• Big up Mtu baki ulie geuka ndugu..
    Adui Kua rafiki kazi ya mungu..
    peke yangu siwezi mambo magumu..
    Nimekosa washauli nalipuka na ndumu..
    Naji tuma juudi zina nifanya na ishi..
    Na wanyang'anyi walio nifanya mtumishi..
    Yani wao ma boss me kibaraka..
    Na sogea jah kaachilia baraka..
    wana nitilia shaka.. sijabaki walipo niacha
    wakati wao kukosa imani nyakati za mashaka..
    Big up Mtu baki ulie geuka ndugu.. Adui Kua rafiki kazi ya mungu.. peke yangu siwezi mambo magumu.. Nimekosa washauli nalipuka na ndumu.. Naji tuma juudi zina nifanya na ishi.. Na wanyang'anyi walio nifanya mtumishi.. Yani wao ma boss me kibaraka.. Na sogea jah kaachilia baraka.. wana nitilia shaka.. sijabaki walipo niacha wakati wao kukosa imani nyakati za mashaka..
    0 Commenti 0 condivisioni 87 Views
  • 饾櫤饾殥饾殫饾殜 饾殟饾殜饾殟饾殜 饾殰饾殤饾殥饾殧饾殠饾殫 饾殸饾殜饾殹
    饾殧饾殥饾殫饾殜 饾殧饾殜饾殧饾殜 饾殫饾殥饾殭饾殥饾殣饾殠饾殫 饾殫饾殜 饾殭饾殯饾殬 饾殩饾殜饾殹
    饾殫饾殜饾殱饾殜饾殧饾殜 饾殧饾殲饾殝饾殜饾殰饾殱
    饾殫饾殥饾殭饾殠饾殫 饾殱饾殬饾殭饾殥饾殞 饾殜饾殱饾殜饾殺饾殠 饾殱饾殥饾殰饾殤饾殜 饾殫饾殜饾殩饾殭饾殬饾殰饾殱
    饾殧饾殜饾殩 饾殲饾殺饾殬 饾殰饾殤饾殬饾殧饾殜饾殱
    #饾櫟饾殯饾殠饾殠 饾殰饾殱饾殺饾殨饾殠
    饾櫤饾殥饾殫饾殜 饾殟饾殜饾殟饾殜 饾殰饾殤饾殥饾殧饾殠饾殫 饾殸饾殜饾殹 饾殧饾殥饾殫饾殜 饾殧饾殜饾殧饾殜 饾殫饾殥饾殭饾殥饾殣饾殠饾殫 饾殫饾殜 饾殭饾殯饾殬 饾殩饾殜饾殹 饾殫饾殜饾殱饾殜饾殧饾殜 饾殧饾殲饾殝饾殜饾殰饾殱 饾殫饾殥饾殭饾殠饾殫 饾殱饾殬饾殭饾殥饾殞 饾殜饾殱饾殜饾殺饾殠 饾殱饾殥饾殰饾殤饾殜 饾殫饾殜饾殩饾殭饾殬饾殰饾殱 饾殧饾殜饾殩 饾殲饾殺饾殬 饾殰饾殤饾殬饾殧饾殜饾殱 #饾櫟饾殯饾殠饾殠 饾殰饾殱饾殺饾殨饾殠
    0 Commenti 0 condivisioni 119 Views
  • kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,,
    kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,,
    ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,,
    na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,,
    mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,, kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,, ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,, na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,, mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    0 Commenti 0 condivisioni 697 Views
  • kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,,
    kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,,
    ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,,
    na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,,
    mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,, kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,, ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,, na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,, mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    0 Commenti 0 condivisioni 709 Views
  • Wauni tulio peace hatuishi kwa masifa..
    Naishinao mm mbishi sifa zitakuja siku nikifa..
    Wasionipenda waambieni npo Arusha bado naishi..
    Tena siwawazi nikila nashushia na kushi..
    Manigger mwendokasi xyoo ubitozi..
    Nashangaa wanapanga kikosi kunisaka wamekosa kazi..
    Gari limeshawashwa katikati ya sheli..
    Uvutaji wa sigara ni hatari ukiwa mmbovu wa seli..
    Wauni tulio peace hatuishi kwa masifa.. Naishinao mm mbishi sifa zitakuja siku nikifa.. Wasionipenda waambieni npo Arusha bado naishi.. Tena siwawazi nikila nashushia na kushi.. Manigger mwendokasi xyoo ubitozi.. Nashangaa wanapanga kikosi kunisaka wamekosa kazi.. Gari limeshawashwa katikati ya sheli.. Uvutaji wa sigara ni hatari ukiwa mmbovu wa seli..
    0 Commenti 0 condivisioni 584 Views
  • HIP Hop Hisia Nyingi Ma balz Mingi Napokuwa Narap..
    Najiona Zaidi Dingi Demu Kiganja Napigi Safu..
    Umenipa Nini Hip Hop Nafanya Vingi Juu Yako..
    Bila Shilingi Me Mbavu Najiamini Nikiwa Kwako..
    Nilishakana Kubana Pua Wote Mashoga Bongo Wanazingua..
    Siko Dom Arusha Nakichafua Nakwako Ndo Nimeshatua..
    Hip Hop Nikupe Nini Usiwafate Maemce Shilingi..
    HIP Hop Hisia Nyingi Ma balz Mingi Napokuwa Narap.. Najiona Zaidi Dingi Demu Kiganja Napigi Safu.. Umenipa Nini Hip Hop Nafanya Vingi Juu Yako.. Bila Shilingi Me Mbavu Najiamini Nikiwa Kwako.. Nilishakana Kubana Pua Wote Mashoga Bongo Wanazingua.. Siko Dom Arusha Nakichafua Nakwako Ndo Nimeshatua.. Hip Hop Nikupe Nini Usiwafate Maemce Shilingi..
    0 Commenti 0 condivisioni 858 Views
  • Henock Inonga Baka kwenda FA Rabat inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco
    .
    Kwa mujibu wa Simba Inonga raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amebakisha Mkataba wa mwaka mmoja unaomalizika 2025 lakini kutokana na klabu kujali maslahi ya wachezaji, wamemruhusu beki huyo kuondoka kwenda kujiunga na FA Rabat. Inonga alijiunga na kikosi cha Simba mwaka 2021 akitokea DC Motema Pembe ya Congo.
    Henock Inonga Baka kwenda FA Rabat inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco 馃嚥馃嚘 . Kwa mujibu wa Simba Inonga raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amebakisha Mkataba wa mwaka mmoja unaomalizika 2025 lakini kutokana na klabu kujali maslahi ya wachezaji, wamemruhusu beki huyo kuondoka kwenda kujiunga na FA Rabat. Inonga alijiunga na kikosi cha Simba mwaka 2021 akitokea DC Motema Pembe ya Congo.
    Like
    Love
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 71 Views
  • Kuna picha mbili tofautii!!
    Kati ya aliesema nakuongea mtafute mnafiki!!
    Alie tizama na alio jionea!!
    Ni yupi atakua shahidii!!
    Tungo masimuliziii nyie mlisimulia wapi!!
    Tamathali za sauti so ngonjera!!
    Kwa hadhira aitadumu kama masimulizi!!
    Kitendo kwa mtendajii!!
    Ni unyama kwa mwindajii!!
    Kuna picha mbili tofautii!! Kati ya aliesema nakuongea mtafute mnafiki!! Alie tizama na alio jionea!! Ni yupi atakua shahidii!! Tungo masimuliziii nyie mlisimulia wapi!! Tamathali za sauti so ngonjera!! Kwa hadhira aitadumu kama masimulizi!! Kitendo kwa mtendajii!! Ni unyama kwa mwindajii!!
    0 Commenti 0 condivisioni 613 Views
  • maadui .....wapo wengi...Wengine ni ndugu....
    Ishi nao kwa amani...usioneshe ata gubu....
    Awakupend ilo jua.... Watataka kukuua .....
    We kaa kia askali... Pia omba sana dua....
    Adui sio ndugu.... Ata awe ndugu...
    Adui sio rafiki .... Anaweza kukusulubu...
    Maadui awaishi ... Afu ni wagumu kufa
    wengio wao masnichi roho mbaya kama Lucifer....
    ish kwa tahadhali.... Mwanadam ana ng'ata...
    Watu wana sura mzuri.......kiroho awajatakata....
    Watakuchekea....mixer kukuimbia
    Uku nyuma ya pazia .... Kifo wana kuandalia....
    Maadui sio wana....Careful sana....
    Wafanyie kila kitu....... ila kwao huna maana....
    maadui .....wapo wengi...Wengine ni ndugu.... Ishi nao kwa amani...usioneshe ata gubu.... Awakupend ilo jua.... Watataka kukuua ..... We kaa kia askali... Pia omba sana dua.... Adui sio ndugu.... Ata awe ndugu... Adui sio rafiki .... Anaweza kukusulubu... Maadui awaishi ... Afu ni wagumu kufa wengio wao masnichi roho mbaya kama Lucifer.... ish kwa tahadhali.... Mwanadam ana ng'ata... Watu wana sura mzuri.......kiroho awajatakata.... Watakuchekea....mixer kukuimbia Uku nyuma ya pazia .... Kifo wana kuandalia.... Maadui sio wana....Careful sana.... Wafanyie kila kitu....... ila kwao huna maana....
    0 Commenti 0 condivisioni 618 Views
  • Bila ya kujuwa, kumbe wananisema..
    Et sitopiga hatua, sitofanya vyema..
    Marafiki pika pakua, kumbe sio wema..
    Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema..
    Nashukuru kuipata hii neema ya mungu..
    Binadamu sio wema wanaleta majungu..
    Mbele giza umejaa ukungu..
    Kuigiza kwingi wanaleta uzungu..
    Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari..
    Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    Bila ya kujuwa, kumbe wananisema.. Et sitopiga hatua, sitofanya vyema.. Marafiki pika pakua, kumbe sio wema.. Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema.. Nashukuru kuipata hii neema ya mungu.. Binadamu sio wema wanaleta majungu.. Mbele giza umejaa ukungu.. Kuigiza kwingi wanaleta uzungu.. Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari.. Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    0 Commenti 0 condivisioni 296 Views