• Manchester United Yavunja Rekodi ya Mapato ya £666.5m, Licha ya Kukosa Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Manchester United imetangaza mapato ya rekodi ya £666.5 milioni kwa mwaka wa fedha 2025, licha ya kutoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UCL). Hata hivyo, klabu hiyo imerekodi hasara ya uendeshaji ya £18.4 milioni, ikilinganishwa na hasara kubwa zaidi ya £69.3 milioni mwaka 2024.

    Kiasi cha £36.6 milioni kilitumiwa kama gharama maalum, ikiwemo kuondoka kwa aliyekuwa meneja Erik ten Hag pamoja na benchi lake la ufundi.

    United pia imeweka historia kwa kupata mapato ya juu zaidi ya siku za mechi, yaliyoongezeka kwa 17%, kutokana na mauzo makubwa ya tiketi na uanachama. Aidha, klabu ilipata mapato ya juu zaidi ya kibiashara, yaliyoongezeka kwa 10%, kutokana na ushirikiano mpya wa jezi kuu na kampuni ya teknolojia Snapdragon.

    Kwa mwaka wa fedha 2026, klabu hiyo imeweka makadirio ya mapato kati ya £640 milioni na £660 milioni, huku EBITDA iliyorekebishwa ikitarajiwa kuwa kati ya £180 milioni na £200 milioni.

    Afisa Mtendaji Mkuu, Omar Berrada, alisema kuwa klabu inaendelea na mikakati ya muda mrefu ndani na nje ya uwanja:

    > "Tunafurahishwa na wachezaji wapya tulioongeza kwenye vikosi vyetu vya wanaume na wanawake. Nje ya uwanja, tunapitia mabadiliko ya kiuongozi na kimuundo, na sasa tuna taasisi iliyo tayari kufanikisha malengo yetu. Kupunguza gharama kutatupa nafasi kubwa ya kuboresha matokeo ya kifedha, jambo litakalosaidia kipaumbele chetu kikuu — mafaanikio uwanjani."

    Manchester United sasa ina matumaini kwamba mafanikio ya kifedha yatasaidia kurejesha ubingwa na heshima uwanjani.

    #SportsElite
    โšฝ Manchester United Yavunja Rekodi ya Mapato ya £666.5m, Licha ya Kukosa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester United imetangaza mapato ya rekodi ya £666.5 milioni kwa mwaka wa fedha 2025, licha ya kutoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UCL). Hata hivyo, klabu hiyo imerekodi hasara ya uendeshaji ya £18.4 milioni, ikilinganishwa na hasara kubwa zaidi ya £69.3 milioni mwaka 2024. Kiasi cha £36.6 milioni kilitumiwa kama gharama maalum, ikiwemo kuondoka kwa aliyekuwa meneja Erik ten Hag pamoja na benchi lake la ufundi. United pia imeweka historia kwa kupata mapato ya juu zaidi ya siku za mechi, yaliyoongezeka kwa 17%, kutokana na mauzo makubwa ya tiketi na uanachama. Aidha, klabu ilipata mapato ya juu zaidi ya kibiashara, yaliyoongezeka kwa 10%, kutokana na ushirikiano mpya wa jezi kuu na kampuni ya teknolojia Snapdragon. Kwa mwaka wa fedha 2026, klabu hiyo imeweka makadirio ya mapato kati ya £640 milioni na £660 milioni, huku EBITDA iliyorekebishwa ikitarajiwa kuwa kati ya £180 milioni na £200 milioni. Afisa Mtendaji Mkuu, Omar Berrada, alisema kuwa klabu inaendelea na mikakati ya muda mrefu ndani na nje ya uwanja: > "Tunafurahishwa na wachezaji wapya tulioongeza kwenye vikosi vyetu vya wanaume na wanawake. Nje ya uwanja, tunapitia mabadiliko ya kiuongozi na kimuundo, na sasa tuna taasisi iliyo tayari kufanikisha malengo yetu. Kupunguza gharama kutatupa nafasi kubwa ya kuboresha matokeo ya kifedha, jambo litakalosaidia kipaumbele chetu kikuu — mafaanikio uwanjani." ๐Ÿ“Œ Manchester United sasa ina matumaini kwamba mafanikio ya kifedha yatasaidia kurejesha ubingwa na heshima uwanjani. #SportsElite
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท416 Views
  • Beki wa kushoto wa Manchester United Tyrell Malacia anapanga kuondoka klabuni hapo na kujiunga Elche kwa mkopo wa mda mrefu baada ya kuchagua kwenda La Liga akiitupilia ofa ya Lille.

    (Source: Voetbal International)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Beki wa kushoto wa Manchester United Tyrell Malacia anapanga kuondoka klabuni hapo na kujiunga Elche kwa mkopo wa mda mrefu baada ya kuchagua kwenda La Liga akiitupilia ofa ya Lille. (Source: Voetbal International) #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท126 Views
  • ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe.

    Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena

    Source Mike Keagan

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe. Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena Source Mike Keagan #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท278 Views
  • Barcelona imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba kiungo wao #Frenkie_de_Jong, ambaye mkataba wake wa sasa unaisha mwaka 2026.
    Mchezaji huyo sasa anawakilishwa na wakala mpya na tayari amekutana na Deco kuzungumzia mustakabali wake. Klabu inataka kumpa nyongeza ya miaka miwili na chaguo la mwaka wa tatu, ingawa masharti ya kifedha ndiyo yatakayotoa mwelekeo wa mwisho.
    De Jong anaungwa mkono na rais Joan Laporta na kocha #Hansi Flick, jambo linaloonyesha nia ya kumweka Camp Nou kwa muda mrefu zaidi.

    Kifupi: Barça inataka kuongeza mkataba wa De Jong hadi baada ya 2026, na pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea pamoja.


    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐ŸšจBarcelona imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba kiungo wao #Frenkie_de_Jong, ambaye mkataba wake wa sasa unaisha mwaka 2026. Mchezaji huyo sasa anawakilishwa na wakala mpya na tayari amekutana na Deco kuzungumzia mustakabali wake. Klabu inataka kumpa nyongeza ya miaka miwili na chaguo la mwaka wa tatu, ingawa masharti ya kifedha ndiyo yatakayotoa mwelekeo wa mwisho. De Jong anaungwa mkono na rais Joan Laporta na kocha #Hansi Flick, jambo linaloonyesha nia ya kumweka Camp Nou kwa muda mrefu zaidi. Kifupi: Barça inataka kuongeza mkataba wa De Jong hadi baada ya 2026, na pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea pamoja. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท270 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Manchester City imeitupilia mbali ofa ya 70 million euros kutoka Tottenham kumsajili Savinho.

    Mazungumzo bado yanaendelea muda sio mrefu ofa mpya inaweza kutolewa na klabu hiyo...


    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Manchester City imeitupilia mbali ofa ya 70 million euros kutoka Tottenham kumsajili Savinho. Mazungumzo bado yanaendelea muda sio mrefu ofa mpya inaweza kutolewa na klabu hiyo... #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท270 Views
  • ๐„๐—๐‚๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„: Newcastle ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Jacob Ramseyโšช๏ธโšซ๏ธโšก๏ธ

    Makubaliano hayo baina ya Aston Villa yatahusisha kiasi cha £40m na mda sio mrefu uhamisho utakamilika kwa 100%

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐„๐—๐‚๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„: Newcastle ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Jacob Ramseyโšช๏ธโšซ๏ธโšก๏ธ Makubaliano hayo baina ya Aston Villa yatahusisha kiasi cha £40m na mda sio mrefu uhamisho utakamilika kwa 100% #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท167 Views
  • ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Chelsea FC imefika makubaliano kamili na RB Leipzig kumsajili Xavu Simons kwa ada ya €60m na mkataba wa muda mrefu. .

    Chelsea kwa sasa inasubiri kuuza mchezaji kupata nafasi ya kukamilisha Usajili huo mapema. .

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Chelsea FC imefika makubaliano kamili na RB Leipzig kumsajili Xavu Simons kwa ada ya €60m na mkataba wa muda mrefu. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ ๐Ÿ”ต. Chelsea kwa sasa inasubiri kuuza mchezaji kupata nafasi ya kukamilisha Usajili huo mapema. ๐Ÿ’ฐ ๐Ÿ”ต. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท159 Views


  • Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29.

    Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae.

    Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania.

    ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU

    #SportsElite
    Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29. Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae. Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania. ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU๐Ÿฅถ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท344 Views
  • HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo.

    Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.

    #SportsElite
    ๐ŸšจHERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo. ๐Ÿ’ฐ Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.โœจ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท337 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon

    Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético


    Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada โœจ โค๏ธ๐Ÿค๐Ÿ” #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท127 Views
  • | JUST IN

    Barcelona na Frenkie de Jong wako kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu hadi Juni 2029, na chaguo la mwaka mmoja zaidi. Mazungumzo sasa yako katika hatua za juu na yanaendelea vyema.

    Ili kusaidia uthabiti wa kifedha wa klabu, De Jong anakubali kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa—kutoka zaidi ya €700k kwa wiki (kutokana na malipo yaliyocheleweshwa hapo awali) hadi kiasi cha kudumu kati ya €200k na €250k kwa wiki.

    Source [ Transfer News]

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ | JUST IN Barcelona na Frenkie de Jong wako kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu hadi Juni 2029, na chaguo la mwaka mmoja zaidi. Mazungumzo sasa yako katika hatua za juu na yanaendelea vyema. ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด Ili kusaidia uthabiti wa kifedha wa klabu, De Jong anakubali kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa—kutoka zaidi ya €700k kwa wiki (kutokana na malipo yaliyocheleweshwa hapo awali) hadi kiasi cha kudumu kati ya €200k na €250k kwa wiki. ๐Ÿ’ฐ Source [ Transfer News] #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท416 Views
  • .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

    โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    โ–ช๏ธŽ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    โ–ช๏ธŽUongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    โ–ช๏ธŽMohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    โ–ช๏ธŽKila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Young Africans Sports Club ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ โ–ช๏ธŽ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." โ–ช๏ธŽUongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. โ–ช๏ธŽMohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. โ–ช๏ธŽKila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. ๐Ÿค”
    Like
    Love
    2
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท899 Views
  • #SportsElite

    - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..!
    .
    .
    - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! ๐Ÿฅน!
    .
    .

    …Endelea kupumzika, Diogo Jota. ๐Ÿ•Š
    #SportsElite - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..! ๐Ÿค . . - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! ๐Ÿฅน! . . …Endelea kupumzika, Diogo Jota. ๐Ÿ•Š
    0 Comments ยท0 Shares ยท853 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru

    Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya....

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru ๐Ÿค๐Ÿ–ค Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya.... ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท484 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Noa Lang yuko mbioni kujiunga na Napoli kutoka PSV Eindhoven kwa dau la €28 million.

    Dili hilo mda sio mrefu linaweza kukamilika na Lang huwenda akavuna €2.5 kwa mwaka hadi 2030...

    #sportselite
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Noa Lang yuko mbioni kujiunga na Napoli kutoka PSV Eindhoven kwa dau la €28 million. Dili hilo mda sio mrefu linaweza kukamilika na Lang huwenda akavuna €2.5 kwa mwaka hadi 2030... #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท134 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Toni Rüdiger rasimi amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kukaa nje ya uwanja kwa mda mrefu....
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Toni Rüdiger rasimi amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kukaa nje ya uwanja kwa mda mrefu....๐Ÿค๐Ÿ”™
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท159 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Brahim Diaz, atasaini mkataba wa mda mrefu ndani ya Real Madrid kama ilivyo pangwa na makubaliano ya pande zote umefikiwa

    #sportselite
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Brahim Diaz, atasaini mkataba wa mda mrefu ndani ya Real Madrid kama ilivyo pangwa na makubaliano ya pande zote umefikiwa ๐Ÿค๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ #sportselite
    Yay
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท110 Views
  • โœ๐Ÿป Jonathan Tah amemaliza vipimo na mda sio mrefu anaweza kutia saini FC Bayern
    โค๏ธ๐Ÿคโœ๐Ÿป Jonathan Tah amemaliza vipimo na mda sio mrefu anaweza kutia saini FC Bayern ๐Ÿ“
    Wow
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท139 Views
  • โœ๐Ÿป Jonathan Tah amemaliza vipimo na mda sio mrefu anaweza kutia saini FC Bayern
    โค๏ธ๐Ÿคโœ๐Ÿป Jonathan Tah amemaliza vipimo na mda sio mrefu anaweza kutia saini FC Bayern ๐Ÿ“
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท138 Views
  • MGUSO WA MAMA HUBADILISHA KILA KITU

    Kuna kitu kitakatifu kwa njia anayokufikia -
    hata wakati mikono yake imechoka.
    Kwa jinsi anavyokunja uso wako,
    lainisha nywele zako,
    na kutuliza dhoruba zako bila neno moja.

    Kugusa kwake sio faraja tu -
    ni kumbukumbu.
    Ni kila goti lililopigwa aliponya,
    kila homa aliyotuliza,
    kila uoga alinyamaza kwa kuwa pale tu.

    Muda mrefu kabla haujaelewa ulimwengu,
    mikono yake ilikujulisha -
    upole, upendo, uvumilivu.

    Na hata sasa,
    wakati maisha yanapovuma na upendo unapotea,
    mguso mmoja tu kutoka kwake
    bado unakurudisha kwako.

    Kwa sababu mikono ya mama haishiki tu -
    wanajenga.
    Wanabeba ndoto, machozi kavu, na roho za nanga.

    Kwa hivyo Siku hii ya Mama,
    heshima sio tu upendo wake,
    bali nguvu ya uponyaji ya uwepo wake.

    Asante, Mama,
    kwa kila wakati tulivu ambao ulibadilisha kila kitu.

    #MikonoYaMapenzi # #YeyeNiNyumbani
    MGUSO WA MAMA HUBADILISHA KILA KITU Kuna kitu kitakatifu kwa njia anayokufikia - hata wakati mikono yake imechoka. Kwa jinsi anavyokunja uso wako, lainisha nywele zako, na kutuliza dhoruba zako bila neno moja. Kugusa kwake sio faraja tu - ni kumbukumbu. Ni kila goti lililopigwa aliponya, kila homa aliyotuliza, kila uoga alinyamaza kwa kuwa pale tu. Muda mrefu kabla haujaelewa ulimwengu, mikono yake ilikujulisha - upole, upendo, uvumilivu. Na hata sasa, wakati maisha yanapovuma na upendo unapotea, mguso mmoja tu kutoka kwake bado unakurudisha kwako. Kwa sababu mikono ya mama haishiki tu - wanajenga. Wanabeba ndoto, machozi kavu, na roho za nanga. Kwa hivyo Siku hii ya Mama, heshima sio tu upendo wake, bali nguvu ya uponyaji ya uwepo wake. Asante, Mama, kwa kila wakati tulivu ambao ulibadilisha kila kitu. #MikonoYaMapenzi # #YeyeNiNyumbani
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
More Results