Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 14:44:51 ·
    Hip hop haina kava hainati kwa sauti ya lava.. lava..
    Wameikimbia vilaza.. wabovu wakuchora zenye laza..
    Changamsha ndonga uwape laza.. vina kukaza kichwani nina ubalaza..
    Mwana hip hop wakiniona wananyamaza utamu zaidi ya b*o la nyet*..
    Vina toka depo punga hasimami hata akitumia dettol..
    Wengi waniita me to mana vina vikali zaidi ya zambi za Petro..
    Ngoma zao naona kiza hip hop inaleta Nuru nashukuru..
    Hip hop Kama lulu.. jah bless nifike mbali kwahiki kipaji nakushukuru..
    Hip hop haina kava hainati kwa sauti ya lava.. lava.. Wameikimbia vilaza.. wabovu wakuchora zenye laza.. Changamsha ndonga uwape laza.. vina kukaza kichwani nina ubalaza.. Mwana hip hop wakiniona wananyamaza utamu zaidi ya b*o la nyet*.. Vina toka depo punga hasimami hata akitumia dettol.. Wengi waniita me to mana vina vikali zaidi ya zambi za Petro.. Ngoma zao naona kiza hip hop inaleta Nuru nashukuru.. Hip hop Kama lulu.. jah bless nifike mbali kwahiki kipaji nakushukuru..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·155 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 14:45:25 ·

    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·170 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 14:55:44 ·
    walipiga na maneno wakahalibu mwil wangu..
    Namm vile muoga nikahalibu fikra zangu..
    Wanadam ni wadudu cheka nao hiv hv..
    Wengi wana roho mbaya we waone hiv hiv..
    Ata ukisema zuli wata kusema ubaya..
    Binadam cc nyoka tuna uma hadi taya..
    Wakanipa ushujaa waka sema nikomae..
    Hip hop inalipa nikomae nitusue..
    Nazid kaza suli..wananiita mjeuli..
    Ata ndugu zangu awaniombei mazuli..
    Mama naye kaokoka.. Akasema imba kwaya..
    Apo ndipo nkachoka.. kwel bongo bahat mbaya..
    Sikumzalu mother.. Nikarap hadi gospel..
    Nikaongeza na radha.. church nikapata soko..
    Ira bado waliloga.. wali mwaga hadi mboga..
    Nikaondoka na ugali nika waambia mm soja..
    Sikuchoka kuandika.. biti nikatandika..
    Mpak zile za kihindi.. Zote nikachanika..
    walipiga na maneno wakahalibu mwil wangu.. Namm vile muoga nikahalibu fikra zangu.. Wanadam ni wadudu cheka nao hiv hv.. Wengi wana roho mbaya we waone hiv hiv.. Ata ukisema zuli wata kusema ubaya.. Binadam cc nyoka tuna uma hadi taya.. Wakanipa ushujaa waka sema nikomae.. Hip hop inalipa nikomae nitusue.. Nazid kaza suli..wananiita mjeuli.. Ata ndugu zangu awaniombei mazuli.. Mama naye kaokoka.. Akasema imba kwaya.. Apo ndipo nkachoka.. kwel bongo bahat mbaya.. Sikumzalu mother.. Nikarap hadi gospel.. Nikaongeza na radha.. church nikapata soko.. Ira bado waliloga.. wali mwaga hadi mboga.. Nikaondoka na ugali nika waambia mm soja.. Sikuchoka kuandika.. biti nikatandika.. Mpak zile za kihindi.. Zote nikachanika..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·914 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 15:01:45 ·
    Rapper mbaya mwenye roho #nzuri
    Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri
    Napambania point japo #niposifuri
    Mafanikio yapombali #nakiburi
    Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya
    unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    Rapper mbaya mwenye roho #nzuri Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri Napambania point japo #niposifuri Mafanikio yapombali #nakiburi Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·2χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 15:02:20 ·
    Rapper mbaya mwenye roho #nzuri
    Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri
    Napambania point japo #niposifuri
    Mafanikio yapombali #nakiburi
    Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya
    unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    Rapper mbaya mwenye roho #nzuri Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri Napambania point japo #niposifuri Mafanikio yapombali #nakiburi Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·2χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 15:03:58 ·
    We Dada Ukifanywa Mwamvuli,Unakumbukwa Wakati Wa Mvua..
    Na Wewe Mfanye Kimvuli,Mkumbuke Wakati Wa Jua..
    We Dada Ukifanywa Mwamvuli,Unakumbukwa Wakati Wa Mvua.. Na Wewe Mfanye Kimvuli,Mkumbuke Wakati Wa Jua..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·75 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 15:09:47 ·
    Kama mjeda saluti na shusha..
    Nipo depo kuruta kuwafundisha..
    Hip hop kwako nimefika..
    Ukishindwa kula basi jifunze kupika..
    Yani ukishindwa kuimba we katika..
    Hizi tungo adabu za kila rika..
    Cheki mbumbu kusoma anavyo taabika..
    Ukiweza kukalili pw na hizi shika..
    Kama mjeda saluti na shusha.. Nipo depo kuruta kuwafundisha.. Hip hop kwako nimefika.. Ukishindwa kula basi jifunze kupika.. Yani ukishindwa kuimba we katika.. Hizi tungo adabu za kila rika.. Cheki mbumbu kusoma anavyo taabika.. Ukiweza kukalili pw na hizi shika..
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·76 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 15:10:12 ·

    2024-06-29 15:11:09 ·

    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·90 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Nondo Mudy @Nondo26
    2024-06-29 15:14:07 ·
    Wakati mwengine hawakupendi ila wanapenda jinsi unavyowapenda

    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·500 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (7421-7430 από 30036)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 741
  • 742
  • 743
  • 744
  • 745
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers