• 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka.

    Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo.

    (Source: x/JacobsBen)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka. Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo. (Source: x/JacobsBen) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·208 Vue
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Jadon Sancho amekataa uhamisho wake kwenda Beşiktaş, na hayuko tayari kwenda kucheza ligi ya Uturkey.

    Juventus na Dortmund bado wanamfukuzia mchezaji huyo.

    (Source: @berger_pj)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Jadon Sancho amekataa uhamisho wake kwenda Beşiktaş, na hayuko tayari kwenda kucheza ligi ya Uturkey. Juventus na Dortmund bado wanamfukuzia mchezaji huyo. (Source: @berger_pj) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·158 Vue
  • 🚨️ Juventus hawako tayari kumuuza Mturuki Kenan Yildiz ✨️ ambae anawindwa na #Chelsea
    #CFC
    🚨️ Juventus⚪⚫ hawako tayari kumuuza Mturuki Kenan Yildiz ✨️ ambae anawindwa na #Chelsea 🔵⚪ #CFC
    0 Commentaires ·0 Parts ·270 Vue
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imeitupilia mbali ofa ya €65m kwa Chelsea kumuhitaji Kenan Yıldız.

    (Source: Gazzetta dello Sport)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imeitupilia mbali ofa ya €65m kwa Chelsea kumuhitaji Kenan Yıldız. (Source: Gazzetta dello Sport) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·249 Vue
  • RASMI

    Klabu ya Juventus imemsajili beki wa kulia João Mário kutoka FC Porto kwa dau la €12 milioni.

    Mchezaji huyo mwenye kipaji ameweka saini ya mkataba wa miaka mitano na Bianconeri hadi mwaka 2030.

    #SportsElite
    RASMI✅ Klabu ya Juventus imemsajili beki wa kulia João Mário kutoka FC Porto kwa dau la €12 milioni. Mchezaji huyo mwenye kipaji ameweka saini ya mkataba wa miaka mitano na Bianconeri hadi mwaka 2030. 🤝⚪⚫ #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·269 Vue
  • Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika.

    Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho.

    #SportsElite
    Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika. Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho. #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·206 Vue
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    0 Commentaires ·0 Parts ·239 Vue


  • Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona


    #SportsElite
    Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·383 Vue
  • 𝗦𝗧𝗔𝗠𝗣𝗘𝗗 & 𝗦𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗!
    𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀𝗰𝗼 𝗖𝗼𝗻𝗰𝗲𝗶𝗰̧𝗮̃ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲𝗻𝘁𝘂𝘀 kwa ada €𝟯𝟬𝗠!

    Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26.

    [@Record_Portugal | @OddAlerts]
    #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV

    #SportsElite
    💣 𝗦𝗧𝗔𝗠𝗣𝗘𝗗 & 𝗦𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗! 𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀𝗰𝗼 𝗖𝗼𝗻𝗰𝗲𝗶𝗰̧𝗮̃ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲𝗻𝘁𝘂𝘀 kwa ada €𝟯𝟬𝗠! 🔴⚪🇵🇹 Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26. ✅ 📌 [@Record_Portugal | @OddAlerts] #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·479 Vue
  • West Ham United iko kwenye mchakato wa kuhakikisha wanampata kiungo wa Juventus Douglas Luiz from .

    (Source: Gazzetta dello Sport)

    #SportsElite
    🚨 West Ham United iko kwenye mchakato wa kuhakikisha wanampata kiungo wa Juventus Douglas Luiz from . (Source: Gazzetta dello Sport) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·260 Vue
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imetuma ofa ya €15M kwa Manchester United juu ya uhamisho wa Jadon Sancho, ambae sasa kwenye kikosi cha kocha Ruben Amorim hayuko kwenye mpango wake. .
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imetuma ofa ya €15M kwa Manchester United juu ya uhamisho wa Jadon Sancho, ambae sasa kwenye kikosi cha kocha Ruben Amorim hayuko kwenye mpango wake. . ⚫⚪
    0 Commentaires ·0 Parts ·272 Vue
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo.

    Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea..

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo. 💚 Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea.. #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·235 Vue
  • DEAL DONE: Jonathan David amekamilisha uhamisho kwenda Juventus kama mchezaji huru

    (Source: @juventusfc)

    #SportsElite
    📝 DEAL DONE: Jonathan David amekamilisha uhamisho kwenda Juventus kama mchezaji huru (Source: @juventusfc) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·233 Vue
  • Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M!

    Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini..

    (Source: SportMediaset)

    🚨💣 Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M! ✅🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini.. ⏳ (Source: SportMediaset)
    0 Commentaires ·0 Parts ·248 Vue
  • Juventus iko kwenye mpango wa kusitisha mkataba wa Dušan Vlahović.

    (Source: Tuttosport)

    #SportsElite
    🚨 Juventus iko kwenye mpango wa kusitisha mkataba wa Dušan Vlahović. 🤯❌ (Source: Tuttosport) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·279 Vue
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus bado inaendelea na majadiliano na Jadon Sancho, na imemuofa mkataba hadi 2029 na mshahara wa €5 million kwa mwaka pamoja na bonasi zingine, na nyongeza ya mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus bado inaendelea na majadiliano na Jadon Sancho, na imemuofa mkataba hadi 2029 na mshahara wa €5 million kwa mwaka pamoja na bonasi zingine, na nyongeza ya mkataba hadi 2030. #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·272 Vue
  • Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake pamoja na marupurupu ili kujiunga na Juventus.

    (Source: @Eurosport_IT)

    #SportsElite
    🚨 Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake pamoja na marupurupu ili kujiunga na Juventus. (Source: @Eurosport_IT) #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·229 Vue
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru

    Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya....

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru 🤍🖤 Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya.... 🇨🇦 #SportsElite
    0 Commentaires ·0 Parts ·373 Vue
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morten Hjulmand anawindwa na matajiri wa Juventus @MatteMoretto YouTube.

    Sporting CP itamuuza kiungo huyo kwa Euro million 80 .
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morten Hjulmand anawindwa na matajiri wa Juventus @MatteMoretto YouTube. Sporting CP itamuuza kiungo huyo kwa Euro million 80 .
    0 Commentaires ·0 Parts ·267 Vue
  • Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce.

    Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna.

    (Source: Football Italia)

    #sportselite
    🚨 Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce. Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna. (Source: Football Italia) #sportselite
    0 Commentaires ·0 Parts ·391 Vue
Plus de résultats