RASMI:

Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan.

Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake.

#SportsElite
๐Ÿ”ด๐Ÿ”ต RASMI: Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan. โœ๏ธ๐Ÿ“† Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ”ฅ #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท9 Views