• | Rodri juu ya ushindani wa "maalum" wa Arsenal / Man City: "Sikudhani ilikuwa hapo awali, lakini katika miaka michache iliyopita tulikuwa washindani wa taji, kwa hivyo ndio [ni maalum]. "

    Bila shaka, kwa sababu tulikuwa na wachezaji waliocheza hapa, [na] wamekwenda Arsenal. Mikel [Arteta] alikuwa hapa [kama sehemu ya wahudumu wa Guardiola] na akaenda huko na ikawa kubwa zaidi.

    "Tuko kwenye mdundo hivi sasa ambapo wako katika nafasi nzuri na wako kwenye kiwango bora zaidi kwa hivyo ikiwa tunataka kuendelea kupigana nao, lazima tuongeze kiwango, ni dhahiri.

    "Tunajua kuwa ni mwanzo wa msimu ambapo tutacheza kadri tuwezavyo ili kurudisha kiwango hicho."

    Source ::[@ManCity]

    FOLLOW US
    🗣️| Rodri juu ya ushindani wa "maalum" wa Arsenal / Man City: "Sikudhani ilikuwa hapo awali, lakini katika miaka michache iliyopita tulikuwa washindani wa taji, kwa hivyo ndio [ni maalum]. " Bila shaka, kwa sababu tulikuwa na wachezaji waliocheza hapa, [na] wamekwenda Arsenal. Mikel [Arteta] alikuwa hapa [kama sehemu ya wahudumu wa Guardiola] na akaenda huko na ikawa kubwa zaidi. "Tuko kwenye mdundo hivi sasa ambapo wako katika nafasi nzuri na wako kwenye kiwango bora zaidi kwa hivyo ikiwa tunataka kuendelea kupigana nao, lazima tuongeze kiwango, ni dhahiri. "Tunajua kuwa ni mwanzo wa msimu ambapo tutacheza kadri tuwezavyo ili kurudisha kiwango hicho." Source ::[@ManCity] FOLLOW US
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·147 Views
  • Jini ni mchezaji mzuri,miguu yake ina shabaha haswaa,kwenye ubora wake anaweza kuamuwa mechi yoyote Ila kusema ukweli Msimu huu bado sijamuona Jini.

    Yuko Down sana,fitness Yake bado Siyo nzuri,ile confidence ya ku-risk mbele ya goli iko chini sana hata work rate Yake imepungua.

    Mbaya zaidi Fadlu humwambii chochote kwa Jini Kwani anaamini huyu ndo Süper star wa Simba hivyo hata acheze vibaya atabaki uwanjani….kwa kifupi Jini wa Fadlu ni untouchable

    Hans Rafael
    Jini ni mchezaji mzuri,miguu yake ina shabaha haswaa,kwenye ubora wake anaweza kuamuwa mechi yoyote Ila kusema ukweli Msimu huu bado sijamuona Jini. Yuko Down sana,fitness Yake bado Siyo nzuri,ile confidence ya ku-risk mbele ya goli iko chini sana hata work rate Yake imepungua. Mbaya zaidi Fadlu humwambii chochote kwa Jini Kwani anaamini huyu ndo Süper star wa Simba hivyo hata acheze vibaya atabaki uwanjani….kwa kifupi Jini wa Fadlu ni untouchable 🖐️ Hans Rafael
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·156 Views
  • Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete

    Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC.

    THE SAGA…!
    Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…!

    Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa.

    Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal.

    Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️

    Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde!

    Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea!

    Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco

    95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free!

    MTAZAMO WANGU!?
    Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi.

    Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza!

    Salaaam!
    Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete ✍️ Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC. THE SAGA…! Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…! Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa. Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal. Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️ Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde! Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea! Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco ✍️ 95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free! MTAZAMO WANGU!? Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi. Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza! Salaaam!
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·308 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Newcastle United iko kwenye hatua nzuri zaidi ili kukamilisha uhamisho wa Fermín López kutoka Barcelona.

    Newcastle wako tayari kutoa kiasi cha €100M [£86M].

    (Source: Jose Alvarez)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Newcastle United iko kwenye hatua nzuri zaidi ili kukamilisha uhamisho wa Fermín López kutoka Barcelona. Newcastle wako tayari kutoa kiasi cha €100M [£86M]. (Source: Jose Alvarez) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·180 Views
  • Mikel Arteta Avutiwa na Kipaji cha Ajabu cha Kinda wa Miaka 15!

    Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amezungumza kwa hisia kuhusu kinda wa timu yao ya vijana, Max Dowman.

    "Kuna mtoto hapa hana woga kabisa na ana uhakika mkubwa kwamba akiwa na miaka 15 anaweza kufanya mambo makubwa," Arteta aliiambia BBC Sport.

    "Sijawahi kushuhudia kitu kama hicho maishani mwangu. Kwetu, analeta furaha, hisia, na kitu cha ziada kinachofanya kazi zetu kuwa nzuri zaidi."

    Dowman, mwenye miaka 15, ameanza kuvutia macho ya wengi na maneno ya Arteta yanaonyesha jinsi klabu inavyomthamini.

    #MaxDowman #Arsenal #MikelArteta #KipajiKipya #Gunners #Football #BBCSport #VijanaWaArsenal

    #SportsElite
    Mikel Arteta Avutiwa na Kipaji cha Ajabu cha Kinda wa Miaka 15! ✨ Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amezungumza kwa hisia kuhusu kinda wa timu yao ya vijana, Max Dowman. 🗣️ "Kuna mtoto hapa hana woga kabisa na ana uhakika mkubwa kwamba akiwa na miaka 15 anaweza kufanya mambo makubwa," Arteta aliiambia BBC Sport. 🗣️ "Sijawahi kushuhudia kitu kama hicho maishani mwangu. Kwetu, analeta furaha, hisia, na kitu cha ziada kinachofanya kazi zetu kuwa nzuri zaidi." Dowman, mwenye miaka 15, ameanza kuvutia macho ya wengi na maneno ya Arteta yanaonyesha jinsi klabu inavyomthamini. #MaxDowman #Arsenal #MikelArteta #KipajiKipya #Gunners #Football #BBCSport #VijanaWaArsenal #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·789 Views
  • Klabu ya Chelsea ili msajili Renato Veiga kwa ada ya £12M dirisha lililopita.

    Amecheza mchezo mmoja ndani ya Premier League lakini dirisha hili anauzwa kwenda Villarreal kwa ada ya £25M.

    Biashara nzuri Sanaa kwa Chelsea

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Chelsea ili msajili Renato Veiga kwa ada ya £12M dirisha lililopita. Amecheza mchezo mmoja ndani ya Premier League lakini dirisha hili anauzwa kwenda Villarreal kwa ada ya £25M. 🤯🤯🤯 Biashara nzuri Sanaa kwa Chelsea 💰 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·192 Views
  • Leon Bailey anaondoka Aston Villa miaka 28 na anaweza kujiunga na AS Roma au kwenda kuchukua pesa za Saudi Arabia.

    Mpaka sasa amekuwa na career nzuri japo ingeweza kuwa bora zaidi sababu uwezo anao lakini ni moja ya wachezaji muendelezo ni changamoto kwake kwa taifa alillotaka anabaki kuwa mchezaji wenye kipaji zaidi natumai Mason Greenwood akijunga rasmi na Jamaica watakuwa na taifa nzuri na shindani.

    #SportsElite
    🚨🚨Leon Bailey anaondoka Aston Villa miaka 28 na anaweza kujiunga na AS Roma au kwenda kuchukua pesa za Saudi Arabia. Mpaka sasa amekuwa na career nzuri japo ingeweza kuwa bora zaidi sababu uwezo anao lakini ni moja ya wachezaji muendelezo ni changamoto kwake kwa taifa alillotaka anabaki kuwa mchezaji wenye kipaji zaidi natumai Mason Greenwood akijunga rasmi na Jamaica watakuwa na taifa nzuri na shindani. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·417 Views
  • Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

    Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo.

    Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao.

    "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo.

    #SportsElite
    🚨🚨Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo. Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao. "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·957 Views
  • Arteta Afunguka Kuhusu Uhamisho wa Merino na Zubimendi!

    Mikel Arteta amefunguka kuhusu mipango kabambe ya uhamisho iliyoiwezesha Arsenal kuwanasa Martin Zubimendi na Mikel Merino kwa misimu miwili mfululizo kutoka Real Sociedad!

    Akizungumza na gunnerblog, Arteta alifafanua jinsi ilivyokuwa muhimu kwa wachezaji wenyewe kutamani kujiunga na Arsenal, akisema, "Ilikuwa mpango uliopangwa vizuri sana. Na wachezaji wote wawili walikuwa na shauku kubwa ya kuja, jambo ambalo ni muhimu sana."

    Meneja huyo wa Arsenal alisisitiza ushirikiano mzuri na klabu ya Real Sociedad, akieleza, "Tulikuwa na klabu ya Real Sociedad iliyoelewa hali na wamekuwa bora. Tulifanya tulichotaka, na wachezaji walifanya tulichotaka, na nadhani Real Sociedad, mwishowe, walifurahishwa na matokeo."

    Maneno haya yanathibitisha jinsi Arsenal inavyojenga kikosi chake kwa umakini na mikakati ya uhamisho inayozingatia mahitaji ya klabu na matakwa ya wachezaji. Ni wazi kwamba Arteta na timu yake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha wanapata wachezaji wanaofaa kuimarisha kikosi na kuendelea kupigania mafanikio!

    #SportsElite
    Arteta Afunguka Kuhusu Uhamisho wa Merino na Zubimendi! 🔴⚪ Mikel Arteta amefunguka kuhusu mipango kabambe ya uhamisho iliyoiwezesha Arsenal kuwanasa Martin Zubimendi na Mikel Merino kwa misimu miwili mfululizo kutoka Real Sociedad! Akizungumza na gunnerblog, Arteta alifafanua jinsi ilivyokuwa muhimu kwa wachezaji wenyewe kutamani kujiunga na Arsenal, akisema, "Ilikuwa mpango uliopangwa vizuri sana. Na wachezaji wote wawili walikuwa na shauku kubwa ya kuja, jambo ambalo ni muhimu sana." Meneja huyo wa Arsenal alisisitiza ushirikiano mzuri na klabu ya Real Sociedad, akieleza, "Tulikuwa na klabu ya Real Sociedad iliyoelewa hali na wamekuwa bora. Tulifanya tulichotaka, na wachezaji walifanya tulichotaka, na nadhani Real Sociedad, mwishowe, walifurahishwa na matokeo." Maneno haya yanathibitisha jinsi Arsenal inavyojenga kikosi chake kwa umakini na mikakati ya uhamisho inayozingatia mahitaji ya klabu na matakwa ya wachezaji. Ni wazi kwamba Arteta na timu yake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha wanapata wachezaji wanaofaa kuimarisha kikosi na kuendelea kupigania mafanikio! #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·503 Views
  • PAUL POGBA: "Rashford kwenda Barcelona? Ni nzuri. Ninafurahi kwa ajili yake. Manchester United imepoteza mchezaji mzuri. Hiyo ni nzuri sana kwa Barcelona."

    SPEED KWA PAUL POGBA: "Ikiwa ningekuwa kocha wa Barça, mimi binafsi Rashford asingekuwepo hata kwenye benchi langu"

    #SportsElite
    PAUL POGBA: 🗣️"Rashford kwenda Barcelona? Ni nzuri. Ninafurahi kwa ajili yake. Manchester United imepoteza mchezaji mzuri. Hiyo ni nzuri sana kwa Barcelona." SPEED KWA PAUL POGBA: 🗣️"Ikiwa ningekuwa kocha wa Barça, mimi binafsi Rashford asingekuwepo hata kwenye benchi langu" #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·291 Views
  • | CONFIRMED

    Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M .

    John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali.

    #SportsElite

    🚨 | CONFIRMED ✅ Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M . John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·437 Views
  • .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮

    ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮 ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 🇹🇿 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 👇👇 ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 🇨🇿 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 🤔
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·878 Views
  • Yoane Wissa anashinikiza kutaka kuondoka Brentford dirisha hili. Nottingham Forest iko kwenye mazungumzo na Tottenham iko kwenye hatua nzuri zaidi sambamba na hilo pia Newcastle wao pia wanamtolea macho mchezaji huyo.

    Brentford wanahitaji £50m, lakini vilabu hivyo vinaimani kiasi hicho kitapunguzwa.

    (Source: @alex_crook)

    #SportsElite
    🚨 Yoane Wissa anashinikiza kutaka kuondoka Brentford dirisha hili. Nottingham Forest iko kwenye mazungumzo na Tottenham iko kwenye hatua nzuri zaidi sambamba na hilo pia Newcastle wao pia wanamtolea macho mchezaji huyo. 👀 Brentford wanahitaji £50m, lakini vilabu hivyo vinaimani kiasi hicho kitapunguzwa. 🤑 (Source: @alex_crook) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·212 Views
  • 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI.

    HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.

    Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.

    MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.

    Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu

    1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.

    2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].

    𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000

    Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼

    Daima Mbele Nyuma Mwiko.
    𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI. HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26. Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu. MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu 1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu. 2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF]. 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000 ✅ Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼 Daima Mbele Nyuma Mwiko🔰.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·886 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Noni Madueke amekubali kujiunga na Arsenal, kutokana na project nzuri

    Na majadiliano yatafuata baina ya Arsenal na Chelsea

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Noni Madueke amekubali kujiunga na Arsenal, kutokana na project nzuri ❤️🤍 Na majadiliano yatafuata baina ya Arsenal na Chelsea #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·295 Views
  • Como wako kwenye hatua nzuri za kuinasa saini ya Jesús Rodriguez kutoka Real Betis kwa ada ya uhamisho €22.5m na nyongeza + €6m

    (Source: @FabrizioRomano)

    #sportselite
    🚨 Como wako kwenye hatua nzuri za kuinasa saini ya Jesús Rodriguez kutoka Real Betis kwa ada ya uhamisho €22.5m na nyongeza + €6m (Source: @FabrizioRomano) #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·265 Views
  • Manchester United wako kwenye hatua nzuri za kumnasa mshambuliaji Victor Gyokeres.

    Victor Gyokeres ataenda kuungana na kocha wake wa zamani Ruben Amorim Old Trafford.

    (Source: Mirror)

    #sportselite
    🚨 Manchester United wako kwenye hatua nzuri za kumnasa mshambuliaji Victor Gyokeres. Victor Gyokeres ataenda kuungana na kocha wake wa zamani Ruben Amorim Old Trafford. (Source: Mirror) #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·264 Views
  • Mwanzo 49:3-4
    [3]Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza,
    Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu.
    Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu.

    [4]Umeruka mpaka kama maji, basi usiwe na ukuu,
    Kwa sababu ulikipanda kitanda cha baba yako,
    Ukakitia unajisi; alikipandia kitanda changu

    Tazama athari ya uzinzi ulivyo mpotezea baraka za ukuu na nguvu Ruben

    Kwa kawaida baraka za ufalme urithi mzaliwa wa kwanza lakini sababu ya uzinzi alinyang'anywa baraka za agano za ukuu.

    Starehehe ya sekunde chache ilisababisha Ruben awa cost (awagharimu ) kizazi chake chote kwa sababu ya tamaa ya zinaa.

    Kumbukumbu la Torati 27:20
    [20]Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.

    Yakobo alishindwa kumpa baraka mwanae na tuona miaka ya mbele Mungu pia anapitisha kuwa sheria pia kwamba amelaaniwa alalaye kwenye kitanda cha baba yake hapa wameenda mbali kuwa amefunua mavazi ya mama yake.

    Point yangu kubwa ni namna uzinzi unavyo weza kukubebesha laana za makusudi na laana hizo zina cost kizazi na kizazi.

    Mtu ukisha okoka unapaswakuhakikisha uasherati na uzinzi havitajwi kwako kabisa kwani vikitajwa kwako unalitukanisha jina la kristo na matokeo yake unapokea laana za makusudi .

    Unajua ukikosa hofu ya Mungu, unaweza kufanya madudu ya ajabu!!! yasiyotegemewa kufanyika kwako. Wewe mwenyewe ni shahidi tu,jiangalie pale ulipokuwa huna hofu ya Mungu, kisha angalia yale uliyokuwa ukiyafanya… Ni hatariiii.!!!

    Lakini pia,bila shaka kulikuwa na ukaribu sana kati ya Bilha Sulia na Reubeni hata wakajikuta wakiangukia zinaa. Kwa sababu Rubeni hakumbaka bali walikubaliana kwa hiyo kulikuwa na ukaribu kati yao.

    Ebu fikiria pia hili,kisha jichukue wewe mwenyewe jiweke karibu sana kimazoea na mtu fulani awe mdada au mkaka ambaye ni ndugu wa damu kabisa. Kisha mkawa mnakaa nyumba moja,kisha chukulia mmezoeana sana kiasi kwamba unamfurahia na kuzungumza naye mara kwa mara muda ambao mnabakiaga wawili tu kwenye jumba kubwa namna hiyo.

    Unafikiri mwisho wake ni nini? Bila shaka ndo unasikia binadamu siyo ndugu na unaangukia kwenye zinaa na ukifanya hivyo siyo tu kuharibu kesho yako kama wanao pia wajamjua Mungu kuvunja hiyo laana inatembea mpka kizazi chako chote.

    *Sina lugha nzuri ya kuioma zinaa kama kitu chema katika maisha haya tunayo ishi .usipo kubali kulinda mwili wako shetani atautumia kama sehemu ya kupitisha ajenda zake matokeo yake utaangukia zambini.*

    Yatazame matokeo yq uzinzi wrqfu tazama faida yake kisha amua kipi ulicho amua kukiishi .

    Ruben wakati Yusuph watoto zake wanaingizwa kuwa kabira kutokana na ushujaa wa baba yao yeye Rubeni kutokana na uzinzi aliwaachia sehemu ya laana zake.

    Matokeo ya uzinzi hayakuathiri wewe tu yanaathiri mpaka kizazi chako kama usipo omba.

    Natamani uombe Mungu leo akutoe kabisa katika mateso ya uzinzi na uasherati kwani hayawezi kukusaidia zaidi ya kukuangamiza.

    Nashukuru sana kwa kusoma jumbe hii na Mungu akageuza moyo wako nitafarijika sana.

    Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    Karibu katika group letu la Whatsapp
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Simu :0622625340
    #Restore men position
    #Build new eden
    Mwanzo 49:3-4 [3]Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza, Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu. [4]Umeruka mpaka kama maji, basi usiwe na ukuu, Kwa sababu ulikipanda kitanda cha baba yako, Ukakitia unajisi; alikipandia kitanda changu Tazama athari ya uzinzi ulivyo mpotezea baraka za ukuu na nguvu Ruben Kwa kawaida baraka za ufalme urithi mzaliwa wa kwanza lakini sababu ya uzinzi alinyang'anywa baraka za agano za ukuu. Starehehe ya sekunde chache ilisababisha Ruben awa cost (awagharimu ) kizazi chake chote kwa sababu ya tamaa ya zinaa. Kumbukumbu la Torati 27:20 [20]Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina. Yakobo alishindwa kumpa baraka mwanae na tuona miaka ya mbele Mungu pia anapitisha kuwa sheria pia kwamba amelaaniwa alalaye kwenye kitanda cha baba yake hapa wameenda mbali kuwa amefunua mavazi ya mama yake. Point yangu kubwa ni namna uzinzi unavyo weza kukubebesha laana za makusudi na laana hizo zina cost kizazi na kizazi. Mtu ukisha okoka unapaswakuhakikisha uasherati na uzinzi havitajwi kwako kabisa kwani vikitajwa kwako unalitukanisha jina la kristo na matokeo yake unapokea laana za makusudi . Unajua ukikosa hofu ya Mungu, unaweza kufanya madudu ya ajabu!!! yasiyotegemewa kufanyika kwako. Wewe mwenyewe ni shahidi tu,jiangalie pale ulipokuwa huna hofu ya Mungu, kisha angalia yale uliyokuwa ukiyafanya… Ni hatariiii.!!! Lakini pia,bila shaka kulikuwa na ukaribu sana kati ya Bilha Sulia na Reubeni hata wakajikuta wakiangukia zinaa. Kwa sababu Rubeni hakumbaka bali walikubaliana kwa hiyo kulikuwa na ukaribu kati yao. Ebu fikiria pia hili,kisha jichukue wewe mwenyewe jiweke karibu sana kimazoea na mtu fulani awe mdada au mkaka ambaye ni ndugu wa damu kabisa. Kisha mkawa mnakaa nyumba moja,kisha chukulia mmezoeana sana kiasi kwamba unamfurahia na kuzungumza naye mara kwa mara muda ambao mnabakiaga wawili tu kwenye jumba kubwa namna hiyo. Unafikiri mwisho wake ni nini? Bila shaka ndo unasikia binadamu siyo ndugu na unaangukia kwenye zinaa na ukifanya hivyo siyo tu kuharibu kesho yako kama wanao pia wajamjua Mungu kuvunja hiyo laana inatembea mpka kizazi chako chote. *Sina lugha nzuri ya kuioma zinaa kama kitu chema katika maisha haya tunayo ishi .usipo kubali kulinda mwili wako shetani atautumia kama sehemu ya kupitisha ajenda zake matokeo yake utaangukia zambini.* Yatazame matokeo yq uzinzi wrqfu tazama faida yake kisha amua kipi ulicho amua kukiishi . Ruben wakati Yusuph watoto zake wanaingizwa kuwa kabira kutokana na ushujaa wa baba yao yeye Rubeni kutokana na uzinzi aliwaachia sehemu ya laana zake. Matokeo ya uzinzi hayakuathiri wewe tu yanaathiri mpaka kizazi chako kama usipo omba. Natamani uombe Mungu leo akutoe kabisa katika mateso ya uzinzi na uasherati kwani hayawezi kukusaidia zaidi ya kukuangamiza. Nashukuru sana kwa kusoma jumbe hii na Mungu akageuza moyo wako nitafarijika sana. Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) Karibu katika group letu la Whatsapp https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Simu :0622625340 #Restore men position #Build new eden
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Nguvu ya kuchagua sehemu ya pili.

    Nguvu ya kuchagua ndiyo nguvu inayo sitawisha mtu .

    Isacka alibarikiwa sana baada ya kuchagua kutii maagizo aliyo ambiwa na Mungu .

    Wakati njaa inatokea wengine wote walichagua kwenda misri yeye akapewa jumbe tofauti na alipo sikia akachukua nguvu ya kuanza na akasitawishwa sana.
    Mwanzo 26:1-2

    Nguvu ya kuchagua lazima iambatane na Nguvu ya kuanza baada ya kuchagua.
    Mwanzo 6:12
    Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki.

    Watu wengi tunamsoma Yusuph kama mtu aliye ishinda zinaa na kufanyika kutengeneza taifa la wenzake tunasahau kitu kimoja tu Nguvu ya kuchagua ndiyo kitu kilicho mfanya aishinde zambi ya zinaa na kuwa mkubwa alipo chagua kutafsiri ndoto ndipo alipo chagua kuonekana na kukumbukwa .

    Lugha nyepesi kama angekataa kuchagua vyema angezini na potifa basi ukubwa wake ungeshindwa kutimia .

    Nje ya ndoto alizoota akiwakwao lakini nguvu ya kuchagua ndiyo ilimpa baraka za kifalme.

    Danieli aliitwa apendwaye sana tu sababu ya kutokuwa tayari kuchagua kula vyakula vya kifalme na kuabudu sanamu .

    Na hiyo kutokuwa tayari ni nguvu ya uchaguzi wakati wengine wanachagua kufuata miungu ya mfalme yeye alichagua kufuata vyema.

    Ruthu sababu ya kuchagua kumfuata naomi na Mungu wake alijikuta amebarikiwa na kupitia yeye baraka za Yudah zikatimia kupitia yeye daudi anazaliwa na masihi anazaliwa na hii ndiyo inaitwa nguvu ya kuchagua.

    Loti alitazama macho ya mwili alichagua kwenda sehemu nzuri kumbe ni sodoma na Gomora baadaye .

    Katika kila kuchagua kuna nguvu ya kufanikiwa ndiyo maana msingi wetu unaitwa baraka na laana umepewa mkononi mwako jinsi unavyo chagua ndivyo unavyo elekea mafanikio .

    Maisha ni machaguo kichagua vibaya ni kuamua kutoishi .


    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    ##restore men position.
    Nguvu ya kuchagua sehemu ya pili. Nguvu ya kuchagua ndiyo nguvu inayo sitawisha mtu . Isacka alibarikiwa sana baada ya kuchagua kutii maagizo aliyo ambiwa na Mungu . Wakati njaa inatokea wengine wote walichagua kwenda misri yeye akapewa jumbe tofauti na alipo sikia akachukua nguvu ya kuanza na akasitawishwa sana. Mwanzo 26:1-2 Nguvu ya kuchagua lazima iambatane na Nguvu ya kuanza baada ya kuchagua. Mwanzo 6:12 Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki. Watu wengi tunamsoma Yusuph kama mtu aliye ishinda zinaa na kufanyika kutengeneza taifa la wenzake tunasahau kitu kimoja tu Nguvu ya kuchagua ndiyo kitu kilicho mfanya aishinde zambi ya zinaa na kuwa mkubwa alipo chagua kutafsiri ndoto ndipo alipo chagua kuonekana na kukumbukwa . Lugha nyepesi kama angekataa kuchagua vyema angezini na potifa basi ukubwa wake ungeshindwa kutimia . Nje ya ndoto alizoota akiwakwao lakini nguvu ya kuchagua ndiyo ilimpa baraka za kifalme. Danieli aliitwa apendwaye sana tu sababu ya kutokuwa tayari kuchagua kula vyakula vya kifalme na kuabudu sanamu . Na hiyo kutokuwa tayari ni nguvu ya uchaguzi wakati wengine wanachagua kufuata miungu ya mfalme yeye alichagua kufuata vyema. Ruthu sababu ya kuchagua kumfuata naomi na Mungu wake alijikuta amebarikiwa na kupitia yeye baraka za Yudah zikatimia kupitia yeye daudi anazaliwa na masihi anazaliwa na hii ndiyo inaitwa nguvu ya kuchagua. Loti alitazama macho ya mwili alichagua kwenda sehemu nzuri kumbe ni sodoma na Gomora baadaye . Katika kila kuchagua kuna nguvu ya kufanikiwa ndiyo maana msingi wetu unaitwa baraka na laana umepewa mkononi mwako jinsi unavyo chagua ndivyo unavyo elekea mafanikio . Maisha ni machaguo kichagua vibaya ni kuamua kutoishi . Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden ##restore men position.
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·821 Views
  • WAKO WAPI WASHITAKI WAKO ?

    Yohana 8:3-11
    Mafarisayo walimpeleka mwanamke waliye mfumania kwa Yesu ili atoe hukumu .

    *Walipo mpeleka si kwa sababu ya kuwa mwanamke amekosea peke yake walitaka kumjaribu Yesu kupitia yule mwanamke .*

    Lakini wao ambacho hawakujua ni kuwa Yesu yeye ndo anaye tazama mioyo kabla hawajafika.

    *Ukisoma torati ya Musa unaweza dhani walikuwa wameenda kwa nia njema lkn kumbe lengo ni kumtega.*

    *Na kwa sababu walienda kwa mtego Yesu naye akawapa jibu la mtego vile vile kuwa yeyote asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga huyu mtu.*
    Yohana 8:7
    [7]Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

    Yes kabla ujamshitaki mwingine lazima ujiangalie vipi kuhusu wewe hawa walikuwa washitaki wazuri lakini kumbe bado na wao ni wadhinifu tu.

    *Jiulize wewe ambaye unajiona malaika vipi wewe una dhambi yeyote kweli ni kweli umevuka zinaa lakini mbona wivu na husda bado unao*

    Baada ya hapo Yesu anampa njia impasayo *wokovu Nenda zako usitende dhambi tena*

    Kumbe njia nzuri si kumuhukumu mtu kwa kumpiga mawe badala yake mpe njia ya kushinda hiyo zinaa.

    Sababu ya kusema wengine kumeharibu mwili w Kristo hasa watu wanao jifanya wana kirohost wakati ni mafarisayo.

    Ukimkuta ndugu yako anadumbukia shimoni msaidie atoke si kwenda kumtangaza na kumbe huyo mtu kaokoka wiki moja mfuate mtie moyo na mpe njia uliyo tumia kushinda dhambi nayeye ajifunze na hapo ndipo tutita Upendo wa kristo.

    *Siyo unapeleka kwa mchungaji arafu nyuma ya pazia unamtega mchungaji akiamua kumfukuza upate la kumsema akimuonya upate la kumsema.*

    *Dada angu usikubali maneno ya watu na mashitaka ya watu yakukosanishe Mungu ni ukianguka mrudie Bwana ambaye atasimama na wewe na kukusamehe na kukupa onyo ,*

    Walokole wengi tumepoteza radha ya wokovu kwa majungu na kujihesabia sana haki kumbe ni sadukayo na farisayo.

    Kukulia machinjioni haimaanishi lazima ujue kuchinjz nyama kumbe hata wewe dada wengine unawaona wamesimama leo ni
    kwasababu waliamua kujifunza nq si kutumia uzoefu..

    Naweza kwambia kuwa Yesu anakuja ni muhimu kutengeneza.

    Ahsante.naitwa Sylvester Mwakabende wa BUILD NEW EDEN

    #RESTORE MEN POSITION
    WAKO WAPI WASHITAKI WAKO ? Yohana 8:3-11 Mafarisayo walimpeleka mwanamke waliye mfumania kwa Yesu ili atoe hukumu . *Walipo mpeleka si kwa sababu ya kuwa mwanamke amekosea peke yake walitaka kumjaribu Yesu kupitia yule mwanamke .* Lakini wao ambacho hawakujua ni kuwa Yesu yeye ndo anaye tazama mioyo kabla hawajafika. *Ukisoma torati ya Musa unaweza dhani walikuwa wameenda kwa nia njema lkn kumbe lengo ni kumtega.* *Na kwa sababu walienda kwa mtego Yesu naye akawapa jibu la mtego vile vile kuwa yeyote asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga huyu mtu.* Yohana 8:7 [7]Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe. Yes kabla ujamshitaki mwingine lazima ujiangalie vipi kuhusu wewe hawa walikuwa washitaki wazuri lakini kumbe bado na wao ni wadhinifu tu. *Jiulize wewe ambaye unajiona malaika vipi wewe una dhambi yeyote kweli ni kweli umevuka zinaa lakini mbona wivu na husda bado unao* Baada ya hapo Yesu anampa njia impasayo *wokovu Nenda zako usitende dhambi tena* Kumbe njia nzuri si kumuhukumu mtu kwa kumpiga mawe badala yake mpe njia ya kushinda hiyo zinaa. Sababu ya kusema wengine kumeharibu mwili w Kristo hasa watu wanao jifanya wana kirohost wakati ni mafarisayo. Ukimkuta ndugu yako anadumbukia shimoni msaidie atoke si kwenda kumtangaza na kumbe huyo mtu kaokoka wiki moja mfuate mtie moyo na mpe njia uliyo tumia kushinda dhambi nayeye ajifunze na hapo ndipo tutita Upendo wa kristo. *Siyo unapeleka kwa mchungaji arafu nyuma ya pazia unamtega mchungaji akiamua kumfukuza upate la kumsema akimuonya upate la kumsema.* *Dada angu usikubali maneno ya watu na mashitaka ya watu yakukosanishe Mungu ni ukianguka mrudie Bwana ambaye atasimama na wewe na kukusamehe na kukupa onyo ,* Walokole wengi tumepoteza radha ya wokovu kwa majungu na kujihesabia sana haki kumbe ni sadukayo na farisayo. Kukulia machinjioni haimaanishi lazima ujue kuchinjz nyama kumbe hata wewe dada wengine unawaona wamesimama leo ni kwasababu waliamua kujifunza nq si kutumia uzoefu.. Naweza kwambia kuwa Yesu anakuja ni muhimu kutengeneza. Ahsante.naitwa Sylvester Mwakabende wa BUILD NEW EDEN #RESTORE MEN POSITION
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
Arama Sonuçları