Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?
Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! βšͺ️

Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos.


#SportsElite
Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?πŸ‘€ πŸ“° Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick πŸ‡§πŸ‡· tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! 😳βšͺ️ ➑️ Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos. ⏳🀍 #SportsElite
0 Commenti Β·0 condivisioni Β·15 Views