• #SportsElite TETESIArsenal, Chelsea na Liverpool wanavutiwa na mlinzi wa Bournemouth mwenye umri wa chini ya miaka 21 Dean Huijsen, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 55 katika mkataba wake. (TBR Football),

    Liverpool wana nia ya kumsajili winga wa England chini ya miaka 21 mzaliwa wa Ufaransa Mohamed-Ali Cho, 21, kutoka Nice. (TeamTalks)

    Chelsea wanaandaa dau la pauni milioni 58.3 (euro milioni 70) msimu ujao kwa ajili ya beki wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 21 Pablo Barrios. (Fichajes)

    Klabu ya Saudi Pro-League Al-Nassr ilikaribia sana kufikia makubaliano ya mshambuliaji wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Liverpool mnamo Januari kabla ya Reds kukataa mpango wa mchezaji huyo wa miaka 25. (Givemesport),
    #SportsElite TETESI🌏Arsenal, Chelsea na Liverpool wanavutiwa na mlinzi wa Bournemouth mwenye umri wa chini ya miaka 21 Dean Huijsen, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 55 katika mkataba wake. (TBR Football), Liverpool wana nia ya kumsajili winga wa England chini ya miaka 21 mzaliwa wa Ufaransa Mohamed-Ali Cho, 21, kutoka Nice. (TeamTalks) Chelsea wanaandaa dau la pauni milioni 58.3 (euro milioni 70) msimu ujao kwa ajili ya beki wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 21 Pablo Barrios. (Fichajes) Klabu ya Saudi Pro-League Al-Nassr ilikaribia sana kufikia makubaliano ya mshambuliaji wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Liverpool mnamo Januari kabla ya Reds kukataa mpango wa mchezaji huyo wa miaka 25. (Givemesport),
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·173 Views
  • #SportsElite
    @FA cup
    Liverpool
    Chelsea
    Arsenal
    Wababe nje ya FA
    #SportsElite @FA cup Liverpool ✂️ Chelsea ✂️ Arsenal ✂️ Wababe nje ya FA
    Haha
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·138 Views
  • Nchi ya Rwanda imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo.

    Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".

    Nchi ya Rwanda 🇷🇼 imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo. Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·267 Views
  • Raisi wa Rwanda , Paul Kagame ameipongeza klabu ya Arsenal FC baada ya ushindi wake dhidi ya klabu ya Manchester City wa mabao matano kwa moja (5-1).

    NB : Hawa ni baadhi ya Viongozi na Watu maarufu wanaopenda klabu ya Arsenal FC.

    - Paul Kagame
    - Aliko Dangote
    - Malkia Elisabeth (Marehemu)
    - Osama Bin Laden (Marehemu)
    Etc...

    Raisi wa Rwanda 🇷🇼, Paul Kagame ameipongeza klabu ya Arsenal FC baada ya ushindi wake dhidi ya klabu ya Manchester City wa mabao matano kwa moja (5-1). NB : Hawa ni baadhi ya Viongozi na Watu maarufu wanaopenda klabu ya Arsenal FC. - Paul Kagame - Aliko Dangote - Malkia Elisabeth (Marehemu) - Osama Bin Laden (Marehemu) Etc...
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·255 Views
  • Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo imeziandikia klabu za mpira wa miguu barani Ulaya zinazoingia mikataba ya ufadhili kutoka Serikali ya Rwanda kutopokea, "Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu", unaoendelea mashariki mwa DR Congo.

    Kwa mujibu Waziri wa mambo ya kigeni Nchini DR Congo, Therese Kayikwamba Wagner ameziandikia klabu za Arsenal FC ya England , Paris Sint-Germaine ya Ufaransa na FC Bayern München ya Ujerumani kusitisha ushirikiano wao wa ufadhili wa mauzo chini ya mpango wa "Visit Rwanda" wakidai kwamba idadi kubwa ya Wanajeshi wa Rwanda wanapigana na Jeshi la FARDC huko Mjini Goma wakisaidiana na kundi la Waasi la M23.

    Kwenye barua hiyo kwa klabu ya Arsenal FC, Waziri Wagner amesema kwamba, Rwanda inastahili kulaumiwa kwa hatua zake ndani ya DR Congo kwani Umoja wa mataifa umeripoti kwamba kikosi cha Wanajeshi 4,000 kutoka Rwanda kiko ndani ya DR Congo na kinashikriki kwenye vita vinavyoendelea Nchini humo.

    Sanjari na klabu hizo kusubiriwa kufanya uamuzi kuhusu ombi hilo la DR Congo na shutuma dhidi ya Rwanda, DR Congo imeendelea kuwasilisha hoja yao ya hali mbaya inayoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo.

    Waziri Wagner ameiambia klabu ya Arsenal kwamba, "maelfu ya Watu wamekwama Jijini Goma, ambapo hakuna njia ya kuingiza chakula, huku huduma za kusambaza maji na umeme zikiwa zimekatizwa. Hakuna usalama, Watu wameuawa na wizi unakithiri Mjini humo. Mfadhili wenu anahusika moja kwa moja kwa mahangaiko haya ya wengi"

    Barua hiyo inaangazia mpango wa, "Visit Rwanda" unafadhiliwa moja kwa moja na uchimbaji madini haramu unaoendelea katika maeneo kadhaa yaliyokaliwa mashariki mwa DR Congo na kuvukishwa mpaka hadi Rwanda ambayo inasafirisha ughaibuni kama madini yake asilii.

    Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo 🇨🇩 imeziandikia klabu za mpira wa miguu barani Ulaya zinazoingia mikataba ya ufadhili kutoka Serikali ya Rwanda 🇷🇼 kutopokea, "Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu", unaoendelea mashariki mwa DR Congo. Kwa mujibu Waziri wa mambo ya kigeni Nchini DR Congo, Therese Kayikwamba Wagner ameziandikia klabu za Arsenal FC ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿, Paris Sint-Germaine ya Ufaransa 🇫🇷 na FC Bayern München ya Ujerumani 🇩🇪 kusitisha ushirikiano wao wa ufadhili wa mauzo chini ya mpango wa "Visit Rwanda" wakidai kwamba idadi kubwa ya Wanajeshi wa Rwanda wanapigana na Jeshi la FARDC huko Mjini Goma wakisaidiana na kundi la Waasi la M23. Kwenye barua hiyo kwa klabu ya Arsenal FC, Waziri Wagner amesema kwamba, Rwanda inastahili kulaumiwa kwa hatua zake ndani ya DR Congo kwani Umoja wa mataifa umeripoti kwamba kikosi cha Wanajeshi 4,000 kutoka Rwanda kiko ndani ya DR Congo na kinashikriki kwenye vita vinavyoendelea Nchini humo. Sanjari na klabu hizo kusubiriwa kufanya uamuzi kuhusu ombi hilo la DR Congo na shutuma dhidi ya Rwanda, DR Congo imeendelea kuwasilisha hoja yao ya hali mbaya inayoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo. Waziri Wagner ameiambia klabu ya Arsenal kwamba, "maelfu ya Watu wamekwama Jijini Goma, ambapo hakuna njia ya kuingiza chakula, huku huduma za kusambaza maji na umeme zikiwa zimekatizwa. Hakuna usalama, Watu wameuawa na wizi unakithiri Mjini humo. Mfadhili wenu anahusika moja kwa moja kwa mahangaiko haya ya wengi" Barua hiyo inaangazia mpango wa, "Visit Rwanda" unafadhiliwa moja kwa moja na uchimbaji madini haramu unaoendelea katika maeneo kadhaa yaliyokaliwa mashariki mwa DR Congo na kuvukishwa mpaka hadi Rwanda ambayo inasafirisha ughaibuni kama madini yake asilii.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·329 Views
  • Timu gani unaipa nafasi kushinda Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA CL)?

    1. Liverpool
    2. Barcelona
    3. Inter Milan
    4. Arsenal
    5. Real Madrid
    Timu gani unaipa nafasi kushinda Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA CL)? 1. Liverpool 2. Barcelona 3. Inter Milan 4. Arsenal 5. Real Madrid
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·312 Views
  • Madrid over 3
    Arsenal Over 2.5
    Munich Over 2.5
    Celtic win
    Odds 2+
    Madrid over 3 Arsenal Over 2.5 Munich Over 2.5 Celtic win Odds 2+
    Like
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·183 Views
  • Manchester City na Arsenal Football Club wanapewa nafasi kubwa ya kuweza kumsajili kiungo wa kati wa klabu ya Bayern Munich Joshua Kimmich ikiwa ataondoka klabuni hapo.
    Manchester City na Arsenal Football Club wanapewa nafasi kubwa ya kuweza kumsajili kiungo wa kati wa klabu ya Bayern Munich Joshua Kimmich ikiwa ataondoka klabuni hapo.
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·254 Views
  • Matokeo ya michezo ya Jana.

    Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca

    EFL CUP

    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace
    - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford
    - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool

    LA LIGA

    - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence
    - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano

    COPPA ITALIA

    - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena
    - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria

    LIGUE 1

    - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG

    KNVB BEKER

    - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente
    - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht
    - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen
    - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣)
    - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣)
    - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue

    TACA DE PORTUGAL

    - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣)

    PSL

    - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns

    UEFA Champions League (Wanawake)

    - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City
    - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby
    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich
    - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga

    SEGUNDA DIVISION

    - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria
    - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense
    - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon

    Matokeo ya michezo ya Jana. Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 EFL CUP - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool 🇪🇸 LA LIGA - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano 🇮🇹 COPPA ITALIA - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria 🇫🇷 LIGUE 1 - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG 🇳🇱 KNVB BEKER - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣) - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣) - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue 🇵🇹 TACA DE PORTUGAL - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣) 🇿🇦 PSL - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns 🌍 UEFA Champions League (Wanawake) - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga 🇪🇸 SEGUNDA DIVISION - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon
    0 Comments ·0 Shares ·584 Views
  • Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025.

    Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.

    Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025. Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·235 Views
  • 𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔

    ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    🚨𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi 🇦🇷 na Cristiano Ronaldo 🇵🇹 ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ⚽) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich 🇩🇪 • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake 😀 ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! 😀 ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? 😎
    0 Comments ·0 Shares ·887 Views
  • SABILA AIFUNGUA ARSENAL BAO LA PILI ZIDI YA MANCHESTER UNITED
    SABILA AIFUNGUA ARSENAL BAO LA PILI ZIDI YA MANCHESTER UNITED
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·185 Views ·11
  • Arsenal yaichakanza Manchester united mabao mawili kwa sufuri( 2-0)
    Arsenal yaichakanza Manchester united mabao mawili kwa sufuri( 2-0)
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·152 Views
  • Chukua hii.

    Kilichotofautisha Klabu ya Arsenal FC na Chelsea FC kukaa nafasi ya pili (2) ni herufi ya Kwanza ya majina yao (Alphabet) kutokana na kufungana kila kitu, kuanzia alama walizokusanya kwenye michezo yao, mabao ya kufunga, kufungwa na jumla ya michezo waliyoshinda, kufungwa na sare.
    Chukua hii. Kilichotofautisha Klabu ya Arsenal FC na Chelsea FC kukaa nafasi ya pili (2) ni herufi ya Kwanza ya majina yao (Alphabet) kutokana na kufungana kila kitu, kuanzia alama walizokusanya kwenye michezo yao, mabao ya kufunga, kufungwa na jumla ya michezo waliyoshinda, kufungwa na sare.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·242 Views
  • Kijana anaondoka darajan ..anataka kwenda arsenal
    Kijana anaondoka darajan ..anataka kwenda arsenal
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·329 Views
  • AUBAMEYANG ( Gabon ); Timu ya Saudi Arabia Al qadasiya imemnasa mshambuliaji wa kati AUBAMEYANG akitokea Marseille ( ufaransa ).
    #sokachampions
    #chelsea
    #arsenal
    #premierleague
    AUBAMEYANG ( Gabon ); Timu ya Saudi Arabia Al qadasiya imemnasa mshambuliaji wa kati AUBAMEYANG akitokea Marseille ( ufaransa ). #sokachampions #chelsea #arsenal #premierleague
    Like
    Love
    5
    · 0 Comments ·0 Shares ·893 Views
  • Tumefungua channel yetu mpya inatambulika kama #soccersports ndugu shabiki wetu njoo YouTube utusaidie ku subscribe
    #azamtv
    #simbasc
    #magoma
    #yangasc
    #chelsea
    #mancity
    #manunited
    #Arsenal
    #Liverpool
    Tumefungua channel yetu mpya inatambulika kama #soccersports ndugu shabiki wetu njoo YouTube utusaidie ku subscribe 🏆 #azamtv #simbasc #magoma #yangasc #chelsea #mancity #manunited #Arsenal #Liverpool
    Like
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·1K Views

  • Uefa yatoa viwango vya ubora wa vilabu vyake, Manchester Utd nafasi 14 wakati Arsenal ipo nafasi ya 19.

    NB: Upo hapo?
    Uefa yatoa viwango vya ubora wa vilabu vyake, Manchester Utd nafasi 14 wakati Arsenal ipo nafasi ya 19. NB: Upo hapo?
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·558 Views

  • Uefa yatoa viwango vya ubora wa vilabu vyake, Manchester Utd nafasi 14 wakati Arsenal ipo nafasi ya 19.

    NB: Upo hapo?
    Uefa yatoa viwango vya ubora wa vilabu vyake, Manchester Utd nafasi 14 wakati Arsenal ipo nafasi ya 19. NB: Upo hapo?
    Like
    Haha
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·549 Views
  • Nani anakumbuka hii picha ni ya mwaka gani
    #Arsenal
    Nani anakumbuka hii picha ni ya mwaka gani 😢😢😢😢😢 #Arsenal
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·375 Views
More Results