• 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Kevin De Bruyne will wear the number 1️⃣1️⃣ shirt at Napoli.

    Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    🚨 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Kevin De Bruyne will wear the number 1️⃣1️⃣ shirt at Napoli. 🇧🇪💙🤍 Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·6 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·18 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea.

    Dili limegharimu kiasi £25m!
    🚨🇷🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea. 🧤 Dili limegharimu kiasi £25m! 🍒
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·88 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rodrigo De Paul rasmi ni mali ya Inter Miami DONE DEAL!

    Mkataba wa miaka 4
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rodrigo De Paul rasmi ni mali ya Inter Miami DONE DEAL! Mkataba wa miaka 4
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·32 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nottingham Forest inamuwinda kiungo wa Besiktas JK Gedson Fernandes.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nottingham Forest inamuwinda kiungo wa Besiktas JK Gedson Fernandes.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·51 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ademola Lookman tayari ameshamalizana na Inter mkataba wake kutamatika hadi 2030, na atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ademola Lookman tayari ameshamalizana na Inter mkataba wake kutamatika hadi 2030, na atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka. ⚫🔵 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·55 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz

    Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa.

    Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo.

    Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa.

    (Fabrizio Romano)
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz 🚫🇨🇴 Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa. Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo. Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa. (Fabrizio Romano)
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·108 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona itamtambulisha rasmi Lamine kuvaa jezi .

    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona itamtambulisha rasmi Lamine kuvaa jezi . 💙❤️🔟
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·36 Views
  • Baada ya kushinda Taji la Klabu Bingwa, Kampuni zifuatazo zimeweka wazi kutaka kuwa wadhamini wa Chelsea.

    Shabiki wa Chelsea, ungependa nani awe mbele ya shati yenu?

    Qatar Airways
    Fly Emirates
    Riyadh Air
    SAMSUNG
    DAMAC
    💰🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Baada ya kushinda Taji la Klabu Bingwa, Kampuni zifuatazo zimeweka wazi kutaka kuwa wadhamini wa Chelsea. Shabiki wa Chelsea, ungependa nani awe mbele ya shati yenu? ✅Qatar Airways ✅Fly Emirates ✅Riyadh Air ✅SAMSUNG ✅DAMAC
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·118 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Patrick Agyemang amejiunga na Derby County kwa mkataba wa miaka 4

    Charlotte FC watapokea kitita cha £5.8M pamoja na bonasi zote kutokana na mauzo hayo..

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Patrick Agyemang amejiunga na Derby County kwa mkataba wa miaka 4 Charlotte FC watapokea kitita cha £5.8M pamoja na bonasi zote kutokana na mauzo hayo.. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·54 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Benfica imetuma ofa ya €25M kwa Palmeiras kuipata huduma ya Richard Ríos, says @Glongari.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Benfica imetuma ofa ya €25M kwa Palmeiras kuipata huduma ya Richard Ríos, says @Glongari. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·88 Views
  • 𝗦𝗧𝗔𝗠𝗣𝗘𝗗 & 𝗦𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗!
    𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀𝗰𝗼 𝗖𝗼𝗻𝗰𝗲𝗶𝗰̧𝗮̃ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲𝗻𝘁𝘂𝘀 kwa ada €𝟯𝟬𝗠!

    Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26.

    [@Record_Portugal | @OddAlerts]
    #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV

    #SportsElite
    💣 𝗦𝗧𝗔𝗠𝗣𝗘𝗗 & 𝗦𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗! 𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀𝗰𝗼 𝗖𝗼𝗻𝗰𝗲𝗶𝗰̧𝗮̃ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda 𝗝𝘂𝘃𝗲𝗻𝘁𝘂𝘀 kwa ada €𝟯𝟬𝗠! 🔴⚪🇵🇹 Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26. ✅ 📌 [@Record_Portugal | @OddAlerts] #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·104 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Al Hilal imekamilisha mazungumzo na Atalanta kukamilisha uhamisho wa kiungo Ederson.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Al Hilal imekamilisha mazungumzo na Atalanta kukamilisha uhamisho wa kiungo Ederson. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·58 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hugo Ekitike yuko karibu kujiunga na Newcastle United kutokea Eintracht Frankfurt kwa ada ya €78 million, na mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hugo Ekitike yuko karibu kujiunga na Newcastle United kutokea Eintracht Frankfurt kwa ada ya €78 million, na mkataba hadi 2030. ⚪⚫ #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·83 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Luka Modrić kwenda AC Milan kwa mkataba wa mwaka 1 na nyongeza hadi June 2027!

    Modrić atavaa jezi 1️⃣4️⃣ baada ya kumaliza mkataba Real Madrid .

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Luka Modrić kwenda AC Milan kwa mkataba wa mwaka 1 na nyongeza hadi June 2027! ❤️🖤🇭🇷 Modrić atavaa jezi 1️⃣4️⃣ baada ya kumaliza mkataba Real Madrid . ✨ #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·72 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Real Madrid imethibitisha usajili wa Álvaro Carreras kwa kandarasi hadi 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟐𝟎𝟑𝟏!

    Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m ..

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Real Madrid imethibitisha usajili wa Álvaro Carreras kwa kandarasi hadi 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟐𝟎𝟑𝟏! 🤍 Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m .. 🔙🏡 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·127 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Pablo Torre amejiunga Mallorca kwa mkataba wa kudumu akitokea Barça. .

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Pablo Torre amejiunga Mallorca kwa mkataba wa kudumu akitokea Barça. ❤️🖤🔐. 🔙🇪🇸 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·66 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi .

    Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi . 🔴⚠️ Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo. 👀 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·151 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Bado kuna mvutano wa kimasrahi baina ya Vinicius Jr kuongeza mkataba mpya Real Madrid reports Chiringuito.
    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Bado kuna mvutano wa kimasrahi baina ya Vinicius Jr kuongeza mkataba mpya Real Madrid reports Chiringuito. ❌🙅‍♂️
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·108 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal iko kwenye majadiliano na Valencia ili kuinasa saini ya beki wa Kati Cristhian Mosquera, tayari mazungumzo na mchezaji yamekamilika..

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal iko kwenye majadiliano na Valencia ili kuinasa saini ya beki wa Kati Cristhian Mosquera, tayari mazungumzo na mchezaji yamekamilika.. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·120 Views
Arama Sonuçları