• đ—Ļđ—§đ—”đ— đ—Ŗđ—˜đ—— & đ—Ļ𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗!
    𝗙đ—ŋ𝗮đ—ģ𝗰đ—ļ𝘀𝗰đ—ŧ 𝗖đ—ŧđ—ģ𝗰𝗲đ—ļđ—°Ė§đ—ŽĖƒ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲đ—ģ𝘁𝘂𝘀 kwa ada €đŸ¯đŸŦ𝗠!

    Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26.

    [@Record_Portugal | @OddAlerts]
    #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV

    #SportsElite
    đŸ’Ŗ đ—Ļđ—§đ—”đ— đ—Ŗđ—˜đ—— & đ—Ļ𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗! 𝗙đ—ŋ𝗮đ—ģ𝗰đ—ļ𝘀𝗰đ—ŧ 𝗖đ—ŧđ—ģ𝗰𝗲đ—ļđ—°Ė§đ—ŽĖƒ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲đ—ģ𝘁𝘂𝘀 kwa ada €đŸ¯đŸŦ𝗠! 🔴âšĒđŸ‡ĩ🇹 Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26. ✅ 📌 [@Record_Portugal | @OddAlerts] #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 773 Views
  • #DoneDeal Tumefikia makubaliano na klabu ya @mcalger.officiel ya Algeria kumuuza kiungo mshambuliaji wetu, @kipre_junior10.

    Kipre Jr, tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya.

    Azam FC tunamshukuru @kipre_junior10, kwa mchango wake ndani ya klabu kwa misimu miwili aliyokaa nasi na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka.

    Adieu @kipre_junior10!

    #weareazamfc #timuborabidhaabora

    #cktvtanzania
    #DoneDeal Tumefikia makubaliano na klabu ya @mcalger.officiel ya Algeria kumuuza kiungo mshambuliaji wetu, @kipre_junior10. Kipre Jr, tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya. Azam FC tunamshukuru @kipre_junior10, kwa mchango wake ndani ya klabu kwa misimu miwili aliyokaa nasi na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka. Adieu @kipre_junior10! 🙏🙏🙏 #weareazamfc #timuborabidhaabora #cktvtanzania
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 1K Views