• JJ Okocha akikumbusha enzi. 2020
    JJ Okocha akikumbusha enzi. 2020
    Like
    Love
    6
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·497 Views
  • "Nilifungua mlango na kushangaa nimemwagiwa kitu Usoni. Nilipiga kelele na sikuweza kupumua! Mke wangu alipiga namba ya dharura na wakaniambia niende bafuni nkaoshe uso wangu na maji ya Shower. Nilipokwenda Hospit, walinambia kuwa macho yangu yameungua. Mtu alikuwa akija kila baada ya saa moja kuja kuyaosha macho yangu "

    "Limekuwa balaa tangu siku hiyo. Tangu siku hiyo uwa nashtuka ninaposkia kelele na kitu ambacho kinanipa moyo wa kuendelea ni kuwa wanangu wapo salama. Nilifanyiwa upasuaji kwenye macho yangu yote na daktari akaniambia kuwa nitakuwa natumia dawa ya macho(Eye Drop) kwenye maisha yangu yote.

    "Nilikuwa kipofu kwa miezi 6 kabla niliporudi kuona vizuri. Siku hizo zilikuwa za kutisha sana na tangu siku hiyo sipendi kuketi na watu nisiowajua" - Yoane Wissa, Mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na klabu ya Brentford ya England via RMC Sport.

    "Nilifungua mlango na kushangaa nimemwagiwa kitu Usoni. Nilipiga kelele na sikuweza kupumua! Mke wangu alipiga namba ya dharura na wakaniambia niende bafuni nkaoshe uso wangu na maji ya Shower. Nilipokwenda Hospit, walinambia kuwa macho yangu yameungua. Mtu alikuwa akija kila baada ya saa moja kuja kuyaosha macho yangu " "Limekuwa balaa tangu siku hiyo. Tangu siku hiyo uwa nashtuka ninaposkia kelele na kitu ambacho kinanipa moyo wa kuendelea ni kuwa wanangu wapo salama. Nilifanyiwa upasuaji kwenye macho yangu yote na daktari akaniambia kuwa nitakuwa natumia dawa ya macho(Eye Drop) kwenye maisha yangu yote. "Nilikuwa kipofu kwa miezi 6 kabla niliporudi kuona vizuri. Siku hizo zilikuwa za kutisha sana na tangu siku hiyo sipendi kuketi na watu nisiowajua" - Yoane Wissa, Mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na klabu ya Brentford ya England via RMC Sport.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·541 Views
  • Pameanza kuchanga mka
    Pameanza kuchanga mka
    Like
    Wow
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·139 Views
  • Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·226 Views ·0
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·236 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·210 Views
  • Haha
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·138 Views
  • Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·136 Views
  • "Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maisha yangu nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa jamii na kwenu nyinyi waandishi wa habari kwamba ni nini siri ya mafanikio yangu, nini chanzo cha pesa zangu. Leo naomba nizungumze ukweli kwamba mnamo mwaka 2018 nilifanya tafiti kutaka kujua ni kitu gani ama ni biashara gani nitakayoifanya ambayo itakuwa kama biashara yangu ya pili ya kuniingizia pesa"

    "Nilifanya utafiti kwenye biashara nyingi na hatimae mawazo yangu yalisimama kwenye kilimo, nilikuja kugundua kilimo ndicho kitakachonitoa, nikawekeza nguvu na mtaji wangu huko hatimae nikaanza kupata matunda ambayo pesa zake ndio hizi mnazoona nakula bata kila uchao, ndio maana nimekuja na kampeni yangu ya kuwasaidia wanawake kujikwamua kupitia kilimo kwasababu nimeona huko kuna pesa nyingi"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.

    "Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maisha yangu nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa jamii na kwenu nyinyi waandishi wa habari kwamba ni nini siri ya mafanikio yangu, nini chanzo cha pesa zangu. Leo naomba nizungumze ukweli kwamba mnamo mwaka 2018 nilifanya tafiti kutaka kujua ni kitu gani ama ni biashara gani nitakayoifanya ambayo itakuwa kama biashara yangu ya pili ya kuniingizia pesa" "Nilifanya utafiti kwenye biashara nyingi na hatimae mawazo yangu yalisimama kwenye kilimo, nilikuja kugundua kilimo ndicho kitakachonitoa, nikawekeza nguvu na mtaji wangu huko hatimae nikaanza kupata matunda ambayo pesa zake ndio hizi mnazoona nakula bata kila uchao, ndio maana nimekuja na kampeni yangu ya kuwasaidia wanawake kujikwamua kupitia kilimo kwasababu nimeona huko kuna pesa nyingi"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.
    Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·470 Views
  • Kwa mitonyo zaidi Gusa link hiyo

    https://linkpesa.com/page/reg.php?reg=david20
    Kwa mitonyo zaidi Gusa link hiyo https://linkpesa.com/page/reg.php?reg=david20
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·233 Views