Ripoti mbalimbali zilionesha kuwa Nangaa alikuwa akilitumia kundi hilo kama silaha yake ya kisiasa na kijeshi.
Huku akipewa misaada ya kifedha na baadhi ya mataifa ya nje yenye maslahi katika siasa za Congo.
Sasa Congo iko njia panda. Corneille Nangaa, ambaye miaka michache iliyopita alihusika katika kuleta utawala wa sasa, sasa anatajwa kama mmoja wa watu wanaotaka kuipindua serikali.
Je, anataka kuwa Rais?
Au ana ajenda nyingine ya siri?
Wakati serikali ya Tshisekedi ikifanya kila juhudi kuhakikisha Nangaa na jeshi lake wanadhibitiwa, ukweli unabaki kuwa Congo imeingia katika mgogoro mpya
Jeshi la M23 likiwa linazidi kuimarika, na Nangaa akiwa nyuma ya harakati hizo, taifa linakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utulivu wa kisiasa.
Ikiwa hatua hazitachukuliwa haraka, huenda Congo ikajikuta kwenye mgogoro mkubwa zaidi wa kisiasa na kijeshi na jina la Corneille Nangaa litakuwa miongoni mwa majina yatakayotajwa kwa historia ndefu katika taifa hilo.

0 Comments
路0 Shares
路90 Views