• BREAKING 》Crystal Palace imewafahakisha Arsenal kuwa Wanatakiwa Walipe kiasi cha £35m kwa Eberechi Eze mapema alafu zingine watalipa taratibu.

    Fahamu kifungu cha Eberechi Eze kuuzwa ni £67.5m.

    Source Goal Side

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨BREAKING 》Crystal Palace imewafahakisha Arsenal kuwa Wanatakiwa Walipe kiasi cha £35m kwa Eberechi Eze mapema alafu zingine watalipa taratibu. Fahamu kifungu cha Eberechi Eze kuuzwa ni £67.5m. Source Goal Side #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·155 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Chelsea sasa inawataka Wote kwa Pamoja Alejandro Garnacho na Xavi Simons. .

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    💰🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Chelsea sasa inawataka Wote kwa Pamoja Alejandro Garnacho na Xavi Simons. 🇳🇱 🇦🇷. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·121 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester united bado wapo kwenye mazungumzo na PSG ili kumpata golikipa Gigi Donnarumma . Mchakato bado inaendelea

    (Source: x/JanAageFjortoft)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester united bado wapo kwenye mazungumzo na PSG ili kumpata golikipa Gigi Donnarumma . Mchakato bado inaendelea ✅ (Source: x/JanAageFjortoft) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·72 Views
  • Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.💰😳 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·89 Views
  • ⚪️𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento.

    Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento.

    Graeme Bailey/ TBR football/ Goal.

    #SportsElite
    ⚪️🔵🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento. Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento. Graeme Bailey/ TBR football/ Goal. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·137 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wapo kwenye harakati za kumuwinda mchezaji wa Westham United Lucas Paqueta.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wapo kwenye harakati za kumuwinda mchezaji wa Westham United Lucas Paqueta. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·86 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho.

    #SportsElite
    📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·130 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jules Koundé ameongeza kandarasi kuendelea kusalia Barcelona hadi 2030.

    @FabriceHawkins

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jules Koundé ameongeza kandarasi kuendelea kusalia Barcelona hadi 2030. 🇫🇷 ℹ️ @FabriceHawkins #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·102 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: James Trafford kwenda Man City limekamilika 𝗛𝗘𝗥𝗘 𝗪𝗘 𝗚𝗢 done.

    Burnley itakula £40M kama mauzo ya golikipa huyo..

    (Source: Fabrizio Romano)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: James Trafford kwenda Man City limekamilika 𝗛𝗘𝗥𝗘 𝗪𝗘 𝗚𝗢 done. ✅ Burnley itakula £40M kama mauzo ya golikipa huyo.. (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·70 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle bado iko kwenye majadiliano na Brentford FC ili kuipata huduma ya Yoane Wissa.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle bado iko kwenye majadiliano na Brentford FC ili kuipata huduma ya Yoane Wissa. ⚪⚫ #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·55 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imeitupilia mbali ofa ya €65m kwa Chelsea kumuhitaji Kenan Yıldız.

    (Source: Gazzetta dello Sport)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imeitupilia mbali ofa ya €65m kwa Chelsea kumuhitaji Kenan Yıldız. (Source: Gazzetta dello Sport) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·124 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle United inavutiwa na kumsajili Benjamin Sesko baada ya Manchester United kushindwa kufikia bei..

    @David_Orsntien

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle United inavutiwa na kumsajili Benjamin Sesko baada ya Manchester United kushindwa kufikia bei.. @David_Orsntien #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·112 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Jorrel Hato yuko mbioni kujiunga na Chelsea kutoka Ajax kwa ada ya uhamisho £50M

    Beki huyo wa kushoto tayari wamefikia makubaliano binafsi ya kimasrahi na atadumu hadi 2033 ndani ya Chelsea.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Jorrel Hato yuko mbioni kujiunga na Chelsea kutoka Ajax kwa ada ya uhamisho £50M Beki huyo wa kushoto tayari wamefikia makubaliano binafsi ya kimasrahi na atadumu hadi 2033 ndani ya Chelsea. ⚪🔵 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·120 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Cristhian Mosquera (21) kutoka Valencia.

    @Enoch_Arthur34

    #SportsElite
    🚨🇪🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Cristhian Mosquera (21) kutoka Valencia. @Enoch_Arthur34 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·67 Views
  • 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Kevin De Bruyne will wear the number 1️⃣1️⃣ shirt at Napoli.

    Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    🚨 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Kevin De Bruyne will wear the number 1️⃣1️⃣ shirt at Napoli. 🇧🇪💙🤍 Rasmi sasa Kevin De BRUYNE apewa jezii namba 11 Mgongoni katika Club ya Napoli
    0 Commentarios ·0 Acciones ·92 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    0 Commentarios ·0 Acciones ·154 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea.

    Dili limegharimu kiasi £25m!
    🚨🇷🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea. 🧤 Dili limegharimu kiasi £25m! 🍒
    0 Commentarios ·0 Acciones ·169 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rodrigo De Paul rasmi ni mali ya Inter Miami DONE DEAL!

    Mkataba wa miaka 4
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rodrigo De Paul rasmi ni mali ya Inter Miami DONE DEAL! Mkataba wa miaka 4
    0 Commentarios ·0 Acciones ·104 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nottingham Forest inamuwinda kiungo wa Besiktas JK Gedson Fernandes.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nottingham Forest inamuwinda kiungo wa Besiktas JK Gedson Fernandes.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·92 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ademola Lookman tayari ameshamalizana na Inter mkataba wake kutamatika hadi 2030, na atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ademola Lookman tayari ameshamalizana na Inter mkataba wake kutamatika hadi 2030, na atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka. ⚫🔵 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·100 Views
Resultados de la búsqueda