• Ilinichukua miezi sita kutulia Man Utd - Onana


    Kipa wa Manchester United Andre Onana anasema ilimchukua miezi sita "kutulia" Old Trafford.

    United walilipa £47.2m kumsajili Onana kutoka Inter Milan mwezi Julai kuchukuwa nafasi ya kipa Mhispania David de Gea.

    Hata hivyo, licha ya matarajio makubwa juu ya ujio wake, mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon alifungwa kwa umbali wa yadi 50 katika mechi yake ya kwanza Old Trafford dhidi ya Lens na kisha akafanya makosa kadhaa ambayo yalichangia klabu hiyo kutofanya vizuri katika Ligi Kuu na kuondolewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.

    Uchezaji wa Onana haukuimarika sana hadi aliporejea kutoka Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Februari na ingawa amefanya makosa ya ajabu, sasa anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa wa kikosi cha meneja Erik ten Hag watakapoelekea Jumamosi

    Fainali ya Kombe la FA dhidi ya wapinzani Manchester City (15:00 BST). “Nilifika nikiwa kipa bora zaidi duniani na ‘boom’ ilishuka.

    Ilikuwa kama ‘nini kilitokea?’,” alisema kijana huyo mwenye umri wa miaka 28. “Lakini hivyo ndivyo soka linavyokuwa gumu wakati mwingine.

    Inategemea kama unataka kukaa chini na kulia au kusimama na kupigana.

    Najua nilichokifanya kufika hapa. Najua mimi ni nani. Niliamua kusimama na kupigana.”
    #Sports view
    🩸Ilinichukua miezi sita kutulia Man Utd - Onana Kipa wa Manchester United Andre Onana anasema ilimchukua miezi sita "kutulia" Old Trafford. United walilipa £47.2m kumsajili Onana kutoka Inter Milan mwezi Julai kuchukuwa nafasi ya kipa Mhispania David de Gea. Hata hivyo, licha ya matarajio makubwa juu ya ujio wake, mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon alifungwa kwa umbali wa yadi 50 katika mechi yake ya kwanza Old Trafford dhidi ya Lens na kisha akafanya makosa kadhaa ambayo yalichangia klabu hiyo kutofanya vizuri katika Ligi Kuu na kuondolewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa. Uchezaji wa Onana haukuimarika sana hadi aliporejea kutoka Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Februari na ingawa amefanya makosa ya ajabu, sasa anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa wa kikosi cha meneja Erik ten Hag watakapoelekea Jumamosi Fainali ya Kombe la FA dhidi ya wapinzani Manchester City (15:00 BST). “Nilifika nikiwa kipa bora zaidi duniani na ‘boom’ ilishuka. Ilikuwa kama ‘nini kilitokea?’,” alisema kijana huyo mwenye umri wa miaka 28. “Lakini hivyo ndivyo soka linavyokuwa gumu wakati mwingine. Inategemea kama unataka kukaa chini na kulia au kusimama na kupigana. Najua nilichokifanya kufika hapa. Najua mimi ni nani. Niliamua kusimama na kupigana.” #Sports view
    Like
    Love
    8
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·422 مشاهدة
  • Wachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya

    Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano.

    Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia.

    Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza.

    Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo.
    #Sports view
    Wachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano. Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia. Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza. Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo. #Sports view
    Like
    5
    · 0 التعليقات ·1 المشاركات ·853 مشاهدة
  • TETESI ZA SOKA ULAYA

    Mchezaji wa Stoke Souleymane Sidibe, mwenye umri wa miaka 17, anaweza kuhama msimu huu huku Brighton , Chelsea , Monaco na Juventus wakimtaka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa.(Foot Mercato)

    Winga wa Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 35, amepewa ofa kutoka Saudi Arabia ili azingatie kwani mkataba wake na Fulham unakaribia kuisha. (Telegraph - usajili unahitajika)
    TETESI ZA SOKA ULAYA Mchezaji wa Stoke Souleymane Sidibe, mwenye umri wa miaka 17, anaweza kuhama msimu huu huku Brighton , Chelsea , Monaco na Juventus wakimtaka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa.(Foot Mercato) Winga wa Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 35, amepewa ofa kutoka Saudi Arabia ili azingatie kwani mkataba wake na Fulham unakaribia kuisha. (Telegraph - usajili unahitajika)
    Like
    Love
    6
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·896 مشاهدة
  • Newcastle United wanawania wachezaji wawili wa Uingereza, huku Thomas Tuchel akiwa mgombea anayeongoza kuchukua mikoba huko Manchester United...

    Newcastle United wanatumai kusajili wachezaji wawili wa kimataifa wa Uingereza huku mshambuliaji wa Everton Dominic Calvert-Lewin, mwenye umri wa miaka 27, na mshambuliaji wa West Ham Jarrod Bowen, pia mwenye umri wa miaka 27, wakiwa kwenye rada yao.(Telegraph)

    Newcastle wanataka karibu pauni milioni 200 kumnunua mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak, 24, ambaye amekuwa akihusishwa na Arsenal(Mirror)

    Thomas Tuchel, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuondoka Bayern Munich, ndiye mgombea anayeongoza kuchukua mikoba ya Manchester United ikiwa klabu hiyo ya Old Trafford itamfukuza Erik ten Hag baada ya fainali ya Kombe la FA (Guardian).
    #Sports view
    🌎Newcastle United wanawania wachezaji wawili wa Uingereza, huku Thomas Tuchel akiwa mgombea anayeongoza kuchukua mikoba huko Manchester United... Newcastle United wanatumai kusajili wachezaji wawili wa kimataifa wa Uingereza huku mshambuliaji wa Everton Dominic Calvert-Lewin, mwenye umri wa miaka 27, na mshambuliaji wa West Ham Jarrod Bowen, pia mwenye umri wa miaka 27, wakiwa kwenye rada yao.(Telegraph) Newcastle wanataka karibu pauni milioni 200 kumnunua mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak, 24, ambaye amekuwa akihusishwa na Arsenal(Mirror) Thomas Tuchel, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuondoka Bayern Munich, ndiye mgombea anayeongoza kuchukua mikoba ya Manchester United ikiwa klabu hiyo ya Old Trafford itamfukuza Erik ten Hag baada ya fainali ya Kombe la FA (Guardian). #Sports view
    Like
    Love
    9
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·737 مشاهدة
  • Bayern Munich wanamfuatilia beki wa England na Manchester City John Stones, mwenye umri wa miaka 29 (Football Insider)

    Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 28, pia analengwa na Bayern (Sun)

    Manchester City ya Pep Guardiola haitamzuia mlinda lango wa Brazil Ederson ikiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anataka kuhamia Saudi Arabia, lakini masharti yanapaswa kuwa sawa kwao juu ya uhamisho wowote.(90 Min)

    Burnley wanaomba fidia ya £17m kutoka kwa Bayern ili kumruhusu meneja Vincent Kompany kuchukua mikoba katika klabu hiyo ya Ujerumani. (Sky Sports Ujerumani)

    Liverpool wameelekeza mawazo yao kwa winga wa Leeds Mholanzi Crysencio Summerville, 22, baada ya kuamua kumnunua winga wa Newcastle na England Anthony Gordon, 23. (90 Min).


    Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuinasa sahihi ya winga wa kikosi cha chini ya miaka 21 wa Crystal Palace na Ufaransa Michael Olise, 22. (Football Transfers)

    Aston Villa wanafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 31. (Givemesport)

    Winga wa Nottingham Forest na Uingereza Callum Hudson-Odoi, 22, anatarajiwa kulengwa na Tottenham(Guardian)

    Ajax na Feyenoord wanavutiwa na winga wa Chelsea Omari Hutchinson, mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliichezea Ipswich kwa mkopo msimu uliopita(Football London).
    #Sports view
    🌎Bayern Munich wanamfuatilia beki wa England na Manchester City John Stones, mwenye umri wa miaka 29 (Football Insider) Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 28, pia analengwa na Bayern (Sun) Manchester City ya Pep Guardiola haitamzuia mlinda lango wa Brazil Ederson ikiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anataka kuhamia Saudi Arabia, lakini masharti yanapaswa kuwa sawa kwao juu ya uhamisho wowote.(90 Min) Burnley wanaomba fidia ya £17m kutoka kwa Bayern ili kumruhusu meneja Vincent Kompany kuchukua mikoba katika klabu hiyo ya Ujerumani. (Sky Sports Ujerumani) Liverpool wameelekeza mawazo yao kwa winga wa Leeds Mholanzi Crysencio Summerville, 22, baada ya kuamua kumnunua winga wa Newcastle na England Anthony Gordon, 23. (90 Min). Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuinasa sahihi ya winga wa kikosi cha chini ya miaka 21 wa Crystal Palace na Ufaransa Michael Olise, 22. (Football Transfers) Aston Villa wanafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 31. (Givemesport) Winga wa Nottingham Forest na Uingereza Callum Hudson-Odoi, 22, anatarajiwa kulengwa na Tottenham(Guardian) Ajax na Feyenoord wanavutiwa na winga wa Chelsea Omari Hutchinson, mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliichezea Ipswich kwa mkopo msimu uliopita(Football London). #Sports view
    Like
    Love
    13
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
  • Jamie Carragher:

    “Bellingham ni nyota wa Real Madrid lakini ni Foden ambaye ananikumbusha Zidane. Bellingham ni mchezaji nzuri lakini Foden ni mchezaji pekee wa England ambaye ana zawadi ya kipaji asilia cha kucheza mpira wa miguu.”

    Via: Sports view #
    🚨Jamie Carragher: “Bellingham ni nyota wa Real Madrid lakini ni Foden ambaye ananikumbusha Zidane. Bellingham ni mchezaji nzuri lakini Foden ni mchezaji pekee wa England ambaye ana zawadi ya kipaji asilia cha kucheza mpira wa miguu.” Via: Sports view #
    Like
    Love
    6
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·587 مشاهدة
  • 0 التعليقات ·0 المشاركات ·238 مشاهدة
  • NBC premium league leo
    #Sportsview
    🌎NBC premium league leo #Sportsview
    Like
    Love
    8
    · 2 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
  • Love
    1
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·234 مشاهدة
  • Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024:

    Atalanta : wachezaji 4
    B' Leverkusen : wachezaji 4
    Roma : 2
    Marseille : 1

    #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague

    #Sportsview
    Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024: Atalanta 🏆: wachezaji 4 B' Leverkusen : wachezaji 4 Roma : 2 Marseille : 1 #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague #Sportsview
    Like
    Love
    7
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة