RASMI:

Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan.

Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake.

#SportsElite
馃敶馃數 RASMI: Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan. 鉁嶏笍馃搯 Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake. 馃嚘馃嚪馃敟 #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 20 Views