• Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio .

    1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production*

    #Mathayo 25:14-30.
    Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza.

    2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini.

    #Wafalme 4:1-7
    Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini.

    3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa

    #waamuzi 6:14

    4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia .

    #2wafalme 4:2
    Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta.

    5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe.

    #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri.

    6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi.

    Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi.

    Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu.
    #Malaki 3:10

    7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana.

    #Mithali 10:22

    8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho .

    Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki.

    9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao.

    Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe.

    Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana.

    #isaya 43:4

    10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri .

    #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.

    All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu.
    #yeremia 29:11

    Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340

    Ili uendelee kujifunza katika group zetu .

    Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
    #build new eden
    #Restore men position
    Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio . 1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production* #Mathayo 25:14-30. Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza. 2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini. #Wafalme 4:1-7 Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini. 3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa #waamuzi 6:14 4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia . #2wafalme 4:2 Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta. 5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe. #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri. 6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi. Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi. Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu. #Malaki 3:10 7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana. #Mithali 10:22 8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho . Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki. 9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao. Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe. Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana. #isaya 43:4 10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri . #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu. #yeremia 29:11 Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340 Ili uendelee kujifunza katika group zetu . Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #build new eden #Restore men position
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·54 Views
  • UAMSHO.
    Maana ni kurudi kwenye uzima.
    Ni mminiko wa nguvu na uwepo wa Mungu ndani ya mtu uletao kibali ,neema na baraka.

    Uamsho ni uziilisho wa roho mtakatifu ndani ya mtu na kuleta matokeo chanya.

    Kwa kawaida tunaamsha kitu kilicho lala ,ko lengo la somo hili ni kurejesha uzimani nafsi ya mtu mmoja mmoja .

    Uamsho ni jambo linalo anza na mtu kisha matokeo ya uamsho ndiyo yanayo tukuta sote.

    Mfano mfalme Yosiah alilisi ufalme baada ya baba yake kufa na baba yake alikuwa mfalme Ahazia ambaye akufanya mema machoni pa Bwana.

    2 Wafalme 22:13
    [13]Enendeni, mkamwulize BWANA kwa ajili yangu, na kwa ajili ya watu hawa, na kwa ajili ya Yuda yote, katika habari za maneno ya kitabu hiki kilichoonekana; kwa kuwa hasira ya BWANA ni kubwa aliyotukasirikia, kwa sababu baba zetu hawakuyaangalia maneno ya kitabu hiki, kufanya kama hayo yote tuliyoandikiwa.

    Baada ya kuuliza sasa sikiliza jawabu alilo pewa .

    [16]BWANA asema hivi, Tazama, mimi nitaleta uovu juu ya mahali hapa, na juu yao wakaao hapa, naam, maneno yote ya kitabu alichokisoma mfalme wa Yuda;

    [17]kwa sababu wameniacha mimi, wameifukizia uvumba miungu mingine, ili wapate kunikasirisha kwa kazi yote ya mikono yao; kwa hiyo hasira yangu itawaka juu ya mahali hapa, isizimike

    Kumbe kuna mambo unayapatia sababu tu walio kutangulia waliyafanya ndio maana tunahitqji uamsho.

    muda wa uamsho ndani ya nyumba ya baba yake na taifa lote ulifika .

    Kilicho fanya yuda uqmsho uje ni baada ya kusikia habari za kitabu cha torati ambalo leo hii ndio neno la Mungu.

    2wafalme 22:18-20.

    Ukisoma hapo utaona alivho kifanya baada ya kusikia habari za kitabu aliamua kukusanya wafalme wa yuda wote kwa ajiri ya kuwaambia .

    Na alipo wakusanya kwa kuwa uamsho ni wa mtu akafanya agano lake na Mungu.

    Yeye aliazimia mambo kazaa moja

    1.nikumfuata Bwana
    2.kuyashika maagizo yote.
    3.kuzifuata shuhuda zake .
    4.kuzifuata na kutii amri zake .
    5.navyote hivi atavifanya kwa moyo wote na kwa roho yake yote.

    Baada ya mfalme Yosiah kufanya agano na Mungu wake matokeoa yake wengine wote wakalifuata lile agano .

    Uamsho ndivyo unavyo fanyika ni lazima wewe ulie amua kuwa mfuasi wa kristo uweke agano na Mungu ndipo matokeo yake wengine watakuja ndani ya agano lako.

    Na ndio wanavyo fanya wote waacha alama katika dunia.

    Sababu ya uchovu wa imani makanisa tunazani uamsho ni wa kila mtu na kuhimizana mara utasikia ibada ya uamsho no wafundishe watu wamjue roho mtakatifu lazima watakuwa wameamka.

    Nakukumbusha kuwa huyu mtu yeye alikuwa mwema na aliahidiwa kustarehe na kuishi maisha ya amani mpaka anakufa .

    Ukiendelea kusoma utaona jama alivunja sanamu zote ,ambazo baba zake waliweka kuziabudu alivunja,akawatoa makuhani wote waliowekwa, akawatoa makuhani wote ,mahanithi wote wanawake wafuma mapazia.

    Kama watu tunataka kuwa chanzo cha uamsho lazima lazima ukubali kuacha asili yako na kama yosiah alivyo acha na kumfuatq bwana.

    Kuna mtu mwingine pia anaitwa Yoshua pia alipo taka kurudisha kanisa maala pake aliwapa chaguo lakini yeye alikuwa na azimio lake ndani ya moyo wake.

    Yoshua 24:15-16
    [15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
    .
    [16]Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine;

    Islaeri walipo anza kufuata miungu mingine alilazimika kuonyesha njia na njia hiyo ni kuwapa watu chaguo huku yeye akifanya agano na Mungu.

    Mchungaji kabla ujawaza kuhusu uamsho jiulize wewe je umeazimia kumfuata bwana kama shujaaa wako au na wewe una mashaka.

    Kama unapenda kujifunza zaidi neno karibu katika group la watsap.
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    UAMSHO. Maana ni kurudi kwenye uzima. Ni mminiko wa nguvu na uwepo wa Mungu ndani ya mtu uletao kibali ,neema na baraka. Uamsho ni uziilisho wa roho mtakatifu ndani ya mtu na kuleta matokeo chanya. Kwa kawaida tunaamsha kitu kilicho lala ,ko lengo la somo hili ni kurejesha uzimani nafsi ya mtu mmoja mmoja . Uamsho ni jambo linalo anza na mtu kisha matokeo ya uamsho ndiyo yanayo tukuta sote. Mfano mfalme Yosiah alilisi ufalme baada ya baba yake kufa na baba yake alikuwa mfalme Ahazia ambaye akufanya mema machoni pa Bwana. 2 Wafalme 22:13 [13]Enendeni, mkamwulize BWANA kwa ajili yangu, na kwa ajili ya watu hawa, na kwa ajili ya Yuda yote, katika habari za maneno ya kitabu hiki kilichoonekana; kwa kuwa hasira ya BWANA ni kubwa aliyotukasirikia, kwa sababu baba zetu hawakuyaangalia maneno ya kitabu hiki, kufanya kama hayo yote tuliyoandikiwa. Baada ya kuuliza sasa sikiliza jawabu alilo pewa . [16]BWANA asema hivi, Tazama, mimi nitaleta uovu juu ya mahali hapa, na juu yao wakaao hapa, naam, maneno yote ya kitabu alichokisoma mfalme wa Yuda; [17]kwa sababu wameniacha mimi, wameifukizia uvumba miungu mingine, ili wapate kunikasirisha kwa kazi yote ya mikono yao; kwa hiyo hasira yangu itawaka juu ya mahali hapa, isizimike Kumbe kuna mambo unayapatia sababu tu walio kutangulia waliyafanya ndio maana tunahitqji uamsho. muda wa uamsho ndani ya nyumba ya baba yake na taifa lote ulifika . Kilicho fanya yuda uqmsho uje ni baada ya kusikia habari za kitabu cha torati ambalo leo hii ndio neno la Mungu. 2wafalme 22:18-20. Ukisoma hapo utaona alivho kifanya baada ya kusikia habari za kitabu aliamua kukusanya wafalme wa yuda wote kwa ajiri ya kuwaambia . Na alipo wakusanya kwa kuwa uamsho ni wa mtu akafanya agano lake na Mungu. Yeye aliazimia mambo kazaa moja 1.nikumfuata Bwana 2.kuyashika maagizo yote. 3.kuzifuata shuhuda zake . 4.kuzifuata na kutii amri zake . 5.navyote hivi atavifanya kwa moyo wote na kwa roho yake yote. Baada ya mfalme Yosiah kufanya agano na Mungu wake matokeoa yake wengine wote wakalifuata lile agano . Uamsho ndivyo unavyo fanyika ni lazima wewe ulie amua kuwa mfuasi wa kristo uweke agano na Mungu ndipo matokeo yake wengine watakuja ndani ya agano lako. Na ndio wanavyo fanya wote waacha alama katika dunia. Sababu ya uchovu wa imani makanisa tunazani uamsho ni wa kila mtu na kuhimizana mara utasikia ibada ya uamsho no wafundishe watu wamjue roho mtakatifu lazima watakuwa wameamka. Nakukumbusha kuwa huyu mtu yeye alikuwa mwema na aliahidiwa kustarehe na kuishi maisha ya amani mpaka anakufa . Ukiendelea kusoma utaona jama alivunja sanamu zote ,ambazo baba zake waliweka kuziabudu alivunja,akawatoa makuhani wote waliowekwa, akawatoa makuhani wote ,mahanithi wote wanawake wafuma mapazia. Kama watu tunataka kuwa chanzo cha uamsho lazima lazima ukubali kuacha asili yako na kama yosiah alivyo acha na kumfuatq bwana. Kuna mtu mwingine pia anaitwa Yoshua pia alipo taka kurudisha kanisa maala pake aliwapa chaguo lakini yeye alikuwa na azimio lake ndani ya moyo wake. Yoshua 24:15-16 [15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA. . [16]Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine; Islaeri walipo anza kufuata miungu mingine alilazimika kuonyesha njia na njia hiyo ni kuwapa watu chaguo huku yeye akifanya agano na Mungu. Mchungaji kabla ujawaza kuhusu uamsho jiulize wewe je umeazimia kumfuata bwana kama shujaaa wako au na wewe una mashaka. Kama unapenda kujifunza zaidi neno karibu katika group la watsap. https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden) #build new eden #restore men position
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·712 Views
  • Habari ya usiku ndugu zangu ni siku ya nne leo japo kwa kuchelewe tunaendelea na mwendelezo wa fasiri za ndoto kiblia .

    *Ungana nami Sylvester Mwakabende kwa ufafanuzi zaidi kadiri roho wa Bwana Atakavyo niongoza*

    *Je umewai kuota unafukuzwa na mbwa ? nini maana yake*? .


    Zaburi 22:16
    *[16]Kwa maana mbwa wamenizunguka Kusanyiko la waovu wamenisonga;
    Wamenizua mikono na miguu*
    For dogs have compassed me: the assembly of the wicked have inclosed me: they pierced my hands and my feet.

    1.Kufuatiliwa na roho chafu kama zinaa na uasherati

    Mithali26:11 SUV

    *Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.*

    Kutoka 22:31 BHN
    *Nyinyi mtakuwa watu waliowekwa wakfu kwangu. Kwa hiyo hamtakula nyama ya mnyama aliyeuawa na mnyama wa porini. Nyama hiyo mtawatupia mbwa.*

    Chochote kile kilicho kichafu upaswi kukila .

    Torati 23:18 BHN
    *Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.*
    2wafalme 9;10

    Zaburi 22;20 BHN
    *Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!*

    *Mbwa ana nguvu maana yake mbwa anawakilisha roho chafu za zinaa, uasherati na machafu yote ya shetani .*
    .
    2.kuiacha njia ya bwana kama kuhani.

    Isaya 56:11 BHN
    *Hao ni kama mbwa wenye uchu sana, wala hawawezi kamwe kutoshelezwa. Wachungaji hao hawana akili yoyote; kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe.*

    Naombaje ?NAMNA YA KUOMBA

    1.Toba ya kweli kwa sababu ya kufungua mlango .

    2.kuhalibu kila njia ya uovu inayo kufuatilia

    3.Muone kuhani kwa ajiri ya ukombozi .

    4.kataa kabisa roho za uharibifu kwa kusimamisha madhabau ya Mungu kwa sadaka.

    Zingatia :Ndoto ni mlango Mungu anao utumia kupitisha ujumbe wake na shetani naye anatumia hivyo hivyo jifunze kuomba uongozi wa roho mtakatifu katika fasiri sahiii japo zingine uja kwa uchovu na shughuli nyingi.

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende wa (Build new eden)
    Unaweza share somo hili kwa rafiki wengine.
    Simu no :0622625340
    Habari ya usiku ndugu zangu ni siku ya nne leo japo kwa kuchelewe tunaendelea na mwendelezo wa fasiri za ndoto kiblia . *Ungana nami Sylvester Mwakabende kwa ufafanuzi zaidi kadiri roho wa Bwana Atakavyo niongoza* *Je umewai kuota unafukuzwa na mbwa ? nini maana yake*? . Zaburi 22:16 *[16]Kwa maana mbwa wamenizunguka Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenizua mikono na miguu* For dogs have compassed me: the assembly of the wicked have inclosed me: they pierced my hands and my feet. 1.Kufuatiliwa na roho chafu kama zinaa na uasherati Mithali26:11 SUV *Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.* Kutoka 22:31 BHN *Nyinyi mtakuwa watu waliowekwa wakfu kwangu. Kwa hiyo hamtakula nyama ya mnyama aliyeuawa na mnyama wa porini. Nyama hiyo mtawatupia mbwa.* Chochote kile kilicho kichafu upaswi kukila . Torati 23:18 BHN *Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.* 2wafalme 9;10 Zaburi 22;20 BHN *Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!* *Mbwa ana nguvu maana yake mbwa anawakilisha roho chafu za zinaa, uasherati na machafu yote ya shetani .* . 2.kuiacha njia ya bwana kama kuhani. Isaya 56:11 BHN *Hao ni kama mbwa wenye uchu sana, wala hawawezi kamwe kutoshelezwa. Wachungaji hao hawana akili yoyote; kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe.* Naombaje ?NAMNA YA KUOMBA 1.Toba ya kweli kwa sababu ya kufungua mlango . 2.kuhalibu kila njia ya uovu inayo kufuatilia 3.Muone kuhani kwa ajiri ya ukombozi . 4.kataa kabisa roho za uharibifu kwa kusimamisha madhabau ya Mungu kwa sadaka. Zingatia :Ndoto ni mlango Mungu anao utumia kupitisha ujumbe wake na shetani naye anatumia hivyo hivyo jifunze kuomba uongozi wa roho mtakatifu katika fasiri sahiii japo zingine uja kwa uchovu na shughuli nyingi. Ok naitwa Sylvester Mwakabende wa (Build new eden) Unaweza share somo hili kwa rafiki wengine. Simu no :0622625340
    Love
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·936 Views