Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?
Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! โšช๏ธ

Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos.


#SportsElite
Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?๐Ÿ‘€ ๐Ÿ“ฐ Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! ๐Ÿ˜ณโšช๏ธ โžก๏ธ Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos. โณ๐Ÿค #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท15 Views