0 Commenti
·0 condivisioni
·127 Views
-
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imeitupilia mbali ofa ya €65m kwa Chelsea kumuhitaji Kenan Yıldız.
(Source: Gazzetta dello Sport)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imeitupilia mbali ofa ya €65m kwa Chelsea kumuhitaji Kenan Yıldız. (Source: Gazzetta dello Sport) #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·128 Views -
RASMI
Klabu ya Juventus imemsajili beki wa kulia João Mário kutoka FC Porto kwa dau la €12 milioni.
Mchezaji huyo mwenye kipaji ameweka saini ya mkataba wa miaka mitano na Bianconeri hadi mwaka 2030.
#SportsEliteRASMI✅ Klabu ya Juventus imemsajili beki wa kulia João Mário kutoka FC Porto kwa dau la €12 milioni. Mchezaji huyo mwenye kipaji ameweka saini ya mkataba wa miaka mitano na Bianconeri hadi mwaka 2030. 🤝⚪⚫ #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·112 Views -
Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika.
Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho.
#SportsEliteJadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika. Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·130 Views -
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne0 Commenti ·0 condivisioni ·156 Views
-
Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona
#SportsEliteMchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·254 Views -
𝗦𝗧𝗔𝗠𝗣𝗘𝗗 & 𝗦𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗!
𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀𝗰𝗼 𝗖𝗼𝗻𝗰𝗲𝗶𝗰̧𝗮̃ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲𝗻𝘁𝘂𝘀 kwa ada €𝟯𝟬𝗠!
Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26.
[@Record_Portugal | @OddAlerts]
#Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV
#SportsElite💣 𝗦𝗧𝗔𝗠𝗣𝗘𝗗 & 𝗦𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗! 𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀𝗰𝗼 𝗖𝗼𝗻𝗰𝗲𝗶𝗰̧𝗮̃ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲𝗻𝘁𝘂𝘀 kwa ada €𝟯𝟬𝗠! 🔴⚪🇵🇹 Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26. ✅ 📌 [@Record_Portugal | @OddAlerts] #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·291 Views -
West Ham United iko kwenye mchakato wa kuhakikisha wanampata kiungo wa Juventus Douglas Luiz from .
(Source: Gazzetta dello Sport)
#SportsElite🚨 West Ham United iko kwenye mchakato wa kuhakikisha wanampata kiungo wa Juventus Douglas Luiz from . (Source: Gazzetta dello Sport) #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·183 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imetuma ofa ya €15M kwa Manchester United juu ya uhamisho wa Jadon Sancho, ambae sasa kwenye kikosi cha kocha Ruben Amorim hayuko kwenye mpango wake. .🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imetuma ofa ya €15M kwa Manchester United juu ya uhamisho wa Jadon Sancho, ambae sasa kwenye kikosi cha kocha Ruben Amorim hayuko kwenye mpango wake. . ⚫⚪0 Commenti ·0 condivisioni ·194 Views
-
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo.
Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea..
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo. 💚 Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea.. #SportsElite -
DEAL DONE: Jonathan David amekamilisha uhamisho kwenda Juventus kama mchezaji huru
(Source: @juventusfc)
#SportsElite📝 DEAL DONE: Jonathan David amekamilisha uhamisho kwenda Juventus kama mchezaji huru (Source: @juventusfc) #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·153 Views -
Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M!
Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini..
(Source: SportMediaset)
🚨💣 Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M! ✅🏴 Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini.. ⏳ (Source: SportMediaset)0 Commenti ·0 condivisioni ·167 Views -
Juventus iko kwenye mpango wa kusitisha mkataba wa Dušan Vlahović.
(Source: Tuttosport)
#SportsElite🚨 Juventus iko kwenye mpango wa kusitisha mkataba wa Dušan Vlahović. 🤯❌ (Source: Tuttosport) #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·173 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus bado inaendelea na majadiliano na Jadon Sancho, na imemuofa mkataba hadi 2029 na mshahara wa €5 million kwa mwaka pamoja na bonasi zingine, na nyongeza ya mkataba hadi 2030.
#SportsElite🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus bado inaendelea na majadiliano na Jadon Sancho, na imemuofa mkataba hadi 2029 na mshahara wa €5 million kwa mwaka pamoja na bonasi zingine, na nyongeza ya mkataba hadi 2030. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·204 Views -
Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake pamoja na marupurupu ili kujiunga na Juventus.
(Source: @Eurosport_IT)
#SportsElite🚨 Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake pamoja na marupurupu ili kujiunga na Juventus. (Source: @Eurosport_IT) #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·154 Views -
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru
Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya....
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru 🤍🖤 Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya.... 🇨🇦 #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·271 Views -
0 Commenti ·0 condivisioni ·191 Views
-
Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce.
Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna.
(Source: Football Italia)
#sportselite🚨 Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce. Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna. (Source: Football Italia) #sportselite0 Commenti ·0 condivisioni ·270 Views -
Leeds United imefungua mazungumzo na Juventus ikimuhitaji kiungo Douglas Luiz.
(Source: Calciomercato)
#sportselite🚨 Leeds United imefungua mazungumzo na Juventus ikimuhitaji kiungo Douglas Luiz. (Source: Calciomercato) #sportselite0 Commenti ·0 condivisioni ·176 Views -
Napoli na Juventus wako kwenye mbio za kumuwinda Jadon Sancho na wako tayari kutoa kiasi cha £25m kwa Manchester United kama ada ya uhamisho
(Source: Metro)
#sportselite🚨 Napoli na Juventus wako kwenye mbio za kumuwinda Jadon Sancho na wako tayari kutoa kiasi cha £25m kwa Manchester United kama ada ya uhamisho (Source: Metro) #sportselite0 Commenti ·0 condivisioni ·153 Views
Pagine in Evidenza