RASMI:

Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan.

Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake.

#SportsElite
πŸ”΄πŸ”΅ RASMI: Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan. βœοΈπŸ“† Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake. πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯ #SportsElite
0 Commenti Β·0 condivisioni Β·22 Views