

    NAPENDA SIMBA WANAVYOCHEZA NAWAOMBEA PIA WASHINDE!

    AUCHO AISIFIA SIMBA NA KUIOMBEA MAZURI KIMATAIFA!
    #paulswai
    MCHEZAJI MKUBWA KAONGEA KIKUBWA SANA HAPA NAPENDA SIMBA WANAVYOCHEZA NAWAOMBEA PIA WASHINDE! AUCHO AISIFIA SIMBA NA KUIOMBEA MAZURI KIMATAIFA! #paulswai
    ·21 Views
  • GLOOMY SUNDAY : WIMBO WA HUZUNI ULIOPELEKEA WATU ZAIDI YA 100 KUJIUA

    ❇ Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake.

    ❇Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana, kilimfanya apatwe na huzuni kali na msongo wa mawazo, na katika kipindi hicho ndipo alipopata wazo la kutunga mashairi na baadaye kuutengeneza wimbo huo.

    ❇Kwa sababu aliuimba akiwa na huzuni kali, wimbo nao ulijawa na hisia kali, za mtu anayelalamika kuvunjwa moyo na mpenzi wake, akifananisha kitendo cha kuachwa kuwa sawa na kufiwa na mpenzi aliyekuwa anampenda.idk_1.png

    ❇Awali ulionekana kuwa wimbo wa kawaida wa huzuni, lakini matukio ya watu kuyakatisha maisha yao baada ya kuusikiliza mara nyingi wimbo huo kwa kuurudiarudia yalianza kuripotiwa, wengine wakiacha kabisa ujumbe kwamba wamejiua baada ya kusikiliza wimbo huo
    ❇Miaka miwili baadaye, serikali ya Hungary iliupiga marufuku wimbo huo, hata hivyo tayari ulikuwa umesambaa sana, kiasi kwamba watu bado waliendelea kuusikiliza, hasa pale inapotokea mtu ameachwa au ameumizwa na ampendaye.

    ❇Sifa za wimbo huo zilianza kusambaa duniani kote na mwaka 1936, wanamuziki wa Marekani na Uingereza waliutafsiri wimbo huo kwa lugha ya Kiingereza, kutoka lugha ya awali ya Ki-hungary, bado tatizo lilelile likawa linaendelea hata kwa matoleo yaliyotafsiriwa, watu wakawa wanaendelea kujiua baada ya kuusikiliza.

    ❇Mwanzoni mwa miaka ya 1940, toleo la Kiingereza la wimbo huo lilipigwa marufuku nchini Uingereza baada ya idadi ya waliokuwa wakijiua kuzidi kuongezeka lakini Marekani na sehemu nyingine duniani wimbo huo uliendelea kupigwa

    ❇Miaka michache baada ya wimbo huo kumpatia mafanikio makubwa na kuwa gumzo dunia nzima, Seress aliamua kumtafuta mwanamke aliyemuacha na kusababisha atunge wimbo huo, lengo lake likiwa ni kujaribu kumbembeleza ili warudiane kwani kama ni pesa, tayari alikuwa nazo baada ya wimbo huo kuwa maarufu dunia nzima.

    ❇Hata hivyo, katika hali ya kustaajabisha, inaelezwa kwamba Seress alipofika mahali alipokuwa akiishi mwanamke huyo, alikuta watu wamejaa, baadaye ikabainika kwamba mwanamke huyo amekunywa sumu na kujiua na kwenye chumba alichojiulia, ilibainika kwamba alikuwa akisikiliza wimbo huo na pia aliacha ujumbe wenye maneno mawili, kama sababu za kujiua kwake; Gloomy Sunday.

    Inaelezwa kwamba Seress alibaki na hatia kubwa ndani ya moyo wake, akiamini kwamba yeye ndiyo chanzo cha kifo cha mwanamke huyo na mwaka 1968, naye aliamua kuyakatisha maisha yake kwa kujirusha ghorofani kupitia dirisha la chumba alichokuwa akiishi, nchini Budapest.

    ❇Seress aliacha ujumbe kwamba ameamua kuyakatisha maisha yake baada ya kuona wimbo alioutunga, umekuwa sababu za watu wengi kujiua hivyo anahisi hatia kubwa ndan ya moto wake, akawaomba radhi ndugu na marafiki wa wote waliojiua kwa sababu ya kusikiliza wimbo huo.

    Kutokana watu kutoshare na kulike post hata kucoment mood ya kupost inapungu
    Bonyeza share kisha share hata kwenye makundi (magroup)
    GLOOMY SUNDAY : WIMBO WA HUZUNI ULIOPELEKEA WATU ZAIDI YA 100 KUJIUA ❇ Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. ❇Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana, kilimfanya apatwe na huzuni kali na msongo wa mawazo, na katika kipindi hicho ndipo alipopata wazo la kutunga mashairi na baadaye kuutengeneza wimbo huo. ❇Kwa sababu aliuimba akiwa na huzuni kali, wimbo nao ulijawa na hisia kali, za mtu anayelalamika kuvunjwa moyo na mpenzi wake, akifananisha kitendo cha kuachwa kuwa sawa na kufiwa na mpenzi aliyekuwa anampenda.idk_1.png ❇Awali ulionekana kuwa wimbo wa kawaida wa huzuni, lakini matukio ya watu kuyakatisha maisha yao baada ya kuusikiliza mara nyingi wimbo huo kwa kuurudiarudia yalianza kuripotiwa, wengine wakiacha kabisa ujumbe kwamba wamejiua baada ya kusikiliza wimbo huo ❇Miaka miwili baadaye, serikali ya Hungary iliupiga marufuku wimbo huo, hata hivyo tayari ulikuwa umesambaa sana, kiasi kwamba watu bado waliendelea kuusikiliza, hasa pale inapotokea mtu ameachwa au ameumizwa na ampendaye. ❇Sifa za wimbo huo zilianza kusambaa duniani kote na mwaka 1936, wanamuziki wa Marekani na Uingereza waliutafsiri wimbo huo kwa lugha ya Kiingereza, kutoka lugha ya awali ya Ki-hungary, bado tatizo lilelile likawa linaendelea hata kwa matoleo yaliyotafsiriwa, watu wakawa wanaendelea kujiua baada ya kuusikiliza. ❇Mwanzoni mwa miaka ya 1940, toleo la Kiingereza la wimbo huo lilipigwa marufuku nchini Uingereza baada ya idadi ya waliokuwa wakijiua kuzidi kuongezeka lakini Marekani na sehemu nyingine duniani wimbo huo uliendelea kupigwa ❇Miaka michache baada ya wimbo huo kumpatia mafanikio makubwa na kuwa gumzo dunia nzima, Seress aliamua kumtafuta mwanamke aliyemuacha na kusababisha atunge wimbo huo, lengo lake likiwa ni kujaribu kumbembeleza ili warudiane kwani kama ni pesa, tayari alikuwa nazo baada ya wimbo huo kuwa maarufu dunia nzima. ❇Hata hivyo, katika hali ya kustaajabisha, inaelezwa kwamba Seress alipofika mahali alipokuwa akiishi mwanamke huyo, alikuta watu wamejaa, baadaye ikabainika kwamba mwanamke huyo amekunywa sumu na kujiua na kwenye chumba alichojiulia, ilibainika kwamba alikuwa akisikiliza wimbo huo na pia aliacha ujumbe wenye maneno mawili, kama sababu za kujiua kwake; Gloomy Sunday. Inaelezwa kwamba Seress alibaki na hatia kubwa ndani ya moyo wake, akiamini kwamba yeye ndiyo chanzo cha kifo cha mwanamke huyo na mwaka 1968, naye aliamua kuyakatisha maisha yake kwa kujirusha ghorofani kupitia dirisha la chumba alichokuwa akiishi, nchini Budapest. ❇Seress aliacha ujumbe kwamba ameamua kuyakatisha maisha yake baada ya kuona wimbo alioutunga, umekuwa sababu za watu wengi kujiua hivyo anahisi hatia kubwa ndan ya moto wake, akawaomba radhi ndugu na marafiki wa wote waliojiua kwa sababu ya kusikiliza wimbo huo. Kutokana watu kutoshare na kulike post hata kucoment mood ya kupost inapungu Bonyeza share kisha share hata kwenye makundi (magroup)
    ·14 Views
  • Wanaitwa ‘MANTIS SHRIMP’ mwenye pigo sawa na nguvu ya bunduki

    ❇Hawa ni moja kati ya viumbe hatari sana wanaopatikana baharini hasa bahari ya Hindi hapa Tanzania Kitalaam anaitwa “Stamatopoda”
    .
    ❇wana urefu wa cm 20 sawa na inchi 8 na uzitowao ni Gram 90 – 100 lakini mambo yao ni konki
    .Kwa umbo wanamagamba mazuri yenye kuvutia lakini ni moja ya viumbe hatari sana baharini
    .
    ❇wanauwezo wa kupiga sehemu na kuvunja na nguvu yake ni sawa na risasi wanauwezo wa kupasua vile vioo vya mabwawa ya kuhifadhia samaki (aquarims) kwa Single Hit)
    .
    ❇Mantis huwa hawachangani, ni wakali sana hasa kwenye mipaka yao yaani ukiingia bahati mbaya kwenye anga zao umeyatimba
    .
    ❇Huwa wanatoa sauti za chini sana ambazo huwasiliana kama ikitokea wakakutana na nadra sana kuona wanapigana
    .
    ❇Macho yao yako kwa juu kama antena na yana uwezo mkubwa wa kuona na kujua direction ya predators au prey
    .pia yana uwezo wa kwenda direction tofauti tofauti yaani moja kaskazini na moja kusini, Vile vile wanakucha ambazo hutumia kumkamata prey anapokua karibu
    .
    ❇Chakula chao kikuu ni ngadu, Samaki na baadhi ya viumbe vingine na wanakula samaki ambao huwa wakubwa kuliko hata umbo lao
    .
    ❇Huwa wanatumia mechanism tofauti sana pale wanapotaka kutafuta chakula wanauwezo wa kupiga maji yakatengeneza mawimbi makubwa tu kukelekea direction ya prey na kabla ya prey hajafanya maamuzi anapigwa round kick kali sana..
    .
    ❇Wanauwezo wa kugundua Mgonjwa wa cancer kwa macho yao na hii ni kwasabu macho yanauwezo mkubwa sana wakuona na kugundua movement nampangilio wa neurons (Hii ni kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha Queensland)
    .
    ❇Kwa kawaida huwa na life partner yaani bebi mmoja tu kwenye maisha yao na muda wa kutaga jike na dume hulalia pamoja mayai mpaka muda wa kupata watoto
    .
    ❇Adui yao mkubwa ni binadamu maana nchi kama Japan na China huwa wanawala sana na wakati mwingine huwa wanaaminishwa na imani fulani kama moja ya viumbe vyenye kuongeza sana nguvu ya mwili kwa kuimarisha seli hai nyeupe (white blood cells).
    Wanaitwa ‘MANTIS SHRIMP’ mwenye pigo sawa na nguvu ya bunduki ❇Hawa ni moja kati ya viumbe hatari sana wanaopatikana baharini hasa bahari ya Hindi hapa Tanzania Kitalaam anaitwa “Stamatopoda” . ❇wana urefu wa cm 20 sawa na inchi 8 na uzitowao ni Gram 90 – 100 lakini mambo yao ni konki .Kwa umbo wanamagamba mazuri yenye kuvutia lakini ni moja ya viumbe hatari sana baharini . ❇wanauwezo wa kupiga sehemu na kuvunja na nguvu yake ni sawa na risasi wanauwezo wa kupasua vile vioo vya mabwawa ya kuhifadhia samaki (aquarims) kwa Single Hit) . ❇Mantis huwa hawachangani, ni wakali sana hasa kwenye mipaka yao yaani ukiingia bahati mbaya kwenye anga zao umeyatimba . ❇Huwa wanatoa sauti za chini sana ambazo huwasiliana kama ikitokea wakakutana na nadra sana kuona wanapigana . ❇Macho yao yako kwa juu kama antena na yana uwezo mkubwa wa kuona na kujua direction ya predators au prey .pia yana uwezo wa kwenda direction tofauti tofauti yaani moja kaskazini na moja kusini, Vile vile wanakucha ambazo hutumia kumkamata prey anapokua karibu . ❇Chakula chao kikuu ni ngadu, Samaki na baadhi ya viumbe vingine na wanakula samaki ambao huwa wakubwa kuliko hata umbo lao . ❇Huwa wanatumia mechanism tofauti sana pale wanapotaka kutafuta chakula wanauwezo wa kupiga maji yakatengeneza mawimbi makubwa tu kukelekea direction ya prey na kabla ya prey hajafanya maamuzi anapigwa round kick kali sana.. 😀 . ❇Wanauwezo wa kugundua Mgonjwa wa cancer kwa macho yao na hii ni kwasabu macho yanauwezo mkubwa sana wakuona na kugundua movement nampangilio wa neurons (Hii ni kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha Queensland) . ❇Kwa kawaida huwa na life partner yaani bebi mmoja tu kwenye maisha yao na muda wa kutaga jike na dume hulalia pamoja mayai mpaka muda wa kupata watoto . ❇Adui yao mkubwa ni binadamu maana nchi kama Japan na China huwa wanawala sana na wakati mwingine huwa wanaaminishwa na imani fulani kama moja ya viumbe vyenye kuongeza sana nguvu ya mwili kwa kuimarisha seli hai nyeupe (white blood cells).
    ·14 Views
  • Watafiti wa maswala ya paranormal ability wamekuwa wakiuliza maswali haya. "Vipi kama hayo maisha unayo ishi sio maisha halisi ?, Vipi kama hapo ulipo upo kwenye coma/ umepoteza fahamu na haya yote unayo yafanya ,unayafanya katika hali ya ndoto?

    Pengine zile sauti unazo ziskia muda mwingine zina kuita jina lako lakini ukijaribu kuangalia huoni mtu anae kuita, yawezekana ni kweli watu wana jaribu kukuamsha kwa kukuita katika maisha halisi kwasababu hapo upo kwenye coma.

    Pia wanaamini ndio maana baadhi ya watu hawana kumbu kumbu ya maisha yao ya hapo kabla kwa ufasaha kwasababu hawapo katika maisha halisi.

    Lakini hii sio kwa kila mtu wao wanaamini baadhi ya watu pengine wanapitia hali hiyo.

    Lakini maswali yao yamekuwa yakipangwa na watu ...!!
    Watafiti wa maswala ya paranormal ability wamekuwa wakiuliza maswali haya. "Vipi kama hayo maisha unayo ishi sio maisha halisi ?, Vipi kama hapo ulipo upo kwenye coma/ umepoteza fahamu na haya yote unayo yafanya ,unayafanya katika hali ya ndoto? Pengine zile sauti unazo ziskia muda mwingine zina kuita jina lako lakini ukijaribu kuangalia huoni mtu anae kuita, yawezekana ni kweli watu wana jaribu kukuamsha kwa kukuita katika maisha halisi kwasababu hapo upo kwenye coma. Pia wanaamini ndio maana baadhi ya watu hawana kumbu kumbu ya maisha yao ya hapo kabla kwa ufasaha kwasababu hawapo katika maisha halisi. Lakini hii sio kwa kila mtu wao wanaamini baadhi ya watu pengine wanapitia hali hiyo. Lakini maswali yao yamekuwa yakipangwa na watu ...!! ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
    ·14 Views
  • MFAHAMU KWA UFUPI

    Anaitwa Martin Cooper, amezaliwa 26 Dec 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA. Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering.

    Anafahamika kama baba wa simu za mkononi (founder of the handheld mobile phone).

    Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973. Yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell.

    Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa 2 kgms, chaji ilidumu kwa nusu SAA tu na kuichaji mpaka ijae ni masaa 12.

    Bila yeye tusingekuwa na simu. Neno moja kwake.
    MFAHAMU KWA UFUPI Anaitwa Martin Cooper, amezaliwa 26 Dec 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA. Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering. Anafahamika kama baba wa simu za mkononi (founder of the handheld mobile phone). Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973. Yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell. Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa 2 kgms, chaji ilidumu kwa nusu SAA tu na kuichaji mpaka ijae ni masaa 12. Bila yeye tusingekuwa na simu. Neno moja kwake.
    ·14 Views
  • HUMAN CLONING.

    PART 1; "njia zinazotumika kutengeneza mtu copy (human cloning)"
    Kama nilivyo eleza kwa ujumla kuhusu "human cloning" katika makala iliyo pita ,ambapo nilisema "human clone" nikitendo cha kuchukua cells,tissue na jens(DNA) ya mtu fulani na kutenge neza mtu mwingine ambae atakuwa anafanana na yule wa mwanzo katika maabara. sasa leo tuangalie makala hii inayo husu aina/njia zinazotumika katika "human cloning"(kumtengeneza mtu feki). REPLICA HUMAN CLONING,
    hii ni aina/njia ya human clone ambayo ,hutengeneza mtu kwa kutoa nakala halisi ya yule wa mwanzo..replical cloning imekuwa ndo njia kuu na rahis ambayo inatumika sana na vikundi vya siri kama illuminant/freemason katika kutengeneza watu feki kwasababu huwa inachukua mda mfupi mpaka kukamilika..na replical cloning ya kwanza ili fanyika mwaka 1979,ambayo inadaiwa kuwa ya billionaire max. Replica clone ,hii ina tumika kwa mtu yeyote yani alie hai na aliye kufa,ambapo hii wanamchukua mtu husika katika maabara kwa ajili ya kumclone/copy iwe ni hai au amekufa, kisha wana muweka kwenye mashine special ambazo zime unganishwa moja kwa moja na computer,ambapo hiyo computer inatumika kuchukua record zote za huyo mtu.mfano, urefu,unene,size ya kila kiungo,mwonekano na kumbukumbu zote kupitia ubongo kisha wana zi hifadhi kwenye computer,kisha badae wana mfanyia replication kupitia zile record zake zote ambapo ata tengenezwa mfano wa mtu kama yeye kupitia mashine ,lakin huyo mtu mpya anakuwa kama toy tu hafanyi chochote.Bada ya hapo ,wanachukua cell,tissue na jens(DNA)za yule halisi kisha wana muwekea yule copy then wana mweka kwenye zile cloning tank,ambazo zinakuwa na material yote yanoyo kupatia uhai,ikiwemo soul intallation ,wana kupa kumbukumbu za yule wa mwanzo ambazo walikuwa wame zi hifadhi kwenye computer..
    Replical clone imetumika kwa watu weng mfano..EMINEM,TYRO SWIFT,BEYONCE,MIREY CRUZY,BI HILARY CLITON,THE GAME,DR DRE,BRIGHTNEY SPEAR,GUCC MANE.. n.k .....ITAENDELEA USIKOSE....
    HUMAN CLONING. PART 1; "njia zinazotumika kutengeneza mtu copy (human cloning)" 👉Kama nilivyo eleza kwa ujumla kuhusu "human cloning" katika makala iliyo pita ,ambapo nilisema "human clone" nikitendo cha kuchukua cells,tissue na jens(DNA) ya mtu fulani na kutenge neza mtu mwingine ambae atakuwa anafanana na yule wa mwanzo katika maabara. 👉sasa leo tuangalie makala hii inayo husu aina/njia zinazotumika katika "human cloning"(kumtengeneza mtu feki). 👉REPLICA HUMAN CLONING, hii ni aina/njia ya human clone ambayo ,hutengeneza mtu kwa kutoa nakala halisi ya yule wa mwanzo..replical cloning imekuwa ndo njia kuu na rahis ambayo inatumika sana na vikundi vya siri kama illuminant/freemason katika kutengeneza watu feki kwasababu huwa inachukua mda mfupi mpaka kukamilika..na replical cloning ya kwanza ili fanyika mwaka 1979,ambayo inadaiwa kuwa ya billionaire max. 👉Replica clone ,hii ina tumika kwa mtu yeyote yani alie hai na aliye kufa,ambapo hii wanamchukua mtu husika katika maabara kwa ajili ya kumclone/copy iwe ni hai au amekufa, kisha wana muweka kwenye mashine special ambazo zime unganishwa moja kwa moja na computer,ambapo hiyo computer inatumika kuchukua record zote za huyo mtu.mfano, urefu,unene,size ya kila kiungo,mwonekano na kumbukumbu zote kupitia ubongo kisha wana zi hifadhi kwenye computer,kisha badae wana mfanyia replication kupitia zile record zake zote ambapo ata tengenezwa mfano wa mtu kama yeye kupitia mashine ,lakin huyo mtu mpya anakuwa kama toy tu hafanyi chochote.Bada ya hapo ,wanachukua cell,tissue na jens(DNA)za yule halisi kisha wana muwekea yule copy then wana mweka kwenye zile cloning tank,ambazo zinakuwa na material yote yanoyo kupatia uhai,ikiwemo soul intallation ,wana kupa kumbukumbu za yule wa mwanzo ambazo walikuwa wame zi hifadhi kwenye computer.. 👉Replical clone imetumika kwa watu weng mfano..EMINEM,TYRO SWIFT,BEYONCE,MIREY CRUZY,BI HILARY CLITON,THE GAME,DR DRE,BRIGHTNEY SPEAR,GUCC MANE.. n.k .....ITAENDELEA USIKOSE....
    ·14 Views