• Victor Osimhen tayari ameshatia sahihi Galatasaray Mpaka 2029,na pia Victor Osimhen ndiye mchezaji mwenye gharama na anayelipwa mshahara mkubwa kwenye historia ya soka la uturukii

    #SportsElite
    Victor Osimhen tayari ameshatia sahihi Galatasaray Mpaka 2029,na pia Victor Osimhen ndiye mchezaji mwenye gharama na anayelipwa mshahara mkubwa kwenye historia ya soka la uturukii #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·24 Visualizações
  • On fire

    Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.*

    Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*.

    Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*.

    Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki.

    #SportsElite
    On fire 🔥 Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.* Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*. Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*. Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·46 Visualizações
  • Manchester United imeanza harakati za kumuwinda Victor Osimhen,lakini imemuomba apunguze gharama ya mshahara wake jambo ambalo mshambuliaji huyo ameligomea..

    (Source: Yağız Sabuncuoğlu)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United imeanza harakati za kumuwinda Victor Osimhen,lakini imemuomba apunguze gharama ya mshahara wake jambo ambalo mshambuliaji huyo ameligomea.. (Source: Yağız Sabuncuoğlu) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·49 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool inahitaji huduma ya Victor Osimhen,lakini Napoli inahitaji kiasi cha £64 ili kuipata saini ya Straika huyo

    Pamoja na hayo Liverpool imemuweka Federico Chiesa pamoja na Darwin Núñez kama njia ya kumpata Osimhen,lakini raisi wa Napoli wanahitaji nyongeza ya £17 million ili kukamilisha dili hilo....
    #sportselite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇳🇬 Liverpool inahitaji huduma ya Victor Osimhen,lakini Napoli inahitaji kiasi cha £64 ili kuipata saini ya Straika huyo Pamoja na hayo Liverpool imemuweka Federico Chiesa pamoja na Darwin Núñez kama njia ya kumpata Osimhen,lakini raisi wa Napoli wanahitaji nyongeza ya £17 million ili kukamilisha dili hilo.... #sportselite
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·198 Visualizações
  • Nigeria ndiyo Nchi pekee iliyoshinda Tuzo ya CAF POTY katika miaka miwili (2) mfululizo mara tatu (3), ikiwa na Wachezaji tofauti huku ikiwa inashikilia pia rekodi ya kuwa na Tuzo nyingi katika historia baada ya kushinda mara saba (7).

    1.Rashidi Yekini 1993
    2. Eammuel Amunike 1994
    3. Kanu Nwakwo 1996 &1999
    4. Victor Ikpeba 1997
    5. Victor Osimhen 2023
    6. Ademola Lookman 2024
    Nigeria ndiyo Nchi pekee iliyoshinda Tuzo ya CAF POTY katika miaka miwili (2) mfululizo mara tatu (3), ikiwa na Wachezaji tofauti huku ikiwa inashikilia pia rekodi ya kuwa na Tuzo nyingi katika historia baada ya kushinda mara saba (7). 1.Rashidi Yekini 1993 2. Eammuel Amunike 1994 3. Kanu Nwakwo 1996 &1999 4. Victor Ikpeba 1997 5. Victor Osimhen 2023 6. Ademola Lookman 2024
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·200 Visualizações