• ...||TANZANIA NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025.

    Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025,

    KUNDI A
    Morocco
    Comoros
    Zambia
    Mali

    KUNDI B
    Zimbabwe
    Angola
    South Africa
    Egypt

    KUNDI C
    Tanzania
    Uganda
    Tunisia
    Nigeria

    KUNDI D
    Botswana
    Benin
    Dr Congo
    Senegal

    KUNDI E
    Sudan
    Equatorial Guinea
    Burkina Faso
    Algeria

    KUNDI F
    Cameroon
    Mozambique
    Gabon
    Cotê D'Ivoire ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

    Kila la kheri Tanzania
    ๐Ÿšจ...||TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025. ๐Ÿ’ŽHaya hapa Makundi yote ya Afcon 2025, KUNDI A Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Comoros๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ Zambia๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mali๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ KUNDI B Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Angola๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด South Africa๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Egypt๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ KUNDI C Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Uganda๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Tunisia๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Nigeria๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ KUNDI D Botswana๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ Benin๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ Dr Congo๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ KUNDI E Sudan๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ Equatorial Guinea๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ Burkina Faso๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Algeria๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ KUNDI F Cameroon๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Mozambique๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ Gabon๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ Cotê D'Ivoire ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ’ŽKila la kheri Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ‘Š๐Ÿ’ช๐Ÿ’™๐Ÿค๐Ÿ–ค
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท117 Views
  • ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Man United iko tayari kutoa ofa mpya ya €30m kumsajili beki wa Lecce Patrick Dorgu,

    Patrick Dorgu mwenye miaka 20 raia wa Denmark tayari amekubali masharti ya kibinafsi na Man United

    Source Fabrizio Romano
    ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Man United iko tayari kutoa ofa mpya ya €30m kumsajili beki wa Lecce Patrick Dorgu, ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ Patrick Dorgu mwenye miaka 20 raia wa Denmark tayari amekubali masharti ya kibinafsi na Man United Source Fabrizio Romano
    Like
    1
    ยท 1 Reacties ยท0 aandelen ยท97 Views
  • ๐๐‹๐Ž๐Ž๐ƒ ๐‚๐‹๐„๐€๐๐’๐„๐‘
    ๐ƒ๐š๐ฐ๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ƒ๐š๐ฆ๐ฎ
    -๐‡๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ,๐›๐š๐ค๐ญ๐ž๐ซ๐ข๐š ๐ง๐š ๐ญ๐ข๐›๐š ๐ง๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐ณ๐ข๐จ(๐€๐ฅ๐ฅ๐ž๐ซ๐ ๐ฒ)
    +255767607724
    ๐๐‹๐Ž๐Ž๐ƒ ๐‚๐‹๐„๐€๐๐’๐„๐‘ ๐ƒ๐š๐ฐ๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ƒ๐š๐ฆ๐ฎ -๐‡๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ,๐›๐š๐ค๐ญ๐ž๐ซ๐ข๐š ๐ง๐š ๐ญ๐ข๐›๐š ๐ง๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐ณ๐ข๐จ(๐€๐ฅ๐ฅ๐ž๐ซ๐ ๐ฒ) +255767607724
    Love
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท231 Views
  • UNAWEZA KUKUTA MZAZI ALIKUPA JINA LA EX WAKE
    UNAWEZA KUKUTA MZAZI ALIKUPA JINA LA EX WAKE๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท91 Views
  • *FAHAMU MAAJABU YA WANAWAKE YALIYOWASHINDA HATA WANA FALSAFA KUELEWA*

    Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, Manabii na busara zao zote walishindwa kuwaelewa wakaishia kushauri ya kwamba tuishi nao kwa akili. Sasa najiuliza ni jambo gani unaweza kufanya nao bila kutumia akili?, hapa ndipo napata ushahidi kwamba kumbe wanawake walishindikana tangu zama za mwanzo kabisa!.

    Wanasaikolojia wanasema kuwa kama utamuoa/kuishi na mwanamke mwenye miaka 25 basi itakuchukua miaka 25 mingine kumuelewa huyo mwanamke angalau kwa 90% maana hawa kila siku hubadilika na kuwa wapya kimatendo na kifikra.

    Mwanamke unaweza mnunulia BMW X6 akatoka nayo kwenda kutembea, akiwa njiani akaombwa lift na kijana akampa akipitia sheli hela ya mafuta ikawa haitoshi, yule kijana akaamua kumuongeza ata elfu 20 basi mwanamke huweza kubadili mawazo na kumuona yule kijana ni bora kisa tu kachangia mafuta kuliko wewe uliyenunua BMW X6.

    Mfano akitoka hapo akapitia supermarket kununua bidhaa labda akapungukiwa kiasi mfano anadaiwa elfu 20, na yule kijana akasema hiyo ntalipa mimi basi basi hapo atasahau zile zawadi zote huwa unambebea na hiyo elfu 20 inaweza kumfanya awaze kumtunuku yule kijana penzi.

    Mwanamke unaweza mpa hela akanunue nyama kilo 5 buchani, mwenye bucha akimuongeza robo tu hilo litamfurahisha kiasi kwamba anaweza kumpa mwenye bucha penzi na akusahau wewe ulieyota hela ya nyama kilo 5.

    Mwanamke unaweza kumnunulia nguo, weaving, mafuta, perfume na urembo mzuri akavutia ila akipita mtaani akasifiwa na mwanaume kuwa kapendeza inaweza kuwa chanzo cha kumtunuku penzi na akakusahu wewe uliyegharamika na kufanya asifiwe!.

    Mwanamke unaweza kumpa mimba na ukamhudumia mwanzo mwisho na familia ukalea kwa juhudi zako zote ila siku mkikosana anakwambia niache na watoto wangu, apo ashasahau kuwa wewe ndiye uliyempa mimba na kumlea yeye na watoto!.

    Mchukue rafiki yako mwende bar, wewe uwe na laki 5 na yeye awe na elfu 30 kisha mkae meza moja na muagize unywaji, wewe agiza soda na yeye aagize bia. halafu baada ya nusu saa iteni warembo utaona wewe na laki 5 yako unapitwa tu ila yeye mwenye slfu 30 anaibuka kidedea kisa kaweza kumudu gharama ya bia, Hao ndio wanawake ndugu!

    Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayeweza kukupenda bila sababu ama kukuchukia bila sababu tofauti na viumbe wengine.
    Mwanamke ndiye mwigizaji mkubwa ulimwenguni, anaweza kulia kwa furaha na akacheka kwa huzuni, bado hujawajua tu wanawake!

    Mwanamke akisema ndio humaanisha hapana, na akisema hapana humaanisha ndio, pia anaweza kucheka bila kujua sababu lakini pia anaweza kulia pasipo sababu ya msingi ya kumfanya alie, hivyo chunga sana usijejichanganya!.

    Mwanamke hupendi vutu vigumu na vyenye hatari mfano wanaume wenye nguvu, mlevi, muhuni (playboy), jambazi, mgomvi anayeogopwa hata na wanaume wenzie ila ukimuuliza anakuambia mie napenda kuwa na mwanaume mpole mwenye hofu ya Mungu tifauti na sisi wanaume tunavyopenda vitu vipole na vinyenyekevu na vyenye ukarimu, sasa wewe jifanye kumuamini mwanamke!

    Jinsi unavyozidi kumpenda na kumthibutishia upendo wa dhati ndivyo unavyozidi kujiweka mbali nayeye, mwanamke hupenda migogoro isiyo na maana, ukijua hili ndoa haitokusumbua. Mwanamke hupendi utulivu kamwe!, usipomchokoa atakuchokoa tuu na usipomuendesha lazima akuendeshe yeye, Hawa viumbe hawana hiyana aisee!.

    Mwanamke hupendi vitu vikubwa wala vidogo, kiufupi hana chaguo maalumu. Ukimnunulia gari sio garantii ya yeye kutulia nawewe bali anaweza kukusaliti hata na muosha gari wako. Ukimjengea nyumba nzuri na kumuwekea kila kitu sio njia ya kumteka kimahaba kwani anaweza kumtunuku penzi ata mtunza bustani wa nyumba yako.

    Mwanamke hapendi ukweli, Ukimpa ukweli akija mwenye uongo basi we andika maumivu. Unaweza kuwa na elfu 50 ukamueleza ukweli kuwa "mke wangu leo hali mbaya chukua hii elfu 30,"... akatokea jamaa akamuongopea kuwa "Chukua hii elfu 15 ngoja nimesahau ATM card yangu nyumbani ikifuka saa 10 jioni ntakutumia laki 2 kwenye simu", Usishangae mkeo akakusaliti hata kabla ya hiyo saa 10 na iyo laki 2 asiione katu!.

    Unamuoa hana ishu akiwa kwao amekaa tu, unaamua kumfungulia biashara hata ya duka unamjazia kila kitu. anatokea mshikaji mmoja kumuunga pale dukani kila siku na kumuachia soda tu na hicho kinakuwa kigezo tosha cha kuona mshikaji anamjali kwa kumuachia ya soda kila siku kuliko wewe uliyemfungulia duka zima na kinachofuata ni usaliti tu.
    Yapo mengi mno kuliko hayo ila kwa leo naishia hapo... ukiweza shea kwenye groups zingine.

    ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
    Wamekuwa viumbe walioshindikana kwa Maana nyingine
    *ni mawazo tu wadau msijenge chuki*๐Ÿƒ๐Ÿฝ
    *FAHAMU MAAJABU YA WANAWAKE YALIYOWASHINDA HATA WANA FALSAFA KUELEWA* Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, Manabii na busara zao zote walishindwa kuwaelewa wakaishia kushauri ya kwamba tuishi nao kwa akili. Sasa najiuliza ni jambo gani unaweza kufanya nao bila kutumia akili?, hapa ndipo napata ushahidi kwamba kumbe wanawake walishindikana tangu zama za mwanzo kabisa!. Wanasaikolojia wanasema kuwa kama utamuoa/kuishi na mwanamke mwenye miaka 25 basi itakuchukua miaka 25 mingine kumuelewa huyo mwanamke angalau kwa 90% maana hawa kila siku hubadilika na kuwa wapya kimatendo na kifikra. Mwanamke unaweza mnunulia BMW X6 akatoka nayo kwenda kutembea, akiwa njiani akaombwa lift na kijana akampa akipitia sheli hela ya mafuta ikawa haitoshi, yule kijana akaamua kumuongeza ata elfu 20 basi mwanamke huweza kubadili mawazo na kumuona yule kijana ni bora kisa tu kachangia mafuta kuliko wewe uliyenunua BMW X6. Mfano akitoka hapo akapitia supermarket kununua bidhaa labda akapungukiwa kiasi mfano anadaiwa elfu 20, na yule kijana akasema hiyo ntalipa mimi basi basi hapo atasahau zile zawadi zote huwa unambebea na hiyo elfu 20 inaweza kumfanya awaze kumtunuku yule kijana penzi. Mwanamke unaweza mpa hela akanunue nyama kilo 5 buchani, mwenye bucha akimuongeza robo tu hilo litamfurahisha kiasi kwamba anaweza kumpa mwenye bucha penzi na akusahau wewe ulieyota hela ya nyama kilo 5. Mwanamke unaweza kumnunulia nguo, weaving, mafuta, perfume na urembo mzuri akavutia ila akipita mtaani akasifiwa na mwanaume kuwa kapendeza inaweza kuwa chanzo cha kumtunuku penzi na akakusahu wewe uliyegharamika na kufanya asifiwe!. Mwanamke unaweza kumpa mimba na ukamhudumia mwanzo mwisho na familia ukalea kwa juhudi zako zote ila siku mkikosana anakwambia niache na watoto wangu, apo ashasahau kuwa wewe ndiye uliyempa mimba na kumlea yeye na watoto!. Mchukue rafiki yako mwende bar, wewe uwe na laki 5 na yeye awe na elfu 30 kisha mkae meza moja na muagize unywaji, wewe agiza soda na yeye aagize bia. halafu baada ya nusu saa iteni warembo utaona wewe na laki 5 yako unapitwa tu ila yeye mwenye slfu 30 anaibuka kidedea kisa kaweza kumudu gharama ya bia, Hao ndio wanawake ndugu! Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayeweza kukupenda bila sababu ama kukuchukia bila sababu tofauti na viumbe wengine. Mwanamke ndiye mwigizaji mkubwa ulimwenguni, anaweza kulia kwa furaha na akacheka kwa huzuni, bado hujawajua tu wanawake! Mwanamke akisema ndio humaanisha hapana, na akisema hapana humaanisha ndio, pia anaweza kucheka bila kujua sababu lakini pia anaweza kulia pasipo sababu ya msingi ya kumfanya alie, hivyo chunga sana usijejichanganya!. Mwanamke hupendi vutu vigumu na vyenye hatari mfano wanaume wenye nguvu, mlevi, muhuni (playboy), jambazi, mgomvi anayeogopwa hata na wanaume wenzie ila ukimuuliza anakuambia mie napenda kuwa na mwanaume mpole mwenye hofu ya Mungu tifauti na sisi wanaume tunavyopenda vitu vipole na vinyenyekevu na vyenye ukarimu, sasa wewe jifanye kumuamini mwanamke! Jinsi unavyozidi kumpenda na kumthibutishia upendo wa dhati ndivyo unavyozidi kujiweka mbali nayeye, mwanamke hupenda migogoro isiyo na maana, ukijua hili ndoa haitokusumbua. Mwanamke hupendi utulivu kamwe!, usipomchokoa atakuchokoa tuu na usipomuendesha lazima akuendeshe yeye, Hawa viumbe hawana hiyana aisee!. Mwanamke hupendi vitu vikubwa wala vidogo, kiufupi hana chaguo maalumu. Ukimnunulia gari sio garantii ya yeye kutulia nawewe bali anaweza kukusaliti hata na muosha gari wako. Ukimjengea nyumba nzuri na kumuwekea kila kitu sio njia ya kumteka kimahaba kwani anaweza kumtunuku penzi ata mtunza bustani wa nyumba yako. Mwanamke hapendi ukweli, Ukimpa ukweli akija mwenye uongo basi we andika maumivu. Unaweza kuwa na elfu 50 ukamueleza ukweli kuwa "mke wangu leo hali mbaya chukua hii elfu 30,"... akatokea jamaa akamuongopea kuwa "Chukua hii elfu 15 ngoja nimesahau ATM card yangu nyumbani ikifuka saa 10 jioni ntakutumia laki 2 kwenye simu", Usishangae mkeo akakusaliti hata kabla ya hiyo saa 10 na iyo laki 2 asiione katu!. Unamuoa hana ishu akiwa kwao amekaa tu, unaamua kumfungulia biashara hata ya duka unamjazia kila kitu. anatokea mshikaji mmoja kumuunga pale dukani kila siku na kumuachia soda tu na hicho kinakuwa kigezo tosha cha kuona mshikaji anamjali kwa kumuachia ya soda kila siku kuliko wewe uliyemfungulia duka zima na kinachofuata ni usaliti tu. Yapo mengi mno kuliko hayo ila kwa leo naishia hapo... ukiweza shea kwenye groups zingine. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Wamekuwa viumbe walioshindikana kwa Maana nyingine ๐Ÿ˜…๐Ÿ‘€ *ni mawazo tu wadau msijenge chuki*๐Ÿƒ๐Ÿฝ
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท425 Views
  • SHIGETAKA KURITA.... Mvumbuzi WA Emoji

    Kama ulikuwa hujui...... Ni hivi emoji zilianza kutumika mwaka 1999 nchini Japan

    Mvumbuzi wa Emoji aliitwa Shigetaka Kurita aliyekuwa anafanya kazi katika kampuni ya na mawasiliano iliyoitwa DECOMO

    Shigetaka Kurita alikuwa ndio mbunifu mkuu wa kampuni hiyo ya decomo ....kampuni hiyo iliyokuwa na malengo ya kuanzisha namna mpya ya kuwasiliana

    Shigetaka alikuwa na kiu ya kufanya mawasiliano ya mitandao yawe yakuvutia na kurahisisha ujumbe kueleweka kwa haraka ndipo alipobuni emoji 176 zilizokuwa zinaelezea maana mbali mbali.... Kama vile hali ya hewa...msongamano wa magari ...na teknolojia mbali mbali

    Baada ya kuanzishwa emoji hizo katika miaka ya 1999 ilianza kutumika nchini Japan tu.

    Baada ya miaka michache emoji ikaanza kutumika Katika nchi nyingine huku kampuni ya Apple nayo ikaanza kutumia emoji

    Inakadiriwa hadi sasa hivi kuna zaidi ya emoji 3178

    Comment emoji yoyote ile ambayo hujawahi kuitumia kisha mtag rafiki yako kipenzi....... ๐Ÿ•๐Ÿ–

    Tafadhali share na wengine wajue
    SHIGETAKA KURITA.... Mvumbuzi WA Emoji Kama ulikuwa hujui...... Ni hivi emoji zilianza kutumika mwaka 1999 nchini Japan Mvumbuzi wa Emoji aliitwa Shigetaka Kurita aliyekuwa anafanya kazi katika kampuni ya na mawasiliano iliyoitwa DECOMO Shigetaka Kurita alikuwa ndio mbunifu mkuu wa kampuni hiyo ya decomo ....kampuni hiyo iliyokuwa na malengo ya kuanzisha namna mpya ya kuwasiliana Shigetaka alikuwa na kiu ya kufanya mawasiliano ya mitandao yawe yakuvutia na kurahisisha ujumbe kueleweka kwa haraka ndipo alipobuni emoji 176 zilizokuwa zinaelezea maana mbali mbali.... Kama vile hali ya hewa...msongamano wa magari ...na teknolojia mbali mbali Baada ya kuanzishwa emoji hizo katika miaka ya 1999 ilianza kutumika nchini Japan tu. Baada ya miaka michache emoji ikaanza kutumika Katika nchi nyingine huku kampuni ya Apple nayo ikaanza kutumia emoji Inakadiriwa hadi sasa hivi kuna zaidi ya emoji 3178 Comment emoji yoyote ile ambayo hujawahi kuitumia kisha mtag rafiki yako kipenzi....... ๐Ÿ’ต๐Ÿ“ฆ๐Ÿ›‚๐Ÿ›ƒ๐Ÿ•๐ŸŒ‹๐Ÿ–๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ถ Tafadhali share na wengine wajue
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท167 Views
  • ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
    Haha
    1
    ยท 1 Reacties ยท0 aandelen ยท102 Views
  • ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท116 Views
  • Tanzania nchi yangu
    Tanzania nchi yangu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท319 Views
  • Mbape wa kongo ni mmoja tu kwenye nchi hii ya fulaa na amani haikuwai kutokea dunian kote
    Mbape wa kongo ni mmoja tu kwenye nchi hii ya fulaa na amani haikuwai kutokea dunian kote ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท171 Views
  • ๐—ž๐—œ๐——๐—จ๐— ๐—˜ ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—”
    (๐™ƒ๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™–)
    ๐™Ž๐™š๐™ญ๐™ช๐™–๐™ก ๐™€๐™ฃ๐™š๐™ง๐™œ๐™ฎ ๐™Ž๐™ฎ๐™ง๐™ช๐™ฅ
    Sasa usiteseke tena na tatizo la
    1.Kufika kileleni mapema na chuma kulala hapo hapo ndani ya dakika uwapo kwenye tendo la ndoa
    2.Kukosa nguvu na hamu ya kurudia zaidi na zaidi.
    3.Uwezo mdogo wa kizalisha manii zenye rutuba
    4.Umejichua sana(Punyeto) mpaka umepoteza nguvu na uume kulegea au kuwa mdogo(kibamia).

    Sasa suluhisho ni ๐Š๐ˆ๐ƒ๐”๐Œ๐„ ๐‚๐‡๐”๐Œ๐€ .Hii dawa ni simulizi kwa wengi ndani ya nchi,afrika na nje ya Afrika.
    Ushuhuda mkubwa kwa watu baada ya kurudisha nguvu zao za asili kama awali.
    ๐๐„๐ˆ ๐˜๐€ ๐ƒ๐€๐–๐€ ๐Š๐–๐€ ๐ƒ๐Ž๐™๐ˆ ๐๐™๐ˆ๐Œ๐€ ๐๐ˆ 40000๐ญ๐ฌ๐ก
    unapewa chupa 4.
    ๐“๐ฎ๐ฆ๐ž๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐›๐ž๐ข ๐ซ๐š๐Ÿ๐ข๐ค๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฌ๐š๐ข๐๐ข๐ž ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ณ๐š๐ข๐๐ข.๐๐จ๐ฉ๐จ๐ญ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ง๐š ๐ง๐ฃ๐ž ๐ฒ๐š ๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฆ๐ž๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž.

    ๐‘‡๐‘ˆ๐‘ƒ๐ผ๐บ๐ผ๐ธ ๐ด๐‘ˆ ๐‘Š๐ป๐ด๐‘‡๐‘†๐ด๐‘ƒ๐‘ƒ
    ๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—ฆ
    +255767607724
    +255679607724
    "๐™ˆ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ช๐™ข๐™š ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ซ๐™ช ๐™ฏ๐™–๐™ ๐™š ๐™ฃ๐™ž ๐™๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ค ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ข๐™ž".
    ๐—ž๐—œ๐——๐—จ๐— ๐—˜ ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—” (๐™ƒ๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™–) ๐™Ž๐™š๐™ญ๐™ช๐™–๐™ก ๐™€๐™ฃ๐™š๐™ง๐™œ๐™ฎ ๐™Ž๐™ฎ๐™ง๐™ช๐™ฅ Sasa usiteseke tena na tatizo la 1.Kufika kileleni mapema na chuma kulala hapo hapo ndani ya dakika uwapo kwenye tendo la ndoa 2.Kukosa nguvu na hamu ya kurudia zaidi na zaidi. 3.Uwezo mdogo wa kizalisha manii zenye rutuba 4.Umejichua sana(Punyeto) mpaka umepoteza nguvu na uume kulegea au kuwa mdogo(kibamia). Sasa suluhisho ni ๐Š๐ˆ๐ƒ๐”๐Œ๐„ ๐‚๐‡๐”๐Œ๐€ .Hii dawa ni simulizi kwa wengi ndani ya nchi,afrika na nje ya Afrika. Ushuhuda mkubwa kwa watu baada ya kurudisha nguvu zao za asili kama awali. ๐๐„๐ˆ ๐˜๐€ ๐ƒ๐€๐–๐€ ๐Š๐–๐€ ๐ƒ๐Ž๐™๐ˆ ๐๐™๐ˆ๐Œ๐€ ๐๐ˆ 40000๐ญ๐ฌ๐ก unapewa chupa 4. ๐“๐ฎ๐ฆ๐ž๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐›๐ž๐ข ๐ซ๐š๐Ÿ๐ข๐ค๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฌ๐š๐ข๐๐ข๐ž ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ณ๐š๐ข๐๐ข.๐๐จ๐ฉ๐จ๐ญ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ง๐š ๐ง๐ฃ๐ž ๐ฒ๐š ๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฆ๐ž๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž. ๐‘‡๐‘ˆ๐‘ƒ๐ผ๐บ๐ผ๐ธ ๐ด๐‘ˆ ๐‘Š๐ป๐ด๐‘‡๐‘†๐ด๐‘ƒ๐‘ƒ ๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—ฆ +255767607724 +255679607724 "๐™ˆ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ช๐™ข๐™š ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ซ๐™ช ๐™ฏ๐™–๐™ ๐™š ๐™ฃ๐™ž ๐™๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ค ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ข๐™ž".
    Like
    2
    ยท 8 Reacties ยท0 aandelen ยท279 Views
  • MBONA SIJAELEWA HAPA!

    .Me:- mambo

    Dem:- poa

    Me:- unaishi wapi?

    Dem :- hapa tu Nairobi

    Me:- uko chuo?

    Dem:- ndio

    Me :- chuo gani

    Dem :- Urumah University
    Me:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako.

    Dem:- ohooo! I am already to deserve you

    Me:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla..."

    Dem:- Ahsante, una gari aina gani?!

    Me:- Nina land cruiser "

    Dem:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe".

    Me:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu".

    Dem:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana

    Me:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service"

    Dem:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single".

    Me:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni๐Ÿฅน"

    Dem:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili"

    Me:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager.

    Dem:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.

    Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    MBONA SIJAELEWA HAPA! .Me๐Ÿง”:- mambo๐Ÿ˜Š Dem๐Ÿ‘ฐ:- poa๐Ÿคจ Me๐Ÿง”:- unaishi wapi๐Ÿ™„? Dem ๐Ÿ‘ฐ:- hapa tu Nairobi ๐Ÿ˜ฒ Me๐Ÿง”:- uko chuo๐Ÿ˜Š? Dem๐Ÿ‘ฐ:- ndio๐Ÿ˜Ÿ Me ๐Ÿง” :- chuo gani โ˜บ๏ธ Dem ๐Ÿ‘ฐ:- Urumah University ๐Ÿฅฐ Me๐Ÿง”:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako. Dem๐Ÿ‘ฐ:- ohooo!๐Ÿ™† I am already to deserve you ๐Ÿ˜ Me๐Ÿง”:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla...๐Ÿ˜˜" Dem๐Ÿ‘ฐ:- Ahsante, una gari aina gani๐Ÿ˜’?! Me๐Ÿง”:- Nina land cruiser ๐Ÿ˜Š" Dem๐Ÿ‘ฐ:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe๐Ÿ˜". Me๐Ÿง”:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu๐Ÿ™„". Dem๐Ÿ‘ฐ:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana๐Ÿ’• Me๐Ÿง”:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service๐Ÿ˜Š" Dem๐Ÿ‘ฐ:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single๐Ÿ˜๐Ÿ˜". Me๐Ÿง”:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni๐Ÿฅน" Dem๐Ÿ‘ฐ:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawiliโœŒ๏ธ" Me๐Ÿง”:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager๐Ÿ•ด๏ธ. Dem๐Ÿ‘ฐ:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto ๐Ÿ‘ชwote walifariki miaka minne iliyopita. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    Love
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท499 Views
  • MADHARA YA KUVUTA SIGARA NA TIBA YAKE
    โœฆMagonjwa ya macho
    โœฆKukunjana kwa ngozi
    โœฆMagonjwa ya masikio
    โœฆSaratani ya ngozi
    โœฆMagonjwa ya meno
    โœฆMagonjwa ya mapafu,Mifupa,Kucha kungoka kwenye vidole na miguu.
    โœฆMagonjwa ya ngozi.

    ๐ˆ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฎ๐ก๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š ๐ญ๐š๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ก๐ข๐ฅ๐จ ๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ ๐š๐ซ๐š ๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž,๐“๐ฐ๐š๐ข๐› ๐‡๐ž๐ซ๐›๐ฌ ๐ญ๐ฎ๐ง๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ค๐ฎ๐š๐œ๐ก๐š ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐š๐ข๐ง๐š ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ง๐š ๐ฉ๐จ๐ฆ๐›๐ž.

    #๐–๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ๐€๐๐€_๐๐€๐’๐ˆ
    โœฆ TUPIGIE/SMS/WHATSAP.
    +255767607724.

    โœฆWHATSAP BUSSNESS CATALOGUE
    https://wa.me/c/255767607724

    โœฆInstagram:
    https://www.instagram.com/twaibherbs

    โœฆFacebook:
    https://www.facebook.com/twaibherbs

    โœฆGoogle/blog.
    https://www.twaibherbs.blogspot.com
    MADHARA YA KUVUTA SIGARA NA TIBA YAKE โœฆMagonjwa ya macho โœฆKukunjana kwa ngozi โœฆMagonjwa ya masikio โœฆSaratani ya ngozi โœฆMagonjwa ya meno โœฆMagonjwa ya mapafu,Mifupa,Kucha kungoka kwenye vidole na miguu. โœฆMagonjwa ya ngozi. ๐ˆ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฎ๐ก๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š ๐ญ๐š๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ก๐ข๐ฅ๐จ ๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ ๐š๐ซ๐š ๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž,๐“๐ฐ๐š๐ข๐› ๐‡๐ž๐ซ๐›๐ฌ ๐ญ๐ฎ๐ง๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ค๐ฎ๐š๐œ๐ก๐š ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐š๐ข๐ง๐š ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ง๐š ๐ฉ๐จ๐ฆ๐›๐ž. #๐–๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ๐€๐๐€_๐๐€๐’๐ˆ โœฆ TUPIGIE/SMS/WHATSAP. +255767607724. โœฆWHATSAP BUSSNESS CATALOGUE https://wa.me/c/255767607724 โœฆInstagram: https://www.instagram.com/twaibherbs โœฆFacebook: https://www.facebook.com/twaibherbs โœฆGoogle/blog. https://www.twaibherbs.blogspot.com
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท287 Views
  • ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ž๐—œ๐—ข ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ข (5) ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ฆ๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ฅ ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ข ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ง๐—˜๐—Ÿ๐—Ÿ๐—œ

    haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa

    Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia.

    Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali?

    Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako.

    Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa.

    tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ž๐—œ๐—ข ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ข (5) ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ฆ๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ฅ ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ข ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ง๐—˜๐—Ÿ๐—Ÿ๐—œ haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia. Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali? Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako. Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa. tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท418 Views
  • ๐—™๐—”๐—–๐—ง๐—ฆ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—”

    โžœ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    โžœ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    โžœ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    โžœ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    โžœ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    โžœ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    โžœ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    โžœ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    โžœ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    โžœ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    โžœ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    โžœ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    โžœ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    โžœ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    โžœ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    โžœ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    โžœ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    โ™  Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    ๐Ÿšจ๐—™๐—”๐—–๐—ง๐—ฆ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” โžœ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท na Cristiano Ronaldo ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น โžœ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. โžœ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 โšฝ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. โžœ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). โžœ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). โžœ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. โžœ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! โžœ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. โžœ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). โžœ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. โžœ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). โžœ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake ๐Ÿ˜€ โžœ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) โžœ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. โžœ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! ๐Ÿ˜€ โžœ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. โžœ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? ๐Ÿ˜Ž
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท562 Views
  • ROBO FINAL 8%; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???.
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #milardayo
    #Sports
    ROBO FINAL 8%๐ŸŒ”; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???โœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™. #sokachampions #cafchampionsleague2024 #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #milardayo #Sports
    Like
    4
    ยท 1 Reacties ยท0 aandelen ยท747 Views
  • ๐Š๐€๐ˆ๐Œ๐” ๐Œ๐“๐„๐๐ƒ๐€๐‰๐ˆ ๐Œ๐Š๐”๐” ๐–๐€ ๐Œ๐๐˜๐€๐Œ๐€

    #paulswai
    ๐Š๐€๐ˆ๐Œ๐” ๐Œ๐“๐„๐๐ƒ๐€๐‰๐ˆ ๐Œ๐Š๐”๐” ๐–๐€ ๐Œ๐๐˜๐€๐Œ๐€ ๐Ÿฆ #paulswai
    Like
    2
    ยท 1 Reacties ยท0 aandelen ยท198 Views
  • .๐Š๐ฎ๐ฆ๐›๐ž ๐”๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐”๐ง๐š๐ฎ๐ฆ๐š ๐ž๐ž๐ž
    ๐’๐š๐ฌ๐š ๐๐ฅ ๐Ÿ‘ ๐๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐“๐ž๐ง๐๐š ๐˜๐š ๐ค๐ฎ๐ณ๐š๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐‰๐ž๐ณ๐ข ๐ฉ๐š๐ฅ๐ž ๐”๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข ๐š๐ฎ ..
    ๐”๐ค๐ฐ๐ž๐ฅi ๐ง๐ข๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐‰๐ž๐ณ๐ข ๐ง๐ข ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ ๐ง๐š ๐ก๐ข๐ฅ๐จ ๐ก๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐‰๐ž๐ณ๐ข ๐ณ๐š ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐™๐š ๐Š๐ฅ๐š๐›๐ฎ ๐›๐ข๐ง๐ ๐ฐ๐š ๐ณ๐ข๐ฆ๐ž๐ฎ๐ณ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐„๐ฅ๐Ÿ ๐Ÿ•๐Ÿ“ - ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐Ÿ–๐ŸŽ ๐–๐š๐จ ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ž๐ฅ๐Ÿ ๐Ÿ’๐ŸŽ ๐ฐ๐š๐ฆ๐ž๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐ฐ๐š
    .๐Š๐ฎ๐ฆ๐›๐ž ๐”๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐”๐ง๐š๐ฎ๐ฆ๐š ๐ž๐ž๐ž ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ๐’๐š๐ฌ๐š ๐๐ฅ ๐Ÿ‘ ๐๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐“๐ž๐ง๐๐š ๐˜๐š ๐ค๐ฎ๐ณ๐š๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐‰๐ž๐ณ๐ข ๐ฉ๐š๐ฅ๐ž ๐”๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข ๐š๐ฎ ๐Ÿ˜….. ๐”๐ค๐ฐ๐ž๐ฅi ๐ง๐ข๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐‰๐ž๐ณ๐ข ๐ง๐ข ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ ๐ง๐š ๐ก๐ข๐ฅ๐จ ๐ก๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐‰๐ž๐ณ๐ข ๐ณ๐š ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐™๐š ๐Š๐ฅ๐š๐›๐ฎ ๐›๐ข๐ง๐ ๐ฐ๐š ๐ณ๐ข๐ฆ๐ž๐ฎ๐ณ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐„๐ฅ๐Ÿ ๐Ÿ•๐Ÿ“ - ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐Ÿ–๐ŸŽ ๐–๐š๐จ ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ž๐ฅ๐Ÿ ๐Ÿ’๐ŸŽ ๐ฐ๐š๐ฆ๐ž๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐ฐ๐š ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
    Like
    3
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท276 Views
  • ๐—œ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ?

    Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ?

    Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ?

    Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji

    1๏ธโƒฃ Towel - dry your phone & remove cover
    Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe.

    2๏ธโƒฃ Switch off & stay away from charger
    Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji.

    Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa.

    3๏ธโƒฃ Bury your phone in rice
    Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk.

    Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu.

    4๏ธโƒฃ Put in the fridge
    Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi simu yako itakua fresh

    Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo simu yako inatoka safi tu

    Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi

    ๐—œ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ? Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ? Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama ๐Ÿ˜€ sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua โŒ warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ? Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ Towel - dry your phone & remove cover Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe. 2๏ธโƒฃ Switch off & stay away from charger Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi ๐Ÿ˜€ usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chajiโœ…. Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa. 3๏ธโƒฃ Bury your phone in rice ๐ŸŒพ Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk. Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu. 4๏ธโƒฃ Put in the fridge Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi ๐Ÿ’ช simu yako itakua fresh Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo ๐Ÿ˜‹ simu yako inatoka safi tu Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi
    Like
    Love
    2
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท322 Views
  • ๐—œ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ?

    Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ?

    Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ?

    Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji

    1๏ธโƒฃ Towel - dry your phone & remove cover
    Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe.

    2๏ธโƒฃ Switch off & stay away from charger
    Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji.

    Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa.

    3๏ธโƒฃ Bury your phone in rice
    Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk.

    Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu.

    4๏ธโƒฃ Put in the fridge
    Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi simu yako itakua fresh

    Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo simu yako inatoka safi tu

    Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi

    ๐—œ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ? Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ? Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama ๐Ÿ˜€ sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua โŒ warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ? Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ Towel - dry your phone & remove cover Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe. 2๏ธโƒฃ Switch off & stay away from charger Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi ๐Ÿ˜€ usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chajiโœ…. Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa. 3๏ธโƒฃ Bury your phone in rice ๐ŸŒพ Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk. Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu. 4๏ธโƒฃ Put in the fridge Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi ๐Ÿ’ช simu yako itakua fresh Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo ๐Ÿ˜‹ simu yako inatoka safi tu Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi
    Love
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท322 Views
Zoekresultaten