-
Mtandao wa Threads unaomilikiwa na META (Facebook, Instagram, WhatsApp, ...) ambao ni mshindani wa X(Twitter) umefanya mabadiliko kwenye Wasifu (profile) wa Watumiaji wake. Kwa sasa Threads imefika Watumiaji zaidi ya milioni (300) kwa mwezi.
Threads imeongeza "tab" mpya ya “Media” ambayo itakuwa ni maalum kwa kuona picha na video ambazo zimepostiwa na akaunti. Pia Threas imeanza kuweka mfumo wa matangazo kwa baadhi ya Watumiaji na mabadiliko haya yameanza kwa Watumiaji wa Nchini Marekani na Japan .
Mtandao wa Threads unaomilikiwa na META (Facebook, Instagram, WhatsApp, ...) ambao ni mshindani wa X(Twitter) umefanya mabadiliko kwenye Wasifu (profile) wa Watumiaji wake. Kwa sasa Threads imefika Watumiaji zaidi ya milioni (300) kwa mwezi. Threads imeongeza "tab" mpya ya “Media” ambayo itakuwa ni maalum kwa kuona picha na video ambazo zimepostiwa na akaunti. Pia Threas imeanza kuweka mfumo wa matangazo kwa baadhi ya Watumiaji na mabadiliko haya yameanza kwa Watumiaji wa Nchini Marekani 🇺🇸 na Japan 🇯🇵. -
-
JJ Okocha akikumbusha enzi. 2020JJ Okocha akikumbusha enzi. 2020
-
"Nilifungua mlango na kushangaa nimemwagiwa kitu Usoni. Nilipiga kelele na sikuweza kupumua! Mke wangu alipiga namba ya dharura na wakaniambia niende bafuni nkaoshe uso wangu na maji ya Shower. Nilipokwenda Hospit, walinambia kuwa macho yangu yameungua. Mtu alikuwa akija kila baada ya saa moja kuja kuyaosha macho yangu "
"Limekuwa balaa tangu siku hiyo. Tangu siku hiyo uwa nashtuka ninaposkia kelele na kitu ambacho kinanipa moyo wa kuendelea ni kuwa wanangu wapo salama. Nilifanyiwa upasuaji kwenye macho yangu yote na daktari akaniambia kuwa nitakuwa natumia dawa ya macho(Eye Drop) kwenye maisha yangu yote.
"Nilikuwa kipofu kwa miezi 6 kabla niliporudi kuona vizuri. Siku hizo zilikuwa za kutisha sana na tangu siku hiyo sipendi kuketi na watu nisiowajua" - Yoane Wissa, Mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na klabu ya Brentford ya England via RMC Sport.
"Nilifungua mlango na kushangaa nimemwagiwa kitu Usoni. Nilipiga kelele na sikuweza kupumua! Mke wangu alipiga namba ya dharura na wakaniambia niende bafuni nkaoshe uso wangu na maji ya Shower. Nilipokwenda Hospit, walinambia kuwa macho yangu yameungua. Mtu alikuwa akija kila baada ya saa moja kuja kuyaosha macho yangu " "Limekuwa balaa tangu siku hiyo. Tangu siku hiyo uwa nashtuka ninaposkia kelele na kitu ambacho kinanipa moyo wa kuendelea ni kuwa wanangu wapo salama. Nilifanyiwa upasuaji kwenye macho yangu yote na daktari akaniambia kuwa nitakuwa natumia dawa ya macho(Eye Drop) kwenye maisha yangu yote. "Nilikuwa kipofu kwa miezi 6 kabla niliporudi kuona vizuri. Siku hizo zilikuwa za kutisha sana na tangu siku hiyo sipendi kuketi na watu nisiowajua" - Yoane Wissa, Mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na klabu ya Brentford ya England via RMC Sport.0 Comments ·0 Shares ·32 Views -
-
-
-
-