Kuhusu mkutano mkubwa wa Makundi ya Waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliofanyika Jijini Goma leo hii ambapo mambo mengi yamezungumzwa pamoja na kuwateua Viongozi wapya wa Mji huo baada ya kuutwaa.
Mkutano huo umefanyika katika Uwanja mkubwa wa Stade De L'Unite uliopo Jijini hapo na kuhudhuriwa na Viongozi wakuu wa Makundi ya Waasi hao akiwemo Kiongozi Mkuu Corneille Nangaa ambaye ni Kiongozi Congo River Allience na Muungano wao, Bertrand Bisimwa ambaye ni Kiongozi Mkuu wa M23 na Luteni Kanali Willy Ngoma ambaye ni Msemaji wa M23.
Mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya Wananchi wa Goma huku wakiushangilia kwa nderemo na vifijo ambapo baadhi ya Watu nje na ndani ya DR Congo wameshangaza kwamba kumbe Wananchi wengi pia wanaunga mkono Waasi hao na wapo pamoja nao. Lugha ya Kiswahili ilitumika Viongozi hao na kutoa mipango yao ya kuichukua Nchi nzima kutoka kwa Serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na Rais Felix Tshisekedi.
Msemaji wa M23, Willy Ngoma akiwa Jukwaani aliwauliza Wananchi "mnataka tuishie hapa Goma tu? " Wananchi kwa shangwe kubwa wakajibu "hapana".

Kuhusu mkutano mkubwa wa Makundi ya Waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 uliofanyika Jijini Goma leo hii ambapo mambo mengi yamezungumzwa pamoja na kuwateua Viongozi wapya wa Mji huo baada ya kuutwaa.
Mkutano huo umefanyika katika Uwanja mkubwa wa Stade De L'Unite uliopo Jijini hapo na kuhudhuriwa na Viongozi wakuu wa Makundi ya Waasi hao akiwemo Kiongozi Mkuu Corneille Nangaa ambaye ni Kiongozi Congo River Allience na Muungano wao, Bertrand Bisimwa ambaye ni Kiongozi Mkuu wa M23 na Luteni Kanali Willy Ngoma ambaye ni Msemaji wa M23.
Mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya Wananchi wa Goma huku wakiushangilia kwa nderemo na vifijo ambapo baadhi ya Watu nje na ndani ya DR Congo wameshangaza kwamba kumbe Wananchi wengi pia wanaunga mkono Waasi hao na wapo pamoja nao. Lugha ya Kiswahili ilitumika Viongozi hao na kutoa mipango yao ya kuichukua Nchi nzima kutoka kwa Serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na Rais Felix Tshisekedi.
Msemaji wa M23, Willy Ngoma akiwa Jukwaani aliwauliza Wananchi "mnataka tuishie hapa Goma tu? " Wananchi kwa shangwe kubwa wakajibu "hapana".
![Like](https://socialpop.online/content/uploads/photos/2024/04/socialpop_2100e9799e24bf10897fb46fe676a97d.png)