• nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo,
    hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo,
    rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo,
    mazee nipo serious..nikibattle nawe usilete mchezo,
    nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo,
    naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina,
    namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina,
    emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti,
    skillz zangu zinatendi to infiniti,
    Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti,
    nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo, hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo, rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo, mazee nipo serious..nikibattle nawe usilete mchezo, nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo, naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina, namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina, emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti, skillz zangu zinatendi to infiniti, Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti,
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·420 Views
  • napanda kitandani na movie ya kuzimu ndio inaanza/
    narudisha miaka nyuma kurudisha enzi za HBC na KWANZA/
    enzi za real hiphop hakuna vikatuni vilivyojibanza/
    kigangsta napambana..bars zinapandana/
    metaphorz zinafanana..punch zinafuatana/
    mashairi na kinywa vinajamiiana.. ninacho ongea na ukweli vinashabihiana/
    bifu zinaongezeka na emceez wanachinjana.. live kwenye cypher wanauwana/
    hadi wakongwe hakuna wanaopatana.. kila mmoja anaspit kwa kina na mapana/
    mapresenter wanajaribu kubana.. lakini vichwa halisi vinaendelea kuchana/
    mahardcore wanamwaga vesi za kinabii kwenye cypher zinalundikana/
    batto zinaanzishwa emcee feki wanafichama.. wanajifanya makamanda kumbe watoto wa mama/
    naleta propaganda wote waliopo juu wanapigwa mitama/
    namwona zomba ameketi peponi akichekelea..
    nigga one ameketi pembeni hiphop inaongelewa..
    wanadiscuss jinsi kuleta unabii hiphop bongo ikapokelewa//
    nastuka duuh kumbe nilikuwa naota....................
    napanda kitandani na movie ya kuzimu ndio inaanza/ narudisha miaka nyuma kurudisha enzi za HBC na KWANZA/ enzi za real hiphop hakuna vikatuni vilivyojibanza/ kigangsta napambana..bars zinapandana/ metaphorz zinafanana..punch zinafuatana/ mashairi na kinywa vinajamiiana.. ninacho ongea na ukweli vinashabihiana/ bifu zinaongezeka na emceez wanachinjana.. live kwenye cypher wanauwana/ hadi wakongwe hakuna wanaopatana.. kila mmoja anaspit kwa kina na mapana/ mapresenter wanajaribu kubana.. lakini vichwa halisi vinaendelea kuchana/ mahardcore wanamwaga vesi za kinabii kwenye cypher zinalundikana/ batto zinaanzishwa emcee feki wanafichama.. wanajifanya makamanda kumbe watoto wa mama/ naleta propaganda wote waliopo juu wanapigwa mitama/ namwona zomba ameketi peponi akichekelea.. nigga one ameketi pembeni hiphop inaongelewa.. wanadiscuss jinsi kuleta unabii hiphop bongo ikapokelewa// nastuka duuh kumbe nilikuwa naota....................
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·724 Views
  • cheki rhyme zangu, kila kona zinavyovuma/
    Mamceez wanadata, wanaelekeza kwangu shutuma/
    Lyrics zangu matata,ingekuwa uchoraji mi ni John Kaduma/
    nimebaki mwenyewe mtu kati/
    mistari ipo makini inastahili ya-juu Hati/
    na pia freestyle zangu sizitungi kwa bahati/
    sijui ingekuwa vipi kama mngeilipia Vat/
    Wasanii wenye chuki bado wananiwekea gundu/
    wanalonga mtaani 'eti wananitoa manundu/
    kuna siku mpaka walitaka kunichanja na Mundu/
    wanashindwa kutambua 'ben' ni msanii mtundu!/

    ...........................2B Continued
    cheki rhyme zangu, kila kona zinavyovuma/ Mamceez wanadata, wanaelekeza kwangu shutuma/ Lyrics zangu matata,ingekuwa uchoraji mi ni John Kaduma/ nimebaki mwenyewe mtu kati/ mistari ipo makini inastahili ya-juu Hati/ na pia freestyle zangu sizitungi kwa bahati/ sijui ingekuwa vipi kama mngeilipia Vat/ Wasanii wenye chuki bado wananiwekea gundu/ wanalonga mtaani 'eti wananitoa manundu/ kuna siku mpaka walitaka kunichanja na Mundu/ wanashindwa kutambua 'ben' ni msanii mtundu!/ ...........................2B Continued
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·553 Views
  • Maisha ni kama #pushup, yanaenda juu na kushuka #chini!!
    Mc chana ubebe #cup, sio kutwa nzima battle #umimi!!
    Yesu alikuwa #ndimi, mchungaji bora mwenye #uzima!!
    Hakujitia vitu #umimi, ni kama MC mwenye #heshima!!
    Ukweli humo kwenye #zaburi, jifunze sana acha #kiburi!!
    Fanya mambo #mazuri, kioo cha jamii uwe #kivuli!!
    Nakuja kama #emcee, mwenye ushauri wa #mafumbo!!
    Natoa hadi #salutee, kwa wale wanaopinga #Mkumbo!!
    Maisha ni kama #pushup, yanaenda juu na kushuka #chini!! Mc chana ubebe #cup, sio kutwa nzima battle #umimi!! Yesu alikuwa #ndimi, mchungaji bora mwenye #uzima!! Hakujitia vitu #umimi, ni kama MC mwenye #heshima!! Ukweli humo kwenye #zaburi, jifunze sana acha #kiburi!! Fanya mambo #mazuri, kioo cha jamii uwe #kivuli!! Nakuja kama #emcee, mwenye ushauri wa #mafumbo!! Natoa hadi #salutee, kwa wale wanaopinga #Mkumbo!!
    0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • Sukari ndo utamu wa kitumbua..
    Nahodha kuzamisha meli utamu wa mua..
    Utamu wa asali compare na halua..
    Utamu wa mapenzi hasa ukiyajua..
    Utamu wa chumvi kwenye chakula..
    Kuramba chumvi chumvini utapata safura..
    Utamu wa simba iwepo Yanga..
    Utamu wa game zao zinaanza kuchezwa kwa waganga..
    Utamu wa smartphone uwe na emcee bando..
    Ila utamu wa YESU muulize Rose muhando..
    Utamu wa supu chapati mbili..
    Utamu wa chipsi kidogo na pilipili..
    Utamu wa kijiti upate cha Arushwa .
    Kisiwe kibichi kiwe kimekaushwa..
    Utamu wa kigodoro kubambia..
    Utamu wake adi mke wa mtu unamkamatia..
    Sukari ndo utamu wa kitumbua.. Nahodha kuzamisha meli utamu wa mua.. Utamu wa asali compare na halua.. Utamu wa mapenzi hasa ukiyajua.. Utamu wa chumvi kwenye chakula.. Kuramba chumvi chumvini utapata safura.. Utamu wa simba iwepo Yanga.. Utamu wa game zao zinaanza kuchezwa kwa waganga.. Utamu wa smartphone uwe na emcee bando.. Ila utamu wa YESU muulize Rose muhando.. Utamu wa supu chapati mbili.. Utamu wa chipsi kidogo na pilipili.. Utamu wa kijiti upate cha Arushwa . Kisiwe kibichi kiwe kimekaushwa.. Utamu wa kigodoro kubambia.. Utamu wake adi mke wa mtu unamkamatia..
    0 Comments ·0 Shares ·414 Views
  • HIP Hop Hisia Nyingi Ma balz Mingi Napokuwa Narap..
    Najiona Zaidi Dingi Demu Kiganja Napigi Safu..
    Umenipa Nini Hip Hop Nafanya Vingi Juu Yako..
    Bila Shilingi Me Mbavu Najiamini Nikiwa Kwako..
    Nilishakana Kubana Pua Wote Mashoga Bongo Wanazingua..
    Siko Dom Arusha Nakichafua Nakwako Ndo Nimeshatua..
    Hip Hop Nikupe Nini Usiwafate Maemce Shilingi..
    HIP Hop Hisia Nyingi Ma balz Mingi Napokuwa Narap.. Najiona Zaidi Dingi Demu Kiganja Napigi Safu.. Umenipa Nini Hip Hop Nafanya Vingi Juu Yako.. Bila Shilingi Me Mbavu Najiamini Nikiwa Kwako.. Nilishakana Kubana Pua Wote Mashoga Bongo Wanazingua.. Siko Dom Arusha Nakichafua Nakwako Ndo Nimeshatua.. Hip Hop Nikupe Nini Usiwafate Maemce Shilingi..
    0 Comments ·0 Shares ·377 Views
  • MA MCEE NILIVYOWAFANYA
    kwanza- dope aliwasha kijimoto balaa nikazima/
    akatoa kajisingo hatuku-feel akala kona/ noma!
    mbili- man nizo mcee mchovu mavesi mia moja na vihoja bin porojo bila hoja kinda chill/
    tatu- sight batto tatu bao tatu maji safi ***** hana deal/
    nne- bellow star mcee wa misimu alimkumba jabari nikampa nikampa mistari hadi akatoa timu choko usinrushie stimu
    tano- nani aje aje silabu zimpe kibano kijani aseme njano
    MA MCEE NILIVYOWAFANYA kwanza- dope aliwasha kijimoto balaa nikazima/ akatoa kajisingo hatuku-feel akala kona/ noma! mbili- man nizo mcee mchovu mavesi mia moja na vihoja bin porojo bila hoja kinda chill/ tatu- sight batto tatu bao tatu maji safi ***** hana deal/ nne- bellow star mcee wa misimu alimkumba jabari nikampa nikampa mistari hadi akatoa timu choko usinrushie stimu tano- nani aje aje silabu zimpe kibano kijani aseme njano
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·136 Views
  • wanatupeleka wapi wanajifafanya wao ndio mambo yotE
    nachukia kishenzi tabia ya wengi wao ingawa sio wotE
    amtaki kupiga nyimbo paka mpewe chochotE
    emcee mwenyewe hana hata bati ya dopE
    halafu akupe ukanywe pombE
    nadhani wakati umefika wakumtumia hata general KombE
    east zoo ndiko nilko hiphop ndio chimbukO
    vina ndio mwongozo.hakuna wa kunisukuma ka kondoO
    redioni magazetini wanadhani wamemaliza mambO
    hawa taki tena hiphop wanang`ang`aniza mapianO
    wanatupeleka wapi wanajifafanya wao ndio mambo yotE nachukia kishenzi tabia ya wengi wao ingawa sio wotE amtaki kupiga nyimbo paka mpewe chochotE emcee mwenyewe hana hata bati ya dopE halafu akupe ukanywe pombE nadhani wakati umefika wakumtumia hata general KombE east zoo ndiko nilko hiphop ndio chimbukO vina ndio mwongozo.hakuna wa kunisukuma ka kondoO redioni magazetini wanadhani wamemaliza mambO hawa taki tena hiphop wanang`ang`aniza mapianO
    Like
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·376 Views
  • kila mtu kila mcee yani wkati umefika

    toa skillz zako yani mic iko on

    any subject kila kitu rukhsa tuonyeshe jinsi gani wewe kwa vina ni

    baba ubaya

    just 4 da sake of it

    hollaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
    kila mtu kila mcee yani wkati umefika toa skillz zako yani mic iko on any subject kila kitu rukhsa tuonyeshe jinsi gani wewe kwa vina ni baba ubaya just 4 da sake of it hollaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
    0 Comments ·0 Shares ·211 Views
  • Take My Attention baby . #MCE

    Swipe

    THE VIP CARTEL ⚡️
    Take My Attention baby 😍💙. #MCE Swipe 🔙 THE VIP CARTEL ⚡️🥇
    Like
    Love
    Haha
    8
    · 0 Comments ·0 Shares ·119 Views