Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?
Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! âšȘ

Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos.


#SportsElite
Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?👀 📰 Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick đŸ‡§đŸ‡· tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! 😳âšȘ âžĄïž Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos. âłđŸ€ #SportsElite
0 Commentaires ·0 Parts ·15 Vue