• If Seconds Of Smile Can Make A Photograph More Beautiful, Then Just Imagine If You Keep Always Smiling How Beautiful Your Life Will Be. So Keep Smiling!
    #memoryofjosephcharles
    If Seconds Of Smile Can Make A Photograph More Beautiful, Then Just Imagine If You Keep Always Smiling How Beautiful Your Life Will Be. So Keep Smiling! #memoryofjosephcharles
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·123 Ansichten
  • Welcome This Day With A Smile On Your Lips And A Good Thought In Your Heart. Breathe. Let Go. And Remind Yourself That This Very Moment Is The Only One You Know You Have For Sure.
    #memoryofjosephcharles
    Welcome This Day With A Smile On Your Lips And A Good Thought In Your Heart. Breathe. Let Go. And Remind Yourself That This Very Moment Is The Only One You Know You Have For Sure. #memoryofjosephcharles
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·218 Ansichten
  • Nice People Are – Always Friendly, Always Smiling And Always Giving. Send This To A Nice Person – I Just Did!
    #memoryofjosephcharles
    Nice People Are – Always Friendly, Always Smiling And Always Giving. Send This To A Nice Person – I Just Did! #memoryofjosephcharles
    Love
    Like
    6
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·100 Ansichten
  • #memoryofjosephcharles
    #memoryofjosephcharles
    Like
    Love
    Sad
    5
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·116 Ansichten
  • #memoryofjosephcharles
    #memoryofjosephcharles
    Like
    Haha
    Love
    6
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·118 Ansichten
  • Nashkur kumekucha, nami pia nmeamka
    Socialpop narejea, ndugu kuwasalimia
    Sijui salamu inafaa, kwenu nyikuwapatia
    Nihao ikiwa hii itafaa, basi ndio nitatumia
    Hello socialpop asubuhinjema nawatakia

    #jaiva
    Nashkur kumekucha, nami pia nmeamka Socialpop narejea, ndugu kuwasalimia Sijui salamu inafaa, kwenu nyikuwapatia Nihao ikiwa hii itafaa, basi ndio nitatumia Hello socialpop asubuhinjema nawatakia #jaiva
    Like
    3
    · 6 Kommentare ·0 Anteile ·953 Ansichten
  • Kocha wa magolikipa Simba Daniel Cadena anasema Kwa sasa Simba Kwa upande wake anaona wanapaswa kuondosha watu wote ndani ya klabu na kuanza upya
    .
    Kocha huyo anasema kuwa Simba Kwa sasa inahitaji "PROFESSIONAL PEOPLE" watu wenye Ueledi , wasipewe nafasi sababu wanajuana na watu au Sababu wanaijua Sana Simba bali wanahitaji watu wenye Ueledi na taaluma
    .
    Daniel Cadena ambaye alikuwa kocha wa magolikipa Simba ameamua kuondoka Simba baada ya mkataba wake kuisha mwishoni mwa Msimu huu
    Kocha wa magolikipa Simba Daniel Cadena anasema Kwa sasa Simba Kwa upande wake anaona wanapaswa kuondosha watu wote ndani ya klabu na kuanza upya . Kocha huyo anasema kuwa Simba Kwa sasa inahitaji "PROFESSIONAL PEOPLE" watu wenye Ueledi , wasipewe nafasi sababu wanajuana na watu au Sababu wanaijua Sana Simba bali wanahitaji watu wenye Ueledi na taaluma . Daniel Cadena ambaye alikuwa kocha wa magolikipa Simba ameamua kuondoka Simba baada ya mkataba wake kuisha mwishoni mwa Msimu huu
    Like
    Love
    2
    · 1 Kommentare ·1 Anteile ·281 Ansichten ·25
  • Aliyekuwa kocha wa Magolikipa Simba Daniel Cadena ambaye amemaliza mkataba wake Simba mwishoni mwa Msimu huu na kuamua kuondoka Simba, amefunguka kuwa aliwahi kugombana hadi kukunjana na Mchambuzi wa Video wa Simba kwani alikuwa hampi ushirikiano
    .
    Cadena amesema hata kwenye mchezo wa FA dhidi ya Mashujaa Mchezo ambao Simba alitolewa kwa mikwaju ya penati baada ya dakika tisini kuisha Kwa Sare alimfuata Mwalimu mkuu Benchikha na kumwambia kuwa Mwalimu siwezi kukupa taarifa yeyote kuhusu mchezo huu sababu Mchambuzi wa Video hajanitumia taarifa yoyote
    Aliyekuwa kocha wa Magolikipa Simba Daniel Cadena ambaye amemaliza mkataba wake Simba mwishoni mwa Msimu huu na kuamua kuondoka Simba, amefunguka kuwa aliwahi kugombana hadi kukunjana na Mchambuzi wa Video wa Simba kwani alikuwa hampi ushirikiano . Cadena amesema hata kwenye mchezo wa FA dhidi ya Mashujaa Mchezo ambao Simba alitolewa kwa mikwaju ya penati baada ya dakika tisini kuisha Kwa Sare alimfuata Mwalimu mkuu Benchikha na kumwambia kuwa Mwalimu siwezi kukupa taarifa yeyote kuhusu mchezo huu sababu Mchambuzi wa Video hajanitumia taarifa yoyote
    Like
    Love
    2
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·273 Ansichten
  • Kuhusu kile kichapo cha 5-1 kutoka kwa Yanga Kocha wa Magolikipa Daniel Cadena anasema kuwa alikataa Manula asidake lakini ilitolewa amri kuwa kwenye mchezo ule lazima manula adake na akaambiwa kuwa Manula yupo tayari Kwa mchezo ule , lakini yeye kama kocha akamfata Manula faragha na kumuambia asidake lakini manula akadaka kilichotokea wakapoteza 5-1
    Kuhusu kile kichapo cha 5-1 kutoka kwa Yanga Kocha wa Magolikipa Daniel Cadena anasema kuwa alikataa Manula asidake lakini ilitolewa amri kuwa kwenye mchezo ule lazima manula adake na akaambiwa kuwa Manula yupo tayari Kwa mchezo ule , lakini yeye kama kocha akamfata Manula faragha na kumuambia asidake lakini manula akadaka kilichotokea wakapoteza 5-1
    Like
    Love
    2
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·526 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·309 Ansichten