Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • David Atto @Mefa πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 16:07:00 ·
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·313 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Atto @Mefa πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 16:10:49 ·
    Like
    Love
    Haha
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·313 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Atto @Mefa πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 16:11:45 ·
    Like
    Love
    Wow
    4
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·316 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 17:48:47 ·
    #PART1

    Kuna gereza, na kuna Guantanamo Bay.

    Hili si gereza la kawaida. Ni shimo la mateso, mahali ambapo sheria za haki za binadamu zinaonekana kama hadithi za kufikirika.

    Lipo Cuba, lakini linamilikiwa na Marekani.

    Wanasema gereza ni sehemu ya kutumikia adhabu, lakini Guantanamo ni sehemu ambapo unatakiwa kusahau kama ulikuwa binadamu.

    Kama umewekwa hapa, ni ishara kwamba dunia imeshakusahau.
    Na hata kama hauna hatia, hutaweza kuthibitisha chochote.

    Marekani ni taifa la haki, Ndio! angalau kwenye makaratasi.
    Lakini hata Wamarekani wenyewe walikuwa hawapendi Guantanamo.

    Kila mwaka, wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wakiandamana, wakitaka gereza hilo lifungwe.

    Ilipofika mwaka 2008, Barack Obama alipoingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, akaahidi jambo moja kubwa.

    "Nikichaguliwa kuwa Rais, gereza la Guantanamo litafungwa mara moja!"

    Ilionekana kama ahadi ya kweli.

    Wamarekani wakashangilia, wakaamini kwamba hatimaye heshima ya taifa lao itarudi.
    #PART1 Kuna gereza, na kuna Guantanamo Bay. Hili si gereza la kawaida. Ni shimo la mateso, mahali ambapo sheria za haki za binadamu zinaonekana kama hadithi za kufikirika. Lipo Cuba, lakini linamilikiwa na Marekani. Wanasema gereza ni sehemu ya kutumikia adhabu, lakini Guantanamo ni sehemu ambapo unatakiwa kusahau kama ulikuwa binadamu. Kama umewekwa hapa, ni ishara kwamba dunia imeshakusahau. Na hata kama hauna hatia, hutaweza kuthibitisha chochote. Marekani ni taifa la haki, Ndio! angalau kwenye makaratasi. Lakini hata Wamarekani wenyewe walikuwa hawapendi Guantanamo. Kila mwaka, wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wakiandamana, wakitaka gereza hilo lifungwe. Ilipofika mwaka 2008, Barack Obama alipoingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, akaahidi jambo moja kubwa. "Nikichaguliwa kuwa Rais, gereza la Guantanamo litafungwa mara moja!" Ilionekana kama ahadi ya kweli. Wamarekani wakashangilia, wakaamini kwamba hatimaye heshima ya taifa lao itarudi.
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 17:52:55 ·
    #PART2

    Na kweli, wakampigia kura, Obama akaingia madarakani.

    Mwaka wa kwanza ukapita.
    Mwaka wa pili ukapita.
    Mwaka wa tatu ukapita.

    Gereza bado liko palepale.

    Kila alipoulizwa juu ya ahadi yake, alitoa majibu yasiyoeleweka.

    Ndani ya miaka yake minane madarakani, Guantanamo Bay liliendelea kuwepo.

    Ndipo Wamarekani wakagundua kitu.
    Hata Rais hana nguvu juu ya gereza hili.

    Wakati Trump akaingia madarakani, yeye hakutumia Guantanamo kama njia ya kuombea kura.

    Hakusema atalifunga.
    Hakusema atalifungua.

    Lakini alipoingia, akatoa amri ya kuhamisha wafungwa zaidi ya 30,000.

    Lengo lake lilikuwa moja tu.

    "Tuhakikishe gereza linajaa wale ambao kweli wanastahili kuwepo humo."
    #PART2 Na kweli, wakampigia kura, Obama akaingia madarakani. Mwaka wa kwanza ukapita. Mwaka wa pili ukapita. Mwaka wa tatu ukapita. Gereza bado liko palepale. Kila alipoulizwa juu ya ahadi yake, alitoa majibu yasiyoeleweka. Ndani ya miaka yake minane madarakani, Guantanamo Bay liliendelea kuwepo. Ndipo Wamarekani wakagundua kitu. Hata Rais hana nguvu juu ya gereza hili. Wakati Trump akaingia madarakani, yeye hakutumia Guantanamo kama njia ya kuombea kura. Hakusema atalifunga. Hakusema atalifungua. Lakini alipoingia, akatoa amri ya kuhamisha wafungwa zaidi ya 30,000. Lengo lake lilikuwa moja tu. "Tuhakikishe gereza linajaa wale ambao kweli wanastahili kuwepo humo."
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·847 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 17:54:21 ·
    #PART3

    Hivyo, wale waliokuwa hawana ushahidi wa moja kwa moja wakaanza kuhamishwa.

    Lakini wale waliokuwa na rekodi ya ugaidi wa kiwango cha juu, wakabaki.
    Kwa Trump, Guantanamo lilikuwa muhimu.

    Lilikuwa sehemu ya kuhakikisha magaidi hawana sehemu ya kujificha.

    Hapa hakuna kesi.
    Hakuna mawakili.
    Hakuna upendeleo.

    Ukiingia, unasahau kama kuna dunia nje.

    Mateso yanayotokea ndani ya gereza hili ni siri kubwa ya Marekani.

    Lakini waliowahi kutoka, au maafisa wa zamani wa CIA na FBI, wamesema kwamba mateso ya Guantanamo yanaweza kumfanya mtu mwenye msimamo mkali wa kidini aseme Yesu alikuwa Muislam na Muhammad alikuwa Myahudi.
    #PART3 Hivyo, wale waliokuwa hawana ushahidi wa moja kwa moja wakaanza kuhamishwa. Lakini wale waliokuwa na rekodi ya ugaidi wa kiwango cha juu, wakabaki. Kwa Trump, Guantanamo lilikuwa muhimu. Lilikuwa sehemu ya kuhakikisha magaidi hawana sehemu ya kujificha. Hapa hakuna kesi. Hakuna mawakili. Hakuna upendeleo. Ukiingia, unasahau kama kuna dunia nje. Mateso yanayotokea ndani ya gereza hili ni siri kubwa ya Marekani. Lakini waliowahi kutoka, au maafisa wa zamani wa CIA na FBI, wamesema kwamba mateso ya Guantanamo yanaweza kumfanya mtu mwenye msimamo mkali wa kidini aseme Yesu alikuwa Muislam na Muhammad alikuwa Myahudi.
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·929 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 17:55:50 ·
    #PART4

    Wanasema kwamba ukiingizwa kwenye chumba cha mateso, unaweza kuanza kuongea kabla hata hawajauliza maswali.

    Ule ukali wa "Sitawataja washikaji wangu" unayeyuka ndani ya saa moja.

    Gereza hili linawafanya hata magaidi waliokuwa na imani kali kuwa wepesi kama karatasi.

    Ndiyo maana wanasema,

    "Magaidi wengi wanaoingizwa humo, hawachukui muda kutaja mnyororo mzima wa washikaji zao."

    Kwa kifupi, Guantanamo ni gereza ambalo lina mlango wa kuingilia, lakini hauna mlango wa kutokea.

    Ni jela ambayo ukishaingia, unaishi kwa maombi hata kama wewe si mtu wa dini.
    #PART4 Wanasema kwamba ukiingizwa kwenye chumba cha mateso, unaweza kuanza kuongea kabla hata hawajauliza maswali. Ule ukali wa "Sitawataja washikaji wangu" unayeyuka ndani ya saa moja. Gereza hili linawafanya hata magaidi waliokuwa na imani kali kuwa wepesi kama karatasi. Ndiyo maana wanasema, "Magaidi wengi wanaoingizwa humo, hawachukui muda kutaja mnyororo mzima wa washikaji zao." Kwa kifupi, Guantanamo ni gereza ambalo lina mlango wa kuingilia, lakini hauna mlango wa kutokea. Ni jela ambayo ukishaingia, unaishi kwa maombi hata kama wewe si mtu wa dini.
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·886 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • IcharibaChode 行逢りば兄弟 @IcharibaChode added 5 φωτογραφίες στο album: Nioneshe Tattoo yako na stori yake ....
    2025-02-08 18:17:37 ·
    +1
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·450 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Abuu AL Rikash @Born ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2025-02-08 18:21:44 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·340 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-02-08 19:54:27 ·
    "Kazi bado ni ngumu katika mzozo wa Drc ukitazama maoni ya Marais wa Afrika mashariki utagundua kuwa hii ngoma bado ngumu!!

    Marais wengi wanashauri Tshsekedi afanye mazungumzo na M23 ili kufikia makubaliano na hatimaye amani, ugumu ni kuwa Rais Tshsekedi na serikali yake ya Congo imeapa kamwe haitazungumza na waasi na kufanya hivyo ni kitu ambacho Congo hawataki

    Ugumu ni kuwa tayari M23 imejitangazia serikali yake huko Goma kitendo ambacho ni sawa na uhaini kwa serikali ya Tshsekedi na Tshsekedi hataki kuzungumza na wahaini wa serikali yake

    Hivyo kwa sasa fahamu kuwa sio M23 wanaokataa mazungumzo bali serikali ya Congo ambayo inaona kufanya hivyo ni kuwapa nguvu zaidi waasi

    Ni wazi kuwa njia pekee anayoitaka Tshsekedi ni kutumia mtutu wa silaha dhidi ya M23 kitu ambacho kwa sasa ni kigumu kwa sababu jeshi la Congo ni dhaifu, na hawezi bila msaada wa majeshi mengine.. Congo bado ngoma ni ngumu!!" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

    "Kazi bado ni ngumu katika mzozo wa Drc ukitazama maoni ya Marais wa Afrika mashariki utagundua kuwa hii ngoma bado ngumu!! Marais wengi wanashauri Tshsekedi afanye mazungumzo na M23 ili kufikia makubaliano na hatimaye amani, ugumu ni kuwa Rais Tshsekedi na serikali yake ya Congo imeapa kamwe haitazungumza na waasi na kufanya hivyo ni kitu ambacho Congo hawataki Ugumu ni kuwa tayari M23 imejitangazia serikali yake huko Goma kitendo ambacho ni sawa na uhaini kwa serikali ya Tshsekedi na Tshsekedi hataki kuzungumza na wahaini wa serikali yake Hivyo kwa sasa fahamu kuwa sio M23 wanaokataa mazungumzo bali serikali ya Congo ambayo inaona kufanya hivyo ni kuwapa nguvu zaidi waasi Ni wazi kuwa njia pekee anayoitaka Tshsekedi ni kutumia mtutu wa silaha dhidi ya M23 kitu ambacho kwa sasa ni kigumu kwa sababu jeshi la Congo ni dhaifu, na hawezi bila msaada wa majeshi mengine.. Congo bado ngoma ni ngumu!!" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·466 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (22721-22730 από 32467)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 2271
  • 2272
  • 2273
  • 2274
  • 2275
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers