-
-
Poleni Kilimanjaro Wonders. CRDBBankFederationCup #paulswai
-
Tukafurahie Simba yetu na kuwapongeza wachezaji wetu kwa kutinga robo fainali ya CAF CC. #CRDBBankFederationCup
#paulswai
Tukafurahie Simba yetu na kuwapongeza wachezaji wetu kwa kutinga robo fainali ya CAF CC. #CRDBBankFederationCup #paulswai -
Mchezaji wa Simba SC Mzamiru Yassin, akizungumza kuelekea mchezo wa kesho wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Kilimanjaro Wonders utakaochezwa uwanja wa KMC, Mwenge
#paulswaiMchezaji wa Simba SC Mzamiru Yassin, akizungumza kuelekea mchezo wa kesho wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Kilimanjaro Wonders utakaochezwa uwanja wa KMC, Mwenge #paulswai -
Wananchi Young Africans baada ya kutolewa Clab bingwa Africa watakuwa dimbani Azam complex kujifua dhidi ya Copco Fc kwenye mchezo wa CRDB federation Cup siku ya jumamosi majira ya saa10:00jioniWananchi Young Africans baada ya kutolewa Clab bingwa Africa watakuwa dimbani Azam complex kujifua dhidi ya Copco Fc kwenye mchezo wa CRDB federation Cup siku ya jumamosi majira ya saa10:00jioni0 Commentarii ·0 Distribuiri ·253 Views
-
Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126).
Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester.
"Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland
Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City.
"Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.
Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126). Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester. "Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City. "Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.0 Commentarii ·0 Distribuiri ·312 Views -
Baada ya matokeo ya sare, klabu ya Simba SC imefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup).
FT': FC BRAVOS 1-1 SIMBA SPORTS CLUB
⚽️ 13” Abednego
⚽️ 69” Ateba
FT': CS CONSTANTINE 3-0 CS SFAXIEN
⚽️ 30” Benchaa
⚽️ 70” Benchaa
⚽️ 90” Temine
KUNDI LILIVYO
CS CONSTANTINE : 12
SIMBA SPORTS CLUB : 10
FC BRAVOS : 7
CS SFAXIEN : 0
Baada ya matokeo ya sare, klabu ya Simba SC imefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup). FT': FC BRAVOS 🇦🇴 1-1 SIMBA SPORTS CLUB 🇹🇿 ⚽️ 13” Abednego ⚽️ 69” Ateba FT': CS CONSTANTINE 🇩🇿 3-0 CS SFAXIEN 🇹🇳 ⚽️ 30” Benchaa ⚽️ 70” Benchaa ⚽️ 90” Temine KUNDI LILIVYO 🇩🇿 CS CONSTANTINE : 12 🇹🇿 SIMBA SPORTS CLUB : 10 🇦🇴 FC BRAVOS : 7 🇹🇳 CS SFAXIEN : 0 -
CAF CONFEDERATION CUP
FC BRAVOS SIMBA SC
01:00 usiku
11 de Novembro
Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania
#paulswaiCAF CONFEDERATION CUP 🇦🇴 FC BRAVOS 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 01:00 usiku 🏟️ 11 de Novembro Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania 🇹🇿🇹🇿 #paulswai -
HIZI NI PICHA TU MWANANGU 2
Hizi ni Picha Tu mwanangu Picha Ya kwanza inatoka Katika Maktaba Ya Philippe Desmazes.
Na sio picha iliyotoka kwa Lukamba wa Zamani Wa Nasibu Nyange La hasha
Ni Ndani Ndani picha za Madrid Wanamtambulisha marcelo Aliyetoka Nchini kwao Fluminense.
Akiwa na Miaka 15 pekee kwenye soka la kukuza vijana ndani ya klabu ya Madrid.
Usajili Wa kijana Mdogo Kutoka Kule Rio De Janeiro Nchini Brazil.
Picha Nyingine Ya Pili Kutoka Katika Maktaba Ya Simon stackpole.
Marcelo Viera Da silva Junior Alicheza Mechi Ya Kwanza Ndani Ya Uzi Wa Madrid mwaka 2007 Tarehe 7 January.
Siku Iliyomtambulisha Marcelo Duniani Katika Soka.
Anacheza mechi Dhidi Ya Deportivo.
Akitokea Bench Ndani Ya dakika 80.
Hizi ni picha 2 Mwanangu picha mojawapo za Kumbukumbu kwake marcelo ndani ya madrid.
Marcelo Ameshinda Makombe 22 Ndani Ya Uzi Madrid.
4x UCL
5x La Liga
2x Copa del Rey
4x Supercopa
4x Club World Cup
3x UEFA Super Cup
OYA HIZI NI PICHA TU MWANANGU
#neliudcosiah
HIZI NI PICHA TU MWANANGU 2 ✍️ Hizi ni Picha Tu mwanangu Picha Ya kwanza inatoka Katika Maktaba Ya Philippe Desmazes. Na sio picha iliyotoka kwa Lukamba wa Zamani Wa Nasibu Nyange La hasha Ni Ndani Ndani picha za Madrid Wanamtambulisha marcelo Aliyetoka Nchini kwao Fluminense. Akiwa na Miaka 15 pekee kwenye soka la kukuza vijana ndani ya klabu ya Madrid. Usajili Wa kijana Mdogo Kutoka Kule Rio De Janeiro Nchini Brazil. Picha Nyingine Ya Pili Kutoka Katika Maktaba Ya Simon stackpole. Marcelo Viera Da silva Junior Alicheza Mechi Ya Kwanza Ndani Ya Uzi Wa Madrid mwaka 2007 Tarehe 7 January. Siku Iliyomtambulisha Marcelo Duniani Katika Soka. Anacheza mechi Dhidi Ya Deportivo. Akitokea Bench Ndani Ya dakika 80. Hizi ni picha 2 Mwanangu picha mojawapo za Kumbukumbu kwake marcelo ndani ya madrid. Marcelo Ameshinda Makombe 22 Ndani Ya Uzi Madrid. 🏆4x UCL 🏆5x La Liga 🏆2x Copa del Rey 🏆4x Supercopa 🏆4x Club World Cup 🏆3x UEFA Super Cup OYA HIZI NI PICHA TU MWANANGU✍️ #neliudcosiah -
UGOMVI WA PALESTINA NA ISRAEL NI WA MAPACHA WAWILI TOKA WAKIWA TUMBONI KABLA YA KUZALIWA.
Nini sababu ya ugomvi ? Siyo tatizo la kugombania ardhi wala kugombania mji wa Yerusalem kunakosababisha ugomvi kati ya mataifa haya mawili ni kwamba kila taifa halitaki kutambulika kwa taifa jingine kama taifa huru.
Hii inamaanisha kwamba hata kama taifa la Palestina litahamia katika bara jingine au Israel kuhamia bara jingine bado ugomvi na vita ingeendelea kati ya mataifa haya mawili ,ugomvi kati ya mataifa haya unakwenda mbali zaidi tangu watoto wawili mapacha wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa.
Katika kitabu cha (Mwanzo 25:22) inasomeka;"Bwana akamwambia ,Mataifa mawili yamo tumboni mwako ,Na Kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako, Kabila moja litakuwa hodari Kuliko la pili na mkubwa atamtumikia mdogo."
Alizaliwa kwanza Esau ambaye baadae aliitwa Edom kisha akafuatia Yakobo ambaye baadae aliitwa Israel. Wakati Edom ni taifa la Palestina, Israel ni taifa la Israeli, hakuna ubishi kwamba Israel ni hodari zaidi ya Palestina.
Miaka ya 50 iliyopita, yaani mwaka 1967 ,kulitokea vita kati ya Israel na mataifa jirani zake, Vita hii ilipiganwa kwa siku 6 tu(Juni 5---Juni 10,1967) lakini madhara yake yapo mpaka leo ,ilikuwa ni miaka michache kupita baada ya wa--NAZI wa Hitler,kuwaua wayahudi milioni 6 ,ndoto ya kuanzishwa kwa Taifa la Israeli kama ilivyotabiriwa kwenye biblia ilitimia.
Mwishoni mwa mwaka 1948 ikiwa ni miaka 3 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia ,Mataifa ya kiarabu majirani mwa Israel yaliivamia Israel yakijaribu kuliangamiza Taifa changa ambalo muda mfupi tu lilikuwa limetangazwa na Umoja wa Mataifa kuwa Taifa huru, lakini hayakufanikiwa.
Jeshi la misri lilipigwa lakini askari waliokuwa kwenye eneo dogo linalojulikana kama Falluja walikataa kusalimu amri ,kundi la askari wa Misri na Israeli walipambana vikali ,Miongoni mwa askari Vijana waliokuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel alikuwa ni Yitzhak Rabin ambaye alikuwa na umri wa miaka 26 wakati huo, Pamoja na Meja Gamal Abdel Nasser wa jeshi la Misri aliyekuwa na miaka 30.
Wapalestina wanauita mwaka 1948 kuwa ni "al--Nakba" yaani 'Janga' .Zaidi ya wapalestina 750,000 walifukuzwa kutoka kwenye eneo ambalo sasa linajulikana kama Taifa la Israel na hawakuruhusiwa kurudi tena mahali hapo.
Mataifa ya Misri, Jordani, na Syria yaliungana pamoja kuishambulia Israel ambayo hata hivyo ndiyo kwanza ilikuwa imepewa hadhi ya kuwa taifa huru. Lakini kwasababu Mungu alikuwa amesema kwamba "Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili" ni wazi kuwa Israel ,likiwa taifa changa ,bado lilifanikiwa kuwashinda majirani zake tena ndani ya siku 6 tu.
Ingawa vita kati ya Israel na Palestina ilianzia tumboni ,lakini vita nyingi hutengenezwa na wajenzi huru kwa faida yao, Februari 17 mwaka 1950 James Paul Warburg mwenye asili ya kiyahudi alihutubia Baraza la Senate la Marekani na kusema " Government creates a crisis for which the public demands a solution.
That solution instigates the changes that the government initially wanted but which the people would have been unwilling to accept.
It is order out of chaos !!! Worldwide chaos will lead to worldwide solutions which will establish the one world order " yaani; Serikali hutengeneza migogoro ambayo umma hutaka pawepo na suruhisho.
Suruhisho hilo hulazimisha mabadiliko ambayo awali Serikali iliyataka lakini umma ulikuwa hauyataki, ni utaratibu unaopatikana Kutokana na machafuko !! Machafuko ya kidunia yataleta suruhisho la kidunia ambalo litaanzisha utaratibu mmoja wa ulimwengu.
Katika hotuba yake inayojulikana kama "Urbi et Orbi ", Papa Francis alisema ;" Pepo za vita zinavuma katika ulimwengu wetu na maendeleo yanaendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili na uharibifu wa mazingira " Urbi et Orbi ni maneno yanayomaanisha " To the city and to the world" yaani " kwenda kwa mji na kwenda kwa ulimwengu" kumaanisha kwamba hotuba za Papa Francis zinakwenda kwa wakazi wa mji wa Vatican city na wakazi wa ulimwenguni kote.
Tishio la silaha za nyuklia kutoka Korea kaskazini ,mgogoro wa peninsula ya Korea pamoja na mgogoro wa mji wa Yerusalem baada ya Rais Trump kutangaza kuwa Yerusalem ni mji Mkuu wa Israel na tangazo hilo kupingwa na Umoja wa Mataifa, ni pepo zinazoonyesha dalili ya kufumka kwa vita duniani kote.
Katika hotuba hiyo papa Francis alipendekeza kutambuliwa kwa mataifa mawili yaani Israel na Palestina, kama suruhisho la mgogoro wa Mashariki ya kati pamoja na kutatua mgogoro wa Korea kaskazini kwa njia ya kidiplomasia.
Itakumbukwa kwamba, Mwanasayansi mashuhuri aliyejulikana kama Albert Einstein alitoa tafsiri ya neno " Insanity" yaani " kuchanganyikiwa au uwendawazimu " akisema ;"wakati mtu anapojaribu kutumia kanuni ya zamani ambayo ilishindwa kwa wakati na wakati mwingine tena, akiamini kwamba ,kwa vyovyote atapata matokeo tofauti mtu huyo amechanganyikiwa au ana uwendawazimu.
Israel, Palestina, Marekani na Umoja wa Mataifa kwa zaidi ya miaka 50 wamekuwa wakijadili uwezekano wa kuleta suluhu kwa kuifanya Palestina kuwa Taifa huru pamoja na Israeli. Hata hivyo ,wapalestina wamekuwa wakijiondoa kwenye suruhisho hilo kwa sababu mpango huo unaifanya Israel iendelee kuwa Taifa huru ,wapalestina wamekuwa wakipinga wazo kwamba Israel ina haki ya kuwepo na kuishi kama Taifa.
Lengo ni kuwafutilia mbali wayahudi wote, jambo ambalo hata Adolf Hitler alikuwa nalo lakini hakuweza ,kwa mujibu wa Mwanasayansi Albert Einstein " suruhisho la mataifa mawili ( two state solution) limeshindwa kufanya kazi na wale wanaoendelea kupendekeza suruhisho hilo, ama wamechanganyikiwa na ni wendawazimu au wanafanya kwa makusudi wakiwa wanafahamu matokeo yake.
Raia wa mataifa yote mawili wanamtambua Ibrahimu kama Baba wa Mataifa yao, Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita akisafiri Kwenye eneo la Taifa linalojulikana leo kama Iraqi, na akafika Kwenye eneo la taifa linalojulikana leo kama Israeli.
Ibrahimu aliahidiwa na Mungu Kwamba atapata mtoto Katika uzee wake .Akiwa amesubiri utimilifu wa ahadi hii kwa muda mrefu bila kupata mtoto ,alimchukua kijakazi wake na akafanikiwa kuzaa naye mtoto aliyeitwa ishmail. Lakini mungu hakuwa amepanga kumpatia Ibrahim mtoto kwa njia hiyo, bado aliendelea kumhakikishia kwamba atapata mtoto kupitia kwa mkewe. Kwa sababu alikuwa na imani ,alifanikiwa kumpata mtoto aliyepewa jina la Isaka.
Kisha Mungu akamuagiza kwenda kwenye mlima Moria, ili akamtoe kafara mtoto wake Isaka ambaye alikuwa amemsubiri Kwa muda mrefu. Huu mlima Moria upo wapi? Ingawa wakati wa siku za Ibrahimu ,miaka 2000KK ,eneo kubwa lilikuwa jangwa ,miaka 1000KK baadae Mfalme Daudi alijenga mji wa Yerusalem katika eneo hilo na mtoto wake aliyejulikana kama Mfalme Sulemani alijenga hekalu la kwanza kwenye eneo hilo la mlima Moria .
Imeandikwa " ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya bwana huko Yerusalem ,juu ya mlima Moria ..." (2 Nyakati 3:1). Lakini kwa Ibrahimu Mungu anamwambia : " umchukue mwanao ,mwana wako wa pekee, umpendaye ,Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka, ..." ( Mzo. 22:2) Hivyo basi mji wa Yerusalem anajulikana kama nchi ya Moria au mlima wa Moria au mji wa Daudi mahali palepale alipoambiwa nabii Ibrahimu kwenda kutoa kafara ,ndipo Hapo hapo Mfalme Sulemani alipojenga hekalu la kumuabudia Mungu na kumtolea kafara za wanyama.
Lakini zaidi ni katika mji wa Yerusalem ndipo yesu aliposulubiwa msalabani na hapo ndipo lilipo chimbuko la dini ya ukristo iliyoanzishwa kwa ujumla uzao wa Ibrahimu ndio chimbuko la dini kubwa tatu ,yaani uyahudi, uislamu ,na ukristo.
Dini zingine zote zimetokana na dini hizi tatu ,Kutokana na ukweli huu ,wajenzi huru wamefanikiwa kuwashawishi viongozi wa dini zote na kuziunganisha kuwa dini moja. Ingawa majina ya dini hizi yanaendelea kutumika kiasi cha kuonekana kwamba hakuna tofauti ,lakini matunda ya dini hizi yanaonyesha wazi kuwa yanatokea kwenye mti mmoja.
Katika mambo ya kiroho jina la dini ya mtu au dhehebu lake haliwezi kumfanya muumini afike mbinguni bali kitu muhimu ni matunda ya dini hiyo au dhehebu hilo. Kwa kujua hili mwanzilishi wa illuminati Dkt Adam Weishaupt aliandika akisema , The great strength of our order lies in its concealment " yaani nguvu kubwa ya Utaratibu wetu Iko katika kuficha na kufanya kazi zetu kwa siri kubwa " Hata huu muunganiko wa dini umefanywa kwa siri kubwa kiasi kwamba waumini wengi hawajui kinachoendelea.
Weishaupt akaendelea kusema, " let it never appear in any place in its own name, but always covered by another name and another occupation " yaani; " hebu isionekane mahali popote kwa jina lake, lakini daima ifanyike kwa jina lingine na kwa namna nyingine." ( Robin's Proofs of a Conspiracy, P. 195).UGOMVI WA PALESTINA NA ISRAEL NI WA MAPACHA WAWILI TOKA WAKIWA TUMBONI KABLA YA KUZALIWA. Nini sababu ya ugomvi ? Siyo tatizo la kugombania ardhi wala kugombania mji wa Yerusalem kunakosababisha ugomvi kati ya mataifa haya mawili ni kwamba kila taifa halitaki kutambulika kwa taifa jingine kama taifa huru. Hii inamaanisha kwamba hata kama taifa la Palestina litahamia katika bara jingine au Israel kuhamia bara jingine bado ugomvi na vita ingeendelea kati ya mataifa haya mawili ,ugomvi kati ya mataifa haya unakwenda mbali zaidi tangu watoto wawili mapacha wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa. Katika kitabu cha (Mwanzo 25:22) inasomeka;"Bwana akamwambia ,Mataifa mawili yamo tumboni mwako ,Na Kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako, Kabila moja litakuwa hodari Kuliko la pili na mkubwa atamtumikia mdogo." Alizaliwa kwanza Esau ambaye baadae aliitwa Edom kisha akafuatia Yakobo ambaye baadae aliitwa Israel. Wakati Edom ni taifa la Palestina, Israel ni taifa la Israeli, hakuna ubishi kwamba Israel ni hodari zaidi ya Palestina. Miaka ya 50 iliyopita, yaani mwaka 1967 ,kulitokea vita kati ya Israel na mataifa jirani zake, Vita hii ilipiganwa kwa siku 6 tu(Juni 5---Juni 10,1967) lakini madhara yake yapo mpaka leo ,ilikuwa ni miaka michache kupita baada ya wa--NAZI wa Hitler,kuwaua wayahudi milioni 6 ,ndoto ya kuanzishwa kwa Taifa la Israeli kama ilivyotabiriwa kwenye biblia ilitimia. Mwishoni mwa mwaka 1948 ikiwa ni miaka 3 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia ,Mataifa ya kiarabu majirani mwa Israel yaliivamia Israel yakijaribu kuliangamiza Taifa changa ambalo muda mfupi tu lilikuwa limetangazwa na Umoja wa Mataifa kuwa Taifa huru, lakini hayakufanikiwa. Jeshi la misri lilipigwa lakini askari waliokuwa kwenye eneo dogo linalojulikana kama Falluja walikataa kusalimu amri ,kundi la askari wa Misri na Israeli walipambana vikali ,Miongoni mwa askari Vijana waliokuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel alikuwa ni Yitzhak Rabin ambaye alikuwa na umri wa miaka 26 wakati huo, Pamoja na Meja Gamal Abdel Nasser wa jeshi la Misri aliyekuwa na miaka 30. Wapalestina wanauita mwaka 1948 kuwa ni "al--Nakba" yaani 'Janga' .Zaidi ya wapalestina 750,000 walifukuzwa kutoka kwenye eneo ambalo sasa linajulikana kama Taifa la Israel na hawakuruhusiwa kurudi tena mahali hapo. Mataifa ya Misri, Jordani, na Syria yaliungana pamoja kuishambulia Israel ambayo hata hivyo ndiyo kwanza ilikuwa imepewa hadhi ya kuwa taifa huru. Lakini kwasababu Mungu alikuwa amesema kwamba "Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili" ni wazi kuwa Israel ,likiwa taifa changa ,bado lilifanikiwa kuwashinda majirani zake tena ndani ya siku 6 tu. Ingawa vita kati ya Israel na Palestina ilianzia tumboni ,lakini vita nyingi hutengenezwa na wajenzi huru kwa faida yao, Februari 17 mwaka 1950 James Paul Warburg mwenye asili ya kiyahudi alihutubia Baraza la Senate la Marekani na kusema " Government creates a crisis for which the public demands a solution. That solution instigates the changes that the government initially wanted but which the people would have been unwilling to accept. It is order out of chaos !!! Worldwide chaos will lead to worldwide solutions which will establish the one world order " yaani; Serikali hutengeneza migogoro ambayo umma hutaka pawepo na suruhisho. Suruhisho hilo hulazimisha mabadiliko ambayo awali Serikali iliyataka lakini umma ulikuwa hauyataki, ni utaratibu unaopatikana Kutokana na machafuko !! Machafuko ya kidunia yataleta suruhisho la kidunia ambalo litaanzisha utaratibu mmoja wa ulimwengu. Katika hotuba yake inayojulikana kama "Urbi et Orbi ", Papa Francis alisema ;" Pepo za vita zinavuma katika ulimwengu wetu na maendeleo yanaendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili na uharibifu wa mazingira " Urbi et Orbi ni maneno yanayomaanisha " To the city and to the world" yaani " kwenda kwa mji na kwenda kwa ulimwengu" kumaanisha kwamba hotuba za Papa Francis zinakwenda kwa wakazi wa mji wa Vatican city na wakazi wa ulimwenguni kote. Tishio la silaha za nyuklia kutoka Korea kaskazini ,mgogoro wa peninsula ya Korea pamoja na mgogoro wa mji wa Yerusalem baada ya Rais Trump kutangaza kuwa Yerusalem ni mji Mkuu wa Israel na tangazo hilo kupingwa na Umoja wa Mataifa, ni pepo zinazoonyesha dalili ya kufumka kwa vita duniani kote. Katika hotuba hiyo papa Francis alipendekeza kutambuliwa kwa mataifa mawili yaani Israel na Palestina, kama suruhisho la mgogoro wa Mashariki ya kati pamoja na kutatua mgogoro wa Korea kaskazini kwa njia ya kidiplomasia. Itakumbukwa kwamba, Mwanasayansi mashuhuri aliyejulikana kama Albert Einstein alitoa tafsiri ya neno " Insanity" yaani " kuchanganyikiwa au uwendawazimu " akisema ;"wakati mtu anapojaribu kutumia kanuni ya zamani ambayo ilishindwa kwa wakati na wakati mwingine tena, akiamini kwamba ,kwa vyovyote atapata matokeo tofauti mtu huyo amechanganyikiwa au ana uwendawazimu. Israel, Palestina, Marekani na Umoja wa Mataifa kwa zaidi ya miaka 50 wamekuwa wakijadili uwezekano wa kuleta suluhu kwa kuifanya Palestina kuwa Taifa huru pamoja na Israeli. Hata hivyo ,wapalestina wamekuwa wakijiondoa kwenye suruhisho hilo kwa sababu mpango huo unaifanya Israel iendelee kuwa Taifa huru ,wapalestina wamekuwa wakipinga wazo kwamba Israel ina haki ya kuwepo na kuishi kama Taifa. Lengo ni kuwafutilia mbali wayahudi wote, jambo ambalo hata Adolf Hitler alikuwa nalo lakini hakuweza ,kwa mujibu wa Mwanasayansi Albert Einstein " suruhisho la mataifa mawili ( two state solution) limeshindwa kufanya kazi na wale wanaoendelea kupendekeza suruhisho hilo, ama wamechanganyikiwa na ni wendawazimu au wanafanya kwa makusudi wakiwa wanafahamu matokeo yake. Raia wa mataifa yote mawili wanamtambua Ibrahimu kama Baba wa Mataifa yao, Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita akisafiri Kwenye eneo la Taifa linalojulikana leo kama Iraqi, na akafika Kwenye eneo la taifa linalojulikana leo kama Israeli. Ibrahimu aliahidiwa na Mungu Kwamba atapata mtoto Katika uzee wake .Akiwa amesubiri utimilifu wa ahadi hii kwa muda mrefu bila kupata mtoto ,alimchukua kijakazi wake na akafanikiwa kuzaa naye mtoto aliyeitwa ishmail. Lakini mungu hakuwa amepanga kumpatia Ibrahim mtoto kwa njia hiyo, bado aliendelea kumhakikishia kwamba atapata mtoto kupitia kwa mkewe. Kwa sababu alikuwa na imani ,alifanikiwa kumpata mtoto aliyepewa jina la Isaka. Kisha Mungu akamuagiza kwenda kwenye mlima Moria, ili akamtoe kafara mtoto wake Isaka ambaye alikuwa amemsubiri Kwa muda mrefu. Huu mlima Moria upo wapi? Ingawa wakati wa siku za Ibrahimu ,miaka 2000KK ,eneo kubwa lilikuwa jangwa ,miaka 1000KK baadae Mfalme Daudi alijenga mji wa Yerusalem katika eneo hilo na mtoto wake aliyejulikana kama Mfalme Sulemani alijenga hekalu la kwanza kwenye eneo hilo la mlima Moria . Imeandikwa " ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya bwana huko Yerusalem ,juu ya mlima Moria ..." (2 Nyakati 3:1). Lakini kwa Ibrahimu Mungu anamwambia : " umchukue mwanao ,mwana wako wa pekee, umpendaye ,Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka, ..." ( Mzo. 22:2) Hivyo basi mji wa Yerusalem anajulikana kama nchi ya Moria au mlima wa Moria au mji wa Daudi mahali palepale alipoambiwa nabii Ibrahimu kwenda kutoa kafara ,ndipo Hapo hapo Mfalme Sulemani alipojenga hekalu la kumuabudia Mungu na kumtolea kafara za wanyama. Lakini zaidi ni katika mji wa Yerusalem ndipo yesu aliposulubiwa msalabani na hapo ndipo lilipo chimbuko la dini ya ukristo iliyoanzishwa kwa ujumla uzao wa Ibrahimu ndio chimbuko la dini kubwa tatu ,yaani uyahudi, uislamu ,na ukristo. Dini zingine zote zimetokana na dini hizi tatu ,Kutokana na ukweli huu ,wajenzi huru wamefanikiwa kuwashawishi viongozi wa dini zote na kuziunganisha kuwa dini moja. Ingawa majina ya dini hizi yanaendelea kutumika kiasi cha kuonekana kwamba hakuna tofauti ,lakini matunda ya dini hizi yanaonyesha wazi kuwa yanatokea kwenye mti mmoja. Katika mambo ya kiroho jina la dini ya mtu au dhehebu lake haliwezi kumfanya muumini afike mbinguni bali kitu muhimu ni matunda ya dini hiyo au dhehebu hilo. Kwa kujua hili mwanzilishi wa illuminati Dkt Adam Weishaupt aliandika akisema , The great strength of our order lies in its concealment " yaani nguvu kubwa ya Utaratibu wetu Iko katika kuficha na kufanya kazi zetu kwa siri kubwa " Hata huu muunganiko wa dini umefanywa kwa siri kubwa kiasi kwamba waumini wengi hawajui kinachoendelea. Weishaupt akaendelea kusema, " let it never appear in any place in its own name, but always covered by another name and another occupation " yaani; " hebu isionekane mahali popote kwa jina lake, lakini daima ifanyike kwa jina lingine na kwa namna nyingine." ( Robin's Proofs of a Conspiracy, P. 195). -
MAMBO 8 YA KUSHANGAZA YANAYOFANYWA NA MWILI WAKO KUKULINDA PASIPO WEWE KUJUA.
C&P
Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa.
Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo inatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yote yanayoweza kuhatarisha maisha yetu.
Yafuatayo ni mambo yanayofanywa na mwili ambayo ni kati ya hiyo mifumo ya ulinzi wa mwili wa binadamu.
1. KUPIGA MIAYO (YAWNING)
Lengo kubwa la kupiga muayo ni kuupoza ubongo baada ya joto kuzidi kwenye ubongo au baada ya ubongo kuchoka kufanya kazi.
Vile vile kama ukiwa umechoka au una njaa husabababisha oxygen kupungua kwenye damu na kwenye mapafu, hii hupelekea tatizo la kupumua, hivyo kupiga miayo husaidia kuingiza oxygen ya ziada mwilini ili irudishe mwili katika hali yake ya kawaida.
2. KUPIGA CHAFYA (SNEEZING)
Mara nyingi tunapiga chafya pale pua zetu zinapokua zimejaa bakteria wa magonjwa ambao hawahitajiki mwilini, Vumbi pamoja na takataka mbali mbali zilizoingia kupitia pua.
Hivyo kupiga chafya ni kitenda cha mwili kujisafisha kwa kuyatoa hayo matakataka nje yaliyoingia mwilini.
3. KUJINYOOSHA (STRETCHING)
Kuninyoosha mwili ni kitendo kisicho cha hiari ambacho lengo lake ni kuuandaa mwili kwa ajili ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu utakazokabiliana nazo kwa siku nzima. Lakini pia kujinyoosha kunaipa misuli ya mwili mazoezi na kuiweka sawa vilevile kunarudisha mzunguko wa damu katika hali yake ya kawaida na kumtoa mtu katika uchovu.
4. KWIKWI (HICCUPING)
Najua umewahi kupata kwikwi, na mara nyingi mara baada ya kumaliza kula chakula. Je umeshawahi kujiuliza ile sauti ya ajabu ya kwikwi inasababishwa na nini au kwa sabababu gani watu hushikwa na kwikwi?
Hiyo yote husababishwa na DIAPHRAGM (tamka DAYA - FRAM) kiungo kinachopatikana ndani ya mwili wa binadamu chini kabisa ya kifua baada ya mapafu(lungs). Kazi kubwa ya diaphragm ni kusaidia katika upumuaji, (inhale) na (exhale). Pale unapoingiza hewa ndani (inhale) diaphragm hushuka chini ili kusaidia kuivuta hewa ifike kwenye mapafu. Na unapotoa hewa nje (exhale) diaphragm hutulia kwa kubakia sehem yake ili kuwezesha hewa chafu kutoka nje kupitia pua na mdomo.
Sasa basi, kuna wakati diaphragm kubugudhiwa na kuisababisha kushuka chini kwa kasi sana jambo linalosababisha wewe kuvuta hewa (inhale) kwa kasi isiyo ya kawaida kupitia koromeo la sauti, hewa ikifika kwenye box la sauti (larynx), sehem hiyo hujifunga kwa haraka sana ili kuzuia hewa isipite huko na ndipo KWIKWI hutokea.
Mambo mengine yanayoweza kuibugudhi diaphragm na kuisababisha kufanya kazi vibaya mpaka kupelekea kwikwi ni kitendo cha kula haraka haraka au kuvimbewa.
5. KUJIKUNJA KWA NGOZI YA VIDOLE VYA MIKONO BAADA YA KULOWA AU KUKAA MUDA MREFU KWENYE MAJI.
Je umewahi shuhudia jinsi ngozi ya vidole vyako inavyojikunja baada ya kufua nguo muda mrefu au kushika maji muda mrefu? Unajua ni kwa sababu gani ngozi hujikunja kama ya mtu aliyezeeka angali yu kijana mara baada ya kukaa sana kwenye maji?
Watu wengi kabla walizani kwamba kujikunja kwa ngozi hiyo hutokana na maji kuingia kwenye ngozi na hivyo ngozi hujikunja baada ya kulowa.
Lakini wanasayansi baada ya kufanya utafiti kwa muda merefu juu ya nini hasa hupelekea ngozi kujikunja? Walisema HAPANA si kwa sababu ya ngozi kulowana. Na walikuja na majibu haya.
Mwili unapokutana na majimaji mara moja hupeleka taarifa na kutafsiri kwamba mazingira hayo yana UTELEZI (Slippery) hivyo kutasababisha mikono kushindwa kushika (Grip) au kukamata vitu kwa urahisi kutokana na utelezi huo. Hapo mwili huchukua hatua ya haraka kuikunja ngozi ya mikono yako ili kurahisisha ushikaji wa vitu vinavyoteleza ndani ya maji pamoja na kutembea kwenye utelezi.
6. VIPELE VIPELE VYA BARIDI KWENYE NGOZI (GOOSEBUMPS)
Kazi kubwa ya vipele hivi ni kupunguza kiasi cha joto la mwili linalopotea kupitia matundu ya ngozi. Hivyo kwa kufanya hivi humfanya binadamu kutunza joto la mwili hata katika mazingira ambayo hali yake ya hewa si rafiki kwa mwili wa mwanadamu au ni yenye baridi sana.
7. MACHOZI (TEARS)
Zaidi ya kuwa majimaji (MUCOUS MEMBRANE ) yanayopatikana kwenye Macho ambayo kazi zake ni kulilinda jicho dhidi ya kitu chochote kigeni kinachoingia jichoni (mfano unapokata vitunguu au mdudu anapoingia jichoni huwa unatoa machozi mengi eeeh!! Pia dhidi ya upepo na moshi) na pia hutumika kama kilainishi cha jicho pale linapokuwa linazunguka zunguka (blink).
Vilevile machozi yana kazi ya kupunguza HISIA ZA HUDHUNI zinazozalishwa mwilini. Wanasayansi wanaamini kuwa mtu anapokua mwenye msongo wa mawazo (stress) mwili hutengeneza kitu kipya ili kwenda kubugudhi na kuharibu maumivu yote ambayo mtu anajisikia. Hivyo machozi yanayozalishwa hapa huwa na kemikali na yanafahamika kama NATURAL PAINKILLER. Machozi haya ni tofauti na machozi ya kawaida, lengo lake hasa la kuzalishwa ni kwa ajili ya kuondoa kabisa maumivu yaliyozalishwa mwilini
Hivyo mpaka hapa tumeona kua kuna machozi ya aina tatu ambayo ni
i. Basal tears (vilainishi)
ii. Reflex tears (mlinzi)
iii. Emotion tears (mtuliza maumivu)
8. KUSHTUKA USINGIZINI (MYOCLONIC JERKS or HYPNIC JERK).
Je! Ushawahi kutokewa na hali hii? umelala halafu ghafla unashtuka usingizini kwa mguvu nyingi kama umepigwa na shoti ya umeme na akili inakurudi ghafla huku mapigo ya moyo yakikuenda mbio? Na hali hii ikakutokea pasipo hata kuota ndoto yoyote?
Basi usiogope au kuwasingizia watu uchawi, hii ni hali ya sayansi ya mwili.na ni njia moja wapo katika ile mifumo ya mwili kujilinda.
Je hutokeaje?
Hii ni hali ya ajabu sana isiyofanywa kwa hiari ambayo huwatokea watu mara tu wamejinyoosha kitandani na kupitiwa na usingizi, mwili hutetemeshwa na kusukumwa kwa nguvu na mtu hushtuka katika hali kama vile kapigwa na shoti ya umeme. Hali hii inaweza kupelekea mtu hata kuanguka kitandani na humwamsha mara moja kutoka usingizini.
Wanasayansi wanatuambia kua, pale tu unapopata usingizi kiwango cha upumuaji kinashuka ghafla, mapigo ya moyo nayo taratibu yanapungua, misuli inatulia kwa ku-relax, Kitu cha AJABU hapa ubongo unatafsiri hali hii kama ni DALILI ZA KIFO (brain's misinterpretation of muscle relaxation), hivyo huchukua hatua za haraka za kuushtua mwili kwa kuutetemesha au kuuskuma kwa nguvu, hali ambayo humfanya mtu kuamka kutoka usingizini kwa KURUKA kitu ambacho ni hali isiyo ya kawaida.
Hali hii ikimtokea mtu huambatana na kuongezeka kwa mapigo ya moyo (rapid heartbeat), kuhema haraka haraka, na wakati mwingine mtu hutokwa na jasho jingi.
Wakati mwingine mtu huamka ametoa macho na kama ukimwangalia, nae huishia hukuangalia tu huku akikosa la kukujibu endapo utamuuliza vipi kuna tatizo gani?
MWILI WAKO NI ZAIDI YA UNAVYOUJUA. JAMBO LA MSINGI NI KUONDOA HOFU KWANI MWILI WAKO UNAJUA NINI UFANYE NA WAKATI GANI ILI KUKULINDA USIKU NA MCHANA KATIKA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO.
Share pia wengine wajue sio kila kitu ni uchawiMAMBO 8 YA KUSHANGAZA YANAYOFANYWA NA MWILI WAKO KUKULINDA PASIPO WEWE KUJUA. C&P Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo inatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yote yanayoweza kuhatarisha maisha yetu. Yafuatayo ni mambo yanayofanywa na mwili ambayo ni kati ya hiyo mifumo ya ulinzi wa mwili wa binadamu. 1. KUPIGA MIAYO (YAWNING) Lengo kubwa la kupiga muayo ni kuupoza ubongo baada ya joto kuzidi kwenye ubongo au baada ya ubongo kuchoka kufanya kazi. Vile vile kama ukiwa umechoka au una njaa husabababisha oxygen kupungua kwenye damu na kwenye mapafu, hii hupelekea tatizo la kupumua, hivyo kupiga miayo husaidia kuingiza oxygen ya ziada mwilini ili irudishe mwili katika hali yake ya kawaida. 2. KUPIGA CHAFYA (SNEEZING) Mara nyingi tunapiga chafya pale pua zetu zinapokua zimejaa bakteria wa magonjwa ambao hawahitajiki mwilini, Vumbi pamoja na takataka mbali mbali zilizoingia kupitia pua. Hivyo kupiga chafya ni kitenda cha mwili kujisafisha kwa kuyatoa hayo matakataka nje yaliyoingia mwilini. 3. KUJINYOOSHA (STRETCHING) Kuninyoosha mwili ni kitendo kisicho cha hiari ambacho lengo lake ni kuuandaa mwili kwa ajili ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu utakazokabiliana nazo kwa siku nzima. Lakini pia kujinyoosha kunaipa misuli ya mwili mazoezi na kuiweka sawa vilevile kunarudisha mzunguko wa damu katika hali yake ya kawaida na kumtoa mtu katika uchovu. 4. KWIKWI (HICCUPING) Najua umewahi kupata kwikwi, na mara nyingi mara baada ya kumaliza kula chakula. Je umeshawahi kujiuliza ile sauti ya ajabu ya kwikwi inasababishwa na nini au kwa sabababu gani watu hushikwa na kwikwi? Hiyo yote husababishwa na DIAPHRAGM (tamka DAYA - FRAM) kiungo kinachopatikana ndani ya mwili wa binadamu chini kabisa ya kifua baada ya mapafu(lungs). Kazi kubwa ya diaphragm ni kusaidia katika upumuaji, (inhale) na (exhale). Pale unapoingiza hewa ndani (inhale) diaphragm hushuka chini ili kusaidia kuivuta hewa ifike kwenye mapafu. Na unapotoa hewa nje (exhale) diaphragm hutulia kwa kubakia sehem yake ili kuwezesha hewa chafu kutoka nje kupitia pua na mdomo. Sasa basi, kuna wakati diaphragm kubugudhiwa na kuisababisha kushuka chini kwa kasi sana jambo linalosababisha wewe kuvuta hewa (inhale) kwa kasi isiyo ya kawaida kupitia koromeo la sauti, hewa ikifika kwenye box la sauti (larynx), sehem hiyo hujifunga kwa haraka sana ili kuzuia hewa isipite huko na ndipo KWIKWI hutokea. Mambo mengine yanayoweza kuibugudhi diaphragm na kuisababisha kufanya kazi vibaya mpaka kupelekea kwikwi ni kitendo cha kula haraka haraka au kuvimbewa. 5. KUJIKUNJA KWA NGOZI YA VIDOLE VYA MIKONO BAADA YA KULOWA AU KUKAA MUDA MREFU KWENYE MAJI. Je umewahi shuhudia jinsi ngozi ya vidole vyako inavyojikunja baada ya kufua nguo muda mrefu au kushika maji muda mrefu? Unajua ni kwa sababu gani ngozi hujikunja kama ya mtu aliyezeeka angali yu kijana mara baada ya kukaa sana kwenye maji? Watu wengi kabla walizani kwamba kujikunja kwa ngozi hiyo hutokana na maji kuingia kwenye ngozi na hivyo ngozi hujikunja baada ya kulowa. Lakini wanasayansi baada ya kufanya utafiti kwa muda merefu juu ya nini hasa hupelekea ngozi kujikunja? Walisema HAPANA si kwa sababu ya ngozi kulowana. Na walikuja na majibu haya. Mwili unapokutana na majimaji mara moja hupeleka taarifa na kutafsiri kwamba mazingira hayo yana UTELEZI (Slippery) hivyo kutasababisha mikono kushindwa kushika (Grip) au kukamata vitu kwa urahisi kutokana na utelezi huo. Hapo mwili huchukua hatua ya haraka kuikunja ngozi ya mikono yako ili kurahisisha ushikaji wa vitu vinavyoteleza ndani ya maji pamoja na kutembea kwenye utelezi. 6. VIPELE VIPELE VYA BARIDI KWENYE NGOZI (GOOSEBUMPS) Kazi kubwa ya vipele hivi ni kupunguza kiasi cha joto la mwili linalopotea kupitia matundu ya ngozi. Hivyo kwa kufanya hivi humfanya binadamu kutunza joto la mwili hata katika mazingira ambayo hali yake ya hewa si rafiki kwa mwili wa mwanadamu au ni yenye baridi sana. 7. MACHOZI (TEARS) Zaidi ya kuwa majimaji (MUCOUS MEMBRANE ) yanayopatikana kwenye Macho ambayo kazi zake ni kulilinda jicho dhidi ya kitu chochote kigeni kinachoingia jichoni (mfano unapokata vitunguu au mdudu anapoingia jichoni huwa unatoa machozi mengi eeeh!! Pia dhidi ya upepo na moshi) na pia hutumika kama kilainishi cha jicho pale linapokuwa linazunguka zunguka (blink). Vilevile machozi yana kazi ya kupunguza HISIA ZA HUDHUNI zinazozalishwa mwilini. Wanasayansi wanaamini kuwa mtu anapokua mwenye msongo wa mawazo (stress) mwili hutengeneza kitu kipya ili kwenda kubugudhi na kuharibu maumivu yote ambayo mtu anajisikia. Hivyo machozi yanayozalishwa hapa huwa na kemikali na yanafahamika kama NATURAL PAINKILLER. Machozi haya ni tofauti na machozi ya kawaida, lengo lake hasa la kuzalishwa ni kwa ajili ya kuondoa kabisa maumivu yaliyozalishwa mwilini Hivyo mpaka hapa tumeona kua kuna machozi ya aina tatu ambayo ni i. Basal tears (vilainishi) ii. Reflex tears (mlinzi) iii. Emotion tears (mtuliza maumivu) 8. KUSHTUKA USINGIZINI (MYOCLONIC JERKS or HYPNIC JERK). Je! Ushawahi kutokewa na hali hii? umelala halafu ghafla unashtuka usingizini kwa mguvu nyingi kama umepigwa na shoti ya umeme na akili inakurudi ghafla huku mapigo ya moyo yakikuenda mbio? Na hali hii ikakutokea pasipo hata kuota ndoto yoyote? Basi usiogope au kuwasingizia watu uchawi, hii ni hali ya sayansi ya mwili.na ni njia moja wapo katika ile mifumo ya mwili kujilinda. Je hutokeaje? Hii ni hali ya ajabu sana isiyofanywa kwa hiari ambayo huwatokea watu mara tu wamejinyoosha kitandani na kupitiwa na usingizi, mwili hutetemeshwa na kusukumwa kwa nguvu na mtu hushtuka katika hali kama vile kapigwa na shoti ya umeme. Hali hii inaweza kupelekea mtu hata kuanguka kitandani na humwamsha mara moja kutoka usingizini. Wanasayansi wanatuambia kua, pale tu unapopata usingizi kiwango cha upumuaji kinashuka ghafla, mapigo ya moyo nayo taratibu yanapungua, misuli inatulia kwa ku-relax, Kitu cha AJABU hapa ubongo unatafsiri hali hii kama ni DALILI ZA KIFO (brain's misinterpretation of muscle relaxation), hivyo huchukua hatua za haraka za kuushtua mwili kwa kuutetemesha au kuuskuma kwa nguvu, hali ambayo humfanya mtu kuamka kutoka usingizini kwa KURUKA kitu ambacho ni hali isiyo ya kawaida. Hali hii ikimtokea mtu huambatana na kuongezeka kwa mapigo ya moyo (rapid heartbeat), kuhema haraka haraka, na wakati mwingine mtu hutokwa na jasho jingi. Wakati mwingine mtu huamka ametoa macho na kama ukimwangalia, nae huishia hukuangalia tu huku akikosa la kukujibu endapo utamuuliza vipi kuna tatizo gani? MWILI WAKO NI ZAIDI YA UNAVYOUJUA. JAMBO LA MSINGI NI KUONDOA HOFU KWANI MWILI WAKO UNAJUA NINI UFANYE NA WAKATI GANI ILI KUKULINDA USIKU NA MCHANA KATIKA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO. Share pia wengine wajue sio kila kitu ni uchawi0 Commentarii ·0 Distribuiri ·475 Views -
CAF CONFEDERATION CUP
CS SFAXIEN SIMBA SC
19:00
Hammadi Agrebi
Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19.
Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania
#paulswaiCAF CONFEDERATION CUP 🇹🇳 CS SFAXIEN 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 19:00 🏟️ Hammadi Agrebi Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19. Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania 🇹🇿🇹🇿 #paulswai -
Matokeo ya michezo ya Jana.
Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca
EFL CUP
- Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace
- Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford
- Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool
LA LIGA
- Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence
- Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano
COPPA ITALIA
- Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena
- Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria
LIGUE 1
- Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG
KNVB BEKER
- Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente
- AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht
- ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen
- Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣)
- Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣)
- AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue
TACA DE PORTUGAL
- Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣)
PSL
- Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns
UEFA Champions League (Wanawake)
- FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City
- St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby
- Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich
- Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga
SEGUNDA DIVISION
- Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria
- Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense
- Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon
Matokeo ya michezo ya Jana. Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca 🏴 EFL CUP - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool 🇪🇸 LA LIGA - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano 🇮🇹 COPPA ITALIA - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria 🇫🇷 LIGUE 1 - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG 🇳🇱 KNVB BEKER - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣) - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣) - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue 🇵🇹 TACA DE PORTUGAL - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣) 🇿🇦 PSL - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns 🌍 UEFA Champions League (Wanawake) - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga 🇪🇸 SEGUNDA DIVISION - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon0 Commentarii ·0 Distribuiri ·399 Views -
𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔
➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.
➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.
➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.
• Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich
• Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).
➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).
➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.
➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!
➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.
➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).
➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.
➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).
➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake
➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)
➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).
• 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.
➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !
➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.
➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.
♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City
FACTS gani imekushangaza ?
🚨𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi 🇦🇷 na Cristiano Ronaldo 🇵🇹 ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ⚽) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales 🏴 na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich 🇩🇪 • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake 😀 ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! 😀 ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? 😎0 Commentarii ·0 Distribuiri ·704 Views -
....|| AFISA NISHATI NA MAWASILIANO KUTUA JANGWANI
Anaitwa Micky Harvey Ossété,Raia wa Congo-Brazzavile,huyu ni kiungo Mkabaji tegemezi katika kikosi cha Saint Eloi Lupopo ya Kinshasa Congo ,huyu mwamba anakaba mpaka Mawimbi ya sauti za Mashabiki,anajua pia kufunga na kuanziasha Mashambulizi,ndiyo kiungo Shoka pale Congo Brazzaville Katika michuano yote ya kimataifa yaliyohusisha timu za Taifa kwa asilimia zaidi ya 85 ametumikakatika kikosi cha timu ya Taifa ya Congo Brazzaville ,pia Saint Eloi Lupopo imemtumia sana katika kusaka tiketi ya kufuzu hatua za Makundi CAF Confederation Cup
hata hivyo vilabu kadhaa Africa kusini vipo kwenye vita Kali kupata Saini yake
ikiwa Yanga tutampata huyu mwamba basi tatizo la Mawasiliano na miundombinu uwanjani basi litakuwa limetibika
Ossété yupo tayari kujiunga na Yanga ,japo kwa upande wetu yanga bado halijawekwa wazi.
Kama uhamisho wake ukikamilika basi defensive Midfielders watakuwa hawa
1.Duke Abuya(on loan)
2.Khalid Aucho
3.Micky Harvey Ossété
5.Aziz Andambwile
Je wewe unampa nafasi nani hasa???.🚨...|| AFISA NISHATI NA MAWASILIANO KUTUA JANGWANI🔰 ➡️ Anaitwa Micky Harvey Ossété,Raia wa Congo-Brazzavile🇨🇬,huyu ni kiungo Mkabaji tegemezi katika kikosi cha Saint Eloi Lupopo ya Kinshasa Congo 🇨🇩,huyu mwamba anakaba mpaka Mawimbi ya sauti za Mashabiki,anajua pia kufunga na kuanziasha Mashambulizi,ndiyo kiungo Shoka pale Congo Brazzaville 🇨🇬 Katika michuano yote ya kimataifa yaliyohusisha timu za Taifa kwa asilimia zaidi ya 85 ametumikakatika kikosi cha timu ya Taifa ya Congo Brazzaville 🇨🇬,pia Saint Eloi Lupopo imemtumia sana katika kusaka tiketi ya kufuzu hatua za Makundi CAF Confederation Cup ✨ hata hivyo vilabu kadhaa Africa kusini 🇿🇦 vipo kwenye vita Kali kupata Saini yake ikiwa Yanga tutampata huyu mwamba basi tatizo la Mawasiliano na miundombinu uwanjani basi litakuwa limetibika ➡️ Ossété yupo tayari kujiunga na Yanga 🔰,japo kwa upande wetu yanga bado halijawekwa wazi. Kama uhamisho wake ukikamilika basi defensive Midfielders watakuwa hawa ⤵️ 1.Duke Abuya(on loan)🇰🇪 2.Khalid Aucho🇺🇬 3.Micky Harvey Ossété 🇨🇬 5.Aziz Andambwile 🇹🇿 Je wewe unampa nafasi nani hasa??? -
-
CAF CONFEDERATION CUP
CS CONSTANTINE SIMBA SC
19:00
Chahid Hamlaoui
Hakuna namna ya kufanya kwa Simba zaidi ya kutoka na ushindi au angalau sare ikiwa ugenini kwa nia ya kuiweka pazuri kutinga makundi. Kila la kheri #simbasctanzania
#paulswaiCAF CONFEDERATION CUP 🇩🇿 CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 19:00 🏟️ Chahid Hamlaoui Hakuna namna ya kufanya kwa Simba zaidi ya kutoka na ushindi au angalau sare ikiwa ugenini kwa nia ya kuiweka pazuri kutinga makundi. Kila la kheri #simbasctanzania 🇹🇿 #paulswai -
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·144 Views
-
-
CAF CONFEDERATION CUP 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 BRAVOS 🇦🇴 ⏰ 16:00 🏟️ MKapa Kila la kheri @simbasctanzania 🇹🇿🇹🇿 #paulswai
Sponsorizeaza Paginile