نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Faustine Ngonyani @Faustine7 كان على البث المباشر
    2025-01-20 23:57:55 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·263 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Adam Shangwe @Abdul34 تحديث صورة الملف الشخصي
    2025-01-21 03:53:17 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·219 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • ANOLD NGONYA @Noldy أضاف صورة
    2025-01-21 04:44:33 ·
    Weka hela hapo Paripesa
    Weka hela hapo Paripesa
    Love
    1
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·300 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Steve Clement @Stev أضاف صورة
    2025-01-21 04:50:48 ·
    #Hamieni LEON bet hamtaki #

    #Photographchallenge#
    #Hamieni LEON bet hamtaki # 😄😄😄 #Photographchallenge#
    1 التعليقات ·0 المشاركات ·846 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Binary Milanzi @Bmovies25 تحديث صورة الملف الشخصي
    2025-01-21 04:54:12 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·298 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Rama Ally @Ramadeel تحديث صورة الملف الشخصي
    2025-01-21 05:03:01 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·239 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-21 05:24:26 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·93 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-21 05:36:12 ·
    "Mimi sasa hivi nimetimiza miaka 35, suala la kupata mtoto nimelikatia tamaa kwasababu nimesubiri mtoto kwa hamu nikiwa binti nimekosa sasa itakuwa vipi kwenye umri huu wa kuelekea uzeeni? Nimejikatia tamaa hata Mungu akinipa mtoto sasa hivi nitampokea lakini aaah!! sasa nitamlea vipi mtoto nitakayempata katika umri huu jamani"

    "Mungu tu alinipangia niishi hivi na silaumu kwasababu huenda ningepata mtoto ningepata shida ndio maana kaamua kuniacha hivihivi. Na huyo mtoto ningempata angependwa mpaka achanganyikiwe, lakini Alhamdulillah nashukuru kwa yote nalea watoto wa dada zangu ba ndugu zangu wengine maana hao ni wangu pia"- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.

    "Mimi sasa hivi nimetimiza miaka 35, suala la kupata mtoto nimelikatia tamaa kwasababu nimesubiri mtoto kwa hamu nikiwa binti nimekosa sasa itakuwa vipi kwenye umri huu wa kuelekea uzeeni? Nimejikatia tamaa hata Mungu akinipa mtoto sasa hivi nitampokea lakini aaah!! sasa nitamlea vipi mtoto nitakayempata katika umri huu jamani" "Mungu tu alinipangia niishi hivi na silaumu kwasababu huenda ningepata mtoto ningepata shida ndio maana kaamua kuniacha hivihivi. Na huyo mtoto ningempata angependwa mpaka achanganyikiwe, lakini Alhamdulillah nashukuru kwa yote nalea watoto wa dada zangu ba ndugu zangu wengine maana hao ni wangu pia"- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·441 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-21 05:37:29 ·
    Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon aliyewahi kucheza klabu ya FC Barcelona ya Hispania Samuel Eto’o (43) akiwa na Klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi, aliweka rekodi ya Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Duniani kati ya mwaka 2011 na 2013.

    Eto’o alikuwa akilipwa pauni 365,000 kwa wiki ambazo ni takribani Shilingi Bilioni 1.1 za Kitanzania na alipewa Ndege binafsi (Private Jet) ambayo aliweza kusafiri kila siku kutoka Makhachkala kwenda Moscow ambapo ni umbali wa (1,910 KM) kwa mujibu wa Mkataba wake.

    Samuel Eto’o hadi anaachana na Klabu hiyo, alikuwa kacheza jumla ya mechi (73), kafunga mabao (36), Pasi saidizi (assist) 16. Cha kushangaza zaidi kwa sasa Klabu hiyo haipo kabisa imefilisika na Juni 2022 ilipoteza rasmi leseni ya Klabu baada ya kupitia matatizo ya kifedha na kushindwa kucheza mchezo wowote.

    Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon aliyewahi kucheza klabu ya FC Barcelona ya Hispania Samuel Eto’o (43) akiwa na Klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi, aliweka rekodi ya Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Duniani kati ya mwaka 2011 na 2013. Eto’o alikuwa akilipwa pauni 365,000 kwa wiki ambazo ni takribani Shilingi Bilioni 1.1 za Kitanzania na alipewa Ndege binafsi (Private Jet) ambayo aliweza kusafiri kila siku kutoka Makhachkala kwenda Moscow ambapo ni umbali wa (1,910 KM) kwa mujibu wa Mkataba wake. Samuel Eto’o hadi anaachana na Klabu hiyo, alikuwa kacheza jumla ya mechi (73), kafunga mabao (36), Pasi saidizi (assist) 16. Cha kushangaza zaidi kwa sasa Klabu hiyo haipo kabisa imefilisika na Juni 2022 ilipoteza rasmi leseni ya Klabu baada ya kupitia matatizo ya kifedha na kushindwa kucheza mchezo wowote.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·552 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-01-21 05:38:16 ·
    Like
    Love
    4
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·145 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (21431-21440 من 25723)
  • «
  • السابق
  • 2142
  • 2143
  • 2144
  • 2145
  • 2146
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين